No video

Mazungumzo na Idris Sultan: Watengezaji Filamu Wako Huru Kiasi Gani Kufanya Kazi Zao?

  Рет қаралды 642

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Hii ni sehemu ya kwanza ya mazungumzo maalum kati ya The Chanzo na Idris Sultan ambapo msanii huyo anazungumzia kwa upana tasnia ya filamu na sanaa ya ucheshi nchini Tanzania.
Sultan, ambaye pia anaigiza, anasema kwamba kuna mambo yanapaswa kurekebishwa Tanzania ili tasnia ya filamu iweze kutimiza lengo lake vizuri kwenye jamii.
Moja ya mambo anayofikiria yanapaswa kufanyika ni mamlaka husika kuruhusu utungwaji wa filamu kulingana na umri wa mtumiaji, uamuzi utakaondosha utaratibu wa sasa ambapo filamu zote zinazotengenezwa ni lazima ziweze kuangaliwa na watoto.
Sultan anaamini kwamba sharti hili linadumaza ubunifu wa wanafilamu, na anatoa wito kwa mamlaka husika kufanya mageuzi kwenye eneo hilo.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 1
@saidrashid8342
@saidrashid8342 2 ай бұрын
Nawakubali sana
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 2,3 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 19 МЛН
Maandamano Ngorongoro: Chakula Porini
1:22
Land Dwellers
Рет қаралды 1,1 М.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 15 М.
NURU SHORTFILM
23:18
Irene Uwoya
Рет қаралды 437 М.
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 2,3 МЛН