Wimbo Maalum Kwaajili Ya Maombolezo Ya Kifo Cha Hayati Rais Dkt John Pombe Magufuli #wasafi #magufuli #lalasalama
Пікірлер: 13 000
@JuliusAman-we5bw5 ай бұрын
Nani kaangalia uu wimbo 2024 gonga like hapa!!!!
@veronicawambura62145 ай бұрын
Nmerud after mwinyi kufa kanikumbusha anko magu
@JohnJoma-qh7bf4 ай бұрын
Good bress Magufuli
@AllyMaya-yj3xd2 ай бұрын
Hili ni gape la daima
@timothgb322824 күн бұрын
daah leo tar 7/7/2024 lkn bado nauangalia
@Macdelug Жыл бұрын
Ninaacha hapa hii comment ili kila atakae like atanirudisha hapa kuhuzunika pamoja naye... but why out of all men😭... I find myself hapa kila siku daaah!!!! Mungu tutapata wapi potential kama hio jembe ambaye kidogo tu... abadili mfumo😭... sawa lakini yote mema dunia si yetu...
@HopefulFencing-ee1ue3 ай бұрын
😢😢
@neemamdami74662 ай бұрын
Hii siku ilikuwa ngumu sana kwangu, Kwani ndio siku aliyofariki Mama yangu Sasa hujui umlilie yupi nilihisi Dunia imesimama😢😢
@MacdelugАй бұрын
@@neemamdami7466Ohh 🤦🏾♂️
@yusufumwasha5484 ай бұрын
Kama umemmis jpm mwaka huu wa 2024 gonga like hapa😢
@arihodavid-tr2lb4 ай бұрын
daima
@helenachieng79784 ай бұрын
Daima huu wimbo unafariji moyo.
@shanibaniyas63084 ай бұрын
😢😢😢😢
@shanibaniyas63084 ай бұрын
@helena😢😢😢😢chieng7978
@jamesshija64773 ай бұрын
sana
@anethben7723 Жыл бұрын
Wangapi wamerudi kuskiliza huu wimbo baada ya kufikia siku ya tarehe ya kufariki baba etu magufuri, naombeni like hata 10 jaman
@Oceanterre792 Жыл бұрын
Rip JPM nous te pleurons toujours...
@jamahaileselasie Жыл бұрын
Am the one
@jessicaboniphace7290 Жыл бұрын
Nimerud tena❤❤😢😢
@druthjohn7622 Жыл бұрын
May His soul rest in peace
@SkanoSolution1 Жыл бұрын
Acha tu Mkuu
@SparkxBusinessEmpire0014 ай бұрын
Bado namkumbuka Baba Magufuli sana😢😢😢😢😢😢 ila mi ni mkenya. Sijai pona. Anipae like nitarudi hapa niuskize tena na tena
@shanibaniyas63084 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@nicellylyimo67885 ай бұрын
Wangapi wamekuja kusikiliza huu wimbo baada ya kusikia ule wa mwinyi like tujuane
@leoreberlendauka8745 ай бұрын
me😭
@tonnycynickimburucypher36375 ай бұрын
Ahaaaa mapema atun muda kuna ka felling kanakuvutaa
@PettyMaya-ju2et4 ай бұрын
Me😢😢
@user-lm5fu5tu5z4 ай бұрын
Hatari
@user-sk3zi3vp9k8 ай бұрын
Nani mwingine ameukumbuka huu wimbo jaman kama mimi naombeni ata like 5 jaman
@emmanuelnyakunga83204 ай бұрын
Izo like unataka kula😅
@user-fm9po9hb8k4 ай бұрын
😢😢
@shanibaniyas63084 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@user-rx5hs4ct1i3 ай бұрын
Mimi hapa
@mbuziwakutaga6 ай бұрын
Tuliokuja kumkumbuka jemedari wetu 2024 tujuane kwa like nyingi r.i.p chuma😢
@IreneCtz5 ай бұрын
😢
@sondalasalumu54235 ай бұрын
Daaaaaaaaaaaa
@user-em3on3ss1y5 ай бұрын
Kutoka kenya tupo pamoja😢
@Gustaviamgode-gc9mw5 ай бұрын
Mm piaa Nimerud kuisikiliza 2024
@user-pf2uk8on4x4 ай бұрын
😢😢
@WalkersTech15 ай бұрын
Wangapi wamerudi ku sikiliza huu wimbo 2024 kumkumbuka Baba yetu Dr pombe magufuli niombee like zenu hapo
@yusufumwasha5484 ай бұрын
Nani amekuja hapa kama mimi kusikiliza huu wimbo leo tarehe 17/03/2024 miaka 3 tokea afariki😭😭😭😭
@Jeyb07.Ай бұрын
Mlio sikiliza nyimbo hii kuanzia June 2024 gonga like apo
@MgeniGready5 ай бұрын
Tunao sikiliza wimbo huu 2024 tuonane hapa
@ceciliamsesa1795 ай бұрын
Nipo apa😭😭😭
@HasamBwoy3 жыл бұрын
Who else is back here.. Kwa ajili ya kumbukumbu tu... 🤔
@bettyladouce30293 жыл бұрын
Mi nipo😭😭😭💔
@puritymuwena1573 жыл бұрын
Am here now 😭😭😭
@missstellah69813 жыл бұрын
😭😭😭😭
@sarahmonyancha26143 жыл бұрын
Am here😭😭😭😭RIP Shujaa
@maureenmainye60273 жыл бұрын
Me
@magdalenew.mwanyota59015 ай бұрын
Aki uwa natamani na kuomba mwenyezi mungu anisaidie nije kuwa kama hayati pombe magufuli in shaa allah kwa nchi yetu ya kenya ewe mola niwezeshe siku moja nije kua kama yy nisaidie wengi nilimeishi kutamani sana kusaidia,ewe mola nisaidie amiiin. Lala salama baba magufuli tutakukumbuka daima amiin ndugu zangu watanzania poleni sana mola awa fariji amiin
@Marcus923782 ай бұрын
Mimi uyu na angaliya uyu wimbo mwaka huu 11/05/2024 like jamani
@user-vt3ic1bw4w5 ай бұрын
Mimi nimekuja kusikiliza kusikiliza leo hii 17-2-2024 like zenyu apo 😢😢😢
@IreneSimon-sn1hy5 ай бұрын
Magufuri alikuwa 17.3.2021
@IreneSimon-sn1hy5 ай бұрын
Alikufa tarehe 17-3-2021
@IreneSimon-sn1hy5 ай бұрын
Hii nyimbo imenitoa machozi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😵😭
@user-cn3ke6wj8n4 ай бұрын
Imagine pia mi niko apa 2024 😢😢😢
@TumainielKitundu4 ай бұрын
Nipo hapa 17.03.2024 😢 insnikimbusha kifo cha kipenzi mama
@valentinekenyangal97183 жыл бұрын
Am a Kenyan but kifo cha raisi Magufuli ni pigo sio tu kwa Tanzania but to the whole Africa. Kenya🇰🇪 we are mourning😭😭.Rest in power our Hero
@leilaathumani3611 Жыл бұрын
😭😭😭 kabisaa
@marianakasongo5558 Жыл бұрын
Lala Salama homme de Dieu
@blakteaful3 жыл бұрын
Kama nyimbo imekutoa machoz kama mm jaman tujuane tutiane moyo.... Lala Salama JEMBE 👇
@noelamtesigwa68193 жыл бұрын
Sana tu nimeliaaa
@blakteaful3 жыл бұрын
@@noelamtesigwa6819 Inasikitisha sana... Bado siamini hatunaye tena JPM 😥
@mirriammueni32795 ай бұрын
Likes za shusho . mboso na rayvanny
@Jblaisecharooofficial9 ай бұрын
Tuta kukukmbuka daima baba yetu magufuli nakupenda toka Congo RDC Bukavu 🇨🇩 Nipeni Likes zangu 😢😢
@allymapinda88043 жыл бұрын
Wote tulioguswa na kuumia hebu gonga like kama heshima za mwisho kwa JPM 💔 😭💔😭
@mohamedshah17003 жыл бұрын
Embu kua Serious like zinakusaidia nini wewe
@mwanakondoo82243 жыл бұрын
alikuwa rais wa Africa aliyeishi Tanzania... lala salama JPM... like Kama unaamini ako mahali Pema peponi...
@ndichu78973 жыл бұрын
lala salama
@tatujumamaro36073 жыл бұрын
Rip
@sopy30553 жыл бұрын
Kabisa kalala pema peponi amina
@emmanuelkaburu78663 жыл бұрын
@@sopy3055 amina
@agnesylyelu63953 жыл бұрын
Yaani Mimi sisemi ila na namshukuru Mungu kwa kila jambo
@mjanjawajiji Жыл бұрын
Am a Kenyan but Proud to be Tanzanian.. Kenya is Tanzania and Tanzania is Kenya ❤️
@pmall8867 Жыл бұрын
Short story 🇹🇿♥️🇰🇪 and 🇰🇪♥️🇹🇿 the end...
@24sevenrecords51 Жыл бұрын
I love that and I am South African, we may differ in languages and culture but we are all Africans.
@saidmedsabah5137 Жыл бұрын
Ndiyo Kénya na Tanzania wanazugumza kiswahili vizuri saana. Asante
@Jamie-zp7bb Жыл бұрын
Woow!! that was too deep!! you know sometimes i strongly desire if the colonizers(imperialists) hadn't come to our beautiful continent at all so that we'd have a border free Africa.❤🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇨🇩🇷🇼🇸🇸🇿🇲🇿🇼🇳🇦🇿🇦🇹🇿🇪🇹🇬🇭🇳🇬🇲🇼🇪🇬🇸🇱🇰🇲etc.
@aminata3702 Жыл бұрын
Tanzania =Kenya
@samwelwekesa2 ай бұрын
Nimerudi Leo 17_5_2024 Bado Kenya tulimtambua,much love to our Tanzanian brothers,wapi like zenu jameni🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Sing_Aimar3 жыл бұрын
I'm not a tanzanian but he was the only Real and true president in whole Africa continent, well this song makes me cry😢
@lucyminato55963 жыл бұрын
Absolutely right, may his soul rest in peace
@vinetcyber32633 жыл бұрын
absolutely right only president who could stand with his on stands against or without international influences rest in peace warrior you are wakanda
@jamesjumah55973 жыл бұрын
He is a good one forever
@pamelakirigia72153 жыл бұрын
I can't say it any better. Rest Well Rais wa Tanzania,Magufuli.
@amifofana43633 жыл бұрын
My president also
@ruhumurizamuhamdu2873 жыл бұрын
Much love from Kigali Rwanda 🇷🇼 Baba wa taifa tulikuwa penda sana Alakini na wewe pia mwanch unampenda? Bonyeza like hapa
@EduigeAbiman-mc3vm5 ай бұрын
Pravo Tanzania 🇹🇿 ulipataka musimamizi muzuri saaaaaana kabisa ❤😢sisi wa kongomani hatuna hata mumoja 😢😢Mungu amulalishe salama Mangufuri 💔😭
@ckkevinkigen4968 Жыл бұрын
We love Tanzania Milele 🇹🇿🇹🇿. We love you as Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@barberickkenya16573 жыл бұрын
Nipe likes mbosso anajua sana poleni Tanzania...Kenya tuko pamoja na nyinyi kipindi hichi kigumu
@thecomedian86263 жыл бұрын
🙏🙏🙏😭😭😭kzfaq.info/get/bejne/eb5_pLOKuLTMZZc.html
@daggydmount90903 жыл бұрын
Mm fan wake lakini wote wameweza,nice to have my crush shusho in the nice compo
@alejpapsyoh8093 жыл бұрын
Kenya 🇰🇪 tupoo
@briannyakoi23173 жыл бұрын
Hiki sio hichi....RIP MAGUFULI
@latifeyjamal16263 жыл бұрын
Asante tupo na nyinyi pia...one Africa one people.
@annendanu72373 жыл бұрын
Have you ever listened to a song praising someone who died, someone you didnt meet while he/she was alive and you suddenly wish you met him/her? Rest well Maghufuli.
@utangemedicalcentre92673 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hc6pnaqe1bLGqnU.html
@bevernkasanhai96783 жыл бұрын
You are too much, l like your analysis
@TK-pi1vr3 жыл бұрын
What about flipping it? Our hero worship can be nauseating; wengi wapo wenye uhai. Africans we must learn to stop expecting someone to lead us... this is the physiological effects of colonization
@gadiyemarciano17503 жыл бұрын
Praising should be done so as to motivate other leader to perform better
@shikukunipashe34953 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/l56EZqpol9vVe4E.html
@abiconnect Жыл бұрын
Wangapi wamerudi kuusikiliza huu wimbo katika kumbukumbu ya kifo Cha Pres. Magufuli!
@SophiaSophiapaulo-cj3ko Жыл бұрын
makufuli ludi jamani kila cku nakuombea ludi tuna teseka watanzania kila kimw
@mussamgonola398311 ай бұрын
Mwamba kama mwamba hii ni dunia
@RebeckaHaule-fo5em10 ай бұрын
Mimi nimerudia mara nyingi Mungu amlaze baba yetu mahali pema pepon🙏
@dianarosemchome430610 ай бұрын
😢
@fjgdh3075 Жыл бұрын
Yaani Kenya hii wasanii mlilaaniwa na nani.ona vile Tanzania Wanashirikiana kama rais wao amekufa.waah natamani kuwa mtanzania kazi nzuri sana
@griffineosaka69313 жыл бұрын
Am a Kenyan but with a lot of humility I admit that it will be so hard for Africa to produce such a hero. Personally I rank him among the best 4 leaders Africa has ever produced, Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Mwalimu Julius Kamberege Nyerere and then John Joseph Pombe Magufuli
@plizwekup52313 жыл бұрын
Not Nelson Mandela, he was a sellout
@whitestar73433 жыл бұрын
Na Kibaki
@linetwachera3 жыл бұрын
This is indeed very true
@gabmichael85463 жыл бұрын
When things were at their very worst: 2 Suns, Cross in the sky, 2 comets will collide = don`t be afraid - repent, accept Lord`s Hand of Mercy. The first sign - the Earth will spin faster. The second sign concerns the sun, which will loom larger, brighter and begin to spin. Scientists will say it was a global illusion. Beaware - Jesus will never walk in flesh again. After WW3 - rise of the “ man of peace“ from the East = Antichrist - the most powerful, popular, charismatic and influential leader of all time. Many miracles will be attributed to him. He will imitate Jesus in every conceivable way. Don`t trust „pope“ Francis = the False Prophet - will seem to rise from the dead - will unite all Christian Churches and all Religions as one. One World Religion = the seat of the Antichrist. Benedict XVI is the last true pope - will be accused of a crime of which he is totally innocent. - banking collapse was deliberately masterminded by the Antichrist - Antichrist will step in and create a false peace in the state of Israel by joining them with palestine in an unlikely alliance. - „He will recite extracts from My Teachings, which he will passionately proclaim from every secular stage in the world, until people sit up and take notice of him.“ mdmlastprophet.com/arab-uprising-will-spark-global-unrest-italy-will-trigger-fall-out/ mdmlastprophet.com/the-schism-in-my-church-will-be-broken-into-different-stages/ mdmlastprophet.com/they-will-say-that-i-was-married-they-will-say-that-i-was-simply-a-prophet/ The Book of Truth
@Kibwana.perspective3 жыл бұрын
Not Mandela he did nothing.
@fattieshakirah13913 жыл бұрын
East Africa has lost a lion. Am a Ugandan but the pain💔 I feel we are all broken 😢😢 Rip Magufuli
@thecomedian86263 жыл бұрын
🙏🙏🙏😭😭😭kzfaq.info/get/bejne/eb5_pLOKuLTMZZc.html
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Yoooooooo kazilo bojo mulumuna wange wanji
@peacejoymugirya22413 жыл бұрын
True
@Seaturtlesmate_3 жыл бұрын
Not just a lion but the Lion King!
@mhadimhadi5074 Жыл бұрын
Qu'Allah protège le peuple Tanzanien frère et la Tanzanie. Je suis marocain résidant en France et j'aime beaucoup la musique et la culture de la Tanzanie. J'aimais beaucoup le président Mugufuli et je le regrette beaucoup au point que quand les images des funérailles, je me mets à pleurer . Je suis tanzanien de coeur malgrés ma nationalité étrangère.
@bloodcrazier552 Жыл бұрын
Merci beaucoup 😢 amis
@dianajohnson72686 ай бұрын
Amin, but remember yesterday you have beaten us badly , ( football )😂😂😂, but thanks for the prayers ❤
@johnmark01 Жыл бұрын
Am Kenyan and I still feel pain everyday of loosing such a brave and heroic man, Don't know if we will ever have a leader like him. My God Rest his Soul in Eternal Peace🕊
@mandeladuwe77478 ай бұрын
True bro
@DamarisDavid-jg6yd5 ай бұрын
I can't imagine he is gone😭😭😭 ... I really feel the pain.... Represent Kenyans 🙏🙏🙏
@saidymsangi77853 жыл бұрын
Ikuangalia huu wimbo lazima machozi yakutoke. Kama umetokwa na machozi kama mimi. Like apa tujuane 😢😢
@thecomedian86263 жыл бұрын
🙏🙏🙏😭😭😭kzfaq.info/get/bejne/eb5_pLOKuLTMZZc.html
@sadickmadidiga8853 жыл бұрын
ok
@CTM.24Updates3 жыл бұрын
@@thecomedian8626 🙄🙄🙄
@AwesomeExperiencez3 жыл бұрын
Very sad indeed
@Dadjou.12343 жыл бұрын
😭😢
@samsongachiri25233 жыл бұрын
I wanna be remembered like Magufuli. As a youth leader in Kenya 🇰🇪 I will follow his steps🚶♂️
@esthergesare23203 жыл бұрын
All The best
@umutesibella9693 жыл бұрын
Mwakoze kumuririmbira neza alale slm
@samsongachiri25233 жыл бұрын
@@esthergesare2320 Thanks saana🙏🙏
@charitywanjiku53133 жыл бұрын
Good job dear
@nimcoabdi83863 жыл бұрын
Great, you go brother. From Somlia
@aimableoseyaeric5 ай бұрын
Nani ambaye amekuja kuuskiliza huu wimbo kama mimi baada ya kifo cha Mzee Mwinyi😭
@hothanabdi8365 Жыл бұрын
Am a Kenyan and cried slot as if he was my friend 😭😭😭we love you BABA
@LaForce_Simba3 жыл бұрын
100 likes for tanzanian artist, Congs guys for this Beautiful songs for Beloved President Magufuli🙏 RIP
@bonomeamir70123 жыл бұрын
I am a Comorian Artist 🇰🇲 I would like to make you discover also my universe ✌️✌️j love your country Tanzania which made me sing in your style 
@julietkatakanya55243 жыл бұрын
A Ugandan living in USA East Africa WE have lost a Hero, Africa as a continent we have lost a warrior, RIP hero May God comfort his family and all Tanzanians brothers and sisters
@mitchellemwalali8652 Жыл бұрын
Great Leaders Don't Die , They Remain Alive In Our Lives And Generations. I'm kenyan but Magufuli remains one of the greatest. 🙏 May his soul RIP.
@kingmale41324 ай бұрын
Qui est là le 3 mars 2024 j'adore cette chanson je comprends pas le swahili mais j'aime la langue ❤❤❤❤
@ummejulaybib76953 жыл бұрын
Nenda salama Rais wetu. From Comoros🇰🇲 and kenya🇰🇪 tu resteras à jamais graver dans mon cœur. Tu me manques grave John Pombe Magufuli😭😭😭
@thecomedian86263 жыл бұрын
🙏🙏🙏😭😭😭😭kzfaq.info/get/bejne/eb5_pLOKuLTMZZc.html
@ayebarephillip3 жыл бұрын
Nenda salama rais meaning what
@thomasjunior32723 жыл бұрын
From Kenya 🇰🇪 poleni Sana 🕯️ watanzania sisi ni wamoja 🙏
@thecomedian86263 жыл бұрын
🙏🙏🙏😭😭😭kzfaq.info/get/bejne/eb5_pLOKuLTMZZc.html
@tengenirajabu58793 жыл бұрын
Asante Sana
@thomasjunior32723 жыл бұрын
@@tengenirajabu5879 🤝🤝
@tinkudey59283 жыл бұрын
🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭
@bernadj.69243 жыл бұрын
Nice song. Utulivu wa baba levo.. pole Watanzania Wote
@godsfavourite3175 Жыл бұрын
DECEMBER 9 2022... ITS NOT THE SAME ANYMORE 😭😭 Weeee Mungu tusaidie Watanzania jmn tumekoma jmni 😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔🕊️🕊️🕊️🕊️🙌🙌🙌
@annathiongo2549 Жыл бұрын
Always when I see this video, nothing but this 😭😭💔 it's really touching me 😢I love him,he always speaks the truth and he was fare Kwa wanainchi wote wa Tanzania,kama mwana mkenya kumbukumbu zake Bado ni nazo...👌❤️💕 one love Tanzania 👌💋❤️❤️❤️💕💕... Best follower of tanzania...👌👋🙏 congrats u guys mumewezaaaaaaa walai vile...🤗💕❤️👏
@miguelkatumo10313 жыл бұрын
Magufuli is the only president whom when he passed away 💔.. The world felt it Though we do have our own failures... Magufuli was a good man He was very firm in his decisions Something which made many hate him but he was honest May God be and guide Tanzania... We're wll travellers We don't know when but we will all die 😢💔✌️
@AwesomeExperiencez3 жыл бұрын
They killed him 😓
@noelamadadi57313 жыл бұрын
You right, the rate at which this guy has been mourned, we heartbroken 💔💔💔
@sweetmelody11913 жыл бұрын
He stood up for his ppl he buld the country with love he made changes within short period mchapakazi wa kweli umeenda wamekuondoa pumzika baba
@johnohando23903 жыл бұрын
It's normal as a leader when you fight for the poor, the rich will hate on you and want to bring you down, when the life of the poor is uplifted the rich can get rich 😭😭😭
@johnohando23903 жыл бұрын
Big up to the Tanzanian artists, for the short time they hit the studio 🎙 👌 and come out with a good composed song,pure talent 👌
@caraallimited75623 жыл бұрын
The world has lost a lion.everyone is feeling the pain.😪😪rip magufuli wetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-qe1nh3ip2y3 жыл бұрын
It's true President Magufuli has left Africans in pain 😭😭😭😭😭😭🇺🇬🇺🇬but God loves him better than US, RIP Magufuli
@francombalasa32413 жыл бұрын
The western world is celebrating but for us Africans death has robbed us. I'm from Malawi but Mr Magufuli was a true leader and a true son of Africa.
@natasha79693 жыл бұрын
💕💕💕🙏🏾🙏🏾
@maryamq86453 жыл бұрын
Mungu mupokeye magufuli🤦♀️
@markwenani92638 ай бұрын
Am a Kenyan but proud to be Tanzanian bcoz Tanzania country is very good musician and good environment
@eltonwazingwa83407 ай бұрын
Thanks big up
@leilaathumani3611 Жыл бұрын
😭😭😭😭 hii nyimbo kila Nikisikiliza najikuta nalia 🤲😭😭😭😭 tuna kumiss sana na kwasasa nchini hatana Amani kila kitu kime Rudi kama zamani kila kitu kime haribika baada ya wewe kituacha😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️ love you daddy 😭
@ShannysHouseholds3 жыл бұрын
Am a kenyan but magufuli's death has really pained me😭😭😭😭Huyu mzee akaweza amka tu dakika moja aone alivyopendwa,Aki machozi yatamtoka 😭RIP sir...poleni sana watanzania
@thecomedian86263 жыл бұрын
😭😭😭🙏🙏🙏🙏kzfaq.info/get/bejne/eb5_pLOKuLTMZZc.html
@rahimalewe28353 жыл бұрын
tuko wengi dada wakenya tunalia
@mosesoduesie74603 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 we Nigeria 🇳🇬 is here to say Rest in perfect peace magufuli.. A legend in Africa,you set a perfect part for the people of Tanzania and Africa,, you will never be forgotten, we love ♥️,you are a true leader,, Rest on sir,, kiddos to Tanzania 🇹🇿 musicians You guys are Great ✊. If u are Nigeria 🇳🇬 join me here
@charlesasimba88463 жыл бұрын
Am a Kenyan bro, all I in all we leave it to Yahweh farewell magufuli we love you bt God loves you much
@utangemedicalcentre92673 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hc6pnaqe1bLGqnU.html
@brunoa12463 жыл бұрын
Great man.
@verahachieng87313 жыл бұрын
Sorry oga
@user-bo2xd3tp5e4 ай бұрын
Am a Nigerian we say rip 😭😭😭😭
@Malopatz5 ай бұрын
tulio iskiliza tena 2024 baad ya kufarik lowassa like hapa
@RICHARDSOKANYA3 ай бұрын
Mimi naskiza hii hapa tukiomboleza Kenya 🇰🇪🇰🇪..... *The Kenya Defense Forces commander General Francis Omondi Ogolla died on a plane crash in pokot today at 2.20pm✈️🙏* REST EASY MCHAPA KAZI. DAIMA TUTAKUKUMBUKA SHUJAA WETU. 😢😢😢
@myamouhameddiallo72593 жыл бұрын
I am from Sénégal🇸🇳 I love Tanzanian people so much❤️, RIP Papa Magufuli😢 the best African president🙏👌
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
he DID MORE THAN THAT.. HE NEVER SAID NO CORONA HE SAID NO TO THE VACCINES WE WERE GIVEN.. AND NO TO LOCKING DOWN.. BUT WE LOCKED DOWN FOR A MONTH ONLY WHAT IS YOUR PROBLEM
@nasmahamisi57212 жыл бұрын
Well come Tanzania
@user-qe1nh3ip2y3 жыл бұрын
I don't understand the language but i can feel the pain in it,😭😭😭😭 RIP president Magufuli, you will always be remembered for loving your country Tanzania and Tanzanians at large 😭😭😭🙏🙏🙏🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@davisonbanda74393 жыл бұрын
True,very true! Just the first stanza by sweet voice of Mbosso.
@asheritumaini15382 жыл бұрын
Journey
@alinassor69566 ай бұрын
Kwahakika alosema kizuri hakindumu kwahakika apendacho mougu hakina makosa ama sababu haikosi ama lamuhimu ameonasha imani yake kwa wanachi wake amekufa shahidi kwa utumishi wake ametaguliza haki kwa nchiyake alimkua mtumishi wamougu huko aliko yuko pamoja na watrumishi wezake wema ❤😭
@patriciarudolph9089 Жыл бұрын
Rest in power dad! We miss you 😢 ❤! What song will you and I leave when all is said and done? Let’s be good person there’s no competition for being good! ❤❤❤
@wilkisterhallonda28593 жыл бұрын
I personally loved Magufuli, he was the only true leader that i knew, May his soul rest in peace.
@daytontv92593 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hZeThc1krJ-2oKs.html
@02kips3 жыл бұрын
Tanzanians were lucky to have such a president who strived to make his peoples life better and to root out corruption and incompetency in public service. RIP Magufuli
@tusiimefrank86043 жыл бұрын
I wish Uganda also we had such apresident we would have been very far in development of our country but corruption in all sectors it's too much
@agaikilembemwamafupa92103 жыл бұрын
Op
@arthurkaneza84063 жыл бұрын
What's painful is how he had to fight on different fronts for Tanzanians while other Tanzanians were taking in money from the west to build a disturbing opposition in order to call Magufuli a dictator.
@restitutorcharles4253 Жыл бұрын
Daah endelea kupumzika baba nimeumizwa na kauli ya Mzee Makamba😭😭😭😭
@dativachuwa3566 Жыл бұрын
Hii kauli ni ya wale ambao hawaoni huruma na wananchi wa chini ila Mungu atasimama nasi
@mukohuwaere5366 Жыл бұрын
2023 and am still here mourning Magufuli….a great leader he was ❤
@mutsinzieric5445 Жыл бұрын
Me too am still crying I missed my lovely president even if am Rwandan
@sadayusuph8406 Жыл бұрын
Hili pigo Bado halijapoa kabisa yaan nasjui litaisha lini baba tumebaki wakiwa nahatuwezi kuizoea hali yaukiwa tunakumiss sana
@babunizer3 жыл бұрын
I'm A Nigerian Living Abroad.Magufuli Was Truly A Great Leader.How I Wish Our African Leaders Emulate Him.Lala Salama Magufuli.
@cantononyino16103 жыл бұрын
When you see a common citizen because a president has passed on...that's when you know the president was a true leader.Am Kenyan but i really loved magufuli with whole heart because of being a leader who cared about the welfare of people 100% without any self gain in mind....am still crying
@kazuriafrika3 жыл бұрын
Sad sad it is well
@JoyfulOleanderFlower-jx3jd7 ай бұрын
Wangap mnaangalia huu wimbi January 2024😢
@gituritisam6426 Жыл бұрын
So sad and touching 😭😭😭 I'm from Kenya Kuria East 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BernardZakalia5 ай бұрын
Daah
@Mandy36ful3 жыл бұрын
I am from Kenya but the loss of JPM has hit africa so hard😢😢😢 .Tanzania you have lost a hero and a good understanding president. Poleni ndugu zangu wa TZ....tuko pamoja 🕊🕊🕊🕊
@davisnitu8903 жыл бұрын
Asante Mungu ametoa na Mungu ametwaa
@emozamos3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/eN2KdJd30rfTYmg.html
@pelisimgaya92883 жыл бұрын
🐽🐖🐄🐄🐄
@Mandy36ful3 жыл бұрын
@@pelisimgaya9288 ujinga utaacha pambavu...kwani waona sijui wamaanisha nini. Nyinyi ndio wale hata yesu alikuja kutusaidia na bado mkampiga mawe
@forgotenworrior48693 жыл бұрын
African we have lost a great leader.. am a Ugandan 🇺🇬. But some times used to feel the whole of Africa to be led by Magufuli..To the people of Tz, condolences for loosing a great pan Africanist. May his soul Rest In Peace 🙏🙏
@Official_adasco Жыл бұрын
Leo ni Mei 2023, nimerudi hapa. Pumzika kwa amani. Tanzania inakukumbuka sana.
@Queencytessy22 Жыл бұрын
Iam a Kenyan 🇰🇪and Zuchu,Rayvanny and Chege's part touches my heart 😭if you're lessening to this song again in 2022 wapi likes zangu
@billycom86713 жыл бұрын
Am not a tanzanian but I honestly cant take the pain😭😭😭😭😭...........the pain is sooo unbearable 😢.........his legacy touched Africa and the world in large;sleep well legend😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔🕯🧎🏾♀️
@titosiampala92833 жыл бұрын
Am a kenyan in the USA and we've been following Magufuli's leadership and i was praying that other African leaders can learn from him.
@peacemay86463 жыл бұрын
Talk about my president 36 yrs in power just killing innocent people
@kesikidivinemairong68443 жыл бұрын
My heart beats for this fallen hero.RIP Sir
@uwizeyelidivine44093 жыл бұрын
Minabapenda sana
@izoneoliver70563 жыл бұрын
kzfaq.info/love/_4UvLN6fwIKghb6COnaXyQ
@robert_kavita3 жыл бұрын
yeah
@graceamran326 Жыл бұрын
Baba mpaka leo nakukulilia sana kimwili haupo nasi lakini kiroho naimani upo naunatuona unatamani kurudi lakini unashindwa baba mungu akulaze baba yetu lakini sasa hata ukilala vinywa vywetu watanzania havijawai kuacha kukutaja😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@SamKaniu8 ай бұрын
Mimi ni mKenya halisi lakini Tanzania yani Unguja na Tanganyika pamoja ni damu yangu pia. Mandugu wzngu Hawa na madada pia. John Pombe Magufuli ni raisi wangu ninaye mheshimu sana. Allen pema peponi na tena Kiswahili kituzwe!
@mbinacedric35663 жыл бұрын
i'm from Gabon and i never felt so sad about the passing of a leader in my life like that. Magufuli is a hero to the african people, he fought the good figt and his legacy will live on. May the Lord strenghtens mama jannet Magufuli and her children all the tanzanian and african people. Pamoja na familia. Tz Ga
@daudimichael73383 жыл бұрын
A gabonian speeking a good swahili...lol!!
@charlesking73313 жыл бұрын
Me too. I never know that Africans have a genuine respected leader the way they use to portray them in the global news. Very sad and emotional scenario. I just fall in love with this president and this country of Tanzania. Words can not express how I felt inside of me about this president and country that I don't know anything about. OMG, am very sorry for the loss of this iconic legend and anointed leader. My respect to the great leader. God will continue to bless and guide you where ever you are.
@natiiveson48463 жыл бұрын
@@daudimichael7338 , It is possible. It is a language. You can learn it........from a book, taking a course.....e.t.c. You can get it from the internet.......or, he's had a Kiswahili speaking friend in his ife. It is not out of the realms of possibility. Comprendes?
@johnretisia65793 жыл бұрын
😭😭
@mbinacedric35663 жыл бұрын
@@daudimichael7338 haha, yes i started to be interested with this language, it's so beautiful
@Swahili143 жыл бұрын
I AM A TANZANIAN BUT ASTONISHED BY THE FACT THAT OUR VERY OWN NEIGHBORS, KENYANS MOURN WITH US AS IF WE BEEN SHARING DNA 🧬 DAH MAY GOD BLESS YOU GUYS!!! AND THE REST WHO MOURN WITH US IN THESE UNBEARABLE TIMES 😭😭😭 *AHSANTENI SANA BEAUTIFUL KENYANS* ❣️🙏🇹🇿
@onyangom513 жыл бұрын
RIP African hero. Your departure was premature. May other heads of states borrow a leaf from your principles and convictions of leadership.
@peternassari76343 жыл бұрын
Me too.. as a Tanzanian I've felt that ..may God bless our neighbours too
@akimjoseph28183 жыл бұрын
The colonial masters divided us for them to rule us. Africa is one
@winkie28863 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️🙏🙏🙏
@stellanjoroge60373 жыл бұрын
He was the greatest leader Africa had. Tanzanians you were blessed to have such a leader. Its the desire of every African country to have such a selfless leader who put the interests of the citizens first.
@mwaty314 Жыл бұрын
Thanks to all African nations...mostly to our brothers and sisters from Kenya.. Endelea kulala salama mwamba.... Miss you a lot 😭
@user-bv8ql2qs6x Жыл бұрын
Daaah uchungu kwakila mtuu daah dunian tenda wama nenda zako utakumbukwa sana Alie Rudi kuusikiliza wimbo anipe2 like zangu
@user-de6bj6mx1f5 ай бұрын
Really the man fought for his country in a faithful way
@matingatwaha14393 жыл бұрын
Kam na wew umetokwa na machoz kam mimi gonga like hap 😭😭😭
@linetachieng14903 жыл бұрын
Poleni sana ndugu zetu , kila niangaliapo uu video machozi yani toka .Rip great leader
@graybrunoh8295 ай бұрын
Mwenzangu maumivu ayatoisha me namkumbuka bado
@edwinotieno26933 жыл бұрын
Wallahi l am a Kenyan ,l found myself shedding tears more than l could have shed tears if l could have lost our own ,when l learnt of this heroes demise rest in peace so sad 😭😭
@safiamunir21373 жыл бұрын
Me too...254...but feeling sad for Magufuli. Beautiful song All Stars...well done
@gracer11593 жыл бұрын
I feel you @Edwin Otieno... I also don't think I would shed a tear for ours too... corruption at the highest level
@cheptoekbenniah47503 жыл бұрын
For me I cried so much but had it been our own Ugandan one I wouldn't cry.
@ruthdavie1175 Жыл бұрын
Tunaotizama wimbo huu 2023 gonga like hapa
@mwanaidimuniba1772 Жыл бұрын
The best president ever, we miss you magufuli
@kawira_ke3 жыл бұрын
For the first time, have been crying from the time he passed away Have never felt this way for any politician especially another country's president. Rip JPM😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Poleni sana watanzania from Kenya🇰🇪
@meshackmuli28093 жыл бұрын
That's me 😭
@sweetmelody11913 жыл бұрын
Me too na bado siamini nahisi nikama ndoto naumia sana hata usingizi yangu haichakuwa poa i just see him akifanyia watu wake kaxi namuona aki kampain zuchu akimuimbia ooooh nooo😭😭😭😭🇰🇪
@CaroleBosco3 жыл бұрын
It had been hard for me too siamini kabisaaa. Poleni Watanzania.
@kawira_ke3 жыл бұрын
Ama kweli vyema havidumu Dance with angels mtumishi wa watu.
@beyourromeo93023 жыл бұрын
I'm from NAGALAND A Northeastern state from INDIA I can't understand the lyrics but the expression hit me hard.... Though I dunno much about him I bet he did so much for the people of Tanzania as seen in this Music Video. RIP to the African Hero and President of Tanzania
@peternassari76343 жыл бұрын
@@aminajibreelahmed9779 We love you Kenyans
@petma55513 жыл бұрын
I have a friend in Nagaland called Anya.🙂
@kamayiresepatrickdalliance86473 жыл бұрын
Thank you Romeo for aknowledging that.
@Swahili143 жыл бұрын
@@aminajibreelahmed9779 thanks 😊🐥🙏♥️🇹🇿 MAGUFULI WAS such a pan AFRICANIST
@Swahili143 жыл бұрын
@@shaurimtanda1128 we nawe 🤣
@WanjoyTVke Жыл бұрын
Tanzania mko talented Much love from Kenya 🇰🇪
@fernandoandressalazarferna2961 Жыл бұрын
Muy emotiva la canción en homenaje al ex-presidente de Tanzania John Magufuli. Muy emotiva. Saludos y bendiciones para todos ustedes desde Concepción, Chile.
@EsnusApono8 ай бұрын
Kumbaf
@EsnusApono8 ай бұрын
Sorry
@Cici_mimi3 жыл бұрын
I'm Somali and i live abroad but this man is my hero. Not even the one who runs in Somalia. This man right here is my hero. Africa will miss you papa Magufuli.
@Cici_mimi3 жыл бұрын
@Nafiso Sheekh Axmed Ifahansii Bal?
@mrzaki97453 жыл бұрын
@Nafiso Sheekh Axmed caadi wye wxaas walale
@pulkeriafarayo89533 жыл бұрын
Thanks for appreciating, he is a true son of Africa.
@Cici_mimi3 жыл бұрын
@@mrzaki9745 Usheeg Walal.
@Cici_mimi3 жыл бұрын
@@pulkeriafarayo8953 He really is 😍
@kamuchidyblez21363 жыл бұрын
Kamaàa huuu wimboo unatambuaaa kaimbiwaaa rais wetu mpendwaaa shujaaaaaaaa mpambanaj gonga like twende sawa Nendaaaa shujaaaaaaaa nendaaaa kiongoz nendaaaa maguful nendaaaaaaa rais wetu mpendwaaa always utabak kwenye nafs zetuuu 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@maryammarjan40153 жыл бұрын
tuko pamoja
@chantalottroh82610 ай бұрын
Le départ du Président Magufuli fait toujours aussi mal. Paix à son âme 😢😢😢 Merci infiniment à vous qui avez chanté pour lui. Un SUPER Président il a été 😢👏👏👏
@sein.20810 ай бұрын
Subhana Allah 😭💔 Hakika bado tunamkumbuka na daima tutamkumbuka kwa wema wake... Allah ni mjuzi zaidi . Dua njema kwake always 🤲 PUMZIKA KWA AMANI BABA
@diiram_bee.2 жыл бұрын
Till now 2022 even listening to this song, my heart keep pain and remembered for his love in Tanzania and Africa in general. We love you #baba "John Pombe Magufuli" 🙏🙏🤧😪
@salmaaengo26802 жыл бұрын
😢😢😥
@marychaikola35682 жыл бұрын
Pole saana to all tanzanian people, continue resting in perfect place dad jpm we miss you so much
@vumiliakashindi86512 жыл бұрын
😭😭😭
@lilianjames75372 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ptaAfMx4rc63f2Q.html
@fredyvincent24292 жыл бұрын
Naimia
@MRYUYU-ix5vw3 жыл бұрын
Am from Ethiopia and I was one of the admirers of his style of leadership. Magufuli was really heirloom of the founder of United Republic of Tanzania Mwalimu Nyerere. My wish is that African leaders emulate him.
@natasha79693 жыл бұрын
💕💕💕🙏🏾
@fadhiliomary5167 Жыл бұрын
Wangapi tumekuja kumuenzi mzee wetu kabla 2022 haijaisha
@AhmedMohamed-ww2wh3 жыл бұрын
I am from Somalia 🇸🇴 ilove Tanzanian people so much 😢😢 RIP PAPA Magufuli 😰😥😓😢
@princenewton3 жыл бұрын
I am a Kenyan 🇰🇪 but I swear this Death hit home 🥺💔I am so heartbroken right now...........This Man Goes down in the books of history as one of the best leaders Africa ever had.May almighty God comfort Our Tanzanian brothers and sisters during this difficult period ❤️.
@daytontv92593 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/hZeThc1krJ-2oKs.html
@prettylilma98963 жыл бұрын
And all African president shd ask themselves one ?,wataliliwa hivi wakifa?
@mohamedshah17003 жыл бұрын
Thanx brother
@rebeccaasiyo98203 жыл бұрын
@@prettylilma9896 Kwanza wa Uganda ajiulize hivyo
@tatujumamaro36073 жыл бұрын
Soo sad
@ellymontana6665 ай бұрын
Tar8/2/2034 naingaliaa tenaa...i miss you baba😢
@chrysleneleonciaconiquetok3126 Жыл бұрын
This is the most beautiful song I have heard today. Such talent, I want to become Tanzanian❤ Love from Gabon I want to mention that we’ve made very similar songs with all the beautiful voices of Gabon when President Bongo died and when a famous singer was tortured and killed
@jacksonmgomba28910 ай бұрын
❤️
@mamawabaana6803 жыл бұрын
Am a Ugandan but Ugandans loved magufuli too. RIP PAPA
@smila03 жыл бұрын
So true am ugandan but much love to.this guy yani Saana😘