JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini leo Septemba 9, 2014 zimetoa tamko kuhusiana na kudhalilishwa kwa masheikh wanaotuhumiwa kwa ugaidi. UNGANA NA GLOBAL TV ONLINE KUJUA ZAIDI
Пікірлер: 252
@tadeymkuma35327 жыл бұрын
ALLAH AWALINDE INSHAALLAH KM ALLAH ALIVYOSEMA ATAULINDA UISLAM MPK QIYAMA
@fatwimasalim16917 жыл бұрын
wewe sada mose mwenyenzi mungu akuongoze uingie kwenye uisilam nauutambue.ndungu zangu ktk imani tuweni nasubira natujipendekeze sana kwa mola wetu tumuombe msamaha natuombeni dua sana.nawalatusikubali kutuka yanaandikwa kwenye vitabu vetu.japo inauma ila tusikose visimamo vya usiku.nawala hakuna kafiri yeyeto atakaye weza kuizima nuru ya uisilsam. ALLHAH atuongoze.AMIN
@erastomushi65255 жыл бұрын
Sio haki kabisa, kuwa muislam haimaanishi kuwa gaidi, nimeishi na waislam hata hao wanachukia matendo ya kigaidi, mwenyezi Mungu awatie nguvu
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Sahihi kabisa!!
@alimuhamed18304 жыл бұрын
Unajelewa bro natamani skumoja uwe muslim itakua msada mkubwa kwetu bigup
@omarymtegwa22993 жыл бұрын
Ni wakristo wachache Sana wenye uelewa Kama wako MUNGU Akupe uongofu
@petromachanga293 жыл бұрын
Natamani yafungwe haya magaidi
@japhethgeriad45193 жыл бұрын
@@petromachanga29 Mungu akusamehe
@iliyasamanzi56675 жыл бұрын
Raisi angalia Haya nchi isije ikapata laaaana mm napenda kusema ukweli Haya yatatutesa kwalaana toka Kwa mungu Laailaaha illa llah.
@biashasuleimanabdalla4813 жыл бұрын
Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu Tunamuomba Ewe Mola wetu muumba wambigu na ardhi usokuwa na mshirika na mtu yeyote wala kitu chochote. Ewe Mola wetu mlezi msimamizi kila jambo tunamuomba Mola wetu tusaidie na na utuokoe waja wako na madhalim Amin yarabil ala min.
Hakika maneno machache tu ila yanafaida kubwa kwa wenye mazingatio allah barik mashallah
@shaukhansogo81709 жыл бұрын
Mashekh. Wetu kazi yenu kuchangisha Pesa kisha kuzitafuna badala ya kuzitumia katika kutatua matatizo ya ndugu zetu waislam n sanaa tu mnatuletea uislam una lugha yake sio sanaa zenu mnatia aibu fanyen kwa ajil ya Allah mtafanikiwa sio tumbo zenu
@khadijahilal30163 жыл бұрын
Subhanallah 😭😭😭😭😭😭subhanallah 😭😭😭😭mashekhe wetu jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭😭ewe allah tuangalie waislam tusaidie ya rabbi tupe subra ya rabbi mashekhe wetu wastir na uwalipe kwa dhulma hii 😭na awahukum wote wanaowadhalilisha mashekhe wetu
@hawahamad96283 жыл бұрын
Allah yupo na yupamoja nasi
@aboubakarmansour11894 жыл бұрын
Yaallah ww unayajua wanayotendew Mashekh wetu na waislam Allah simama na wangalie jinsi wanavyotesa wapenzi Haki zao na uwahukum hapa hapa dunian Allah na sisi tusikiliz kilio chetu
@aligmohammed37386 жыл бұрын
allah in sha Allah atawaangamiza maadui wa waislamu
@SHOLLAH8045 жыл бұрын
Subhanallah Allah hakim wa yote in shaa allah
@anonymous-ps8iu7 жыл бұрын
hahaha mm cjui cha uisilamu au ukristo ninachoona ni damu ya watanzania tuuu i lov u all
@gavanaimrani67773 жыл бұрын
Umenena Dada gaidi ha bastola Hana jamani uonevu tu
@khadijahilal30163 жыл бұрын
Hebu nyamanza na wewe kama huoni basi mungu ayafunge macho yako usione kbs
yarabi yarabi unyama gani huu wanofanyiwa hawa ndugu zetu wakiisilamu walokuwepo ndani yarabi walipe hapa hapa duniani wewe ndiye tunaekuabudu na wewe ndiye tunaekuomba msaada nyinyi mashehe ni watu waaina gani nyinyi mnaogopa kuwahamasisha waislamu wenzenu na watanganyika na wazanzibar kwa pamoja mkafanya mandamano ya amani tanzania nzima simameni muwe kitu kimoja mnaogopa kufa mnafikiri mtaishi milele hapa msiwe wanafiki mnasema tu kwenye vyombo vya habari ndio iwe nini na amini waislamu walokuwa wanataka pepo wapo wengi kuliko wanaotaka dunia muwaokowe waislamu wenzenu hamna taifa lolote la nje ambalo litawasaidiya zaidi ya nyinyi wenyewe mlokuwepo huko hawa si wengi nyinyi mpo wengi tena mpo na mola wenu mtashinda tu ondoweni uwoga mkisimama pamoja mtashinda hawa sawa saw na mwanamke huwa anajuwa hawezi kuwa sawa na mwanaume kwa hiyo hao wanajuwa kuwa mtawashinda msiwe wanafiki hao wanakuogopeni nyinyi simameni muwe kitu kimoja nyinyi waislamu duniani tunapita tu hapa tena muda mchahe kwanini shetani anawachezea na mnamkubali na mnamsahau mola wenu alokuumbeni
@madrasatulmujtabahschool76215 жыл бұрын
Mungu awalaani wote waliowadhalilisha na awaoneshe hapa Duniani kabla hawajafa tuendako akawamalizie
@aboubakarmansour11894 жыл бұрын
Amiin Allah waonyeshe hapa hapa dunian kam ulivyosema
@nadhraothman19093 жыл бұрын
Kila aliyehusika kuwadhalilisha mashehe wetu mwenyezi mungu awahukumu mchaana kila moja awashuhudie hasbullah
@simonmwanyika82883 жыл бұрын
mashehe waliingiliwa😅😅
@whatisthetruth.87933 жыл бұрын
Walipigiliwa sio 👀
@ahmadjuma60834 жыл бұрын
Subhana allah
@jumaali49313 жыл бұрын
ALLAH hana haraka hatawakijenga miskiti fadhuku laaadhab laadhabu shadid.AAmiyn
@bernardogunnto10414 жыл бұрын
Hawatakua radhi na nyinyi waislam mayahudi na manaswara mpaka mfate mila zao kwa hyo haya ni majarb katika maisha haya ya dunia subra ndio kitu cha muhim tuwe ni wenye subra coz rehma ya Allan ipo karib
@mabrouckmiangi12255 жыл бұрын
Innalillahi wa Inailaihi ra Jiun Yaarabi tunusulu waislamu umetujaharia waislamu kuwa wapole Lakini imefika hatua tunafanywa Kama kiroja tunaitwa magahidi kisa tunafuga ndevu, wanatuanza wao ktk majambo mbalimbali kama hivi SADA na MAKAFIRI WENZAKE walivyo tukejeri Ila muislamu akijibu tu anaitwa gaidi Subhannak tunakuomba utudhihirishie haki na batiri wazaririshe SADA na makafiri wenzake na wale wote wanaowafanyia unyama waislamu Ili tuone huu udhariri ukifanyika upande wao wataendelea kufurahia Allahmma Amiin".
@faisalikassim38373 жыл бұрын
Allah awape shifaa Allah atawalipa waliofanya hivyo
@nassorfundi34753 жыл бұрын
Allah wewe ndio kilakitu kwetu tunaomba uwalinde mashekh wetu
@hassansuha24907 жыл бұрын
Allahu akbar hz ninjama za viongoz wapenda chuki na zuluma wahuku zanzibar
@jumagawani16946 жыл бұрын
MAMA SADA KAMA HAO SI MASHEIKH KWA MAWAZO YAKO MUNGU ATAJAALIA SIKU MOJA UTAWAFAHAMU KAMA NI MASHEIKH AU LA
@albahryonlinetv93194 жыл бұрын
Allah hana haraka nao hawo anamsubir tu shein ck ya ya kiama na hapa dunia anafedheha na udhalilif na kama haamin na amuangalie salimin
@edimasoud14497 жыл бұрын
mshehena ni ww mshenzi ww, mashekhe wetu wapo ndani alaf ww unasema wakome? huna adabu ww mshenzi weee, laanatu llaah, Allah akulaani mpaka kufa kwako
@mlishomndolwa12227 жыл бұрын
edi masoud endeleeni kutukana nakurooka lakin mjue damu zamashekh zilizomwagika zitalipwa tyuu
@vicentelias4913 жыл бұрын
Wakome ndio
@aishafadhili34823 жыл бұрын
@@vicentelias491 huna adab Allah atakulaani
@lilyrose79833 жыл бұрын
@@vicentelias491 😂😂🤣🤣
@betsonmugisha96047 жыл бұрын
hivi nyie mnaotoa matamko mbona hamjakatwa?! msioanishe uislamu na ualifu mwalifu lazima ashughulikiwe tu kama ni mgaidi hakuna sababu ya kuwaonea huruma, ila kama sio Mungu atawafanyia wepesi.
Pumzi zako mjomba zinakudanganya hizi kuwa mstarab
@petromachanga293 жыл бұрын
Walifanya machafuko zanzibar
@noorynmohammedy60634 жыл бұрын
Subuhanna Allah
@failehassani92017 жыл бұрын
oh Allah protect n preserve ur slaves ameen
@khalifanassor53494 жыл бұрын
Binadamu wanahadaika na ufalme wa dunia hawajui hawajui kama kuna mfalme wa wafalme na ndiye mwenye hukumu na adhabu zake ni kali kuliko za binadamu yeyote, malipo duniani akhera hisabu
@joharikitundu3 жыл бұрын
asalamu alykum Waislam naomba kujua nini maana ya uhamsho ? Najiumiza sipati jibu ili Neno uhamsho lipo sehemu gani ? Nimekuwa ktk uislam Ila nipo njia panda
@swabirali12763 жыл бұрын
Waislamu tumekua wanyonge Sana'a...tuamkeni kama vita vita
@salmamasoud60557 жыл бұрын
Subhanallah Allah dunia imeisha hii hao police wakamatwe wao ndio magaidii kama vp wasilam tufanye kisomo wazirike wote hao mambwa yalofanyia watu ukatili
@hawahamad96283 жыл бұрын
Yaan unamchukua mwanaume mwenzako unamfanya kinyume na maumbile huo ni unyama mkubwa mmewadhalililisha sana masheikh wetu ila Allah yupo nanyi atawadhalilisha tu kama mlivowadhalilisha wao.
@EcoEssence_wellness7 жыл бұрын
Okay
@user-ie4wm9uk9n6 жыл бұрын
Weye sada mosses laanatu llaah mung akulaani dunian mpaka yaumul qiyaam mashekh wadhalilishwa weye wafurahia mbwa weye
@alimasoud38193 жыл бұрын
Ya Allah tunakuomba walinde waja wako kama ulivyowalinda watu Wa pangoni
@ashajumbe42253 жыл бұрын
Mungu wangu kiyama kitakuja vibaya Tanzania
@lissochacha52184 жыл бұрын
mimesoma comments nyingi but nimeelewa at uislam ni ugaidi
@ramaamuggah22033 жыл бұрын
Unavuta bang ya afande sele ww cyo bure
@alikhamisog34224 жыл бұрын
Mm naangalia hii 25/2/2020
@lailatimohd37924 жыл бұрын
Yaarab wape mwisho mwema mashehe wetu
@ahmedhareb13187 жыл бұрын
Poleni mashekhe
@vidawillis18943 жыл бұрын
Jamani siamini hii ni Tanzania Mungu wajalie mashehe hawa. Ni binadamu kama sis
@issasingano58738 жыл бұрын
saada mosess hujui bora unyamaze siku zote ukafir nauislam haviendan hapa kunaigomvi wakiiman xwakisiasa
@saudamct81976 жыл бұрын
Allah atawafanyia wepesi Inshaalla
@nassorothaman62374 жыл бұрын
Sauda Mct Allah awalipe mazalim hawo hapa hapa duniani ili wajuwe kama wananvyo tufanyia mashekhe w2
@lisauroble313 жыл бұрын
EWE MOĹA WANGU MLEZI WAPE WEPSI WAJA WAKO WEWENI HAKIMU NA MJUZI KILA JAMBO NI MWENYE KUSBRI WAFANYIE WEPS WATOKE HUMO GEREZEN NAAMIN KESHO NDIYO WARIS UFALUME MB8NGUNI KWAKUWA WAMESUBRI YANAYOWAPATA UNAONA HAKI IPO WAPI YAMJIBU AMINA
@ibrahimpius8937 жыл бұрын
Ipo siku haki itapatikana
@fatumamwalimu57657 жыл бұрын
wallah walio fanya icho kitendo kibaya namna hiyo, Allah awachape fimbo anayo ijua mwenyewe, lakini binadamu mbona tumekua kama wanyama,hata hao wanao sherekea icho kitendo, kweli wana akili?
wew sada mungu anakuona pia uchunge ulimi wako utakuplka pabaya ata wakifa wakiwa jela watakuwa wamekufa shaidi acha kutoa kauli chadu wewe
@habibumianga64617 жыл бұрын
usibishane na mtu asiejua nini kitatokea yaumul qiyaama
@janewacera78127 жыл бұрын
Loh!
@mudhihirumikidadi60664 жыл бұрын
Badao waisilam wana washagiria haohao wanaotesa waisilaam zindukeniwaisilam usingizigani tumelala?
@suleimanbakar34293 жыл бұрын
Serikali gani?
@heyumi23403 жыл бұрын
subhanallah subhanallah 😭😭😭
@mundhiribrahim62923 жыл бұрын
😪😪😪😪😪yaallwah tusaidiye yotehaya hatuna umoja waislamu
@heyumi23403 жыл бұрын
mtihan sana
@omarially91577 жыл бұрын
nyinyi mashekh wabakwata wote amna lolote mpaka tundu lisu aseme ndio na nyinyi muongee wanafiki Wakubwa nyinyi
@gavanaimrani67773 жыл бұрын
Please umemuona mufti wako Apo AMA
@eddyonehola21418 жыл бұрын
AS WE GIVE YOU TRUE THINGS WHAT HAPPEND FOR MUSLIMS, THEY THINKS US WE ARE AFRAID THE POLISES AND MILITARS, BUT WE ARE NOT WE SAY AS SOON AS POSIBLE WE WILL KEEP JIHAD ALLAH AKBAR ALLAHU AKBAR, ALL PEOPLI WHO WANT TO SUPORT MUSLIM FOR JIHAD WE SAY WELCOME IN ZANZIBAR AND TANGANYIKA WE WILL DO 1-100 THIS IS OUR GAME IN MUSLIMS. ONLY GOD WE RESPECT
@athonyfrancis88897 жыл бұрын
Mmmh Tanzania!!!!this time??hatuku practice haya before,Mungu wa Tanzania ni wa wote si wa ubaguzi wa dini,Vita hiyo amiri jeshi awe Mungu pekee akawaangazie wale woote wenye nia mbaya na nchi yetu pamoja na umoja wetu usio na ukabila wala udini.Asaalam aleykum
@omannal12813 жыл бұрын
NASIKIA BAKWATA NDIO MDOMO WA WAISLAM MBONA LIPO KIMYA AU KAZI YAO NI KUWAKANDAMIZA WAISLAMU KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI.
@kingzerock15043 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@iddsempay97264 жыл бұрын
Ivi kweli nchi hii inauongozi kweli jamani
@swabirali12763 жыл бұрын
Hakuna amani hapa
@husseinkarim67454 жыл бұрын
Mheshmiwa Raisi awasamehe hawa masheikh hao wote. Wakiri na kutubu.
@saidmohammed55815 жыл бұрын
Tutaishia kuongea kwa mdomo na kutumika kisiasa mpaka lini?
@heyumi23403 жыл бұрын
hapo hapo maraisi wakiristo na waislam utasikia tunataka dua ni dua gani ambao wanataka na mashekhe wetu wapo jela mashekhe njaa utawaona wakiwa pamoja na hiyo mjitu ya serikali wala hawasemi raisi kuna wenzetu wapo jela
@mussamati52163 жыл бұрын
Yani ata tusemeje ila allah atawalipia tusije kumtafuta nani adui mana kunawatu munguhawamjui
@zungubakathir17617 жыл бұрын
kazi yenu msubir ramadhani mualikwe ftar na makafir bas hakuna kafri ataekae tupendelea wema sisi mashehe wetu wameongea tu ukweli wamekua magaidi gwajima mbona anaongea hajakamatwa kuambiwa gaidi mbona wanaume zao wamarekani wanauwa watu usku na mchana watoto wadogo wana wake kutwa wanawapka mambom sria .iraq.afghanistan.somalia.libya .palestina. n.k mbona hawasemi kuwa nimagaid wanauwa vizaz bila sababu ije mashehe tu kusema hawatak muungano ndo ugaidi nio hawatak kuna mtu ambaye baba ake anaweza kuumba nchi apa sote tunahak nanch zetu lakin.tusisahau duwa ndugu zangu waislamu ipo sku nusra kutoka kwa allah itakuja watatoka wanaume miongoni mwetu waislamu na watamaliza zuluma hii inshallah .
@suleimanbakar34293 жыл бұрын
Iko siku Allah atawalipa madhalim Hawa waitwao viongozi kumbe uhalisia Ni majambazi
@imnathe12997 жыл бұрын
sada funga kiywa chiko mungu akulaani dunia n hadi kaburin nguruwe ww
@zungubakathir17616 жыл бұрын
Imna The acha kutukana watu ww kwasababu ukaringia serekali itakutetea acha ujinga wale magaidi wamemuuwa nani nenda bas katoe ushahid acha kutukana watu
Mm najua jina LA sada ni wenzetu ,Kwann kajifisha jina asofani nalo maana so kwa kejeli hizi , kama muislaam hasa husubutu kusema maneno ya laana , mm nakuomba kama muislaam usipende kusema maneno ya kufurahisha dunia , Leo kwao kesho kwako , hii dunia .ingekuwa family yk yangekutoka hayo?
@amourhamdan32297 жыл бұрын
amakweli m mungu hakukosea kuwaita makafili oneni huyo kafili matusi anayo toa ipo sikuyenu
@salimabdul97205 жыл бұрын
Amour Hamdan
@alimasoud38193 жыл бұрын
Mama samia uko wapi
@sunrishmussan79295 жыл бұрын
Nchi imeharbika hii cyo Tz j.k. nyer...
@ramadhanmgaza63853 жыл бұрын
إن الله علی کل شیءقدیر
@dalali_professionalwa_dodo83303 жыл бұрын
Waislamu wa Tanzania tambueni chombo chenu sahihi cha kuwasapoti..hii BAKWATA mngefaham historia yake kwanza ilianzishwa na nani halafu mtajua kwann wale masheikh wenye vilemba na majoho makubwa wanaitwagwa pale juu kusoma ma dua mbali mbali ya kuiombea sirikali...someni historia jamanii..someeniiii
@abdallahahmedmmary2253 жыл бұрын
HAKIKA SISI NIWAMWENYEZ MUNGU NA MAREJEO NI KWAKE IKIWA. mashekh hawaja achiwa je kunanni. HUWEZ ZUIA UKWELI KWANI UONGO HAUDUM TUMEYAJUA HAYO KWADHULMA IYO.
@aziz-lu9kn4 жыл бұрын
Naishiya kutazama kwa macho Kwani amani imetoweka na izi dinizetu🙄🙄🙄🙄🤔
@ayoubinvestment81747 жыл бұрын
asalam alaykum jamii limuslimeen, hao ndo mashekhe wetu was Sikh hizi wanashuhudia uwongu hadharani bila kudhibitisha tujaribu kuwaepuka ,waliosema no binaadamu na binaadamu hajakamilika nao wanaongeza upungufu wao hapo
@hamzabadboy91554 жыл бұрын
Watu wenyew waoga kama nn, mbn kila kuchao mwazika.
@ismailsaidymaulidy58597 жыл бұрын
mbwa akikuzowea sana atakufata mpaka mskitini kiukweli tumezalilishiwa diniyetu ifikesiku tuseme bas
@cutealaufy95087 жыл бұрын
staili yao hao mapolisi kufa inawauma sana kufa police 10 tu mbona kidogo hao? mtenda akitendewa always huwisi kaonewa wanavyo watendea wananchi na kuwauwa bila hatia kuwatesa nyooookozenu kunya anye kuku akinya bata kahara eeh
@AK-is9xi5 жыл бұрын
ha ha ha eti tunaiomba serikali, wanafiki bwana
@khamisihaji29053 жыл бұрын
Haki za binaadamu ati wanapiga kelele kwa kukatazwa mtu bungeni asiende uchi watu wanaukiwa wanapigwa wanazalilishwa hapo hamuna haki za binaadamu unafiki mtupu
@mahmoudawadhi25207 жыл бұрын
Baba wambinguni watuwako tunaangamia lete nusra
@damascongongi16094 жыл бұрын
Upendo ndio kila kitu. Upendo ukitamalaki hakuna yeyote atakayesimama na kumtendea uovu mwenzake. Ninachojua uislamu ni unyenyekevu sasa wewe unayetukana wengine unatokea wapi?
@makostamara7 жыл бұрын
Allah atajalia hao polis wakifa waende motoni na wakiendelea hivyo vitendo no dhambi kubwa
Sass waislamu tunafanya nn wakati waislamu wenzetu wapojela tena nimashekhe kilichobaki vianze vita vya kidini Napa tanzania wameshazoweya kututesa waislamu
@shabanimohamed73537 жыл бұрын
Hivi katika watuhumiwa wa ugaidi kuna wasiokuwa waislam? Sasa hivi watakuwa na magaidi wa north Korea maana USA imeshatangaza kuwa N.Korea ndio magaidi no 1. Hapa hakuna kitu ni mchezo tu.
@allysultani56173 жыл бұрын
Pollen sn
@OptatusMushi6 жыл бұрын
DoG SI nAtAs
@alimuhamed18304 жыл бұрын
Allah walinde na wanusur mujahid wote juu ya mahasid wadini yetu
@swahilijom81683 жыл бұрын
Amiiiin Amiiin Amiiiin
@petromachanga295 жыл бұрын
Tukomeeshen hao
@jerrysonshayo15574 жыл бұрын
Kabisa
@Zlatan_Makame7 жыл бұрын
vp ww huna hata huruma sada punguza hasira nawatakiya watoke mm
@kassimmohammed49494 жыл бұрын
Faraja iko karibu subira kitu kikubwa
@suleimanbakar60975 жыл бұрын
hiyo ndio sifa ya makafiri dhidi ya waislam ,ALLAH kakataza kabisa kushirikiana na makafiri kwani hawa watu ni wabaya mno na wana chuki ya UISLAM
@hakizimanasterling82984 жыл бұрын
Nakubaliana nawew pia nakushukulu kua natahadali yakuka mbali namakafili pongenzi kwako
@petromachanga293 жыл бұрын
Kikwete ni kafiri?
@teddyoscar68763 жыл бұрын
@@petromachanga29 hawajitambui wanaiga ujinga kama wana laana ya Mungu sio bure, binaadamu gani saa zote wanajiona wao dini yao ndio bora kuliko za wenzao sio poa sisi sote ni waja.
@lilyrose79833 жыл бұрын
@@petromachanga29 Ndio hapo sasa?
@lilyrose79833 жыл бұрын
@@teddyoscar6876 Shangaa na wewe
@othmanimkutu45 жыл бұрын
nimepita maon yawatu wt dadayetu katika aadam ametereza ikiwa katoa main haya kwaushabiki has tumsahe ilakama amekusudia kutokamoyon nimempa mdamfup mamboyake yataanza kuharibika awemakin tu hizolana haziwezi kwenda bure.
@missmuunasharifu23237 жыл бұрын
Innalilah wainnaillah rajiuuna
@abasingamila14557 жыл бұрын
Itafika mwisho maana wamezidi kutuonea ipo siku tutachoka tu
@oyay28213 жыл бұрын
Bakwata walikua wapi haya yakitokea? Ama walikua wakimsifia dictator Uchwara?
@zahranabdi81247 жыл бұрын
saada mwanaharamu wewe mja wa laana ulo kosa adabu na haya pia ukanyimwa yaani mashekh wadhalilishwa kesha wew unachekelea nyaambaf
Hivi viongoz wetu waiochaguliwa na waislam waLikua wapi mda wote? Hapo ndio utajua bakwat kama bendera
@oscarezekiel18265 жыл бұрын
Makafiri allah atawahukumu sio mbali
@abuuabuu48313 жыл бұрын
Halafu waislamu wengi wanamsapoti magufuli
@lilyrose79833 жыл бұрын
Magufuli kafanya nini na wakati hao walitiwa ndani na Kikwete?
@abuuabuu48313 жыл бұрын
@@lilyrose7983 Hawakutiwa ndani na kikwete walikamatwa na SMZ lakini kesi zao zilikua zinaendekea mahakamani lakini kafiri Magufuli kwa chuki zake kwa waislamu aliamuru kesi zisiendelee na eti masheikh wafie jela alijifanya Mungu sasa kafa yeye na Mashekh kesi zao zimerudi mahakamani kama wana makosa watafungwa kama sio wataachiwa Yule kafiri alikua katili sana