Tazama Bwana Tunakuja Kwako Leo - Deo Kalolela | Sauti Tamu Melodies || Sadaka na matoleo

  Рет қаралды 822,031

Sauti Tamu

Sauti Tamu

4 жыл бұрын

Tazama Bwana tunakuja kwako leo, twaleta sadaka yetu mbele yako, tunakuomba Mungu Baba pokea
umetungwa na Deo Kalolela
umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
waimbaji ni Sauti Tamu Melodies
furahia nyimbo zetu humu kama Nikupe Nini Mungu wangu, nitakwenda mimi mwenyewe, sasa wakati umefika, nimeahidi Yesu na nyinginezo za kwaya za katoliki.
#sautitamu #kwayakatoliki #sautizakuimba

Пікірлер: 500
@maishayangu9216
@maishayangu9216 4 жыл бұрын
Soooo beautiful! Wanakwaya kazi nzuri sana kwa utukufu wake Bwana Mungu. Nafarijika na kumshukuru Mungu kwa sauti zenu tamu !
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante, na ubarikiwe
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Yaani aisee! Utukufu wa Mungu kweli unaishi kwa Watu wake. Kwanza Wimbo ni wa siku nyingi lakini Utunzi Ubunifu na mpangilio wa Uimbaji na Mashairi yake utafikiri ni wa siku za karibuni. Pongezi nyingi kwakweli kwao na Baraka ya Mungu Baba iishi katikati yao.
@ruthkhaindi4426
@ruthkhaindi4426 3 жыл бұрын
Thanks alot brethren brothers and sisters
@benardwereanyango8763
@benardwereanyango8763 4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana St. Paul's Catholic Students Community. am much blessed
@gafkosoftpanel3876
@gafkosoftpanel3876 4 жыл бұрын
⚡️🔥🔥Kazi safi @Sauti Tamu
@donarsene
@donarsene Жыл бұрын
Nice 👍🙏🙏🙏
@samuelawuor9911
@samuelawuor9911 2 жыл бұрын
AMEN AMEN FROM ST FRANCIS RIWO KAJULU KISUMU EAST
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you Samuel, be blessed
@martinwambua7411
@martinwambua7411 3 жыл бұрын
Good composition by deo kalolela,one of the best composers in East africa
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
True
@michaelwaweru4585
@michaelwaweru4585 Жыл бұрын
i may look okay but deep down this songs make me want to cry as we sing them in the choir
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@dennischeruiyot2292
@dennischeruiyot2292 4 жыл бұрын
Congrats Comrades, my favorite song, Munywoki keep up man, played to perfection
@augustkisaka7969
@augustkisaka7969 2 жыл бұрын
Nafurahia sana mungu awainue pia tupate watakao rishi maudhui kahayo ,nakumbu tuliumba nikiwa moto mgo adi nilikuwa misa ya watoto ikitoka narudia misa ya nne daaa
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Asante
@genovevashitsama3831
@genovevashitsama3831 4 жыл бұрын
Asanteni sana St.Pauls University choir...nyimbo zenu zinabariki wengi...mungu awabiriki akutane na matarajio ya mioyo yenu
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi🙏🙏🙏
@johnysichalwe1284
@johnysichalwe1284 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana mmeimba vizuri sana na mtunzi wa huo wimbo dah yani umenifanya hata nilie
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante, na ubarikiwe
@regikim9002
@regikim9002 3 жыл бұрын
Hii imenikumbusha pale st Joseph tukiwa youth our Sunday tukiongoza lazima tunge dance in a special move
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Blessings to you
@Sr_emilyjeptoo
@Sr_emilyjeptoo 4 жыл бұрын
I love the Harmony. Tazama bwana tunakuja kwako... , tunakuomba baba pokea. This song is one of my best songs. Hongereni sauti nyororo
@barikikimaro9165
@barikikimaro9165 4 жыл бұрын
Mungu ambariki mtunzi wa wimbo huu ni wimbo usiochosha kuusikiliza kwakeli
@JacintaMokeira-ze2cs
@JacintaMokeira-ze2cs Жыл бұрын
Congratulations 🎊 👏 💐 I like the song 🎵 ,am proud of ua songs❤
@SautiTamu
@SautiTamu 9 ай бұрын
Thanks so much Jacinta
@yohanaselvestamitao8365
@yohanaselvestamitao8365 Жыл бұрын
Mung awabaliki san kwa nyimb zenu zur
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Amina.
@danielwaithaka6579
@danielwaithaka6579 4 жыл бұрын
Wimbo ulonifanya nijiunge na kwaya ya St Paul's pale chuoni UoN. Great harmony of all voices. Hongera.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante na ubarikiwe
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Hakika ni wimbo was Injiri bora usio chuja hata kidogo japo ni siku nyingi.
@neemasimwanza760
@neemasimwanza760 Жыл бұрын
Nice song jamani mnaimba vizuri sana mnanibariki kwa nyimbo zenu
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Asante Neema Tunashukuru Ubarikiwe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@petermuombe1959
@petermuombe1959 2 жыл бұрын
I do enjoy your song so beatfull one I admire to be one of you
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you Peter Most welcome
@JaphethMaina
@JaphethMaina 3 жыл бұрын
sauti njema hizi, hongera nawapongeza sana
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Shukrani
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 4 жыл бұрын
Woooooow,huuwimbo umenikumbusha kambini nduta,mkowa wa kingo kibondo🙏🙏❤❤❤🇧🇮🇧🇮masauti ya upole hongelen🙏🙏❤i.
@josephkajuli7640
@josephkajuli7640 4 жыл бұрын
Karibu tena Agnes mimi nipo kibondo
@chantalmukeshimana3547
@chantalmukeshimana3547 4 жыл бұрын
Nijimbere Agnes wow! Nasi tulikuwa tukiuimba kambini Lukole tanzania. Umenikumbusha mbali
@EliasCharlesNyanza
@EliasCharlesNyanza 4 жыл бұрын
Bwana Awabariki sana kwa kazi nzuri na utume mzuri.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe nawe pia,
@ivynececilia9440
@ivynececilia9440 Жыл бұрын
Wonderful song ST❤🎉🎉🎉🎉🎉
@SautiTamu
@SautiTamu 9 ай бұрын
Thankyou Ivyne
@aidanitelesphory1362
@aidanitelesphory1362 4 жыл бұрын
Vizuri mnekumbashi mbali, Hongereni wanakwaya
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Asante Aidani
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 3 жыл бұрын
Mungu awabariki azidi kuwainu viwango na viwango .❤❤
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Mungu akubariki pia
@conceptahtsuma7900
@conceptahtsuma7900 3 жыл бұрын
Tamu kama i miss church service
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you
@scholasticerkerubo6083
@scholasticerkerubo6083 2 жыл бұрын
The spirit of being a Catholic,, Catholic songs za kutoa sadaka makes u had unatoa🙏..feel loved guys ..u are always the best kwa kutoa songs
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Amen, be blessed
@rahabkagwiria-lv4rq
@rahabkagwiria-lv4rq 11 ай бұрын
Yes this is so nice be blessed
@kiarienjuguna6812
@kiarienjuguna6812 4 жыл бұрын
Tumsifu YESU KRISTU!!!! This song is touching my heart and makes me feel blessings of our God here and now!!!! May Almighty God bless you mightly!!!!!!! FATHER SON AND THE HOLY SPIRIT
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Yeah, the really touching everyone and conveying message.
@tugesyegemwakatumbula9857
@tugesyegemwakatumbula9857 4 жыл бұрын
Izi nyimbo unaweza toa adi Hera ya vikoba 😌😌 mbarikiwe jamani
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 4 жыл бұрын
Old is gold. Hongereni sana
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante 🙏🙏🙏
@EdwinRwehumbiza
@EdwinRwehumbiza 8 ай бұрын
Saut nimezpenda
@SautiTamu
@SautiTamu 8 ай бұрын
Shukrani
@antidiuskaijanabo3715
@antidiuskaijanabo3715 3 жыл бұрын
Nawapenda Sana met zangu wimbo mzur
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante sana Antidius
@nicholasmwanzia776
@nicholasmwanzia776 4 жыл бұрын
Kazi imepangwa ikapangika. Mzidi kubarikiwa. Altos on fire.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante ,, Ubarikiwe🙏🙏
@owinojohn5610
@owinojohn5610 Жыл бұрын
Wonderful
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Thank you
@collinsmwori7689
@collinsmwori7689 3 жыл бұрын
Super up
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thanks @Collins
@nicholas2890
@nicholas2890 4 жыл бұрын
Good work you are doing Bw. Martin especially kwa hizi nyimbo kuu ambazo hazijarekodiwa.
@PETROMWAMBA
@PETROMWAMBA 4 ай бұрын
Nzuriiyo sana mbalikiwe
@ndindachristine3771
@ndindachristine3771 2 жыл бұрын
my favorite song. keep up
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you
@varshishimeme2437
@varshishimeme2437 4 жыл бұрын
Sauti ya 2 inanibariki kwakweli
@bettyokere
@bettyokere 3 жыл бұрын
I know right. That alto is so sweet
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Very sweet
@paulmziba1060
@paulmziba1060 4 жыл бұрын
Like it goood job......
@hannahkangethe7587
@hannahkangethe7587 3 жыл бұрын
Soo sweet song.....my all time best
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante, ubarikiwe
@patrickwamala7712
@patrickwamala7712 3 жыл бұрын
Yiko muzuri sana mungu abalikie
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@lucymalungu3435
@lucymalungu3435 4 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana mbarikiweni nyote
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Nawe ubarikiwe pia
@fabianmaganga5479
@fabianmaganga5479 4 жыл бұрын
Namkubali Sana kalolela nyimbo zake zimetulia Na ujumbe mzito ndani yake ni furaha Na shangwe tupu.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Kalolela tuko vizuri mno
@Daktari_Muhati
@Daktari_Muhati 4 жыл бұрын
The sweetest melodies. Well done. I am touched
@cleofasmosha9879
@cleofasmosha9879 4 жыл бұрын
Asanteni sana, I remember wakati nikianza kutumikia altareni and then nikawa mwanakwaya and leo bado nafanya kazi katika shamba la bwana kama mseminarist, Good job vijana,may Mungu bless you all!
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Oh! Good job Bishop, so Jehovah bless you to.
@christianmichael5331
@christianmichael5331 3 жыл бұрын
Acha kabisa mie pia nilikuwa mtumishi Wa Artale parokia ya K/ndege Dodoma Tanzania miaka hiyo
@antidiuskaijanabo3715
@antidiuskaijanabo3715 3 жыл бұрын
Ahsante sanaaah kwa niab
@MariaFaustina-zq2ho
@MariaFaustina-zq2ho 4 ай бұрын
God bless you and grant you strength and heart to continue serving him more and more
@annabunga8543
@annabunga8543 Жыл бұрын
Am proud to be a Catholic church
@SautiTamu
@SautiTamu 9 ай бұрын
Amen
@justusbarasamuloboti4466
@justusbarasamuloboti4466 4 жыл бұрын
Good Sopranos and very cool music with well balanced voice and good video
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante🙏🙏🙏
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d 5 ай бұрын
Uhimidiwe Ewe Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi kwa Baraka za Wimbo Mzuri wa Uinjilishaji Ee Bwana❤
@KomiMusaBarlaman-ds3qy
@KomiMusaBarlaman-ds3qy 2 ай бұрын
one of the best. Bravo
@SautiTamu
@SautiTamu 2 ай бұрын
Thank you Komi. Blessings
@FBP60
@FBP60 4 жыл бұрын
AMINA AMINA AMINA AMINA SANA KWA UIMBAJI MZURI.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante na ubarikiwe
@kendraj7428
@kendraj7428 3 жыл бұрын
The lady in red lacy dress has an infectious smile. They all have beautiful smiles by the way😜 God bless you all for the amazing songs.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you
@austinmabele3132
@austinmabele3132 4 жыл бұрын
Kusema kweli na hili MUNGU muumba wetu analijua, Nikiwa nimekwazika na nisikie nyimbo za dini yangu na ambayo ni katoliki, Mimi hufarajika na tabasam kunirejelea
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@martinsanane4966
@martinsanane4966 4 жыл бұрын
Mungu pamoja nawe
@wasikesimonpeter3091
@wasikesimonpeter3091 4 жыл бұрын
Imagine I can't get tired listening to this song. ❤️
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Of course you give new powerful. Coz is Best song.
@pilduschirchir1178
@pilduschirchir1178 3 жыл бұрын
Nafarijika ninaposikia sauti hizi tamu
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante Pildus
@fayamina2560
@fayamina2560 4 жыл бұрын
Napenda Sauti Tamu,💕💕 mbarikiwe zaidi
@michaelmatinya7179
@michaelmatinya7179 4 жыл бұрын
zamani sana mnatukumbusha mbali mbarikiwe
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Asante Fay
@KAKA-gl7is
@KAKA-gl7is 4 жыл бұрын
sauti tamu sana mpaka nataman kusikiliza wimbo mda wote siuchoki,hongeren sana wana st paul
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante na ubarikiwe
@jomawazo2475
@jomawazo2475 4 жыл бұрын
Kazi nzuri,mmependeza ....kwakweli nimebarikiwa sana 🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏ubarikiwe
@kenmbaya7981
@kenmbaya7981 3 жыл бұрын
Good song, congratulations
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you Ken
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 3 жыл бұрын
OGod strengthen faith of your people.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Amen
@VenanceMshaiko
@VenanceMshaiko 9 ай бұрын
May God bless all of you 🙏 ❤️ ♥️
@SautiTamu
@SautiTamu 9 ай бұрын
Thank you
@mwariwanyingi5720
@mwariwanyingi5720 2 жыл бұрын
The best of your editions🥰🥰🥰
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you so much Mwari
@lawrenceJ386
@lawrenceJ386 4 жыл бұрын
Hongera kina Munywoki Anne n the team
@anastaciamuema
@anastaciamuema 4 жыл бұрын
Asante sana. Tunajitahidi sana
@geroldjacob9845
@geroldjacob9845 2 жыл бұрын
Duuhh!!! Lov this song widenly
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you Gerald, be blessed
@adelfinangoda9223
@adelfinangoda9223 2 жыл бұрын
Hongereni kwa uinjilishaji
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Shukrani Adelfina
@juliusbosqual2848
@juliusbosqual2848 4 жыл бұрын
Nawapenda sna kwa kunipa furaha ya moyo!! Mbarikiwe sna
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Ubarikiwe nawe pia
@franciscaakinyi1903
@franciscaakinyi1903 7 ай бұрын
This song is spiritually nourishing,I can play it a thousand and one times.I cant see one of my favorable ladies,hope she is ok.Sweet voices,keep it up
@benitohngige1743
@benitohngige1743 3 жыл бұрын
God bless you guyz...good stuff good stuff
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
God bless you too
@lampardmotors6514
@lampardmotors6514 4 жыл бұрын
Jesus oooo my God niokotwe mbaliiii
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@marthaemmanuel3323
@marthaemmanuel3323 4 жыл бұрын
Hadi raha hongereni waimbaji
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante, ubarikiwe
@estherwanjiru6001
@estherwanjiru6001 3 жыл бұрын
Good work
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante
@wenschumchum7651
@wenschumchum7651 4 жыл бұрын
A good one Keep up Bwana producer
@philomenasjohn9083
@philomenasjohn9083 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@beatricegatimu2020
@beatricegatimu2020 2 жыл бұрын
Nice one
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you Beatrice Be blessed
@lewklein1385
@lewklein1385 3 жыл бұрын
Wow.... 💥🔥🔥Melodies 🧘🏿‍♂️👏🏿👏🏿.... Now that aside. I like the lady in specs. She's intriguing. 😊
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you
@lenahabraham6624
@lenahabraham6624 3 жыл бұрын
Asante😍
@MariaFaustina-zq2ho
@MariaFaustina-zq2ho 4 ай бұрын
Wonderful song God bless
@quinkei5587
@quinkei5587 3 жыл бұрын
Alto on fire 🔥🔥🔥
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Very sweet
@jacksonruitiari9245
@jacksonruitiari9245 3 жыл бұрын
Inavutia kwa ukweli
@mwalimubassu
@mwalimubassu 3 жыл бұрын
Mnanikumbusha nikiwa Kidato cha kwanza pale Parokia ya Songwe Mbeya. I liked the song very much.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@mwalimubassu
@mwalimubassu 3 жыл бұрын
@@SautiTamu AMINA.
@bonimuli451
@bonimuli451 2 жыл бұрын
Very nice and sweet
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you Boni
@christinevivian378
@christinevivian378 3 жыл бұрын
I'm proud to be a Catholic Wimbo mutamu
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante, ubarikiwe Irene
@jamesmutuku7957
@jamesmutuku7957 3 жыл бұрын
Tumwimbieni Bwana
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Kwa roho na kweli
@ceciliakingazi6792
@ceciliakingazi6792 9 ай бұрын
Nice 🙏🙏🙏🙏🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 9 ай бұрын
Thank you Cecilia. Be blessed
@josephmbeba4777
@josephmbeba4777 3 жыл бұрын
Catholic Church Choir Congrats You All my favorite keep it up!!. You are Great Family ❣️❣️🙏❣️🙏.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you Joseph
@josephwalkerz3797
@josephwalkerz3797 4 жыл бұрын
Nota zikapangwa tamthilia Sura zapendeza
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Asante🙏🙏
@renaldapeter9466
@renaldapeter9466 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya sauti za wana kwaya hawa,wimbo unanigusa sana unanikumbusha ukuu wa Mungu
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Shukrani dana Renalda
@Collinscj
@Collinscj 3 жыл бұрын
Alto and tennor ziko poa Sana
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Very sweet
@bettywamboo3960
@bettywamboo3960 3 жыл бұрын
Napenda huu wimbo
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante Betty
@cornelnamzosha2466
@cornelnamzosha2466 Жыл бұрын
Hongereni Sana kwa utume
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Shukrani
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 3 жыл бұрын
O God give power to continue prise u In a song.
@deodatusmwaipopo7284
@deodatusmwaipopo7284 3 жыл бұрын
Mh, kwauimbaji huu hakika MUNGU atukuzwe mpo vizuri wapendwa ktk Kristu kutoka mlowo tz
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Amina
@changalimsoffe5880
@changalimsoffe5880 3 жыл бұрын
Wimbo Mtamu sana
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you
@deusmaira9408
@deusmaira9408 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuwatawala muenderehe na hii karama watumixhi wa baba
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Amina
@kihoropoula2124
@kihoropoula2124 Жыл бұрын
Beautiful ❤️
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Asante
@fl11737
@fl11737 4 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa nyimbo tamutamu mnazoziimba hongera🙏🙏🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Ubarikiwe nawe pia
@evakathambi4134
@evakathambi4134 3 жыл бұрын
Wow this is amazing
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you Eva
@delphinnkoma5757
@delphinnkoma5757 Жыл бұрын
Amen
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Thank you Delphin
@ssendawulajoseph793
@ssendawulajoseph793 2 жыл бұрын
i want to become a choir member woow
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
You're welcome
@pauloissa2652
@pauloissa2652 3 жыл бұрын
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri sana
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante sana, ubarikiwe
@pauloissa2652
@pauloissa2652 3 жыл бұрын
@@SautiTamu nashukuru sana endeleeni kutujulisha pindi mtoapo nyimbo nyingine
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Kuna nyingine zinakuja mwezi huu, zipo jikoni.
@charlesmartine3467
@charlesmartine3467 4 жыл бұрын
Good melody
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi 4 жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo huu wa matoleo
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante Andrew
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 23 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 90 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 2,7 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Atawala Milele | Yesu Kristo ni Mfalme | Sauti Tamu Melodies
6:58
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 271 М.
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 216 М.
Ulug'bek Yulchiyev & Aziza Qobilova - Esim ko'p (Premyera Klip)
3:32
ULUG’BEK YULCHIYEV
Рет қаралды 1,8 МЛН
BYTANAT - ҚЫЗҒАЛДАҒЫМ
2:24
BYTANAT
Рет қаралды 379 М.