video hii inaonyesha jinsi ya kutengeeza tambi za biashara bila kifaa maalum. Kujua jinsi ya kufanikisha zoezi hili tafadhali fuatilia video hii mwanzo mpaka mwisho. kwa video zingine za viburudisho ama snacks,bonyeza link hizi
Пікірлер: 150
@sokanavitabusokavi83223 жыл бұрын
We mama ni shida, unajua ku 'improvise' nimekupenda bure. Hongera! Wewe ni Mwl Fea
@FunnyRainbowTrout-ul6iw2 күн бұрын
Hongera Kwa ujuz hip dada
@ndishajoseph91073 жыл бұрын
Hongera Sana kwa Uamuzi wako mzuri wa kutupatia Elimu nzuri ya Ujasiriamali. MUNGU Akibariki sana kwa kazi zako.
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Amen dear,Mungu akubariki pia katika kazi zako🙏
@calistamuli89732 жыл бұрын
woooow you're so creative, I like it
@WistonRusoni3 ай бұрын
waoooo nimezpnda xan nita jalb nam❤❤❤❤❤
@mwamgenkubiga61682 жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallah
@evaristosanga5628 Жыл бұрын
Nimependa upo vizuri
@zainabubakari67393 жыл бұрын
Asante Sanaa ubarikiwe hivi dada bado hujapata mbadala wa kutengeneza ice cream na kuziuza bila ile mashine inayouzwa milion tatu
@rehematawalani7332 жыл бұрын
Shukran sana sana ukhty kwa kaziyako ya ubunifu
@a.8563 жыл бұрын
Ahsante😋
@shantallcharl49823 жыл бұрын
Nice
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv7 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah
@aishamchatta19022 жыл бұрын
Asante Mungu Akubariki
@saudahassan66673 жыл бұрын
Mashaallah
@illuminatacassian62289 ай бұрын
Asante dada Kwa kutufundisha barikiwa
@AsiaMercy-ft4se17 күн бұрын
Asante sana
@halimaally53333 жыл бұрын
Nzuriii sanaaaaa hongera kwa kutufundisha ujuzi rahisi sana ubalikiwe
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Karibu sana dear🙏🙏🙏asante kwa sapoti yako😍🙏🙏
@halimaally53333 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly asante
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Otherwise, hongera Kwa mafundisho haya
@Ariyacevnni4 ай бұрын
Shukran sana kwa elimu yako
@elizabethfundi15274 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe
@jumaamasoud7382 Жыл бұрын
Hongera sana Dada tunashukuru kwa elimu ya mjasiliamali
@ashranassibu12733 жыл бұрын
Nicee
@joanisdory92313 жыл бұрын
Ahsante sana
@nasraulomi831211 ай бұрын
Nimejifunza asante
@mankamushi6072 жыл бұрын
Asante kwahelim yako mwlim
@LuluMwakipesile-xi2nbАй бұрын
Daaah xhukrani dada angu
@hawahosseni76952 жыл бұрын
Asantee napikaga ila nilikua natumia kisagio cha nyanya nashukur kwa mbinu mpya Asante mungu akujarie dda
@victoriabulambo2029 Жыл бұрын
Asante sana dear
@jolliespicy89252 жыл бұрын
Upo vizuri sana dada angu😍
@rozatimoth52723 ай бұрын
Ni rahic mno asante
@happyyonahoutlook3081 Жыл бұрын
Asante kwa elimu mpenzi😘
@pendogeorge65553 жыл бұрын
Safi sanaaa
@wowclipskanairokenya24063 жыл бұрын
Kutokea Kenya, much love. Nimepata kuyajua mengi kweli.Mungu akuzidishie ukiendelea kutujuza
@AnnaMkoba-vx1cp Жыл бұрын
Asante kwa darasa zuroi
@sifasifa600 Жыл бұрын
Asante sana Dada samahani ningependa kujuwa hunga wandegu
@zainabzainab24222 жыл бұрын
Hongera kwa kufunza wanawake wenzako watapata kufaidika na Ubuntu wako.
@Minosfoods3 жыл бұрын
Maa shaa Allah ahsante dada napenda kuzipika sana
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Karibu sana dear,asante kwa sapoti yako🙏🙏🙏🙏
@joicengowi64242 жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yao naomba nifumdishe kutengeneza penalt bata
@saumuathumani28613 жыл бұрын
Aamiin!
@ratefaratefa26353 жыл бұрын
Nice nimeipenda sana
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Asante sana
@leoniaathuman1038 Жыл бұрын
Asante
@rachelmueni4939 Жыл бұрын
Wow! I like the improvise. Asante sana kwa hiyo elimu.
@hafsamuhani49353 жыл бұрын
Asante sana dada kwa kutupa maarifa, Allah akulipe kheir
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Alhamdullilah🙏🙏 Shukran dear,Allah akutunze pia
@mariamissaahmed76753 жыл бұрын
Wajukuu wangu wapenda sana Tutzipika In shaa Allah Shukran
@Mimi-maryama3 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@jeccaonline77553 жыл бұрын
Asante kipenzi
@maimunabakari16543 жыл бұрын
Masha Allah my dear Allah akupe ujuzi zaid uzid kutuelimisha
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Amiin,Alhamdullilah dear..InshaAllah kikubwa uzima mami
@siriyangu47243 жыл бұрын
Shukran poleni kwa kuondokea
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Amen dear,tushapoa..asante sana kwa faraja🙏🙏
@fatmabakari73503 жыл бұрын
Shukran sana dear
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Karibu sana
@ashayummy22993 жыл бұрын
mashaallah
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Asante sana love
@fatmajezan68123 жыл бұрын
Ameen Yarab
@mishikikoti29483 жыл бұрын
Pole kwa shuuli
@NkambaSosoma28 күн бұрын
❤
@aminaaminaali-ch3vo Жыл бұрын
mashallah nmezipnda sana nlkua najiuliza tambi za aina gn hizi jmn hadi mwsho najua kma ni chauro so sweet thnx
@shanibaniyas63085 ай бұрын
Ameen🤲🏽🤲🏽
@CyberSasaSystems3 жыл бұрын
Asante sana dadangu kwa kutupisha ujuzi huu. Ningetaka kujua jina la unga unaotumia kwa kizungu
@dominikamtewele2103 Жыл бұрын
Wite frower
@josephinamanjoo66312 жыл бұрын
Nimependa madam tjaribu napenda Sana kujifunza niwe mjasiliamal
@Pauline-tv8jr Жыл бұрын
Asate mpenzi mungu ukulinde
@JamilahySingaa-cw9xx6 ай бұрын
amiin
@jamesobedy36872 жыл бұрын
🙌
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Masha Allah sis huku kwetu Zanzibar tunaita chauro
@batuliahmed21132 жыл бұрын
Sisi kwetu tunaita chichiri😊
@queenmadolari15343 жыл бұрын
Yaaaan we dada unajua sana! Yaaaan nakukubali mno sio siri😘😘😘😘😘Mungu akufanikishe ufike mbali zaidi na Channel yako ikue maradufu🙏🙏🙏Nakupendaga aiseee😘😘😘😘😘
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Amen Amen Amen dear..shukran sana kwa maombu mazuri sana..Mungu akuinue pia,ili tusherekee pamoja
@queenmadolari15343 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly Ameeen🙏🙏🙏🙏
@carolinenjagi52043 жыл бұрын
Thank you so much for the beautiful idea ya container,can i use cornfolur if i dont have rice flour
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
You could try,but maybe use all purpose flour instead
@aminaidrisa70253 жыл бұрын
Ongera dada
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Asante sana,🙏🙏asante kwa sapoti yako😍😍😍😍
@mahijamwwchaga78643 жыл бұрын
Asante sana mdada
@hildaayoo68539 ай бұрын
Je naweza kutumia kutumia zile mifuko ya kuifadhia chakula kwa fridge kisha niweke mashimo?
@user-hr9wg5ff6c Жыл бұрын
Dada hongera ila kwa jinsi navyoona unavyoweka mkono wako chini ya hilo kopo wakat unatia huo uji huo mvuke wake jaman usiombeee mmh
@winnifridagerald33673 жыл бұрын
Huwa napika tambi za dengu kg 2 je unga wa ngano naweza tumia kiasi gn na baking powder, nitafurahi Sana Dada ukinijibu 🙏🙏
@rayadam1447 Жыл бұрын
Samahan mpenz,,na izo dengu unavoenda kusaga,,inatakiwa zioshwe kwanza au nasaga ivoivo??
@galaxygroupentertainment6196 Жыл бұрын
i have just saved ksh2000
@winnifridagerald33673 жыл бұрын
Baking powder inasaidia Nn kwenye tambi na unga wa ngano??
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Unamuombea ambae ameshakufa? Ukishakufa umekufa km hukutengeneza na Mungu kabla ndo basi! Ndoaana tinasisitiza Neema ya kutubu kabla hujaondoka. Ndugu stik kwenye bness haya mengine achana nayo
@mbokamtafya5352 жыл бұрын
Samahani cjaelewa namna ya kutengeneza kibao
@HadijaSheban3 жыл бұрын
Mpenzi welcome back na poleni sana😭😭let me watch.. Ameeen Ameeen
@HadijaSheban3 жыл бұрын
MashaaAllah yaani love nimependa sana haya maarifa(hasa kwa mkebe) 🙏🙏 tena biashara hizi zinaenda balaa shukran kipenzi barikiwa. Na mungu azidi kuwafariji
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
🙏🙏🙏asante sana my love😍😍tushapoa,Alhamdullilah ..tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila kitu🙏🙏🙏🙏
@HadijaSheban3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly ❤️❤️karibu sana love
@hannahhassan888110 ай бұрын
Assalam Aleikum je unaeza kutumia piping bag?
@halimafakii1706 Жыл бұрын
Ahsante sana dada yangu somo zuli
@jestinasimkoko7016 Жыл бұрын
Tufundishe tujifunze
@wilsonmafyeko9718 Жыл бұрын
Nimeipenda lkn vp unaweza tumia sukari badala ya chumvi?
@yassirhalimamohammedmohamm59133 жыл бұрын
Asante dada biashara yangu hiyo minimetoboa sufuria dogo
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Wooow hongera sana dear...utafutaji unafanya akili ikomae kwa ubunifu..umefanya biashara hii kwa muda gani sasa?unapatikana wapi?
@neemarobert99992 жыл бұрын
Kumbukizi ya video hiii ubarikiwe dada.,.
@groriamandili23932 жыл бұрын
Naweza tumia kopo la plastic?
@cookwithmsoo3 жыл бұрын
Zimebaki za wageni nije? You're so creative sis, keep up👏
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Hahaha mgeni karibu,uje na kinywaji changu pia😂😂😂😂(a drink)lol
@willamsk97043 жыл бұрын
Wise woman ♥️
@tiffahjuma19702 жыл бұрын
Jmn msaada kwa ansyejua kudawnload video yoyote KZfaq nataka kudawnload basdhi ya mapishi lkn nashundwa
@mwanatz59802 жыл бұрын
Bora ununue cha dukani kwa urahisi.
@hellydalton2678 Жыл бұрын
Maji unayotumia n baridi au Moto!?Na je wakat unachanganya kabla hujaweka maji huweki mafuta!?
@miriammsuya44543 жыл бұрын
najifunza
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Amen,
@twahiamohammed15302 жыл бұрын
Apo kwenye kutumia huo mfuniko wa plastic sjaelewa
@kudralyimo73213 жыл бұрын
Shukran kwa darasa,,mbona mimi nikipika sipati faida inarudi ela ileile ya maitaji nilio nunua nakosea wp?
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Unapika kiasi gani?na unatumia nini kupika?kama niashine chuma IPI unatolea?
@marthamtango2116 Жыл бұрын
Sasa hapo unaweka kwenye nini dada Mafuta au Maji samahan lakn half pia ungetuolozeshea mahitaj hapo chin
@zulfatdidas3693 жыл бұрын
Shukraaaan snaaaaa Nasubr jicho la ngamia 🤣
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
😘😘😘We zulfat wewe hujui kufanya jicho la ngamia??
@zulfatdidas3693 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly 🤣🤣ndio huw navkuta tu home washavifnya navila tu kuulza naona haya maan wanavichambo😂😂
huo muda unao hangaika kutengeneza Hilo kopo c bora ukanunue kifaa maalum kinauzwa 12000TSH mtanzania yeyote hata yule wa hali ya chini ana weza ku afford hichoo
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Huo muda ulohangaika kucoment hapa ungejiuliza kwanza kama kila mtu ana uwezo wa iyo ef12 kama ulionao wewe na badala yake utumie muda huo kumshukuru Mungu amekujalia .