TAMISEMI LEO:KIMEUMANA WALIMU WALIOGUSHI UHAMISHO KUKIONA.. Dr Msonde

  Рет қаралды 7,318

𝐓𝐞𝐚𝐜𝐡𝐞𝐫 𝐃

𝐓𝐞𝐚𝐜𝐡𝐞𝐫 𝐃

Ай бұрын

Пікірлер: 14
@user-fs6lp3op1x
@user-fs6lp3op1x Ай бұрын
Mmeachaa kutangazaa ajila mnaongeea mamboo ambayoo hatuwaelewiii ttaailishaaa kuziombaa tuwakimoeee
@HabibuY
@HabibuY Ай бұрын
Dkt. Msomde jembe kabisa I appreciate him alot
@ABDULLAOALI
@ABDULLAOALI Ай бұрын
Waalimu wangu wa Tanzania, poleni sana ndo hvyo aloshiba hamjali mwenye njaa, ngja apewa ukatibu kamili mtaisoma namba,.
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo Ай бұрын
Ualimu naupenda ila naona kama vile wananyanyasika sana sijui niachane nao😂😂😂
@DAVIDALOYCE-ol5tg
@DAVIDALOYCE-ol5tg Ай бұрын
Teacher D una taarifa yoyote juu ya majina yaliyorudi katika waliomba kazi katika zile ajira za polisi
@NeemaMwandoto
@NeemaMwandoto Ай бұрын
Wapuuz tuu mnaacha kutoa ajira mnaanza kuwajadili walioajiliwa aseee
@SagudaRobertRobertNtobi
@SagudaRobertRobertNtobi Ай бұрын
Ualimu mbona hauthaminiki hapa Tanzania? daaahh Mungu awasamehe
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Kila.sikunkusumvua walimu. Hv kwanini msiwaachie.mashule.yao.mkaja tukauza.mamdazi.pamoja
@elianaarsen9942
@elianaarsen9942 Ай бұрын
Wanaowasainia si mnawajua? Kwanini uhangaike na aliyesainiwa?
@hassanshareef6572
@hassanshareef6572 Ай бұрын
Mbona hamjadili kwanini hao walim wanataka kuhama? Kinawahamisha kitu gani?? Kwanini ifike wakati watoe mpaka pesa ili wahame?? Ebu kwanza mkiwakamata kabla ya kuwafingulia shtaka waulizeni maswali hayo Maana huo uwalim sio kazi ya kusema wanapata mamilioni mpaka wao waogope kuachishwa,
@DokesaSaimon-ng5fb
@DokesaSaimon-ng5fb Ай бұрын
Vema
@NyorokaNyenge
@NyorokaNyenge Ай бұрын
Unachokisema ni sawa.lakini kumbe haya mambo ya kugushi nyaraka bado ipo.na dunia hiii ya technology. Kumbe tatizo siyo waalim.tatizo ni serikali. Msiwaadhibu watumishi kwa makosa ya serikali. Vip kama ungekuwa ni wewe.naomba.kabla ya kuwahukum watumishi. Serikali ijitathmin kwanza imefeli wapi.
@DamilesMichael
@DamilesMichael Ай бұрын
Yani mtu anavyoongea yupo serious kakaaza na fuvu kbs ajira hamtoi mnaongelea upumbavu, Kujiamini kote huko unakuta anapigwa na mkewe
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 Ай бұрын
Hahaha
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
WALIMU KUFANYA MTIHANI KABLA YA AJIRA
7:10
NECTA ONLINE
Рет қаралды 2,6 М.
WAZIRI MKENDA AKANUSHA WENYE GPA CHINI YA 3.8 KUONDOLEWA SIFA ZA KUPATA KAZI
4:58
MTIHANI WA WALIMU AJIRA ZA 2024 FORMAT YA MTIHANI...
4:17
TeachMe Plus+
Рет қаралды 3,7 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН