#TBC: FAHAMU KUHUSU SARAFU MTANDAO "DIGITAL CURRENCY"

  Рет қаралды 7,527

TBConline

7 ай бұрын

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live”
TBC Live : tbc.go.tz/wp-content/uploads/...
App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter:
/ tbconlinetz
Instagram:
/ tbc_online
Facebook:
/ tbconlinetz

Пікірлер: 22
@user-fo8pr9do8u
@user-fo8pr9do8u 27 күн бұрын
Naomba kujua zaid jamani
@DenisDonald-qg5lx
@DenisDonald-qg5lx Ай бұрын
Mko vizur sana jiungeni tuwe wengi jaman
@nkafumedia
@nkafumedia 29 күн бұрын
Mnashawishi watu ujinga Msiwe kama kitenge
@edinaamvungii910
@edinaamvungii910 2 ай бұрын
Pi moja no sawa na tshsngap
@user-fo8pr9do8u
@user-fo8pr9do8u 27 күн бұрын
Jamaaa anajua zaidi kuhusu hiii nipe nmba tuongee
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 4 ай бұрын
NIMEFURAHI KUKUONA LIVE HAPO NILIKUWA NA KUSIKIA TU NA MATIRIAL UNAYO TOA KWENYE MAGROUP YA WASAP.SASA ABOGAST NAOMBA LINK ZA HAYO MAKAMPUNI KWA ANILI YA KUFANYA MANUNUZI ONCE OPEN MINATE IKO HEWANI. TAFADHALI ASANTE SANA!!💪🙏
@DenisDonald-qg5lx
@DenisDonald-qg5lx Ай бұрын
Je n lin naman itafunguliwa? N miaka mingi naona
@jonhshedrack
@jonhshedrack Ай бұрын
Apo badae watu watakuja kujuta na kusaga meno watakapo iyelewa pi
@elijahmediaservices
@elijahmediaservices 27 күн бұрын
Why
@ElinuruMaturo
@ElinuruMaturo 2 ай бұрын
Nahitaji kujiunga nifanyaje
@fadiztech
@fadiztech 2 ай бұрын
Kujiunga ni simple, download app yao then fuata maelekezo yao kujiunga simple then invitation weka ProFadiz
@omanbarka1588
@omanbarka1588 4 ай бұрын
Ivi hizo Pai ni hela mpya au namnasema tutakuwa hatutembei nahela mkononi zitaku ni hizo pai ziko kwenye cm je cm ikiibiwa je itakuwaje misiweki hela yangu Kwa cm Tanzania ni nchi yenye tabia ya wizi selikali haijaweza kulizibiti tatizo hilo Kwanza mtuonyeshe hiyo safu mpya ya pai
@AfricanCultureandTourism
@AfricanCultureandTourism 2 ай бұрын
Hakuna shida yoyote ata kama ukipoteza simu yako maana password yako haijui
@YudaMaongezi-kx2on
@YudaMaongezi-kx2on 3 ай бұрын
Oyaaa.. hii pi network Sio mchezo mchezo!! Itakua ni aarafu yenye nguvu hadi sio poa... Saivi inapatikana tu bure ila kuna siku zitafika watu watasaga meno kuzipata Pi 😂
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 ай бұрын
Nimamshukuru Mungu ninazo pie 700😂😂😂
@wise_og3594
@wise_og3594 5 ай бұрын
Hii pi bado haijawa sarafu hii ni Airdrops.acheni kudanganya watu aisee
@kevicristian2738
@kevicristian2738 4 ай бұрын
Usichokijua ni Bora ukae kimya
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 4 ай бұрын
POLE SANA WISE!!! ENDELEA NA UPOFU HUO
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 ай бұрын
Airdrop ni nini mjombaa? 😂😂😂 Mbona mimi ninafanya mining
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 ай бұрын
Na in actual sense wewe unazo pie ngapi ulizopata kwenye airdrop ya pie ?
@JamilaYusuph-oe6no
@JamilaYusuph-oe6no Ай бұрын
🎉​@@ezekielmwadomba4675
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 98 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 63 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 98 МЛН