No video

TAPELI WA KUTUMIA NYWELE

  Рет қаралды 38,211

KitaleMkudeSimba

KitaleMkudeSimba

Күн бұрын

#KOBELOCHAPOMBE #IPOTV

Пікірлер: 64
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 2 жыл бұрын
Mtu humjui anakusemesha maisha binafsi,,achana nae😎
@sulekato4330
@sulekato4330 2 жыл бұрын
Daaahh wasenge walinipiga changa mwembe yanga
@emantz3623
@emantz3623 2 жыл бұрын
Duuuu pole
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭yaan nililizwa kwa Azizi aly na huuu utapeli huu acheni tuuu😭😭
@jumakassim7221
@jumakassim7221 2 жыл бұрын
Hahaha yani kiboosi natai shingoni unaibiwa 🤣🤣🤣🤣🤣
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 2 жыл бұрын
Hii mbinu huwa wanaitumia sana wezi wa Dar,mmefanya vizur kuwastua ambao bado hawajaibiwa kwa mbinu hii
@zaituniabdallah1948
@zaituniabdallah1948 Жыл бұрын
Yan ndugu yangu kaibiwa Kwa utapeli huo huo
@michaelmgaya5191
@michaelmgaya5191 Жыл бұрын
Somo zuri sana 👏🏼👏🏼
@shabanichomwa1458
@shabanichomwa1458 2 жыл бұрын
oya binadamu muendelezo vp
@muniramunira9941
@muniramunira9941 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 kweli kabisa hata mimi walikuwa wanataka kunipiga kwa njia hio ila niliogopa kuona nywele nikatoka mbio yoga ndio ulinisaidia
@kerryrummy633
@kerryrummy633 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 2 жыл бұрын
Ukiwa hujapigwa utaona ni ujinga lakini wakikupiga lazima tu utacheka
@BIZOZAMEDIATZ
@BIZOZAMEDIATZ Жыл бұрын
Ilishawahi nitokea arusha asee nikashtuka
@mkanamc8341
@mkanamc8341 Жыл бұрын
😃😃😃😃 Jirani yeti kapigwa laki3 juz tu
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Nimewahi hatakama nimechelewa kidogo 🙏🤣🤣
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Safi sanaaa kwa kutupa soma na elimu hiyo
@tonnydaddiz
@tonnydaddiz 2 жыл бұрын
Nilipigwa🤓🤓🤓2018 hii Kibosi kabisa Tecno 305 na Ka 2000 kangu nilishikishwa nywele na kucha juu🤓
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 2 жыл бұрын
Niliuziwa Pande la kodrai kwa elf35 sina hamu
@mwadimejuma4598
@mwadimejuma4598 2 жыл бұрын
Walaaniwe wenye kutapeli watu
@hadijaabuu2109
@hadijaabuu2109 2 жыл бұрын
Ha ha ha...ety Mjomba habilii...duh hii ilinikuta mwaka 2011 mto themi Arusha walinitapeli hela ya sokoni nilitumwa na dada...aisee walaaniwe
@complex7582
@complex7582 Жыл бұрын
Ilikuaje
@hadijaabuu2109
@hadijaabuu2109 Жыл бұрын
@@complex7582 walinichukulia pale round about fire wakanilagai mpk mto themi wakanitoa nywele na kucha mdomoni akasema dadako ndio mchawi wa mafanikio yako afu nilikuwa nagombana na dadangu kipindi hio si nikaamini bana..doh akachukua hela sokoni then akasema niende mpk pale aliponichukulia nitakuta bahasha ndani yake kuna dawa ya kunitibu huo uchawi wa dada..kufika pale hakuna cha bahasha ha ha nikarudi mto themi sikumkutaa hela enyew ya dada dah!!!
@Gmama264
@Gmama264 2 жыл бұрын
Hua nawataman sn awa maboya wakutane na mm
@johnrichard5482
@johnrichard5482 2 жыл бұрын
Daaah... Dom Town 🇹🇿 Kuna boya mmoja alinitapeligi buku jero...Wakati natoka shule 2006 alinitafunisha karatasi ya Daftari ya shule ikageuka nywele akaniambia nitafute hela Anisaidie mixer kuniambia matatizo ya maskani... Nikamwambia mi na buku jero tu nikabania Mia 7,, sababu home ilikuwa mbali Ndo Maana Ila ingekuwa karibu ningefanya Kama alivyofanya mogela Hapo juu..🎥 Akanipa Karatasi akaniambia nikafungulie Njia Panda Kuja Kugeuka Yule Boya Kasepa,, Sikumuona Tena🙄😴😣
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Pole sana 🤣🤣
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 2 жыл бұрын
Mogela ety huyu atakua mjomba habiri tyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 2 жыл бұрын
Wiki hiii hamjatuwekea binadamu wabaya😭😭😭 nimechungulia hadi macho kuuma tuwekeen jamni
@fadhilirashidi9326
@fadhilirashidi9326 2 жыл бұрын
Mjomba abilii
@wellbrand3415
@wellbrand3415 2 жыл бұрын
Umelala yooh😂😂😂😂😂
@jumakandy2075
@jumakandy2075 2 жыл бұрын
Noma sana
@davidoscooper237
@davidoscooper237 2 жыл бұрын
Mmejiongeza sio
@loganpoul
@loganpoul 2 жыл бұрын
Binadamu jamani ndio imeisha
@donaldmartin1233
@donaldmartin1233 2 жыл бұрын
Dadeq chukuen elim hiyo
@manasseninteretse8510
@manasseninteretse8510 Жыл бұрын
Mjini mwanangu usidanganywe nachochote, maana mjuni shure 😋 tunawapenda kinoma uku nchini B🇧🇮🇧🇮
@masasthedon7074
@masasthedon7074 2 жыл бұрын
Weee kumb hiv jam kaliw mbon😂😂😂🤔
@kuvetamzazi8689
@kuvetamzazi8689 2 жыл бұрын
Huu wizi wa miaka ya 90 bado kuna watu wanatapeliwa mpaka leo?
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 2 жыл бұрын
Pwaaaaaaaa
@zuberimovich2421
@zuberimovich2421 2 жыл бұрын
binadamu lini mbona kimya
@anoldlouis1335
@anoldlouis1335 2 жыл бұрын
Hongeren mko vzr
@tamemahmad9902
@tamemahmad9902 2 жыл бұрын
Mogela kushamsingizia mjomba wako mshirikina
@alkhalilmussa5633
@alkhalilmussa5633 2 жыл бұрын
Dah
@didaommy7683
@didaommy7683 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sitosahau nilivyoibiwa cm kko kwa ujinga huu huu
@bonnymsd8116
@bonnymsd8116 Жыл бұрын
Nlishawahi pigishwa route pale kkoo jua kaliii walichokosea wakanipotisha mahali nyanza kujiuliza why tumezunguka alafu tukaja kupita tena hapa? Kufika hapo nkawagomea nkatoka ndukii
@chinaboyasumani3223
@chinaboyasumani3223 Жыл бұрын
Siriasi yamenikuta sinza makambirin
@hansmtalikwa9745
@hansmtalikwa9745 2 жыл бұрын
Mbno binadamu hamuiweki wiki sasa?
@aminatwaa9726
@aminatwaa9726 2 жыл бұрын
Pole mogela
@lyrics_forum
@lyrics_forum Жыл бұрын
Mwanza wapo wanaokudanganya Kwa Dharau Feki, yaani Acha tu
@ezekielchamoto5253
@ezekielchamoto5253 2 жыл бұрын
hivo ndio waliniibia 25 January 2012,wajinga sana
@tanzaniayetu656
@tanzaniayetu656 2 жыл бұрын
Pole
@djsandi4419
@djsandi4419 2 жыл бұрын
Na January ilivyongumu
@ezekielchamoto5253
@ezekielchamoto5253 2 жыл бұрын
@@djsandi4419 imagine
@user-eb8dj4sl8n
@user-eb8dj4sl8n Жыл бұрын
😆😀😀😀
@hemednassor2362
@hemednassor2362 2 жыл бұрын
Jamanii week hii Binadam hakuna au
@petromzanje2937
@petromzanje2937 Жыл бұрын
Hii nimeshawahi kutapeliwa mwaka 1996
@dullahdimba8423
@dullahdimba8423 Жыл бұрын
Hahahahahaha hii inanikumbusha mwa 2012
@sadatisabihi3818
@sadatisabihi3818 2 жыл бұрын
Mogela Ahahahahah
@paschalkimwaga9117
@paschalkimwaga9117 2 жыл бұрын
Chapu kwa haraka
@phinawatwego5279
@phinawatwego5279 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 2 жыл бұрын
yapo hayo
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Haha
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@darlingjackson6057
@darlingjackson6057 2 жыл бұрын
😂😂
@BabuuChatta
@BabuuChatta 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@iddhussein5538
@iddhussein5538 2 жыл бұрын
Ilinikuta 1999 shule ya uhuru dar
STAN BAKORA, KITALE MKUDE SIMBA, KOBELO CHA POMBE.
9:06
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 103 М.
PANYA AKUTWA NA DADA WA MTU
8:12
SHADOW TV
Рет қаралды 79 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 212 М.
HUYU DADA MCHAWI
8:01
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,4 МЛН
Mkojani Amvunja mbavu Mkurugenzi wa ZOI
1:47
ZOI MEDIA
Рет қаралды 13 М.
DOCTOR_MANENO 10 | 1 |
10:27
Maneno 10
Рет қаралды 17 М.
DALADALA 02
23:44
MPAYU FILM
Рет қаралды 198 М.
KITALE MKUDE SIMBA KUMBE PANYA ROAD.
7:12
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 264 М.