THE POWER OF GOD.@kuhanimusa @jehovajiretv #kuhanimusa #jehovajiretv #god #TIKTOKKENYA #TRENDING #TIKTOKTANZANIA #NAIROBI #VIRAL #gospel #kuhanimussa #ngomeyayesukristo #Bellakombo #MUNGU#OBBY #ISRAELMBONYI
Пікірлер: 13
@ishengomahenry264412 күн бұрын
BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH MWENYE NURU HALISI ATUKUZWE AMEEN
@user-ku5so9sb2t13 күн бұрын
Amina ya radi
@ishengomahenry264412 күн бұрын
HAPO NDIO MWISHO WAO WAMETESA SANA WANADAMU
@CleverGalaton-tz13 күн бұрын
Kuhani Musa Yesu halisi Yuko ndani yake, ibada za hapa zimejaa nguvu za Mungu
@user-ku5so9sb2t13 күн бұрын
Abaya walioyapanga kwny maisha Yang yawarudie wenyewe
@ClementinaPaul-sq9ep13 күн бұрын
Fichtua na kwangu mtu Mungu
@MartinaMartinafrancis13 күн бұрын
jamani mungu wangomeni amenifungua leo mimi niko mwaza wati kuhani anaomba huyo mama na mimi nikawa nafatisha chakushangza pepo nikarupuka nakuanza kuvaibureti badae nikawa sawa
@user-yh9yh8no2q13 күн бұрын
Yesu fungua na kwangu baba
@user-yh9yh8no2q13 күн бұрын
Mabaya yote waliyotufanyia familia yangu yawarudie wenyewe
@user-yh9yh8no2q13 күн бұрын
Bwana Yesu mabaya yote waliyokusudia mimi na nyumba yangu yawarudie wenyewe
@ishengomahenry264412 күн бұрын
WACHAWI MUDA WAO UMEISHA KWA JINA LA YESU
@daniellourencojaime13 күн бұрын
Aminaa kubwa yaradi sana 🇲🇿🇲🇿
@InjeeAa-vd4ez13 күн бұрын
Funguwa na kwangu yesu wangomeni naomba mungu wangomeni anifunguwe na Mimi eneorangu niuze kwajina Ra yesu Amina mungu wangomeni anifunguwe nifungukena Mimi kwangu nipate kufanikia kuuza eneorangu iri nibate kupunguza kadi yamungu nimecukua yesu krito nisaidie