Ahsante sana Mtumishi, .......Naomba tutorial ya ufugaji wa kambale na jinsi ya kuwatotolesha. Maana ninao kambale ila wapo tu
@ThomKavishegospeltv.555Ай бұрын
Sawa Niko safarini nikifika nitakujibu swali lako.
@chinedu255Ай бұрын
mchungaji mimi nina nia ya kufuga kuku aina ya chotara na nina pesa kiasi cha laki 3 sijajua pakuanzia nianze na kuku wa ngapi na ningeomba angalau utoe video ya kuhusu mtaji wa laki 3 unatoshea kuku wa ngapi ukiwa una banda tiari please