TEC WASHANGAZWA NA MANENO YA MPOTO SIKU YA KUSAINI MKATABA WA BANDARI NA DPW, WABAKI NA MSHANGAO

  Рет қаралды 25,025

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

9 ай бұрын

#TANZANIA: Mrisho Mpoto awaponda waliokuwa wanapinga Mkataba wa Bandari na Kampuni ya DPW, TEC wabaki na mshangao, "waliokuwa wanapinga wamekuja na tutakula nao mchana"

Пікірлер: 290
@nestor384
@nestor384 9 ай бұрын
Huyu bwana nikiwa mdogo nilijuaga smart kumbe ni bwege tena bwege kweli.. Pumbavu kabisa!
@csato9415
@csato9415 9 ай бұрын
Nchi yetu imekumbwa na uchawa mwingi vijana kwa wazee, hata wenye taaluma zao huziweka pembeni ili wamridhishe mwenye mamlaka ya kuteua.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 9 ай бұрын
Posho ...
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 9 ай бұрын
Zuzu
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 9 ай бұрын
Huyu jamaha kapoteza usanii wake kabisa,yaani kawa wa ovyo kweli, alafu eti wanamshangilia daha,haya bana.
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 9 ай бұрын
huyu ashakuwa zuzu siku izi amekuwa kama bwa anayekula makombo
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 9 ай бұрын
Usitusemee mpoto kuwa watanzania wote tuna muamini mama yako huo ni uoongo wako utusemee, kuwa na akiba ya maneno, wanosema amekosea kutusemea naomba like zenu, nahuyu anataka cheo sio muda,
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 9 ай бұрын
Mtopo si lolote si chochote vipande vya fedha ni shida nafikiri hta uwezo wa akili umeshuka sana ni mpumbavu tu
@user-im9my8wk2d
@user-im9my8wk2d 9 ай бұрын
Yani wazungu wanatushangaa asee mpoto anatoa ufafanuzi bandari kweli !!! Atufafanulie vipengele vya mkataba mama IGA tuone sio kushangilia tu kuna kesho
@ayubukanani648
@ayubukanani648 9 ай бұрын
Yani mpaka tunaona aibu kweli hii akili ndogo kuhutubia akili kubwa
@magrethchakudika2162
@magrethchakudika2162 9 ай бұрын
Njaaa inamponzaa...hana akili anaangalia tumbp lake..shame shame mpoto
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 9 ай бұрын
Kweli waafrika tuna laana.Mungu ndio maana anazidi kuwabariki wazungu hata peponi sidhani kama watu weusi tutaingia kwa unafiki wetu.Viongozi wa Afrika Trump yuko sahihi sana.
@hoseakamchapekaponya3502
@hoseakamchapekaponya3502 9 ай бұрын
Tatizo la mpoto, kichwa kikubwa akili ya kijiko kimoja
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 9 ай бұрын
Bado Senga, joti, na wale wengine wa comedy nao watakuwa wasaidizi wa Rais wakiongozwa na mpoto mrisho.
@hassanrwitita2503
@hassanrwitita2503 9 ай бұрын
Mibangi imemwacha kama yeye
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 9 ай бұрын
Nchi inawatu wa ajabu zaidi ya mazombi
@johnkamwendo3867
@johnkamwendo3867 9 ай бұрын
Nakubaliana na wewe kabisa.
@akimuabdallah8039
@akimuabdallah8039 5 ай бұрын
Na ww mwenyewe ni zombi Tena zombi lisilo na mfano
@helencyprian8745
@helencyprian8745 9 ай бұрын
Hovyooooo kabisa sasa mpoto utajilinganisha na TEC, we empy tu
@nickjuma6020
@nickjuma6020 9 ай бұрын
hata mpoto na uchawa wake anafahamu kabisa kabisa hali siyo nzuri! ni njaa tu ndo inamsukuma kusifia!🙈🙈
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 9 ай бұрын
Kabisa🎉
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 9 ай бұрын
Anajua kwamba siku hizi watu wanazawadiwa vyeo kwa uchawa na unafiki
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 9 ай бұрын
Yaani unaweza kua na mwili mkubwa kumbe bure tu yaani huyu anatuona wote ni mabwege tu
@joejoshua7791
@joejoshua7791 9 ай бұрын
Akaoge kwanza
@user-mp7zk7dk7f
@user-mp7zk7dk7f 9 ай бұрын
Njaa haijawahi kumuacha mtu salama
@eleneokaguo6867
@eleneokaguo6867 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 9 ай бұрын
Njaa njaa, kusanya hicho ukale mihogo.
@user-cw7xy8jh2e
@user-cw7xy8jh2e 9 ай бұрын
Unafurahia maokoto Mungu anakuona hata babu yako alikuwa kijana na Leo ni mzee itafika wakati hizo hela hazina maana kama hakuna utu nilikuwa nakuheshimu kumbe bure
@annakanga65
@annakanga65 9 ай бұрын
Mpoto jitu jinga sana
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 9 ай бұрын
Mjinga ni yule asieelewa kama wewe
@user-yd8sp1qj3w
@user-yd8sp1qj3w 9 ай бұрын
Halafu nilijuaga anaakili sana,kumbe ni debe lisilokuwa na kitu.hala inaonekana amekalilishiwa maneno.
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 9 ай бұрын
Ukimwacha mjinga akufundishe basi nawewe unakuwa mjinga hili jamaa jinga kweli
@filbertkumburu8015
@filbertkumburu8015 9 ай бұрын
Du huyu kweli mpoto mpotoshaji kwani wote wakina Tec huko ndani walipinga au walikuwa wanashauri raslimali nchi zetu? Kweli hapo huyo mpoto anawazodoeni maana hajatenda nidhamu na utumbuizaji wake hata kidogo, alafu anawamaliza wakuja watakula nao chakula pamoja na mpoto ebo!
@epimackjohn461
@epimackjohn461 9 ай бұрын
Ukikaa barabarani ukamuona kichaa anapita anaimba na kucheza utaona Hana TOFAUTI na huyu tunayemsikiliza hapa .
@iddynjonjo
@iddynjonjo 9 ай бұрын
Tunakujua ww ni chawa wa viongozi hujawahi kuikosowa serikali huna jipya
@user-uq7iw9id8m
@user-uq7iw9id8m 9 ай бұрын
Baba utapata uenyekiti wa kijiji Acha ujinga kula hizo help za wezi na were ni mwizi Huna maana
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 9 ай бұрын
Tatazo si lako unafikiria kwa kutumia tumbo
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda 9 ай бұрын
Wachumia tumbo acheni kudanganya watanganyika! Hilo limkataba halifai ni lakilaghai.
@ej.football
@ej.football 9 ай бұрын
😢 poleni sana Maaskofu ,,
@bsmonline8482
@bsmonline8482 9 ай бұрын
Mungu atakujibu siku si nyingi mjomba sisi Watanzania kilio cha uonevu wa watawala wetu ni Mungu ndio anatusaidia sasa we jiamini na huo mwili kwa Mungu we ni mwepesi sana
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 9 ай бұрын
Mpoto ni mpumbavu kama wapumbavu WENGINE.manufaa mnayajua kuliko wasomi waliobobea sheria.TUMEPIGWA NAKITU KIZITO WATANGANYIKA HATUTASAHAU YATAKAYO TUKUTA.
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 9 ай бұрын
mzee kinana hajamwelewa kabisa mpoto,ni kama anasema huyu bwana vipi tena? hii ni aibu kwa Taifa ,ccm tunakwama wapi jamani.
@samweldenis1681
@samweldenis1681 9 ай бұрын
Ndugu yangu umesoma mashariti ya mkataba????. Unachokiongea umekifanyia utafiti???. Sifahamu kiwango cha elimu elimu lakini kama ni maokoto yanakusababishia hayo yote. Nikupe poleee.
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 9 ай бұрын
unazani ataongea nn kashapewa baasha yake wapuuzi niwengi tuu.
@antonyelias866
@antonyelias866 9 ай бұрын
Huyu jamaa taira kabisa
@zakabonifas2144
@zakabonifas2144 9 ай бұрын
Mpoto nilikua nakuamin lakin kwa leo umeniangusha au unanjaa?!!
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 9 ай бұрын
Maccm mumetuchelewesha sanakwasababu yaunafiki nawizi upigaji ushenzimtupu
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 9 ай бұрын
Hela zetu mnazigawa fanyeni hivyo ila mungu anawaona na nguo zenu kijani yaani mpoto ndio mwalimu au ndo msemaji wa serikali?mungu tusaidie
@user-mi8bw4gv4c
@user-mi8bw4gv4c 9 ай бұрын
Nyie maaskofu wangu mmeenda kufedheheshwa na shog?kweli
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 9 ай бұрын
Njaa zao kwani wamelazimishwa. Zinazoenda Vatican ni ngapi
@jonathanmallan4811
@jonathanmallan4811 9 ай бұрын
Huyu ni chawa kama chawa wengine. Hana uelewa.
@user-rn2dl8cf4t
@user-rn2dl8cf4t 9 ай бұрын
Hayo mawzo Yako mfupi hitatokea wote milioni 61 kuana na Imani sawa.
@LaurentWeremaPaul-oj3mq
@LaurentWeremaPaul-oj3mq 9 ай бұрын
Kwani Huyu ndie Waziri wa Bandari? Au
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 9 ай бұрын
Usipotumia akili ,ukazingatia tumbo lifikiri IPO siku utaarisha na kufa bila sababu.
@benjaminmwaipungu279
@benjaminmwaipungu279 9 ай бұрын
Mpoto ni mjukuu wa wapotoshaji waliopotoshwa zamani sana na Ibilisi Shetwani mpotoshaji mkuu.
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 9 ай бұрын
Kama hata mpoto ana kusaidia Rais basi mawaziri wajiuzulu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 9 ай бұрын
Kweli
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 9 ай бұрын
Maaskofu wanaimbishwa mmh!!!
@franciscarsongea7948
@franciscarsongea7948 8 ай бұрын
Maaskofu hawajaimba bwana wanashangaa maneno ya Mpoto hawajayakubali hâta mualiko hawakujua unahusu Nini walijua mkutano tu
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 9 ай бұрын
Yaani rais kwa kupitia mpoto amewadhalilisha viongozi wote wa dini waliokubali mwakiko wake na wangekataa a angesema wamemdharau sasa kupitia kwa hili lijitu amewadhalilisha wote poleni sana waaskofu wetu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 9 ай бұрын
Ikulu pamegeuka kuwa sehemu ya kupigana vijembe yaani uniite unisute.
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 9 ай бұрын
Hivi viongozi wetu wajuu wa serekali mmekosa katiyenu wasomi maprofesa wakutueleza mpaka mkamtumia mpoto kuwasemea kuhusu bandari?,mnafanya lionekane la kisani wakati ni swala nyeti kwa nchi mpoto anajua nini na mnataka nasisi tumisikilize?!!!!!!!!!!,this is shame,who is mpoto in this country?.
@raphaelkorio2435
@raphaelkorio2435 9 ай бұрын
Waalikwa hawana furaha kabisaaa😢
@alexandermutakha882
@alexandermutakha882 8 ай бұрын
Kazi ieendelee
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 9 ай бұрын
We mbwa unabweka, unaimba au unahotuba? Sijakuelewa kabisa na hayo magaun yako kilaza kwel kwel
@user-vl7yy8gz9k
@user-vl7yy8gz9k 9 ай бұрын
Huyu jamaa unajiuliza haya maneno aliyatoa wapi Maana mikataba na Siri Ujanja wa mpoto
@iddynjonjo
@iddynjonjo 9 ай бұрын
Hee vp hiyo ccm
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 9 ай бұрын
Hivi Pdr Kitime naye alikuwepo kwenye kusaini hiyo mikataba na alikuwepo hakujua alichoitiwa maana yule nimwelewa mzuri na tangu mwanzo alikuws nahoja kuendesha wrnyewe
@mariapopitolo5408
@mariapopitolo5408 9 ай бұрын
Sijui limelewa
@alfredmtundu9558
@alfredmtundu9558 9 ай бұрын
Hivi kweli nyie mliekaa hapo mmeitwa kusikiliza mapambio ya mpoto,!? serikali inakosa msemaji mahiri ila mpoto!? Mimi naona ni dharau kwa baadhi ya waliohudhulia hasa ndugu yangu Pd Kitima, maaskofu, na wasomi. Huku hela zichangwa toka ccm zikienda mpoto!!
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 9 ай бұрын
Pesa pesa pesa ni asili ya kumtoa mtu utu
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 9 ай бұрын
Ninachojua Mimi tatizo ni ndani ya mkataba siyo magati, Warioba, Mwambukusi, Shivji name wataalamu wengine wa Sheria hawajaongelea magati. Ni vema taaluma zikae ziijadili kweli maana matokeo yake wasanii wanaanza kufundisha Sheria na kuelekeza huku wamesuka nywele!
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 9 ай бұрын
BIG UP
@rugebwemo1768
@rugebwemo1768 9 ай бұрын
Njaa tupu
@csato9415
@csato9415 9 ай бұрын
OMG... huyu askofu hapo amesikitika na kushika tama kwa maneno hayo ya propaganda ya huyu chawa, ila wakijani wanashangilia na kumtuza, ee Mungu okoa hili taifa na wapotoshaji wa huyu SSH.
@user-ej8kd4og1c
@user-ej8kd4og1c 9 ай бұрын
Mmeumbuliwa msingeenda,mbona vyama vya upinzan vnapoalikwa kwenye hafla visivyoafk havihudhurii? That's shame
@filbertkumburu8015
@filbertkumburu8015 9 ай бұрын
Vipande vya fedha ni hatar sana,em cheki huyo mpoto anavyosema kwa msisitizo utadhania amesoma na kulielewa hilo limkataba la IGA, fedha ni mbaya sana. Ila Mungu alishatuangaliza nayo,"shina la kila aina ya maovu ni kupenda fedha...1timotheo 6:10
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 9 ай бұрын
Watanzania ni wanafiki kweli wachumia tumbo mpoto ni mpumbavu Momoja tu nchi hii hakuna viongozi wenye maono watanzania ni watumwa wa fikra
@filbertkumburu8015
@filbertkumburu8015 9 ай бұрын
Yaani,hata mie nilikuwa nahisi ni mwanamashairi msimamo,kumbe bwege ananunulika tu...yaani anawajaza watu msimamo wake wa uelewa feki utadhani ndio ameusoma mkataba,aiseee..anajiona kama profesa shivji,kumbe mpoto njaa tumboni
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 9 ай бұрын
Huyu mama wa kambo anaiuuza Tanganyika anachukuwa wenye taa ya pesa kama huyu jukha kumsifia upumbavu mtupu
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 9 ай бұрын
TATIZO UNAFKI UMEZDI SI WATANZANIA HATUJA KUBALI WE NDO UMEKUBALI MWENYEWE
@eligidiusmakaka9975
@eligidiusmakaka9975 9 ай бұрын
Huyu ni sawa na Yuda na laana ya hii bandari itamfata mpaka kizazi Cha nne.
@surajatul732
@surajatul732 9 ай бұрын
Amina. Na iwe hivyo hakika
@patrickKitambo
@patrickKitambo 7 ай бұрын
huyu mpoto ni mnafiki sana wakati fulani akiwa ughaibuni alipewa hela akiri kua kilimanjaro na kiswahili ni vya wakenya
@user-hu1ev9pt8q
@user-hu1ev9pt8q 9 ай бұрын
Big chawaz😂😂 yani simuelewagi huyu jamaa, anasifia mpaka anapotea😂😂
@user-mi8bw4gv4c
@user-mi8bw4gv4c 9 ай бұрын
Hao watu weupe app wanatuna machoko kweli
@festokemibala5832
@festokemibala5832 9 ай бұрын
Sasa hapa ni katika mkutano Mkuu wa ccm, mbona visamvu ndo naona vinashangilia tu?
@stevenmarunda4353
@stevenmarunda4353 9 ай бұрын
Siku zote anaye Cheltenham msafara ning'ombe wambele ila anachapwa wanyuma mpoto ww ni ng'ombe
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda 9 ай бұрын
Wachumia turbo acheni kusaport uuzwaji wa bandari. Hilo jambo la utiaji sailini halijafuata sheria zetu, bali sheria zetu zimevunjwa ili hilo limkataba lisainiwe, halafu mnasifia hivyii, mnaakili kweli?
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 9 ай бұрын
Mpoto alikuwa mzalendo was kweli enzi zile Leo haoni Tena ukweli ....tulipenda Kwa uzalendo wake Leo hii amekuwa kibaraka haoni Tena amegeuka mlamba miguu
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 8 ай бұрын
Waheshimiwa Maaskofu mgetakiwa muondoke hapo baada ya maneno ya huyo mshenzi alotumwa
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 8 ай бұрын
Ppoto sijui mpoto ni lipumbavu sana. Linapewa mapesa hovyo hovyo na Serikali limelewa
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 9 ай бұрын
Mpoto wakati WA Mkapa alikuwa anaonekana mzalendo . Kumbe ni nyoka ndani ya ngozi ya kondoo
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 9 ай бұрын
Huyu mpoto hamna kitu Ni mchumia tumbo ndomaana amekosa Akili Ya kutambua faida Ya kuvaa kiatu mguuni mwake hawezi kuhanasisha ujinga wakutembea peku hii inaonyesha Ni jinsigani anasapoti ujinga.
@paulowilly7864
@paulowilly7864 9 ай бұрын
Wambie wezi wenzako ndo maana hapo unafanya maigizo kwenye maisha ya watanzania umenunuliwa kusema hayo halafu unakejeli watu hatukulaumu Kwa ujinga wako tunamlaumu aliyekuagiza useme huo ujinga unatafuta cheo
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u 9 ай бұрын
Tanguy lini tanguy lini zuzu likahutubia mbona hawakumwalika mabukusi
@mwasagamwambuli3513
@mwasagamwambuli3513 9 ай бұрын
Kwanni Mwabukusi ni mwenzao? Hawa wanaalikana menyewe kwa menyewe, alla!?
@michaelabrshamsaidimu367
@michaelabrshamsaidimu367 9 ай бұрын
Mpoto kwa namna hiyo ya kuongea naRais huku unafanya kuokota hela badala ya wanaokutuza wakufuàte kidogo umejiabisha japo hujui kumbuka ulikua unazungumza mbele ya Ràis
@eliamtinda7222
@eliamtinda7222 8 ай бұрын
Njaa mbaya 😢. Aibu kwa maaskofu!
@raphaelkorio2435
@raphaelkorio2435 9 ай бұрын
Yaani maprefessor, madaktari, watu wenye knowledge zao wamekaa kumsikiliza huyuu😢 shame, speak fact and not nonsense
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 9 ай бұрын
Huyu Mpoto ni mbwa kasoro mkia anafaa kuishi porini na mafisi na mbweha njaa inamsumbua.Kafie mbele paka shume we.
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 9 ай бұрын
Duh! Bonge la mpumbavu. Puumbavu sana yaani.
@JosephMsonga-wj4ol
@JosephMsonga-wj4ol 9 ай бұрын
Wanatuona nyani tu
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 9 ай бұрын
Cha mlevi huliwa na mgema. Walevi, wale waliotuza, mgema, Mpoto! Na siku zote mgema ana akili kuliko mlevi. Mpoto kawashinda akili. Je, ni ya kweli hayo kwamba watanzania 61 milioni wamekunaliana!
@akimuabdallah8039
@akimuabdallah8039 5 ай бұрын
Tukana hao walizoea kubebelezwa miaka ya nyuma huku wakitumia mwanya huo kuiba na kufanya unafiki. Sasa kumekucha piga kazi mama. Hao achana nao waliwapinga hata mitume wamelaaniwa na bado tunataka kujenga nchi
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Jamani hizo pesa wapeni watoto wa mazingira magumu wagonjwa hospital wanahitaji msaada.
@paulowilly7864
@paulowilly7864 9 ай бұрын
Wambie wanaccm wenzako ambao kila kitu ccm mbele kwa mbele hata kama kuna shimo wao ni mbele na wao sio watanzania ni waneck ccm
@BernadethaSimba-qi4dw
@BernadethaSimba-qi4dw 9 ай бұрын
Kwani mpoto ni nani mbona anajigamba hebu akapimwe Afya ya Akili yupo sawa kweli anasema milioni 61 amekubali kweli au kwa vile yeye anakula na marupurupu kibao hana maana kabisa mngejua mmewaudhi wananchi
@michaelabrshamsaidimu367
@michaelabrshamsaidimu367 9 ай бұрын
JAMANI WOTE MLIOCHANGIA AU WENGI WENU UCHANGIAJI WENU UNAONYESHA MRISHO MPOTO NI KAMA KAATHIRIWA NA JINA? MPOTO_+ SHAJI mi simo ila uchangiaji wenu
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 8 ай бұрын
Hili limpoto kama lichawi yaani.☹️☹️😟😟😟
@ObediKinkusha-gq8fw
@ObediKinkusha-gq8fw 9 ай бұрын
UJIKO UJIKO UJIKO MM SIMWAMINI RAIS SAMIA KABISA marais watano hawakuona hilo? Ila mm hata nikipewa bahasha watashangaa sintakuwa tayari kushabikia ujinga TEC hawajakubali
@csato9415
@csato9415 9 ай бұрын
Kabisa unaona hao maaskofu nyuso zao si za furaha hata kidogo.
@leahnzali4933
@leahnzali4933 9 ай бұрын
Mbona wanaotaoa pesa kwa Mrisho ni CCM tu
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 9 ай бұрын
Wachumia tumbo bado wako subiria ukuu wa wilaya uteuzi ujao
@alexchawe-ln7dq
@alexchawe-ln7dq 9 ай бұрын
Kumsikiliza hy mbwaa anaharisha maneno maneno yake nisawa na kupeleka gunia mtoni halafu utalajie litajaa maji ni ujinga
@shijahlaurent3100
@shijahlaurent3100 9 ай бұрын
HUYU SI NDIYO ALITEMBEA INCHI NZIMA ANASEMA NYUMBA NI CHOO NA BAKITA WAKAA KIMYA,ETI LEO MNAMKABIZI KUONGELEA JAMBO KUBWA KIASI HICHI KWELI NIMEAMINI SELIKALI HII HAMNAZO.
@eliphasmlengu6331
@eliphasmlengu6331 9 ай бұрын
Huyu jamaa anamfokea nani? Tanzanian kweli haya bwana
@gorettimtungwe9011
@gorettimtungwe9011 9 ай бұрын
Tuna shida sisi, tunaishi kwa amani ya kula Ila akili yetu haiko huru
@paulowilly7864
@paulowilly7864 9 ай бұрын
Kwani mrisho yeye ni nani bandarini chawa na kawaida chawa ni mdudu mchafu na anakaa kwa mtu mchafu
@danielmanko9164
@danielmanko9164 9 ай бұрын
Chawa wa nguvu! ati gati 3 tuu. IGA je? Mbona huiongelei UBOVU na UTATA wa IGA????
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 9 ай бұрын
Kuna baadhi ya watu wata laaniwa wao na ukoo wao wote. Hii di shule bali ni kebehi kubwa?
@catherinemhule6519
@catherinemhule6519 9 ай бұрын
Kumbe huyu baba ni poyoyo? nilkuwa namweshimu Sana. Sasa Hv staki tena kumsikia
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 5 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
KITAELEWEKA! MAANDAMANO YA KITAIFA KUFANYIKA TANZANIA
5:05
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 3,6 М.
Wana wa Israel  -  Mr.& Mrs. Daniel Mwasumbi (Official Audio).
3:09
Ev. Daniel Mwasumbi
Рет қаралды 2,3 М.
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 5 МЛН