THAMANI ZETU: Je? Watambua Kanisa linaloongoza kwa Maajabu Bagamoyo.

  Рет қаралды 9,174

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

Subscribe / uwazi1
THAMANI ZETU: Ni kipindi kinachoelezea historia ya wapi tulipotokea tangu enzi za Utumwa na wakoloni kabla hatujapata uhuru. Katika kipindi hiki muongozaji wa watalii katika soko la watumwa Bagamoyo, Father Nicetac Kyala, anaelezea kanisa kuu la kristo Bagamoyo, ambalo lilikuwa likitumika kama soko la watumwa,Pamoja na Vito mbalimbali vya Thamani ambavyo vimeachwa na Wakoloni hao,Pia utaweza kujionea mbuyu mkubwa ambao una Historia ya Sehemu hiyo.
/ uwazi1 FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

Пікірлер: 8
@marthasilas4304
@marthasilas4304 6 жыл бұрын
Yes, hilo ndiyo Kanisa Katoliki. Asante sana Pd.
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 6 жыл бұрын
aksante nimefurahia sana kama vile na mi nilikuweko. thanks global tv
@heliernest8885
@heliernest8885 6 жыл бұрын
Umeeleweka kabsaa saf
@simplisiusjustin9126
@simplisiusjustin9126 6 жыл бұрын
Kanisa lenye utaratibu Kabisa
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 6 жыл бұрын
Simplisius Justin tena wenye kuheshimu na kudumishaa Mira na desturi zote.
@simplisiusjustin9126
@simplisiusjustin9126 6 жыл бұрын
Nikanisa pekee lenye uwezo huo
@butangasospeter9322
@butangasospeter9322 6 жыл бұрын
Nagano kufika fr
@eutropiaminja1043
@eutropiaminja1043 5 жыл бұрын
Itapendeza sana ndugu zangu. Hii Jubilei nitaikosa tu kwa sababu hali yangu kifedha siyo nzuri Ila nawatakia kila LA kheri.
Я не голоден
01:00
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 113 МЛН
UZURI WA HISTORIA YA MJI WA BAGAMOYO TANZANIA
13:39
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
Kuelekea Tanzania ya Viwanda, Kiwanda cha Mabati Bora
7:12
Global TV Online
Рет қаралды 16 М.
Я не голоден
01:00
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН