No video

TAZAMA MAAJABU ya NYANI KWENYE HIFADHI ya NGORONGORO, KUMBE HII NDIYO TABIA YAO KUU..

  Рет қаралды 9,345

JAMHURI TV

JAMHURI TV

Күн бұрын

TAZAMA MAAJABU ya NYANI KWENYE HIFADHI ya NGORONGORO, KUMBE HII NDIYO TABIA YAO KUU..
Ee bana kati ya vitu vitakavyokushangaza na kukuacha mdomo wazi ukienda kutalii katika Hifadhi ya Ngorongoro ni maajabu utakayokutana nayo nje na hata ndani ya hifadhi hiyo.
Ukifika Ngorongoro , utapokelewa na kundi kubwa la wanyama wakiwemo nyani.Viumbe machachali wenye sifa zinazoelekeana na za binadamu.
Sasa katika harakati za kufanya utalii wa ndani mwandishi wetu ameshuhudia kundi kubwa la Nyani nje ya lango la kuingilia na kutokea katika hifadhi hiyo lijulikanalo kama Loduale na ikiwa ni sehemu ya jamii kubwa iliyopo Ngorongoro
Viumbe hao wenye sifa za kipekee kikawada wana tabia ya kuishi kifamilia na hutembea kimakundi kwa hawa wanaoonekana katika Lango hilo ni sehemu tu ya nyani wengi waliopo katika hifadhi hiyo, wingi wao ndiyo hadhina yetu na urithi katika taifa letu.
Na bila shaka The Royal Tour ya Mama Samia ni kengele ya kutukumbusha kwenda Ngorongoro kuwashuhudia nyani hawa na wanyama wengine wa kuvutia

Пікірлер: 1
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Huko sio kwetu sii murisha uza kwa waarabu wenu
Lions vs Buffalo; Tanzania Safari highlights
10:08
Tanzania Odyssey
Рет қаралды 39 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 29 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 33 МЛН
WAZIRI MKUU AFIKA NGORONGORO, ATOA TAMKO "SIJAJA KUWAHAMISHA"
9:14
Six Male Lions Attack Buffalo Just Because They Can
9:33
Wild Africa Adventure Films
Рет қаралды 5 МЛН
Hifadhi ya Mikumi Morogoro.
42:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 9 М.
Kilio cha Wanyamapori pt 1
4:05
Adam Manyanda
Рет қаралды 3,6 МЛН
Lion ambush at wildebeest crossing
6:20
Lisa Roddy
Рет қаралды 42 МЛН
NYANI ANAVYOMZINGUA CHUI
3:31
Swahili Buzz
Рет қаралды 107 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 29 МЛН