TOBAA YARABI .JUSSA TENA NA SEREKALI YA MAPINDUZI MHH KWA MADONGO HAYA EBU TAZAM UONE KINACHOENDELEA

  Рет қаралды 27,296

RVS Online Tv

RVS Online Tv

Жыл бұрын

Join this channel to get access to perks:
/ @rvsonlinetv
JOIN TO OUR WHATSAP GROUP AS MEMBER OF RVS:
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/KZi1LtLlTmX...
#HABARI #UPDTAEHABARI #RVSONLINETV @RVS
Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
RVS SQUAD YETU
WAANDISHI NA WANA HABARI :
1. SALMA MASHAKA MAYUNGA
2.YUSRA SAID SHAABAN
3. ABOU BAKAR ( BABROMA )
4.CHRISTOPHER MARTIN
CAMERA MAN :
1.SEIF PUCHE
2.HAFIDH KHAMIS ( FII )
3.UST KHATIB SALUM
4. HARITH
5.HAFIDH OMAR
EDITOR :
1. SAID KOMBO ALI
2.SEIF PUCHE
HAO NDO WANAOTMBULIKANA N RVS ONLINE TV
== JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NASI RVS ONLINE TV ( +255 772 666778), ( +255 719 700015)
⚫️ Email: rvsteam2020@gmail.com OR rvsteamhabari2020@gmail.com
TEMBELEA WEBSITE YETU YA RVS ONLINE TV👇👇👇👇
👉👉👉👉: www.rvsonlinetv.com
FACEBOOK: / rvsteamhb
INSTAGRAM : / rvstv2020
TWITTER : / online_rvs

Пікірлер: 46
@hulukasefu
@hulukasefu Жыл бұрын
mimi mtanganyika naona sawa ukivunjika kwa sababu znzibar kuna utamaduni wa heshima za ksiramu sasa tumewaingiria watu wa bara sasa rana tupu visiwani mungu awabariki na hekima yenu amina?
@hajikhatibhaji9434
@hajikhatibhaji9434 Жыл бұрын
tupo pamoja na wewe ata ukivunjika tutaishi pamoja tushakua ndugu
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 Жыл бұрын
Nauvunjike marehemu karume wamemuuwa baada ya kujuwa anataka kuuvunja muungano wanalazimisha hatutaki muunganoooooo
@stonetown578
@stonetown578 Жыл бұрын
Well said Mr Jussa
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
HATUUTAKI MWISHO CHUMBE VIZIWI WANAFIK MAJAHIL MOTO UNAWASUBIRI IN SHAA ALLAH AMEEN
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 Жыл бұрын
Jussa ni kiongozi wa kweli
@sadih5333
@sadih5333 Жыл бұрын
Haya ulio malizia mimi ndio nanayo taka kuyasikia
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 ай бұрын
MA SHAA ALLAH . Kama baba yake akihutubiya mbele ya. MMALAWI Karume 1967/68/1/70. MA SHAA ALLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MohdOthman-yz2wv
@MohdOthman-yz2wv 3 ай бұрын
Vizur sana wape ukweli nakuaminia
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu Жыл бұрын
Jussa hongera ,mameno yako ni msumari
@abuubakarhaji2078
@abuubakarhaji2078 Жыл бұрын
Kweli bwana jusa
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 3 ай бұрын
Mhshikiwa Riami na yy yupo wapo??? Namkubali sana naye chuma!!!
@abdiomanzanz1655
@abdiomanzanz1655 Жыл бұрын
Safi sana wape vipande vyao watangayika kama hawataki na uvunjwe hatuutaki muungano na umezungumza mda mchache sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp 9 ай бұрын
Mama samia hoyeeee
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 Жыл бұрын
💯🙏
@morrisabdon7881
@morrisabdon7881 Жыл бұрын
Duh, 😀
@alihaji215
@alihaji215 Жыл бұрын
Uvunjike tuu agh
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Bendera JUU ya bendera...duuu
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Hoja za Ismail Jussa hazihojiki bila ya Mabunduki kutoka Tanganyika.
@MaulidAli-cq4nf
@MaulidAli-cq4nf 6 ай бұрын
Kamuulize mama ako
@zahiribrahim8319
@zahiribrahim8319 Жыл бұрын
Bwana we hebu maneno yako yawe na nasaha usizungumze kwa hasira tena kwa sote ok...Good luck 😅😊😇🥰😇
@maryamahmed1753
@maryamahmed1753 Жыл бұрын
Paje
@mattarmattar3026
@mattarmattar3026 Жыл бұрын
Umewapa yawapasayo muheshimiwa yanaridhisha hata Mimi nikiitafuta Ili niwambie kauli hii lkn sikua nayo shukraan mh. Jussa
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 3 ай бұрын
Na tuanze tartiiiiiiib na kutafuta mifumo ya FIFA Zanzibar. Ausio
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp 9 ай бұрын
Ccm hoyeeeeèeeeee
@user-oi5bi8sc1g
@user-oi5bi8sc1g Жыл бұрын
Ulifanyika wapi huu mkutano
@7675kio
@7675kio Жыл бұрын
Mimi ni Mtanganyika halisi lakini napenda muungano. Nchi za Afrika zinatakiwa kuungana ili ziwe na nguvu dhidi ya mabeberu. Wasiojielewa wanabeza muungano na wanataka uvunjike. Malalamiko ya pande mbili yanaonyesha tu mapungufu ya Muungano ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi lakini sio kuuvunja. Wanasiasa kama hawa ambao wanapiga makelele tuwapuuze. Hivi Watanganyika wananufaika vipi na Muungano huu? Badala ya kupapmbana na madui wanaotufanya tuwe maskini tunapambana na Muungano?
@MaulidAli-cq4nf
@MaulidAli-cq4nf 6 ай бұрын
Mnadanganyana nyie nigombee peke yangu rais hamshindi
@marwajoseph8060
@marwajoseph8060 Жыл бұрын
Acheni porojo hii inchi ni ya mapinduzi kwahiyo kaeeni kimya
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Unayajua mapinduzi ww
@HemedHemed-qp2wt
@HemedHemed-qp2wt Жыл бұрын
Fala sana ww
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp 9 ай бұрын
Kwenda mnafik mkubwA ww huna maana mwehu KUCHUU ww sura kma ngamia mwitu fala sana ww sengee mkubwa weyeee
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 8 күн бұрын
Nyinyi ccm ni watu mulio kuw hamuna akili mana nynyi no wavamizi Zanzibar
@aliabdallah5183
@aliabdallah5183 Жыл бұрын
Shehe siasa hizo zamaneno ya kijinga zimepitwa nawakati
@SimaiHamdusimai-mk9lc
@SimaiHamdusimai-mk9lc Жыл бұрын
0
@seifamir2588
@seifamir2588 Жыл бұрын
JUSA WE WE MUHINDI TU.KAONGELE MAMBO YA INDIA .AFRIKA HAIKUHUSU KABISA.
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Wewe ni nani kwani, na unatokea wapi. Kwenu.. ?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@seifamir2588 Ismail Jussa hatetei India wala Afrika bali anatetea Zanzibar, Nchi yake alikozaliwa tafauti na Hussein Ali aliyezaliwa Tanganyika. DAMU NZITO KULIKO MAJI
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Ivi ww mpuuzi alie kuambia watanganyika wanataka uo muungano ni nani? Labda ao ccm , nyinyi ndo mnanufaika Bara uku mnanunua ardhi wabunge wenu tunawalipa, kazi yenu porojo tu,
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 8 күн бұрын
We chizi nini izo ela tuna waletea ss zanzbr mbwaa nynyi
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 8 күн бұрын
@@SuleimanMussa-x5i ela gn inaonekana ata shule ujaenda kijisiwa kituletee Bara ela🤣🤣🤣tuna Bahari tuna Tanzanite tuna gold tuna maziwa tuna mlima cjui nn atuna kenge ww nyinyi c mnakula popo na kenge Rudi shule ukasome
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz Жыл бұрын
Nimebaki kucheka hapo kwenye kuporwa kila kitu muda huo mlilala fofofo au vipi ? Na kwa taarifa yenu kuhusu bandari sio tanganyika tu ni kuanzia huko kwenu pemba unguja mpo hapo? Tafuteni ule mkataba muusome vizuri
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
DUA ZA MASHEKHE WA UAMSHO NA HAKI ZAO MIHADHARANI Kwa vile Mihadhara imeruhusiwa, Mashekhe wa Uamsho nao warudi kwa sababu Uislam haubagui Siasa kama ilivyo Ukiristo kwenye Biblia.
@rauhiyasaad5384
@rauhiyasaad5384 Жыл бұрын
Mh mtihani, ndugu yangu wewe siasa sio jihadi. Unawaambia wenzio warudi kwenye ujunga huo. Bora wende kwenye madarssa watufundishe nini uislamu maana wengi tunajita waislamu lakini hatuujui.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@rauhiyasaad5384 Ahsante. Maelezo yangu ni Kijembe kwa watowaji Hoja ya kuwa "Chama Cha Mapinduzi Kitashinda Kwa Kishindo" (Kwa Mabom) ya Dola ya Tanganyika kwa Waislam wa Zanzibar. Mbali ya Waislam waliouliwa Unguja (4) na Pemba (17), walioteswa na kutekwa. Jeshi alisema: "Huyo Ismail apate "Kipigo Cha Mbwa Koko" hadi sasa ana Kilema. Kufuata ilani ya Chama Cha Mapinduzi Tanganyika itawale Zanzibar Daima, lengo la Nyerere kabla kuwa Rais na kuvamia Zanzibar. Hoja ilijibiwa kuwa: "Chama Cha Upinzani Hakina Uwezo wa Kushinda." Ni kweli kwa sababu Hakina Dola wala Majeshi Kushinda bila ya Wizi na Uvamizi wakati wa kila UCHA-WIZI (Uchaguzi wa Wizi) kwa Zanzibar. Kukhusu Uislam ni kiporo kwa sababu Lengo la Mapinduzi sio Kupindua Warabu kama inaivyopotoshwa bali Kupindua Uislam Zanzibar na Tanganyika. William Lukuvi na Paul Makonda walithibitisha Makanisani ingawa Waislam huambiwa: NCHI HAINA DINI.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 76 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 169 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 79 МЛН
Vyovyote wanavyotaka wao, sisi tuko tayari, asema OMO
56:01
Weyani Tv
Рет қаралды 7 М.
LEVITATING MAGIC REVEALED 😱😳
0:18
Milaad K
Рет қаралды 26 МЛН
He doesn’t like illusions
0:17
V.A. show / Магика
Рет қаралды 15 МЛН
The thieves pulled a prank on the Policeman ! 😬👮🤣
0:38
BOGDANCHIKI
Рет қаралды 8 МЛН
天使妈妈拍到了什么大家吓一跳?#火影忍者 #佐助 #家庭
0:23
Grandma Cat - the Hot Dog Eating Champion #gaming #food #challenge  #cartoon
0:15
Super Emotional Stories
Рет қаралды 26 МЛН
Горилла Показала Малыша 😍
0:23
ДоброShorts
Рет қаралды 2,5 МЛН