No video

Mpina Aunguruma Baada ya Kusimamishwa Bunge, Asema Yupo Imara. Aahidi Kwenda Mahakamni Kudai Haki

  Рет қаралды 36,516

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Mbunge wa Kisesa kupitia CCM, Luhanga Mpina amezungumza kwa mara ya kwanza tangu asimamishwe kuhudhuria vikao 15 vya Bunge hadi Novemba 2024.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Juni 29, 2024, Mpina amesema kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamati ya Bunge haikumtendea haki katika sakata lilopelekea adhabu ya kusimamishwa Bungeni.
Mpina ameeleza kuwa atampeka pia Mahakamani Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kwa madai ya kuvunja Sheria katika kutoa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi.
Katika hatua nyingine ameeleza kuwa, kitendo cha kusimamishwa ubunge hakijamvunja moyo na kusisitiza kuwa lazima mapambano yaendelee.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 156
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa Ай бұрын
Hongera sana mpina, wananchi tupo na wewe. Adui zako wote Mungu atawaondoa....endelea
@HASSANSACHU-zu1gv
@HASSANSACHU-zu1gv Ай бұрын
😢
@TuntufyeBrayson
@TuntufyeBrayson 24 күн бұрын
Adui wa mpina ANATAKIWA kuwa adui wetu kwasababu adui wa rafiki ako ni adui yako
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 16 күн бұрын
Maneno yakomupina yangekuwa Natijakama ungeongea kubadrisha katibampya pamoja nasheriambovu lakini kwavile watzwenginivilaza hawaelewi kinachoendelea
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b Ай бұрын
Mh Mpina uko vizuri sana tunakuunga mkono hatutakubali ufukuzwe ccm wengi wapigaji sana
@NoahPhilbeth
@NoahPhilbeth Ай бұрын
Jipe moyo utashinda kaka yetu mpendwa Kila anaefanya kilicho chema Mungu yupo nae mda wote wala usikatee tamaa tunakupenda Kwa kazi zako nzuri
@mlulomugema3025
@mlulomugema3025 Ай бұрын
Mpina ni mbunge wa Jimbo langu la kisesa kwa kweli wananchi wa Jimbo la kisesa tumeonewa sana kwa kutuondolea mwakilishi wetu bungeni kwa kipondi hicho mungu ni mwema atakulinda utarudi bungeni kutuwakilisha wanakisesa kisesa oyeeeeeeees,mpina safiiiii
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 Ай бұрын
Stay strong 💪 MPINA, we are with you and keep living the truth ✌️
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 26 күн бұрын
Hongera tena niliona wabunge wote wa CCM Walifurahia kusimamisha kwako, mpaka wabunge wengine waliongeza siku za kufungiwa kwako tena kwa makofi.
@michaelmtale-fi9ze
@michaelmtale-fi9ze Ай бұрын
Nakukubali sana mpina unaupiga mwingi km maguguli unaitetea nchi
@LeahKazeni
@LeahKazeni Ай бұрын
Ukoo vzr sana Mungu akutunze
@MatelephoneMatelephonee
@MatelephoneMatelephonee 22 күн бұрын
Blessed
@barakavalencendola1117
@barakavalencendola1117 21 күн бұрын
Daa nimekubali sana mheshimiwa
@vicentLusana
@vicentLusana Ай бұрын
Hongera Sana mhe tuko pamoja
@user-rn1en4tq5z
@user-rn1en4tq5z Ай бұрын
ISHA ALLAH MUNGU YUPAMOJA NAWE HII NDIO DUNIA KUNA WATU WANAJIANGALIA WAO VYOTE TUTAACHA APAHAPA
@claudshuya3243
@claudshuya3243 Ай бұрын
Pole sana tuko pamoja
@fauluonlinetv
@fauluonlinetv Ай бұрын
Duuuuh hatar sana Spika badala awe refa anakuwa wa upande flan
@ajmalhassan8848
@ajmalhassan8848 Ай бұрын
Allah atakusimamia kaka
@LesiJama
@LesiJama Ай бұрын
Pamoja sanaa kamanda
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Ай бұрын
Toa namba tukutumie Hera walizokuta wanainchi tunakuelewa
@chrispinechristian238
@chrispinechristian238 Ай бұрын
Uko sawa kabisa mweshimiwa
@HenryKasaje-on4xq
@HenryKasaje-on4xq Ай бұрын
Hongera sana mpina kwakutetea wananchi wako niviongoz wache kama wewe
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 18 күн бұрын
Yaani mimi sijakubaliana yaani watanzania tuharibikiwe kwa sababu ya hiyo wanasema heshima ya bunge sisi wanainchi ndio tuliowapa heshima
@mondayfadhili-li5qm
@mondayfadhili-li5qm Ай бұрын
Hongera sana mh.mpina kweli wewe niMwana TANU halisi,kwani Viongozi wa TANU walikuwa kama wewe Wana TANU Walijali sana Masilahi ya Wananchi kwanza.Umewataja Bw.Yesu Mtume Mohamadi SAW umemsahau MAGUFULI Nae pia ni wakujifunza kwake.Pambana tupo pamoja ktk Kweli.Mungu akujaze NGUVU_:Amin
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Ай бұрын
Acha kumuweka Magofuli na mitume Ya Allah hivi uyo Magofuli ww alikupa nn
@EnjoyKato
@EnjoyKato 27 күн бұрын
Pore sana mh penye ukweli uongo hujitenga usikate tamaaa endeleaaaa
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 Ай бұрын
Wapiga kura kwa Mpiga hingereni sana kutuletea kijana huyu.Sasa wale wa Bashe na spika na wale wote waliyomsulubu kijana huyu watanzania tunawaangalia
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 Ай бұрын
Bashe hahusiki na tuhuma ya sukari,anayepaswa kuwajibishwa ni aliyekuwa waziri wa biashara na viwanda .
@SelemanMhana-ol7tk
@SelemanMhana-ol7tk Ай бұрын
Jamani nisaidieni mimi sina cha kufanya juu ya Mh.Mpina lakini nisaidieni ni namna gani 2025 nikampigie kura halafu nirudi jimboni kwangu
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 16 күн бұрын
Kutabiri kwa lemA kumetimia tayari, SASA ngoja tuone watakavyozidi kutafunana eemungu tusaidiye utujariye umakini ktk nchihii
@AthumanMatitu
@AthumanMatitu Ай бұрын
Pambana upo pamoja na mungu
@israelzakayo5179
@israelzakayo5179 Ай бұрын
Mwachie mungu ndie mueza yote. Ataingilia kati mungu.
@leahkathure5759
@leahkathure5759 25 күн бұрын
Simama na aki mtu mungu atakubariki wengi wako pale juu ya tumbo zhao
@user-cr1ft3xe4h
@user-cr1ft3xe4h Ай бұрын
Nimekupenda bule kwa Hilo mpina
@ramadhan122
@ramadhan122 11 күн бұрын
Mpina umekosea sana hiya sio samaria uliyo pima kwa yule aliyo pima samaria kwa rula
@iddyamana545
@iddyamana545 Ай бұрын
Pamoja sanaaa nakukubaliiii
@mwajumaadam6068
@mwajumaadam6068 Ай бұрын
Mimi nasema hii nchi itapigwa mnada kama ndugai alivyosema maana wezi ni wengi sana huko serekalini
@AmiriAmiri-x2z
@AmiriAmiri-x2z Ай бұрын
hujakosea inch itapigwa mnada viongoz wakubwa wamekuwa maharani wa inch.ndio maana luhaga mpina kafanyiwa zengwe.
@Sebastian-l9n
@Sebastian-l9n Ай бұрын
Mr mpina nakukubali tutetee watanzania tutajupa nini watanzania hongera san
@esronyuba2575
@esronyuba2575 Ай бұрын
Mungu akulinde kiongozi ukweli utabaki kuwa kweli
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe Ай бұрын
Mi niko Dsm ila naomba uzima 2025 niende jimboni kwa Mpina nikampigie kura arudi
@VolvoMwamakula-ci2we
@VolvoMwamakula-ci2we Ай бұрын
Umeonewa sn bro pole sn
@barakavalencendola1117
@barakavalencendola1117 21 күн бұрын
Mzalendo sana huyu jamaa
@Samweli-zt4yl
@Samweli-zt4yl 16 күн бұрын
Serikali yetu imezoeawizi
@ChristantusNyambo
@ChristantusNyambo Ай бұрын
Hatari sana
@petermboje5839
@petermboje5839 Ай бұрын
Mpina uko sawa wapeleke mahakamani kaka
@briankatani6770
@briankatani6770 Ай бұрын
Mzee pole sana
@EmanuelyMaiko-cd8vm
@EmanuelyMaiko-cd8vm Ай бұрын
Makufuri mpya
@TumainiMashamba
@TumainiMashamba Ай бұрын
Mm sikusapoti hata kidogo uliumiza sana wavuvi
@gkanyanda1173
@gkanyanda1173 Ай бұрын
Wamekuonea!!...lazima uwahoji ili wajibu..hawana hoja wamekuonea
@AbdullatifMbago-cn3pc
@AbdullatifMbago-cn3pc Ай бұрын
Kuna siku mheshimiwa bwege alisema ipo siku bunge litakuwa halina upinzani Mtasokolana wenyewe kwa wenyewe
@user-bi7gk7im4f
@user-bi7gk7im4f Ай бұрын
Aisee bwege aliona mbali sana,Sasa wanasokorana wenyewe
@ShijaMayunga
@ShijaMayunga Ай бұрын
Jembe kabisa hili
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Ай бұрын
Kama jambo hilo ni la haku Kwa watanzania basi Mungu hatasimama
@user-ov1ew4jf7j
@user-ov1ew4jf7j 19 күн бұрын
Wa unge wote wange kua kama mpina kwkwel taifa lisinge kua Lina ibiwa asilimali za taifa
@rahma6189
@rahma6189 Ай бұрын
Mungu atakutetea
@christophermahava3826
@christophermahava3826 Ай бұрын
Ok
@dismasmasaga.3581
@dismasmasaga.3581 Ай бұрын
Fact sana
@HamisiSheka-lr4vh
@HamisiSheka-lr4vh Ай бұрын
Mpina mungu yupo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 26 күн бұрын
Mpina tuko pamoja nawe na ulionewa sana huyu mama ni mchawa wa serikali hasa mama yake, Mwigulu kwa hii Tulia yeye yupo kwa ajili ya mafisadi.
@NicksonAlphacapitalGroup
@NicksonAlphacapitalGroup Ай бұрын
Tatzo Spika hatuna...
@OmaryHussen-td4ok
@OmaryHussen-td4ok Ай бұрын
Spika hatuna
@mwajabuYusuph
@mwajabuYusuph Ай бұрын
Aiseeee ni aibu 😢😢😢😢😢
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Ай бұрын
Mpina Bima ya Afya kama alivyoshauri Mh Shabby Moro shaurini
@saxannjo6173
@saxannjo6173 Ай бұрын
Wanyooshe wezi haooo
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Mpina hii awamu ya sita ni ufisadi tu,hata useme nini, mafisadi ndiyo wanalindwa, RIP JPM
@ChristinaThomas-y8m
@ChristinaThomas-y8m Ай бұрын
Magufuli alikuwa imala sana naalikutana navikwazo vingi sana, na mpina nimtu nanusu, sikizote maadui hua hawapendi kuona mtu anafanikiwa na anafanyakazi ipasavyo ,
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Ай бұрын
Nyinyi ccm wajanja tu hamna lolote😊
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n Ай бұрын
Ukienda mahakamani japo nihaki yako nahuko watakushinda kuna mikono yao
@Ufalme_Wenye_Nguve
@Ufalme_Wenye_Nguve Ай бұрын
Una hoja za Msingi za kuliokoa Taifa,,,, ila tunasikitika Bunge letu limekuwa la ndio mzee.
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu Ай бұрын
Mpina uko viziri, ndiomaana ulipendwa na Magufuli
@eliaskitundu7377
@eliaskitundu7377 Ай бұрын
Pole Mzee tutakuwa pamoja
@SebastianModesti-y7r
@SebastianModesti-y7r Ай бұрын
Mpina endelea kupambana tunakuunga mkono MUNGU naakupiganiye sana
@hashakishabani4896
@hashakishabani4896 Ай бұрын
Kaka mpina naimani allah ashindwi na chochote atakusimamia.tunaumia sana watanzania ila allah atatenda kazi yake kwa hao wanaojiona tanzania ni yao.
@BunzariSisa-bi8jl
@BunzariSisa-bi8jl Ай бұрын
Yani inauma sana kufukuza mbunge
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 Ай бұрын
Spika hana shida ni Wa mbunge wezako
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o Ай бұрын
Hata samia hana lolote atawafukuza hata watu wakigoma ulizeni watu wakia na ngororo mungu wangu
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
🤔
@lekishonmolele1859
@lekishonmolele1859 Ай бұрын
Pole sana mtumishi wetu lakini wachana na hao machawa choo chadema ndio tuwasumbue kwasababu ww unaweza kutetea wanyonge
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Ай бұрын
Tulia alikua kipind cha magufur na dhan tulia yule ame ondoka na magufur sasa ukiwa na pesa uko na haki zote😢😢
@user-oe3pq1sg6q
@user-oe3pq1sg6q Ай бұрын
Huyo ni mzalendo wa nchi hii.
@OmaryHussen-td4ok
@OmaryHussen-td4ok Ай бұрын
Yani huyo spika anatuboa wananchi, kwa hiyo anataka tuwakilishwe na ndugu zake, huyo spika andoke au ajuzulu.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Kiongozi asiyekubali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi soma katiba ya ccm kuna siri nyuma ya pazia
@WinfordMosha-x7y
@WinfordMosha-x7y Ай бұрын
Waburuze mahakani hats mm nitachangia Mia yangu mafisadi wakubwa
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Ай бұрын
Mm ni chadema damu lkn watu kama mpina wanaotetea nchi nawakubali sana kama magufuli alivyokua hataki kuwapa wazungu ama waraabu kupewa mali zetu na wakati cc tupo hoi
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Ай бұрын
Mpeleke huko chagadema atawasaidia
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b Ай бұрын
Wabunge wa CCM hawatusaidii kuttetea wanted matumbo yao
@OmariMbwana-o8k
@OmariMbwana-o8k Ай бұрын
Mpina pambana kk ukweli hua hautakiwi na wengene maana utawahalibiakuala
@barushegpsonlinetv4711
@barushegpsonlinetv4711 Ай бұрын
Hapa ukitumia tafakari ya kina kuna kitu kinagundulika ambacho kimekuwa kikitokea kila inapokalibia mwaka wa uchaguzi. KITU AU SIRI HII ITAONEKANA MUDA MFUPI UJAO.
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of Ай бұрын
Mungu mkubwa ipo siku yataisha tuwe na subra tu
@DouglasChuwa-ec7mv
@DouglasChuwa-ec7mv Ай бұрын
Mpina kumbuka kwenye msafala wa mamba hata kenge wp
@NicholausManyama
@NicholausManyama Ай бұрын
Hao ndivyo walivyo wanasimamia matumbo yao
@user-sf9jc5zq7k
@user-sf9jc5zq7k Ай бұрын
Mpina taja nambayako tukutumie pesa blaza kwa kututetea watanzania wengi apo mabogas
@YOHANAMADATI
@YOHANAMADATI 26 күн бұрын
Ummmm
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Ай бұрын
Hivi inawezekana kupiga Kura jingine? Mm Niko tayari kwenda Kisesa nikampigie Kura ,nipe jibu
@MichaelPeter-gh9yv
@MichaelPeter-gh9yv Ай бұрын
Nenda chadema
@user-ex9gt9np8i
@user-ex9gt9np8i Ай бұрын
Tunaomba namba yako tukutumie hela ya maji mungu akupiganie
@user-ux3xu9gs8d
@user-ux3xu9gs8d Ай бұрын
Tunaitaji chama bora ili kuokoa viongozi wazalendo jamani chama kianzishwe sidhani vyama vilivyopo kama vina weza vika tufikisha watanzania tubadike
@user-ez7lk3it5s
@user-ez7lk3it5s Ай бұрын
Wewe.nimzarendo.wakweri.sikuzote.kizuri.hakidum.simama.kirajambo.rina.mwanzo.namwisho.simama.namungu.ipo.siku.ukweri.utajurikana.tu.make.wewe.nimtetezi.wawabyonge.kama.arivyo.kuwa.makufuri.tuna.wategemea.sana.tena.sana.
@MartinYakobo-io1og
@MartinYakobo-io1og Ай бұрын
Mbele kwa mbelr
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li Ай бұрын
Mungu ahusike na wabunge wa namna kama Tulia
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li Ай бұрын
Bado areas zsngu na nauli za mizigo mm Mstaafu
@user-zr1wl5zk4i
@user-zr1wl5zk4i Ай бұрын
Kwani nynyi c ndomlikua mnawafukuza chadema ? Mkukikwanguruwe
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 Ай бұрын
Acha unafiki ulikuwa waziri nn kilikutoa
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Wakina lissu wengekusaidiya haya ndiyo matatizo
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Ай бұрын
Mpina ukihitisha maandamamo leo, utaungwa mkono haijawahi tokea hapa tz
@DanielMao-t3g
@DanielMao-t3g Ай бұрын
Baba chonde chonde endelea kutetea maslahi ya watanzania
@Petro.John.
@Petro.John. Ай бұрын
Mambo ya Lema yametimia.
@user-kq4yx3lg6f
@user-kq4yx3lg6f Ай бұрын
Mpina wewe umezaliwa kwa ajili ya kuwatumikia wa Tanzania na Mungu yupo pa1 nawe aho mashetani watashindwa tu.
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 32 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 109 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 191 МЛН