Рет қаралды 160
Midahalo ya uchaguzi wa rais nchini Iran wiki iliyopita ilikaribiana na kufanyika mdahalo wa kwanza wa uchaguzi wa wagombea wawili wa urais wa Marekani. Kumeshuhudiwa tofauti kubwa sana baina ya midahalo ya nchi hizo mbili. Watumiaji wa mitandao ya kijamii wanasemaje.…