Watu Baki na wengine jifunzeni hapa maana ya Comedi
@Kashushu_IT_Services9 ай бұрын
😂. Sikujua kama Erick Omond unajua....
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Yaan mpoki full mwangwu wazeee
@prosperndelwa45608 ай бұрын
Mpoki kaua zaidi
@greymuclass8217 Жыл бұрын
Hivi mmegundua MC Pilipili akiongeza unene kidogo tu tutashindwa kumtofautisha na Bambo?!
@barakakatana5398 Жыл бұрын
Mia Mia
@daudajerry6654 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@paulalove1223 Жыл бұрын
😂😂😂 ndio
@Man_Freja Жыл бұрын
Kweli kabisa bambo mtupu
@davinaheven479411 ай бұрын
Uneona ee
@amazingrefurbish2306 Жыл бұрын
Hii Tabia ya kutoa pesa wa Tanzania mumetoa wapi? Kuja Nairobi ndio utajua pesa ni nini? Utachekesha watu na haupati hata mia. Watu wanaakiangalia tu 😂😂
@frankiusalphuled11789 ай бұрын
Sasa utakuwa umefanya kazi gani usipopewa chochote
@experiuskamugisha672210 ай бұрын
Hadi Raha wakongwe ni wakongwe tu
@user-cw3vu8mu3k10 ай бұрын
Watanzania wanakuwa na viherehere waonekane wanahela mtu kaja kuchekesha badala mumuache achekeshe mnajifanya kupeleka hela Kenya ukishapokea Kiingiilio ndyo bas lete vichekesho
@frankiusalphuled11789 ай бұрын
Wabahiri Sana sasa kama ni hivyo
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Sasa saut mbna haziko katka ubora kuliko za teaser?
@eleoncejohn3823 Жыл бұрын
Ni vizuri, ila tabia ya kuomba hela sio nzuri kabisa.
@tamarablack25411 ай бұрын
Ndo ucheshi wake..... Eric mkwasi yule
@user-zb2mj5nd5g10 ай бұрын
Sijaona show yoyote hapo zaidi yakushuhudia ombaomba yakufa mtu au kwavile imefanyikia Dodoma😂😂😂
@emmanuelndinadyo40019 ай бұрын
hizo jokes ni zile zile nothing new
@damianmosoka5356 Жыл бұрын
Eric bana anatia aibu, badala afanye comedy amelipwa kufanya kazi , anaenda kuomba omba. Shame on that kind of comedy
@georgekaila6193 Жыл бұрын
KENYA is poor is representing us on Tanzania Dodoma