Kwa maombezi ya st padre Pio uwape nafuu wagonjwa wote pale nyumbani kwangi
@jescaedwardkurumela4333 Жыл бұрын
Kwake yeye aaminiye pekee apokee. Jambo ili Ni jepesi kwa Mungu
@benedictamponguliana1849 Жыл бұрын
Benedicta Padre Pio kwa Mama Bikira Maria utuombee katika shida zote za roho na mwili
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
mtu aliyekufa hawezi kukuombea! maana Biblia inasema mtu aliyekufa hajui chochote! soma Mhubiri 9:5
@dovickybruno3861 Жыл бұрын
Kheri wafu wafao katika kristo. Sikia. Upo uzima usio na kikomo ukizaliwa katika kristo YESU,,unakua ufu katika mwili lakini si katika Roho. Soma agano jipya na Roho wa MUNGU akuongoze kuyajua mambo hayo. Macho yetu huona pafupi sana.
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
@@dovickybruno3861 unajaribu kutetea uongo ulopakwa rangi na shet