THE CLASSIC SAIGON PT 2 EP1:MICHANO MWANZO MWISHO/AFAFANUA UTATA WA KUIGA JINA LA SAIGON WA MAREKANI

  Рет қаралды 5,779

KuviFacts

KuviFacts

28 күн бұрын

Hii ni sehemu ya pili ya mazungumzo na moja ya wanahihop bora wa muda wote na mkongwe Saigon ambapo katika episode hii anaanza kwa kuonesha uwezo wake wa ku freestyle,pia amegusia point muhimu kuhusu uhalali wa jina lake kufanana na rapper mwingine wa markani mwenye jinal la Saigon ambae wiki moja iliopita alilamika kuchukuliwa jina lake baada ya kuona mahojiano yetu

Пікірлер: 46
@angedizzle1
@angedizzle1 26 күн бұрын
Tuliomuona Saigon toka akiwa yanki wa Tambaza tujuane.
@saidimwishehekienda933
@saidimwishehekienda933 26 күн бұрын
Nikiwa form 1-Njuka 94😃
@maarifanac4739
@maarifanac4739 5 күн бұрын
Ooiii,,mzuka,,,kalinye,, Haya maneno nafikili huyu ndo kayaleta 🔥🔥
@deusfrancis3138
@deusfrancis3138 26 күн бұрын
I can listen to Saigon 24/7…✍️ Nigga got brains, bars, flows, vibes, aura, personality you name it all…🙌🔥, he’s prolly too smart for this generation… They’ll surely miss him when he gone🙌
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 26 күн бұрын
Saigoni ngeli kimasta lafudhi flavalistic
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 26 күн бұрын
Huyu jamaa ni shule "no poverty is hard than ignorance" ni bar naishi nayo siku zote ikiniongoza kwenye mitikasi yangu
@Lg4343
@Lg4343 25 күн бұрын
Hakika huyu faza ni Hazina kwa taifa
@Lg4343
@Lg4343 25 күн бұрын
ngoma yake poverty ndio alitema sana shule
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 14 күн бұрын
Word is Bond coming from the Underground 🇰🇪
@Basagamp4
@Basagamp4 26 күн бұрын
Yaah man Yaah man... Kuvichaka Kuvi Masuti.....Respect Our Big Brother
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 24 күн бұрын
Saigon shule imelala kinoma
@ambelebravo8074
@ambelebravo8074 9 күн бұрын
Saigon master
@christopherjames3684
@christopherjames3684 25 күн бұрын
Mkongwe kabisa kwenye utamaduni huu wa hip hop.
@AzizDhahabu-ib5ci
@AzizDhahabu-ib5ci 26 күн бұрын
Kuvichaka good job mzee Saigon e bwana daah
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 22 күн бұрын
Saigon said: NINI MWANADAMU TONE LA MANII... that hits hard, ngoma inaitwa SOMA
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 22 күн бұрын
Dah am so HAPPY TO HEAR 👂 AGAIN saigooooon He is best mc ever to date Oya nimefurahi sana leo
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 14 күн бұрын
14:53 the Icon akishidwa na defender ajaribu kwa Kaladinga kama anaweza 'atatiwa adabu😂
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 24 күн бұрын
SAIGON KALINYE KALINYE A.K.A TANGANYIKA HIP HOP FIGURE*BLESSED MC
@BabuuWakitaa-pb6gr
@BabuuWakitaa-pb6gr 26 күн бұрын
Big up sana kuvi unatupa vitu adimu sana ambavyo hatuwez kuvipata anywhere else....salute bro kaz nzur
@KuviFacts
@KuviFacts 25 күн бұрын
Pamoja sana brother
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk 20 күн бұрын
Namkubali sana SAIGON NAMWITA TITCHAAAAAAAAA TANGU KTAMBOOO
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 25 күн бұрын
saigon. arud kwa game
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 22 күн бұрын
Hujazeeka mzee nini siri ya kuishi bila uzee
@therevolutionbrandtanzania4909
@therevolutionbrandtanzania4909 26 күн бұрын
DPT for life oooii🗣️
@antonybmwanyalo3576
@antonybmwanyalo3576 26 күн бұрын
Chuma yuko vizuri bravo saigon
@ricchjamez
@ricchjamez 22 күн бұрын
Eeh bwana daah
@westcijosh
@westcijosh 26 күн бұрын
Saigon Legend
@itspatricklucas
@itspatricklucas 26 күн бұрын
Del PLoW MaTZ
@gnmbi
@gnmbi 26 күн бұрын
Barozi ana sound kama prezoo hivi kimtindo
@muddylikwena128
@muddylikwena128 22 күн бұрын
Ndio maana kizazi kipya kilipenya..mbele ya taarabu,boringo na dance yetu....na ukaja kuwa mkubwa..kwa kupitia hawa watu
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr 25 күн бұрын
Dameeeeeeeeeeee a.k.a kuvumisutiiiii
@KuviFacts
@KuviFacts 22 күн бұрын
Ooooooiiiiii
@SalimSalim-ls9lg
@SalimSalim-ls9lg 25 күн бұрын
Aajib sana
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 26 күн бұрын
Oiiiiiiiiiii… ndo mana kala alitumia hili neno kwenye wimbo wa Mstari wa mbele
@hadserhood2823
@hadserhood2823 25 күн бұрын
Saigon tafuta redio uanzishe kipindi cha hip hop we ni kipaji
@saidulaya7308
@saidulaya7308 25 күн бұрын
EBWANAAAA DAAAH😅
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 26 күн бұрын
SAIGON 👍
@kingtoldipset7050
@kingtoldipset7050 16 күн бұрын
MANENO YA BALOZI DOLA SOL YAMENIHUZUNISHA NA KUNIPA HASIRA SANA 😢 ..... NI UKWELI MTUPU ASEE
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 26 күн бұрын
"Suuuu dem pipol" 😂
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 25 күн бұрын
Oi... Oi..oi..oi..😂
@user-gi2sf9sm8t
@user-gi2sf9sm8t 25 күн бұрын
Oiii
@kingtoldipset7050
@kingtoldipset7050 16 күн бұрын
Kwani Majizi haoni kipaji cha huyu SAIGON ?? Au ni kujitoa ufahamu tu? AMpe kipindi cha TV hapo cha HIPHOP BASE mwana anajua sana sijaona kama yeye TZ nzima
@kingtoldipset7050
@kingtoldipset7050 16 күн бұрын
Kwani Majizo haoni kipaji cha huyu SAIGON ?? Au ni kujitoa ufahamu tu? AMpe kipindi cha TV hapo cha HIPHOP BASE mwana anajua sana sijaona kama yeye TZ nzima
@kingtoldipset7050
@kingtoldipset7050 16 күн бұрын
Kwani Majizi haoni kipaji cha huyu SAIGON ?? Au ni kujitoa ufahamu tu? AMpe kipindi cha TV hapo cha HIPHOP BASE mwana anajua sana sijaona kama yeye TZ nzima
@samwelmurro3498
@samwelmurro3498 7 күн бұрын
Huyo ni muanzilishi wa vipindi vya miziki ya hiphop EATV huyo ni myangazaji mkongwe ameamua kuacha
Mkasi - SO4E03 with Saigon
28:08
MkasiTV
Рет қаралды 78 М.
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 30 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 14 МЛН
YOUNG LUNYA NA WAKAZI KIMEUMANA LIVE TIMES FM
28:34
TimesFMTZ
Рет қаралды 13 М.
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 30 МЛН