No video

TUNAPIMA DNA KWASABABU WANAWAKE WETU SIO WAAMINIFU/HAKUNA MIMBA YA BAHATI MBAYA/TUWE MAKINI

  Рет қаралды 32,251

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 77
@nishimwejames83
@nishimwejames83 Жыл бұрын
Siku zote Uwa Baba love anaongea ukwli😂😂😂
@kevinkundy1338
@kevinkundy1338 Жыл бұрын
😂😂baba levo nakukubali sana Mzee baba.
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Mzagamuo ukaendelea khaa🤣🤣🤣🤣 baba levo umeshindikana walaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤
@tosh7671
@tosh7671 Жыл бұрын
Huu ugomvi ameumaliza dada Adela. Mwanamke ndio anayeamua kuzaa sio mwanaume. Kama hataki hakuna mimba kama anataka Huna ujanja na mwanamke ambaye hataki mimba mimba haikui kuwa mtoto
@user-ju4cd8nz7v
@user-ju4cd8nz7v Жыл бұрын
Baba levo apo kweny kahaba umetisha gud mfano
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Жыл бұрын
Mwanyezi mungu ndio maana katutaka sisi waisilamu tuzikwe kwajina la mama maana mandio anaemjua baba wamtoto siwote tunaowata babazetu haruna uhakika hatakama tume zaliwa kwenyendoa kwadunia tunayoihi Mimi nashaulitu hatakama unamuamini mkeo kama unauwezo nivizuri kufanya DNA
@gugumasterthemanhimself2939
@gugumasterthemanhimself2939 Жыл бұрын
Nasimama na Baba Levo ktk hili Mwanaume wa kutembea na Mwanamke kwa kinga ndani ya game 5 hajazaliwa
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
ATI mzagamuo ukaendelea 🤣🤣🤣🤣🤣
@jwakoofficial1560
@jwakoofficial1560 2 ай бұрын
Nakubari sana baba revo
@user-hl9xu4vo1q
@user-hl9xu4vo1q 11 ай бұрын
Baba levo yuko sahihi sana
@uzungupoint
@uzungupoint 11 ай бұрын
Hapa ndipo nimeamini kauli yangu kuwa "NDOA" sio kitu cha thamani tena, suala la kupata mtoto linajadiliwa nje ya kuwa kwenye NDOA. Tunapoelekea NDOA haitakuwa kitu tena, ukitaka kuamini angalia single mothers mtaani.
@josephchrizostom8437
@josephchrizostom8437 Жыл бұрын
Baba levo kaongea kweli
@f2abooksuppliers122
@f2abooksuppliers122 Жыл бұрын
Kitabu cha baba levo kuuza ni ngumu maana soko la sasa watu hawanunui historia za watu
@uwimana6533
@uwimana6533 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@alliymohamedalliy6524
@alliymohamedalliy6524 Жыл бұрын
🤦‍♂️ Unamaanisha nni mkuu
@f2abooksuppliers122
@f2abooksuppliers122 Жыл бұрын
@@uwimana6533 😄🤣
@f2abooksuppliers122
@f2abooksuppliers122 Жыл бұрын
@@alliymohamedalliy6524 jamaa wakimjaza nae akakimbilia kutoa kitabu atakisoma yeye na mke wake au we utanunua?
@brightontheogenes5093
@brightontheogenes5093 Жыл бұрын
kwel bhanaaa Baba levo kaptia mengiii bhanaaa
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Baba levo mzuefu SN wa kuchukua makahaba na KUKATAA kondomu mbona kipengere hicho umekielezea vizuri sn
@hamadimatano4503
@hamadimatano4503 Жыл бұрын
ukweli ukitembea na mwanamke na kondom mara tatu tu unavua mwenyewe kondom unazagamua live 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hashimsalehe7087
@hashimsalehe7087 Жыл бұрын
yn Osca anajifanya km ayupo na wenzake kbs wkt ata yy mzee wa kujiachia kwny minazi mwanzo mwisho atar sn
@jumaneejumannesaidi2055
@jumaneejumannesaidi2055 Жыл бұрын
Ukumbuke kwamba mtoto ni mpaka mwanamke atake kama hataki hutapata kamwe
@hamadimatano4503
@hamadimatano4503 Жыл бұрын
kweli kabisa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
💯 %true hii inatufundisha wanawake tujitambue
@f2abooksuppliers122
@f2abooksuppliers122 Жыл бұрын
Wewe bado wanawake wakupata kwa bahati mbaya wapo tena wengi
@jamesswai1683
@jamesswai1683 Жыл бұрын
Njia iliyo salama ..ni kujifunza kukojoa nje...
@daudamos3400
@daudamos3400 Жыл бұрын
Baba levo Leo nakuelewa sana Osca Osca ni mshamba tu kwa hili
@nicodemusbura7669
@nicodemusbura7669 2 ай бұрын
O na oscar wako vizuri
@singidaone5628
@singidaone5628 Жыл бұрын
Baba levo ni mkweli
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 3 ай бұрын
Aaaaaah wajemeni 40 bado baba levo ungesema hata 50 bado
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 Жыл бұрын
Kwelii sku ya kwanza. Na yapili Kinga lkn sku zinazoendelea ni kavu kavuu
@imanimatutu3124
@imanimatutu3124 Жыл бұрын
Baba levo uko sawa
@jacksonkatana5152
@jacksonkatana5152 7 ай бұрын
Kwa hapa baba levo ako sahihi isipokua wanawake wanapanga uzazi
@Officalnaph
@Officalnaph Жыл бұрын
Uongo ni kwako MZEEE
@abdullahalkindi9673
@abdullahalkindi9673 Жыл бұрын
Mshaurini na mama Dangote wakapime DNA ya Diamond na mzee Abdul
@jumaneejumannesaidi2055
@jumaneejumannesaidi2055 Жыл бұрын
Apo sio ote wanaume bwana baba levo uyo Adela SI mwanamke
@pvkanyorota264
@pvkanyorota264 Жыл бұрын
Huyo baba Levo ni mzinzi anaokotaokota wanawake c aoe
@deboramartin8111
@deboramartin8111 Жыл бұрын
😂😂😂😂baba levo bhana
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Жыл бұрын
Mwanaume aache nyama..subutu. zagamuo..
@ivvansiwiti9085
@ivvansiwiti9085 Жыл бұрын
Kila mwanaume amefanya mazur na mabaya shida wakina Edo wanajifanya hawajapitia machaf baba levo uko pw
@pvkanyorota264
@pvkanyorota264 Жыл бұрын
Anaewafanya wasiwe waaminifu ni ninyi wanaume mnatabia mbaya ni wazinzi sn hamheshimu ndoa zenu mnawachosha sn wanawake
@allysudi4429
@allysudi4429 2 ай бұрын
Kwanza siku ya kwanza iyoiyo unaomba mungu unachapa dry mpira wa nn??
@mkingageorge2641
@mkingageorge2641 Жыл бұрын
Baba levo kwny kalenda umedanganya
@MusaHamis-oz2rg
@MusaHamis-oz2rg Жыл бұрын
Et tukapiga mzagamuo duuuuu!!!😂😂😂
@bestman8182
@bestman8182 Жыл бұрын
Dada kasema ukweli, mwanaume anawezajidai yupo makini lkn mwanamke akamtegeshea. Speaking from first hand experience
@mecksonjoseph2522
@mecksonjoseph2522 Жыл бұрын
M kondom na vaaga kwenye kidole kikubwa
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Жыл бұрын
Ha ha ha Bab levo
@amriramadhani2529
@amriramadhani2529 Жыл бұрын
Uongo uongoo uongoooo😂😂bblv
@user-dz4ob1xj8g
@user-dz4ob1xj8g Жыл бұрын
Yaani ... mtu anasifia zinaa KWENYE MIKE YA CHOMBO CHA HABARI .... YAANI HII NCHI ITAFIKA LAKINI TUTACHELEWA
@PilyRashidi-pu8dp
@PilyRashidi-pu8dp 10 ай бұрын
Utachoka wewe
@emmanicko1535
@emmanicko1535 Жыл бұрын
SICHOKI KUWASIKILIZA WAPUMBAVU NYIE 😂
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Baba levo kuywa soda kwa magi naja kulipa
@Andrewnchenge-il7ij
@Andrewnchenge-il7ij Жыл бұрын
Kama MTU humpendi achana nae nenda kwa unaemkbari,kwann umpe mtoto wa mwanamke mwenzio MZIGO wa kumzalia Taifa lisilo lake
@jumaneejumannesaidi2055
@jumaneejumannesaidi2055 Жыл бұрын
Hapan wanawake Wengi wanaotumia majira hawana karenda nzuli ya mwezi wao
@yasintamichael-bg9fk
@yasintamichael-bg9fk Жыл бұрын
Kweli anachoongea baba levo Kwanza mara ya Kwanza ata ukimwambia mwaga nje anamwaka lakin kadiri siku zinavyogyokwenda anakwambia nimenogewa
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Жыл бұрын
Mwanamke awezi cheat mume anaejua KUTOMBA VIZURI
@guccij6236
@guccij6236 Жыл бұрын
Ivi uyo Dem ameolewa?
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 Жыл бұрын
Eddo ni kichwa sna kwenye hiyo mada
@daudamos3400
@daudamos3400 Жыл бұрын
Mm ni mwanaume kamili lakini huwezi kutembea na mwanamke kwa kondomu mala 20
@mecksonjoseph2522
@mecksonjoseph2522 Жыл бұрын
Oska ukijui kichwa cha mboo Kiki simama lazima kifos kingi
@allahisone6386
@allahisone6386 17 күн бұрын
Eeweeeeeh_🤔 😮
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Жыл бұрын
baba levo mkweli mkwel
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Yote hayo ni kwa sababu ya zinaa watoto wa nje ya ndoa kama ndoa ya halali hakuna hayo tuache zinaa
@AndrewPaul-wy6qq
@AndrewPaul-wy6qq Жыл бұрын
Oscaroscar👊
@brightontheogenes5093
@brightontheogenes5093 Жыл бұрын
Kipimo cha DNA huwa ni bei ganii
@lawmaina78
@lawmaina78 Жыл бұрын
Huyo Oscar anaongea kiredio, baba Levo yuko sahihi tuache kudanganyana. Asilimia kubwa ya wanaume hauwezi kutembea na mwanamke mmoja zaidi ya mara kumi kwa condom.
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 Жыл бұрын
Wanaa dada. Wawe makn. Tusje. Tukalaumiana
@pvkanyorota264
@pvkanyorota264 Жыл бұрын
Mimba umempima vvu je
@dismaspaul9004
@dismaspaul9004 Жыл бұрын
ni uongo kabisaa😂😂😂
@guccij6236
@guccij6236 Жыл бұрын
😅
@Ngwegwe-TV
@Ngwegwe-TV Жыл бұрын
Acha uwongo
@makameibrahim5086
@makameibrahim5086 11 ай бұрын
Baba levo hapo kwa condom point ☝️
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 Жыл бұрын
Huyu baba levo mi muongo sana.. yaani eti alikumbuka kumpima demu kama ana ujauzito au hana ili tu afanye bila silaha.. lakini mbona hukumpima afya yake kama kaathirika au hajaathirika? Hili jamaa huwa lina fix sana.. 😂😂😂😂
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Jaman mhhh
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 Жыл бұрын
@user-of1gi9bf2n
@user-of1gi9bf2n Жыл бұрын
😂😂😂😂
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
WANAWAKE WANAWADHARAU WANAUME
5:00
Wasafi Media
Рет қаралды 28 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 135 М.
🔴#LIVE: JANA NA LEO NDANI YA  WASAFI FM  -09-01-2024
37:59
Wasafi Media
Рет қаралды 3,1 М.