No video

TUKIO KAMILI KABLA NA BAADA YA KIPIGO CHA BARAKA SHAMTE, JE KUNA WATU NYUMA YAKE?

  Рет қаралды 79,767

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

2 жыл бұрын

Baraka Shamte, aliyekuwa kada na mwanachama wa CCM Zanzibar amekumbana na mazombi au watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea ikiwa ni muda mfupi baada ya yeye kutoa maoni yanayomkosoa Rais Mwinyi na serikali yake. Jambo hilo limezua mjadala mitandaoni. Katika ripoti hii tunaangalia mlolongo wa matukio ambayo yanajadiliwa sana kwenye jamii.

Пікірлер: 182
@ramadhanijohoiddi2899
@ramadhanijohoiddi2899 2 жыл бұрын
Kumbe wasiojulikana ZANZIBAR WAPO
@salumuhamissi3492
@salumuhamissi3492 2 жыл бұрын
Tatizo la watawala hawataki kukosolewa wanataka kusifiwa mara zote. Ila mungu yupo
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 жыл бұрын
Mngempiga zaidi huyu mzee hana adabu kabisa tuna kupenda sana raisi wetu mwinyi 🥰🥰🥰🌹
@specialcuty652
@specialcuty652 2 жыл бұрын
Baraka shamte kwakila mwenye akili timamu ni lazima ampongeze kwa alicho kisema asaivi nchi ipo pabaya
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 2 жыл бұрын
Kasema vzr Sana nchi inauzwa sasa hivi, acheni unafiki wenu! Hao wamanga wakirudi mtalijua jiji. Mbona huyu rais kasema watu wajinga,majahili. Yuko sahihi kabisa! Time will tell
@fatmamatuma4073
@fatmamatuma4073 2 жыл бұрын
Zanzibar imekodishwa miaka 60 subhanaallah , wakati wanannchi tunalala njaa dunia inaenda mwisho mtaenda jibu nini kwa Allah ,mkiambiwa ukweli mnadhulumu nafsi za watu , kwani chama ndo nini hata akitimuliwa Allah yupo pamoja nae na walokua humo ndani ya chama wadumu milele ,,na hukmu ni hapahapa duniani yeye kaanza na wengine wafatiya nyuma ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mamaiftahiftah8928
@mamaiftahiftah8928 2 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu shante, kama kweli upo kwa maslahi ya ZANZIBAR YETU NJEMA TUIPENDAYO
@mussafakiu5322
@mussafakiu5322 2 жыл бұрын
Hana maslahi yoyote hakuanza kukosea mwinyi wala hakusema ila kakosa ulaji tu huyo
@mussajuma7460
@mussajuma7460 2 жыл бұрын
Kila mtu ana haki ya kusema anachokiona hakiendi sawa mbona akisifiwa hamusemi ashitakiwe ujinga mkuu kutokukubali ukweli
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 2 жыл бұрын
Wajinga ni Wana CCM wasiojijua kama unaiuza nchi yetu Hussein mwinyi acha kutumalizia nchi yetu
@ashurakijuu279
@ashurakijuu279 2 жыл бұрын
Pole Sana Mzee toka kwenye siasa
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 2 жыл бұрын
Pole sana mze Namaoni yako yaeshimiwe kwa nn shida ya wana ccm kwao kukoaoa nikosa wakati kukosona jambo la kawaida kwann tulzimishane vyakuongea mzee polesana
@knight6757
@knight6757 2 жыл бұрын
Duuh watu wanataka kusifiwa tuu? Je Katiba kinasema nini juu ya hilo?🤔🤔
@fatmasaleh9516
@fatmasaleh9516 2 жыл бұрын
Katiba inasema ukisema kweli upigwe
@knight6757
@knight6757 2 жыл бұрын
Hahaha.....halafu sie ndio wananchi tuliotoa mamlaka kwa hao wamegeuka kutuumiza! Kumbe 'UKWELI' kinauma....maana wanajijua wanaohusika !!
@hashimumussa9711
@hashimumussa9711 2 жыл бұрын
Wezi kweli
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Pole kwa kusema hovyo
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 8 ай бұрын
Ni kweli asistahili apigwe mbona Ali Karume hamukupiga na yeye amekashifu zaidi kuliko huyo Baraka Shamte muna ubaguzi nyinyi wana CCM
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 жыл бұрын
Kumbe Bado wapo wasiojulikana ha !ha! ha! Ni hatare
@musabuhe5897
@musabuhe5897 2 жыл бұрын
Mbona shamte Yuko sawa Sasa kwanini akamatwe so wanajikomba kwa raisi
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 жыл бұрын
ulikuwa kwenye haki. Tunahitaji katiba mpya
@shaamekhamis3081
@shaamekhamis3081 2 жыл бұрын
Baraka big up,mwinyi muda wako umeisha huo,
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 жыл бұрын
Asalam alykum Tatizo la shamte ni kama mwanagenzi vile haijuwi CCM ,kiukweli CCM ya Zanzibar Haina nguvu ni km povu tuu , CCM ipo Tanganyika na ndio yenye nguvu na mamlaka ,hata ww shamte na wenzake mukimkataa Hussein mwinyi kazi Bure because raisi wa Zanzibar kupitia CCM anachaguliwa kutoka bara yaani Tanganyika kwa hivo hamtaweza kumuondowa mwinyi ,umezungumza vizur shamte but kazi Bure team uliyonayo sio mzuri tafuta team ,hiyo team uliyonayo lengo ni kuifuta Zanzibar kwenye ramani ya NCHI
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 2 жыл бұрын
Kisiwa kakae kifuge majini mzee achaa hzo
@salimmohammed8617
@salimmohammed8617 2 жыл бұрын
Mwacheni baraka apate joto wanalopata wapinzani
@khamismuhammed9950
@khamismuhammed9950 2 жыл бұрын
Ndyo wanataka usiongelewe uchafu wao wanata mtu hatakama yupo na mtazamo mchafu basi asifahamishwe kitu lkn ndyo keshaonge tosoyajuwa tumeyajuwa tena muuweni lknmujuwe atakuja mwingine hapo.
@redtatoo4209
@redtatoo4209 2 жыл бұрын
Barabaaraaa...hata bado..
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 2 жыл бұрын
Amesema ukweli wake, amefungwa mdomo
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Masikini pole baba mungu atakulipiya
@ibrahimallymohd3645
@ibrahimallymohd3645 2 жыл бұрын
Kwa maneno ya mwinyi hakuna sababu ya jeshi la polisi kufanya uchunguzi ni dhahiri kwamba mwinyi anahusika asilimia mia moja pamoja na ccm wote walio jitokeza
@hamisimakwangu3786
@hamisimakwangu3786 2 жыл бұрын
Hatar saana
@wanimzur5597
@wanimzur5597 Жыл бұрын
umeyataka mwenyewe ilobaki shauri yako🤣🤣🤣🤣🤣
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 2 жыл бұрын
Mzee pole sana kwa maafa yaliyokukuta iwezekana ulikusudia kukosoa au kutoa maoni yko kwa nia njema lkn kwa lugha uliyotumia haikuwa ya kidiplomasia wala ya kistaraabu...kama una maadili mazuri hukutakiwa kutumia maneno yale kwa Kiongozi wako wa nchi na hasa ukizingatia ni mwana CCM mwenzako,kuna utaratibu wa kutoa maoni au kukosoa kipitia ngazi na kada zenu za kichama.Sasa km ww ni msema ovyo ndio hayo yaliyokukuta na nina hakika hata Rais mwenyewe hajaamrisha ufanyiwe hayo uliofanyia bali ni utashi wa watu fulani wa kukurupuka pasina kufikiria au pengine wanajipendekeza na kujikwaza kwa Rais kwa maslahi yao binafsi,mzee km ww na nyadhifa ulizopitia ktk chama ilitosha uelewe au ukae kimya km sisi ili uzidi kuelewe au kuelimishwa na moja wapo kufukuzwa uwanachama au uitwe na vikao vya chama kwa kukuhoji huku nawe ukipewa huru wa kujitetea na kutetea hoja zako...Anyway kutesa kwa zamu juwa zama zako zimepita nawe uliwatesa ndugu zetu hivi hivi,ngoma imekugeukia na pole sana...life goes on!!
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 2 жыл бұрын
Umempa ujumbe mzuri
@fatmasaleh9516
@fatmasaleh9516 2 жыл бұрын
Watu wasio juulikana Allah awalaan na vizazi vyao kwa sababu wanazifanya serekali ionekane km wao wametuma n serekali mulaaniwe enyi watu msio juulikana
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 2 жыл бұрын
Hakuna watu wasiojulikana ktk nchi hii wanaoweza kufanya Hivyo,sana sana wanamuharibia rais na kumchafulia lazima aseme neno kwa wahusika na ndio hao waliosema wanajipendeza kwa kutaka kitu au eti wapandishwe vyeo kwa style hiyo No and never again ..huko tushatoka leo CCM hatujuwi kesho wakisema wa upinzani itakuwaje?
@TANZAFORUM
@TANZAFORUM 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/b69yrM2Y1rKUhps.html Dokta mwinyi awaka zanzibar
@allyhassan7169
@allyhassan7169 2 жыл бұрын
Kwa hiyo kipiqo au mauaji ndio njia sahihi mtihani mkubwa
@suleimanmajani6187
@suleimanmajani6187 2 жыл бұрын
hatamkimlaani alichokisema kinamashiko kwawananchi sasa musimlaanitu munatakiwa kuwawazi ilikuliwekasawa sawahili sababu kunawatu wanajiuliza alichoongea kipo nakinaendelea sasa kwanini azihakiwe nakupeea hujumakubwa hamuoni hiliswala linaleta ukakasi mkubwa katika jamii
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 2 жыл бұрын
Nilikuwa uncle shamte 😄
@omarynassor6313
@omarynassor6313 2 жыл бұрын
Kweli inauma
@user-go6kv4nw9d
@user-go6kv4nw9d 4 ай бұрын
Apigwe tu, Tena apigwe kweli coz .........
@omaryahya337
@omaryahya337 2 жыл бұрын
CCM mumezoe nyinyi hamjui kufanya haki hata misingi ya madaraka yenu Si Zuluma tupu
@wanimzur5597
@wanimzur5597 Жыл бұрын
kuna njia nyingi tu za kisheria za kukosoa serikali
@saidabdala4980
@saidabdala4980 2 жыл бұрын
Nyie twanganeni uwaneni.lakini mara hii hamtoki. Jiunge na LISSU
@ipmalu9947
@ipmalu9947 2 жыл бұрын
Pigwa Babu upepo umebadilika
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
Mie nahisi hawakumpiga walimchezeea😂😂😂hata jino hawajamtoa shenzi 😂😂
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 жыл бұрын
Tatizo kwanini apigwe ametoa maoni yake mwinyi nampenda Sana Ila kwa hili hapana
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 2 жыл бұрын
Sio utawala unaojali sheria, una vyombo vya dola Kisha unampiga mzee wa 80 yrs Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Mmemkosea Sana huyu mzer
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Jahili ni nani alie uwa ili apate uraisi au sliesema ukweli
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 2 жыл бұрын
Inamaana zanzibar hakuna uhuru wa maoni ama wakuongea.ccm Inamaana munataka muendelee kutupelekesha tu.
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
Haodio wale simba wa zanzibar Sasa outdoor
@mossassaid2683
@mossassaid2683 2 жыл бұрын
Mtangazaji ume potosha ni mtoto wa nini hukutuweka sawa tupe history tuelewe Good Girl
@suleimanmajani6187
@suleimanmajani6187 2 жыл бұрын
ndio tujuwe maendeleo nchihii nisawa nandotozaalincha niushetani huyu mzee angekuwa mpinzani aneambiwa tushawazoeya hatazuri watasema baya ilahuyu ni ccm hataukimkta damuyake itaandika ccm sasatuseme nahuyu hapendi maendeleo yazanzibar inamana tukiendelea kuwana ccm chama kinachoendesha ajendazake binafsi bilakuangalia changamoto zawananchi namaslahi yawananchi tujue kwamba bilayakuiondowa ccm hakuna badiliko litatokea simaendeleo sihakizawatu sidemokrasia ila nakubali muuwaji anapofiwa hulia machozi halisi siobandia pia nakiumbe huvuna alichopanda asalam aleikum
@smarty1064
@smarty1064 2 жыл бұрын
Kaongea baya lipi huyu mzee? ni vibaya kutoa maoni? mbona wakampiga na kumuumiza sasa ndo kumuelimisha huko?
@youssouphsalum786
@youssouphsalum786 2 жыл бұрын
Walana wao kwa wao
@fatumanasoro5057
@fatumanasoro5057 2 жыл бұрын
Ukweli bwana inauma kwelii ila Huseni tuachie nchi yetu miaka mitano inakutosha njaa itatumaliza mwaka mmoja tu njaa namna hii Dah ukimaliza kumi?
@allychale2885
@allychale2885 Жыл бұрын
Ww mwenyewe bado mjinga lkn Leo mkoloni mtanganyika si akakodishe tanganyika
@babazungu3180
@babazungu3180 2 жыл бұрын
Nchi hamna hapo,ukiongea tu kesi je ukiibaa inakuwaje?
@saidyussuf4596
@saidyussuf4596 2 жыл бұрын
Twamtaka sisi tutapata msemaji
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 жыл бұрын
🤔Mimi sioni sababu ya kuomba radhi au matusi yaliyojitokeza katika matamshi mzee Shamte. Ametumia wajibu wake wa kikatiba sasa wanaokasirika hawapendi ukweli🤔.
@othmanali5362
@othmanali5362 2 жыл бұрын
Hogera Mzee shame M_,mungu atakulipa akuongozee afya yako. Wembe huo huo
@alifakimati9614
@alifakimati9614 2 жыл бұрын
Hapa raisi wetu umekosea kumjibu mzee kama makamo ya mzazi wako ilikuwa ujibu hoja yake tu mzee hajakashifu ni maoni yake tu.
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 2 жыл бұрын
Huo wote ni uoga! Si angemwita aseme nae ! Ana HOJA huyo mzee!
@ommyg2424
@ommyg2424 2 жыл бұрын
Uyuu mzee ukiwamtulivuu wa akilii vzr utaona ni watumuimu kwenye Jamiii. Kwakujitoaaaaa kwa wananchi Iii. Kwenyevtuu tunavwoo fchwaa na serikali nakuneemeekaa wa chache na ukoo zao ndivwooo tawala za wa afrika kwangu naona Katoa mchango wake km kama mwanachii mzawaa.
@alikocha774
@alikocha774 2 жыл бұрын
Mzee Allah azidi kumuongoza na ukweli umeshafika tena kumfukuza huo sasa ni ujahili uo msemo wa warabu maana !
@hatibusozi622
@hatibusozi622 2 жыл бұрын
Mungu ndie muweza was kila kitu
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 2 жыл бұрын
Kila anaemkashif Rais lazima afukuzwe
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
😂😂🤣🤣🤣😂 dunia usiichezee kama ulivyo piga au umetumwa kupiga basi iko siku yako na wewe. ALHAMDULLILAH
@allychale2885
@allychale2885 Жыл бұрын
Hatutaki uku siyo kwenu kakodishe tanganyika siyo Mali y Zanzibar
@sulekun7245
@sulekun7245 2 жыл бұрын
Sasa kwann mmempiga mwana ccm mwenzenu? au kasema kweli? Au ccm ya Z,bar haina utaratibu wa kumuita mtu na kumuhohoji.
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Wanafki hao kwani ame mkashfu wapi🤔 eti wanawatafuta wasio julikana!?🙄
@omarynassor6313
@omarynassor6313 2 жыл бұрын
Goes around come around
@allychale2885
@allychale2885 Жыл бұрын
Ama kweli ccm wa Zanzibar hawana akili mabwege hawa wapate lana za dunia wanasahau kwamba huyo huseni mwinyi siyo chaguo la wazanzibari
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x 6 ай бұрын
Mzee ameri wabwe juu vipi hawajulikana
@sumaali873
@sumaali873 2 жыл бұрын
Hili zee linachuki halipendi warabu halipendi wahindi halipendi waswahili lipo tu yy mwenyewe hajijui kabilangani kabaki mm mshirazi washirazi hata hawajui shirazi niwatu kutoka Irani aende Irani basi
@saidihussein6718
@saidihussein6718 2 жыл бұрын
Ngoja ampnde mamaako
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
@@saidihussein6718 mtu humjui aje unamtajia mama ake na ww ukiambiwa amla baba ako utafurahi usipende kutaja wazazi wa wezako hta matusi na wezako wayajua.
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
@@saidihussein6718 naona unaonesha uzaifu wa ubinadamu wako hi comment ungeandikiwa ww ungehisi vpi
@nassormussa4090
@nassormussa4090 2 жыл бұрын
hata akitukana ukweli haupingiki shamte anachuki sanaa atubu kwa muumba mbingu na ardhi hapendi ubaguzi
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Mfuga ngombe akipigwa na ngombe wake hakuna shida
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Kabisa
@ashasoud5890
@ashasoud5890 2 жыл бұрын
Hahaha
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 2 жыл бұрын
Huyo kweli jahil kwa sababu anachukia kila mtu mwenye rangi nyeupe
@afropanorama4730
@afropanorama4730 2 жыл бұрын
huu ni ushamba kupija watu,kisa hamko tayari kukosolewa,Yani ujinga mtu unaoendelea nchi hii
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 2 жыл бұрын
Huyu kamkosea Rais vizuri apate adabu
@salumabass8670
@salumabass8670 2 жыл бұрын
Unamafanikio gn uliokuwa nayo ww
@sirajikiluvia4575
@sirajikiluvia4575 2 жыл бұрын
Waliopiga hawajatumwa na mheshimiwa ila wanataka kick na ccm tumsamehe
@petermboje5839
@petermboje5839 2 жыл бұрын
Tumekuwa wabaya tu
@yufuphhamadialiy830
@yufuphhamadialiy830 2 жыл бұрын
Mchunga kupigwa ni ngombe wake c tatizo hao waliompiga wamefanya Jambo la busara
@omarabeid7490
@omarabeid7490 2 жыл бұрын
Na mimi nasema apingwe tu.
@hafidhkhamis731
@hafidhkhamis731 2 жыл бұрын
Kwan babu huyu so ndo yule alieakitukana wapinzan
@ashasoud5890
@ashasoud5890 2 жыл бұрын
Haswaaa
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
Mitano tu mara hii ishamtosha hata mkilaaani
@naytharykhanny8499
@naytharykhanny8499 2 жыл бұрын
Kwani makada wa ccm nao wanaumia.
@shamismohd1888
@shamismohd1888 2 жыл бұрын
huyu jamaa hafai kwenye jamii tumekaa tumetulia anataka kutuvuruga
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
Siyo kitu cha kucheka wao wanacheka Mhhh au wanapiga makofi...
@makamemussa6482
@makamemussa6482 2 жыл бұрын
BARAKA MOHAMED SHAMTE NDILO JINA LAKE KAMILI NI MTOTO WA WAZIRI MKUU WA MWANZO WA JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR ILIYO PEWA UHURU MWAKA 1963 KUTOKA KWA WAKOLONI SEREKALI AMBAYO BAADA YA MIEZI MICHACHE ILIPINDULIWA NA KARUME KWA KUSHIRIKIANA NA NYERERE
@yussufkhamis7230
@yussufkhamis7230 2 жыл бұрын
Nchi iko vibaya sana vijana wengi hawana kaz nyie semeni
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 2 жыл бұрын
Waliokupiga ni washenzi wasiojua democrasia , kila mtu kwa mujibu wa katiba ana uhuru wa kutoa maoni yake! Waliokupiga ni hao hao hayawani wa huko
@aliseif3659
@aliseif3659 2 жыл бұрын
Vya ma vya siasa maine mkakurupuka mkamarobisha shamte yakawa Lowasa na Sumaye na hayati kingunge nawengi wang
@sememakolo9360
@sememakolo9360 2 жыл бұрын
Nayeye ni maoni yake kama mwanaichi
@allychale2885
@allychale2885 Жыл бұрын
CCM hawana akili vichwa maji
@shaamekhamis3081
@shaamekhamis3081 2 жыл бұрын
Huyo ni mwinyikatuma watu wamteke
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
MITANO TUU TENA IMALIZE AENDE BARA HKO
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
Teena ishamtosha mitano 😂
@raphaelkatanga5335
@raphaelkatanga5335 2 жыл бұрын
Kwer ccm inakwenda kufaaa
@hamadimwechiwa9835
@hamadimwechiwa9835 2 жыл бұрын
Bora mzee shamte angeitwa ili aelimishwe kuhusu madaiyake kwafaida ya wengi na sio kumpiga mzee dunia hii kilamoja anauwelewa wake kupeana elimu kuwe ndio suluhisho ila siokupiga
@alialibablly7010
@alialibablly7010 2 жыл бұрын
Tunapongeza kwa walio tekeleza
@saidipara4134
@saidipara4134 2 жыл бұрын
Ilimlada ujumbe umesha fika.ata mnge mla supu.pambaneni kujisafisha imesha kaa hiyo vichwani mwa watu.🤯
@rukiakhamis78
@rukiakhamis78 2 жыл бұрын
Bora yakiwafika na nyie mana yakiwakuta wenzenu mnafurahi sana 🙄
@suleimanally1004
@suleimanally1004 2 жыл бұрын
Anyowae alia na anyolewae alia !
@abuuuyaynah7153
@abuuuyaynah7153 2 жыл бұрын
Au co
@bakarkhamsi326
@bakarkhamsi326 2 жыл бұрын
Huyu anae Lani katowa macho mpuuzi
@johnkkululinda9416
@johnkkululinda9416 2 жыл бұрын
MUUU, "UWEKEZAJI POPOTE "NI UNAFUU WAMUDA LAKINI BAADAYE NI MAJUTO. UKWELI UTABAKI KUWA KWELI.
@shahiraismaily2433
@shahiraismaily2433 2 жыл бұрын
What goes round comes round
@abubakarbahalewa9425
@abubakarbahalewa9425 2 жыл бұрын
Sasa na yeye yamkute ushawishi aache hana radhi huyo
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x 6 ай бұрын
Waowao kauliyamwanzo ndoinayo fuatwa
@sagandampullo7405
@sagandampullo7405 2 жыл бұрын
CCM NI WANYAMA, WAUAJI NA WATEKAJI WA KUTESA WATU.
@fatmaabdalah7007
@fatmaabdalah7007 2 жыл бұрын
Tusubiri kutawaliwa tu hapa haya tuuzeni
@nassorseif7907
@nassorseif7907 2 жыл бұрын
Wewe ni ule ule zombi zombi hawaondoki Tena Zanzibar
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
MITANO TUU MARA HIII
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
😂😂😂😂Ishatosha
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Ndio nyie nyie mlimpiga wenzake hao wa maskani zao za CCM
@rauhiyasaidi9281
@rauhiyasaidi9281 2 жыл бұрын
Malipo niduniyani
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 62 МЛН
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН