#TAZAMA

  Рет қаралды 573

Daily News Digital

Daily News Digital

Жыл бұрын

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana kila sababu ya kutembea kifua mbele na kujivunia utafiti uliofanyika hapa nchini na kupata mbegu mpya ya michikichi ambayo imeonesha mafanikio makubwa.
“Baada ya kukaa na kufanya tathmini ya zao la chikichi hapa Tanzania, na leo nimesikia michango ya wadau wote. Nimejiridhisha kwamba utafiti tulioufanya wa kuzalisha mbegu ya Tanzania ambayo inaota na kutoa matunda ndani ya miaka miwili hadi mitatu, ninayo furaha kutamka kuwa utafiti ule umefanikiwa,” alisema na kuamsha shangwe miongoni mwa wadau wa zao hilo.
Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo wakati akihitimisha kikao chake na wadau wa zao la chikichi mkoani Kigoma kwenye ukumbi wa NSSF. Mbegu hiyo bora ya michikichi aina ya TENERA inatoa mafuta mara tatu zaidi ya aina ya DURA ambayo inalimwa na wakulima kwa takribani asilimia 90.
Alisema mtu yeyote anayetaka kulima chikichi anaweza kufanya hivyo kwa sababu mbegu zipo. “Tulianza kuzalisha mbegu mwaka 2018 na ilipofika mwaka 2020 tukaanza kupanda miche na leo tunaona matunda yanapatikana.”
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

Пікірлер: 1
@emmaneultv3864
@emmaneultv3864 Жыл бұрын
Naombeni hekari miya nikapandikize michikichi
TAZAMA ULIPOFIKIA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA MSALATO DODOMA
3:47
Daily News Digital
Рет қаралды 3,4 М.
AngloGold Ashanti Geita Gold Mine Case Study
15:38
International Code of Conduct Association ICoCA
Рет қаралды 622
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
GUMZO! SIMU YA OBAMA KWA KAMALA
2:15
Daily News Digital
Рет қаралды 1 М.
TANZANIA ILIVYOFANYA KWELI UTALII WA CHAKULA ZIMBABWE
2:17
Daily News Digital
Рет қаралды 41
TULIA ATULIA TULIIII NDANI YA SGR!
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 1,2 М.
The rise of Opiyo Wandayi: From MP to CS
5:10
KTN News Kenya
Рет қаралды 28 М.
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIAHIRISHA MKUTANO WA 15 WA BUNGE JUNI 28, 2024
1:01
𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦
Рет қаралды 72
Discours du Ministre Adjoumani #Apromac #hévéa #caoutchouc
19:53
Apromac officiel
Рет қаралды 604
🔴 TAMASHA LA MICHEZO, JULAI 28, 2024.
ITV Tanzania
Рет қаралды 6
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН