Tazama Askofu Mteule wa Lindi Wolfgang Pisa Akibusu Ardhi ya Lindi kwa Mara ya 1 Kuwasili Lindi

  Рет қаралды 20,949

Jugo Media

Jugo Media

2 жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GZCvnqJ2KPf...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 44
@erickmabala2711
@erickmabala2711 9 ай бұрын
Hongera sana mwasham BABA asikofu wa Jimbo la Lindi
@salvatorymogesi6476
@salvatorymogesi6476 2 жыл бұрын
Mungu wetu akuangaze, akuongoze, akutunze na kukufanikisha kwenye Utume aliokuitia Baba yetu 🙏🙏🙏
@herson9343
@herson9343 2 жыл бұрын
Maaashallah Amesujudu
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Soma Bible
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 2 жыл бұрын
@@mcback4384 akishasoma itabadirika nini,hapo Askofu amesujudu hakuna kingine
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
@@hassanmirambo564 ni agizo la Mungu kumuinamia kifudifudi Luka 5:12 [12]Ikawa, alipokuwa katika mmojawapo wa miji ile, tazama, palikuwa na mtu amejaa ukoma; naye alipomwona Yesu alianguka kifudifudi, akamwomba akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa. And it came to pass, when he was in a certain city, behold a man full of leprosy: who seeing Jesus fell on his face, and besought him, saying, Lord, if thou wilt, thou canst make me clean.
@mrcembo7473
@mrcembo7473 2 жыл бұрын
Askofu Wolfgang anajua nn maana ya uislamu Allah amwongoze pamoja na wafuas wake lnshaa llah,
@mathiasvicent9955
@mathiasvicent9955 2 жыл бұрын
Mungu mwema
@janethmayanja
@janethmayanja 2 жыл бұрын
Karibu Jimbo la Lindi Mungu mkubwa amekuchagua
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 2 жыл бұрын
I wish I could have a Bishop brother
@shushu8105
@shushu8105 2 жыл бұрын
Ame sujudu Allah Akbar
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Soma Bible
@hansmaston5136
@hansmaston5136 2 жыл бұрын
Tena wakatoliki wanasujudu kuliko dini yoyote ile dunian mmekariri kusujudu ad mtu aguse paji lake la uso kwenye sakafu kuna aina nyingi tu zakusujudu tena hamna watu wanai ongoza kusujudu kama wakatoliki
@modricseif1018
@modricseif1018 2 жыл бұрын
Namshukur Mungu kunijaaliwa uislam bila ya kumuomba, Mungu atufishe kwa mwisho mwema 🙏
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Sasa kwa wa Kristo unafuata nini? Hahaha ninyi watu mna vituko
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 жыл бұрын
@@mcback4384 Anakukumbusheni nyinyi uko mliko siko,mutafute ukweli upo wapi sio mnaburuzwa tu. MwenyeziMungu ametuumba mimi na wewe akatupa na akili tuitumie ktk kujuwa ipi haki na ipi batili. Sasa usipoitumia akili yako,unakuwa huna tofauti na mnyama.
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
@@mussammanga7791 na sisi tunajivunia ukristo wetu na tupo mahali sahihi sana
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 жыл бұрын
@@mcback4384 Qur-an (3:19). (BILA YA SHAKA DINI MBELE YA MWENYEZIMUNGU NI UISLAM). Jitahidi kutafuta ukweli upo wapi na MwenyeziMungu atakupa wepesi katika kutafuta ukweli. Sijuwi unafahamu nini juu ya neno (BILA YA SHAKA) ukilifahamu hilo itakuwa rahisi kwako katika kuitafuta haki.
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
@@mussammanga7791 ndugu mimi siamini Quran hata ukiweka naona kama maandishi kama mengine tu
@hansmaston5136
@hansmaston5136 2 жыл бұрын
Alie waambia wakatoliki hawasujudu ninan
@feristamichael5247
@feristamichael5247 2 жыл бұрын
Wewe kuhani hata milele...
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 2 жыл бұрын
Haya sasa mnaojiita wakirito bado hamjapata somo tu apo kama UISLAM ndio DINI ya haki, hamjiulizi JE nyinyi mlishawahi kusjudu: kusjudu ni kumpa heahma ALLAH mola wa viumbe wote
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Kasujudu msiwaongepee wasio na ufahamu wa kotabu Cha biblia.!
@salimally3714
@salimally3714 2 жыл бұрын
Mkiambiwa msujudu hamuelewi
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Bible ndio inamtaka afanye hivyo
@adventsumari6967
@adventsumari6967 2 жыл бұрын
Mbona baadhi ya waislam mnapenda sana kutufatilia wakrsto tumewakosea nn
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
@@adventsumari6967 Yaani hawa watu matatizo kweli, utakuta wanatusema kwenye mihadhara yao, kutukosoa kwenye imani yetu, kutukashifu, kuhoji maandiko yetu lakini hutokaa uone kanisani au kwenye kongamano tukiwaongelea kwa chochote, hicho ndio kinawatesa sababu wanakazana sana kututafuta lakini tupo kama hatuwaoni
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 11 МЛН
Aug 6, 2024 at 8:30 AM Catholic Mass from St. Dominic New Orleans, LA, USA
44:52
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН