Рет қаралды 3,294
Wimbo huu ni wakumshukuru Mungu na kutukumbusha yeye ni wetu katika nyakati na katika hali zote.Wimbo huu umeimbwa na kwaya inayopatikana katika jimbo katoliki Morogoro.
Wimbo : TUMAINI THABITI
Mtunzi : Anthony .E. Kiatu.
Waimbaji : Kwaya ya Bikira Maria Mama wa Rozari Takatifu (BMMRT) - Kihonda Morogoro
Audio by : G. Records Studio
Video by : Divine Studios