Asante xna kwa kutujuza mengi kuhusu ndege na gari la raisi wa marekani
@Ulayafacts3 жыл бұрын
Naona bongo faster anakuja juuu now tufike viewers 1M
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
Kifo kikija kumchukua raisi huyo ama mtu yeyote Yule hata awe na ulinzi namna gani roho yake itachukuliwa tu..laiti angelijua hukmu imsubiriayo kule akhera hangekubali hao walinzi...Sifa zote kwa Allah aliyeficha kifo,siri hiyo aijua Allah mmiliki na Hakimu wa siku hiyo..Hamjui raisi wala mzalendo wa kawaida..inna lillahi wa inna illaihi rajiun! Woe to him!
@evanceruyumbu63474 жыл бұрын
Kweli ana ulinzi mkali lakini Corona bado inamsumbua kichwa.
@chimuychabaggah72764 жыл бұрын
Big up bongo fasta je unaikubi bongo fast gonga like apa
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Asante sana kwa sapoti
@muriukiwaruru97684 жыл бұрын
He is the best President America has ever had....he deserves it.
@hajihassan54334 жыл бұрын
Kwa Mungu ulinzi wote huo sio kitu. Dunia nzima tunashindwa na Coronavirus. Allah Akbar.
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Mungu ndie muweza wa yote
@ayiikmonybuk70124 жыл бұрын
@@BONGOFASTA akoli moses
@williammaganga35864 жыл бұрын
Kweli ni taifa pekee dunian lenye ulinzi mkubwa
@ABUUHCHUMA Жыл бұрын
Ndiyo ni kwelil
@masterwong64124 жыл бұрын
So nice and high tech plane
@ameirameir2165 Жыл бұрын
Mlinzi ni Mungu peke ake jamni akisema kuwa bas linakua hata uwe na ulinzi wa Hali ya juu
@farajanaket6264 жыл бұрын
Daaah nikitaka kununua hii c nauza Mali ya clan yote but still utackia it is not enough,love it😍😍
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Haha labda ukoo wako uwe na mali nyingu sana.
@omaar56934 жыл бұрын
Baiskeli unayo???
@gastordominic4104 жыл бұрын
Hiyo kuharibiwa duuuh so fantastic
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Wanafuta ushahidi kabisa
@priscamaina41764 жыл бұрын
Hatari sana hii gari, lakini wapi dawa ya Corona
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Hahahha
@nasloyal58864 жыл бұрын
USA 🇺🇸 is the most secure country in the world
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Thats very known those guys know how to secure their assets.
@josephjosephat78264 жыл бұрын
Except for corona
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
Bt put in mind that no human being shall ever escape death! Death is always above all...Allahu Akbar! Allah is the Only Superpower!
@adijahmunyasia14494 жыл бұрын
@@BONGOFASTA why are they dieing with Coronavirus now if they are secure or without corona? Secured people are those who fear God,those who supplicate to God Almighty ONLY,those whose hands never involve in murder or bad things,those who never worship idols nor satan not those who are secured in worldly evil!
@nasloyal58864 жыл бұрын
Adijah Munyasia you talking something everyone’s knows about when i said USA is most secure country it means secure against another country Or enemy’s i don’t know why you mention about corona virus 🦠 Lmao
@masterwong64124 жыл бұрын
It's incredible
@thewayitis96564 жыл бұрын
Gari hili imepewa uwezo kuliko maisha yangu
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Haha hapana maisha yako ni ya juu zaidi.
@thewayitis96564 жыл бұрын
Mm natokea kenya ,,napenda bongo fasta xana xana ,,asante kwa kujibu message yangu ila ombi langu hamjawahi nifanyia ,,kila video zenu zote nishagalia na kusucribe ila niliomba mnieleze kwa kina vile hawa magicians ufanya hio magics ....tafadhali naomba bongo fasta ,,nawaamini sana sana
@bahatimwangoka6493 жыл бұрын
kaka iv baada ya kumaliza muda wao wa utawala huwa wanakua na ulinzi gan pia
@samsonkibona73764 жыл бұрын
ebhana kazi nzuri sana ndugu
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Asante sana kwa kutazama samson.
@hemedmasoud93064 жыл бұрын
Ajenayo uku Mogadishu Somalia tuone kam kitapenya au vp
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Hahhaa itapenda tu
@chescomwakipese34224 жыл бұрын
MNGU yupo lakin naww jiadhar
@kulwaabidi95014 жыл бұрын
Siku ikifika huo ulinzi utakua si chochote
@michaelwandera-ur3ul9 ай бұрын
Jitahidi ulindwe ,si kushinda ukiomba siku ifike,,Even God doesn't love the poor!😔😫
@NiderTV4 жыл бұрын
Hatari Sana
@kelvinthiongo25044 жыл бұрын
8:07 Kuwekwa mafuta yasiyo sahihi hayawezi sababisha kukwama kwa gari hilo. Common sense.
@revocatuxmakoi55534 жыл бұрын
Nakubali
@blackmamba75534 жыл бұрын
Had kesho hii video itakua kwenye trending video
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Haha nasubiri hapa unabii utimie.
@geofreydaniely14703 жыл бұрын
Misiwe nayaharibu hayo magar baada ya kumaliza muda waviongozi hao, mtuuzie sisi tuwape wakurugenzi wetu wa Tanzania wanapenda sana bata.
@aarthuranangwe5324 жыл бұрын
Pia airforce one huaribiwa baada ya Rais kutamatisha awamu yake ama?
@nicksongerson64164 жыл бұрын
Uongo mtupu ... Billion tatu kwako ndio hela nyingi.
@fasconeroh87404 жыл бұрын
First viewer dadeki 😂😂
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Asante sana kwa sapoti fasco
@gracejohn42564 жыл бұрын
Sanaaaaaaaaa
@abdykingomela8483 жыл бұрын
very nice
@jackilinejohn24914 жыл бұрын
Uwoniufahari tuy waduniani je anaweza kusaidiaje wananchiwake au nikutuonesha ufahar anayetulinda ni mungu tuy
@ismailjuma36924 жыл бұрын
vipi malakal mauti kashajipanga?
@saisaikalyasi59984 жыл бұрын
5 view, na nipeni like 5 tyu znatosha
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Hahha zimefika 8
@saisaikalyasi59984 жыл бұрын
@@BONGOFASTA 😂😂🙏🙏
@omaar56934 жыл бұрын
Ebanae ee yani watu hawaelewi umeomba tano umepewa 9,,, so nimeona niongeze ili ziwe 10 ukigawa kwa 2 utapata ile 5 uliyotaka.
@lawagustino18874 жыл бұрын
Za kazi gani
@saisaikalyasi59984 жыл бұрын
@@omaar5693 🤣🤣🤣🤣🤣
@toshaawam6234 жыл бұрын
Tutafutieni historia ye Paul Walker please
@BONGOFASTA4 жыл бұрын
Sawa itakuja hapa hapa
@toshaawam6234 жыл бұрын
Kama akuta kuwa tabu mnaweza weka na fist lady wamarekani