No video

TAUSI | FILAMU | MARIAM ISMAIL {PART 3}

  Рет қаралды 11,935

Kiatu Films

Kiatu Films

Күн бұрын

Mama anapigania haki ya binti yake ili amaliza shule ya sekondari baada ya kubakwa na kupewa mimba na mwalimu mkuu.
A mother’s fight for her child’s daughter’s right to finish secondary school after she had been raped and impregnated by her headmaster.

Пікірлер: 53
@leahmaziku2888
@leahmaziku2888 Ай бұрын
yaan Mariam Ismail unajua mpka unajua tena kazi zako nyingi nmezifatilia aiseee nakupenda ww dada natamn nikuone aisee, but jitahid kuwah kutoa kazi
@MwanaishaKarata
@MwanaishaKarata Ай бұрын
Yaani sijui kwa nini hawampi tuzo jamani
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Ай бұрын
Tuzo wanapewa watu wanaoigiza umalaya tu
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Ай бұрын
​@@MwanaishaKaratainaniboa mno wallay
@erca111
@erca111 Ай бұрын
Huyu dada ma director wanamsahau lkn nathubutu kusema kwa wasanii wa rika lake aisee mariam Ismail anaigiza nyie yaan yuko perfect sana anavaa uhalisia mpaka siyo poa❤❤❤
@fredrickchisanyo6663
@fredrickchisanyo6663 Күн бұрын
Mnazingua sna kenge nyie. Mnajua kuigiza mpaka kero, mafundisho ni mazuri,,,, lakin mnachelewa kutupatia mwendelezo kwa wakati. KENGE NYIE
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 29 күн бұрын
Wifi kam huyu ni raha tupun❤❤❤❤
@user-lu1by6yp4t
@user-lu1by6yp4t Ай бұрын
Mienilikua najua imeisha mnachelewesha sana
@bettykihwele7713
@bettykihwele7713 Ай бұрын
Big up kwako Marium
@tatumarin
@tatumarin Ай бұрын
Mnachelewa sana du😅
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Ай бұрын
Nani kama mama❤❤❤😊😢
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Ай бұрын
Ila Mariam ni mrembo sana Mashaallah ❤❤❤
@AbrahamanHussein
@AbrahamanHussein Ай бұрын
Hiv mariam umeolewa jaman nimetokea kukuelewa sana naomba yako please
@user-he3nz6gt3d
@user-he3nz6gt3d Ай бұрын
🇰🇪Hata nilikuwa nimeisahau🇰🇪 kumbe bado inaendelea🇰🇪
@AshaNzara
@AshaNzara Ай бұрын
Kazi nzuri sana my dear Mungu akuzidishi kipaji chako ❤❤❤🎉🎉🎉but usichewe sana 🙏🙏🙏
@AshuraKigoma-vf7wb
@AshuraKigoma-vf7wb Ай бұрын
🎉🎉🎉yaan nikua naisubil kwa hmu dd ulete kwa wakt
@user-hn2en5se5m
@user-hn2en5se5m Ай бұрын
Kazi nzuri sema muwe mnawahi kutoa❤❤❤
@RehemaFabian
@RehemaFabian Ай бұрын
Nmetoa machozi wallah. Kaz nzur sana
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 Ай бұрын
Huyu mwalimu ni tabia zake ata Kuna mwanafunzi mwengine anatembea nae lkn anatumia dawa za mpango
@AmisseBuraimoCanamo
@AmisseBuraimoCanamo Ай бұрын
Suzy 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 from mozambiq nakupenda bureee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@neemamkambwahamisi4718
@neemamkambwahamisi4718 Ай бұрын
Mnachelewesha sana jamani ilanawapenda❤
@user-kg1hx6zc8s
@user-kg1hx6zc8s Ай бұрын
Nakupendaje dada Mariam huwa aushindwi
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Wifi anampenda mke wa kaka ake
@user-le4fj3wt4y
@user-le4fj3wt4y Ай бұрын
Mnachelewesha mno jmn🎉🎉🎉
@neemaghafla
@neemaghafla Ай бұрын
Jaman mbn mnachelewa sana kutoa movie?mana nimesubili weee mpk nikakata tamaa nikasaau kabisa.ila ni bonge la movie mafunzo kibao 🎉🎉
@AbelFrancis-ww7cb
@AbelFrancis-ww7cb Ай бұрын
Munachelewa sana mwendelezo
@aminakhamis2128
@aminakhamis2128 Ай бұрын
My friend Mariam movie zako zanipa furaha
@nismaali2982
@nismaali2982 Ай бұрын
Ushahidi nimeupenda 🤣🤣🤣
@user-ng2ot8uz5j
@user-ng2ot8uz5j Ай бұрын
Nimeipenda sn
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Naipenda sana hii mvi lakini haitoki haraka
@annasitti120
@annasitti120 5 күн бұрын
Mwwndelezo plz
@user-oh7un2hr4z
@user-oh7un2hr4z Ай бұрын
❤❤❤❤❤ Nakupendaga we dd Mariam😘
@user-hb8ph8fk5s
@user-hb8ph8fk5s Ай бұрын
Niliisubir mpaka nikahic au nilisahau ku subscribe 😂jmn hatimae❤
@claraodhiambo
@claraodhiambo 26 күн бұрын
KAZI NZURI SANA CONTACT
@Ambaryeh
@Ambaryeh Ай бұрын
Bom trabalho 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@annasitti120
@annasitti120 Ай бұрын
Mnachelewesha
@AnnaDaniel-yt1hx
@AnnaDaniel-yt1hx Ай бұрын
𝕁𝕒𝕞𝕒𝕟 𝕞𝕦𝕤𝕖 𝕞𝕟𝕒𝕨𝕒𝕙𝕚𝕩𝕙𝕒 𝕓𝕝𝕠𝕟𝕕𝕖 𝕪𝕖𝕒𝕙 𝕞𝕟𝕒𝕔𝕙𝕖𝕝𝕖𝕨𝕖𝕩𝕙𝕒 xana
@simaisalim108
@simaisalim108 Ай бұрын
Nice
@neemamkambwahamisi4718
@neemamkambwahamisi4718 Ай бұрын
Uyo Tausi atakua amehasirika sababu alipita na mwalimu mkuu.
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
Waalimu mashetani kama uyu ni jela tu alimzulumu mtoto mrembo maskini
@ayshaahnad4472
@ayshaahnad4472 Ай бұрын
Suluari ya kijivu boxes ya kijani na shati jeupe😂😂 we huogopi ? Shaidi kakamilisha kila kitu aisee 😂😂
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 Ай бұрын
Mashallah 😢😢😢😢😢😢😢mbona amtumi linki jamani
@HanifaHanifa-yw4pl
@HanifaHanifa-yw4pl Ай бұрын
Nc
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@catherinembilla4243
@catherinembilla4243 Ай бұрын
Mbona mwachelewa sana mpaka tunasahau?
@Mary-ug6oc
@Mary-ug6oc Ай бұрын
Hata Mimi nijua imeisha ety imechukua mda mlf sana
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Ай бұрын
Mnachelewesha
@monysanga7516
@monysanga7516 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤❤❤
@MercySilvester
@MercySilvester Ай бұрын
Mwalimu mkorofi na nyinyi muache kuchelewesha
@user-bh3wo8rz2u
@user-bh3wo8rz2u Ай бұрын
Kbs wanachelewesha
@PascalIlunga-zs6xi
@PascalIlunga-zs6xi Ай бұрын
🙏🙏🙏❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@zeynab7617
@zeynab7617 Ай бұрын
Mimi ata ilikua imenitoka akilini
@Ayeitsqueenn
@Ayeitsqueenn Ай бұрын
Why y’all talking forever for each episode?!😭😐
TAUSI | FILAMU | MARIAM ISMAIL {PART 1}
32:38
Kiatu Films
Рет қаралды 35 М.
Kivumbi PART 1 Full Movie
1:30:42
Binti Kiziwi
Рет қаралды 94 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,2 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
GUBU LA MAWIFI_Ep_2_Final
22:53
kijiti media
Рет қаралды 87 М.
TAUSI FULL - MOVIE
1:19:27
Kidagaa Film Productions
Рет қаралды 13 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 339 М.
WAKE ZANGU |1| New Swahili Series | Adam Leo | Bongo Movies 2024
36:43
Adam Leo Studios
Рет қаралды 55 М.
TUMAINI | FILAMU | PART {2}
13:32
Kiatu Films
Рет қаралды 4,8 М.
KBC CLASSIC TAUSI EPISODE 1&2.
35:12
KBC Classics Channel
Рет қаралды 188 М.
Crazy Love Part 2 Bongo Movie ( Steven Kanumba & Neshi Adam)
1:48:31
Africha Entertainment
Рет қаралды 715 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН