Kama unaamini kuwa tunaye Mungu anayejibu maombi yetu na umemwona katika maisha yako sema amen, Haijalishi unapitia kipindi gani kigumu ila amini tu yupo Mungu na anajibu
@immanada92963 жыл бұрын
Ameeen
@franciscambatha43143 жыл бұрын
Amen
@shitotebenjamin53113 жыл бұрын
Amina
@joyjoyce5003 жыл бұрын
Amen
@santanabii53743 жыл бұрын
Amen
@user-rj8ft2lc8m Жыл бұрын
I remember last year when my mother passed away nikafungua television nikakuta. Ukiimba mungu anajibu maombi kwani ilikua ni halo ngumu kwangu but wimbo ulinitia nguvu
@mutiomusyoka650214 күн бұрын
Soo touching,akika huyu Mungu anajibu maombi. Mungu nionekanie katikati ombi langu.🙏
@josphatmogaka86684 күн бұрын
Kweli Mungu tunaye. Anazidi kujibu maombi yetu. Wanatucheka kwa sababu ya majaribu ila tunashinda 🙏🙏
Barikiwa mtumishi kwa nyimbo zako nzuri zinatubariki sana
@steveartist81833 жыл бұрын
Ndugu sifaeli umbali uu ni Kwa mkono wa Bwana,ubarikiwe
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@danielisafariofficial60093 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu sifaeli mwabuka
@luhekelondelwa97143 жыл бұрын
Tunaye huyu Mungu anayejibu maombi yetu Barikiwa sana mtumish sifael na mkeo
@peteroyieko39653 жыл бұрын
Stephen
@peteroyieko39653 жыл бұрын
Stephen ongori
@BadBoy-eg2fb3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mtumisho wa mngu
@MwendaCharlesАй бұрын
amenionekania mungu na musukuru i love you ❤god
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
Be blessed
@celestinealimasi46993 жыл бұрын
Wow ubarikiwe sana baba wimbo nzuri sana
@metrinenekesa7963Ай бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi 🙏❤️
@janetandisi34813 жыл бұрын
Ukweli tunaye Mungu anayejibu maoni.Gd bless u
@ColonelbundukiАй бұрын
i first heard this song while in prison..ilichezwa kwa Tv nikiwa remand...ilinipea nguvu sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIALАй бұрын
Barikiwa sana
@ColonelbundukiАй бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL amen
@lydiamuli33283 жыл бұрын
wow💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽tunaye huyu Mungu tunaye anayejibu maombi🙏🙏
@bevalinemasitsa59113 жыл бұрын
Kabisa kunaye mungu anaye jibu maombi, uwa na barikiwa n nyimbo zako sana mutumishi wa mungu
@suzanfelix80653 жыл бұрын
Nilipopitia majaribu wengi walisema nimemuacha mungu kumbe walisahau kuwa ninae mungu🙏
@yedidasanga37462 жыл бұрын
ushuuda
@BarackOtieno-ws4qw10 ай бұрын
Nimeamini Mungu hua anajibu maombi bilakuchelewa😊
@Rohosaficarefoundation3 жыл бұрын
Naisubiri kwa hamu .... Big up sana kaka mkuu I wish ningekuwepo niselebuke
@immanada92963 жыл бұрын
Kwa kwel huyu mtumixh yuko vzr, mungu akuinue zaid
@princes60452 жыл бұрын
Hakika tunaye Mungu anayejibu maombi yetu.Aminaaaaa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@nature.forlife2 жыл бұрын
Huu wimbo kuna wakati nilikua kwenye majaribu mungu wetu anajibu hakika
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@toniek2543 жыл бұрын
From kenya,aki sifaeli mungu awe na ww siku zote,wimbo nzuri i lov u
@mercykivindu42793 жыл бұрын
Tunye Mungu njameni
@evelynstephen30033 жыл бұрын
Waoo,Mungu tunaye kabisa,Mko sawa kabisa mtumishi wa Mungu,Mungu awainue zaidi
@evelynstephen30033 жыл бұрын
Yap yap
@neemavitalis90987 ай бұрын
🎉 tunaye Mungu muweza wayote Mungu asimame nasi 2024 💃💃🎉
@jacquilineminja83663 жыл бұрын
Director wako ni mkali sana, kazi nzuri sana
@anyulajohnson2343 жыл бұрын
Finally mchungaji has done it. Ubarikiwe Sana . Kweli tunaye Mungu hujibu maombi
@aughstusmasila86732 жыл бұрын
Wow very nice song amen amen 🙏🙌barikiwa sana wimbo safi sana 🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@papatomaso48743 жыл бұрын
Tunae mungu safi sana barikiwa mkuu umetisha
@pasuaraha15463 жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@isabellawangari11833 жыл бұрын
Wow, amazing baraka tele.mungu azidi kukupa nguvu mtumishi.Amen
@celestinemuhanda70032 жыл бұрын
Amen mungu ndo njia y maisha yetu.
@samuelekisa60752 жыл бұрын
Kweli mungu anajibu maombi yetu kinyume na matarajio ya wanadamu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@ruthgloriaobonyo2 жыл бұрын
Kwa kweli tunaye Mungu ajibiye maombi yetu🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami, thanks for your support please subscribe my channel and share to others and be blessed
@everythinginlife86473 жыл бұрын
Hongera ndungu yangu wimbo mzuri kazi yako inapendeza Mungu akubariki 🙏🙏👏👏💖💖💖 from 🇰🇪
@alexkaunga4407 Жыл бұрын
Ni kweli tunaye Mungu anayejibu maombi yetu...Wimbo unabariki sana
@fredrickmbiseofficialtz53372 жыл бұрын
Nyimbo zako mtumishi zinaupako waroho mtakatifu mungu azidikukuinua zaidi
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@niyerabora7213 жыл бұрын
Kiukwer unaweza mungu azidi kukupaka mafuta nyimbozako zote nazipenda sana zinanipa faraja naziangaria nikiwa burundi mungu akupe maisha marefu tuzidi kubarikikiwa
@priscafrenk223 жыл бұрын
Hatimaye video tumeiona amaizing sana mungu azidi kukupa nguvu mtumishi wa mungu
@Nuru.Gizani5 ай бұрын
Huu wimbo umeniingia sasa❤❤❤❤
@MuthenyaKimanthi3 ай бұрын
@@Nuru.Gizaniln
@namukosedamali59533 жыл бұрын
From Dubai Be blessed 🙏🙏🙏
@collinskiprono3137 Жыл бұрын
hii wimbo uniba tumaini kwa maisha asanti sana
@lilianmwaro81742 жыл бұрын
Ubarikiwe sana brother sifael Kwa huo ujumbe,,
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@anyerarichard37683 жыл бұрын
Mbarikiwa mtumishi wa mungu...nice song#greetings to Mr Briani kariuki ...
@priscafrenk223 жыл бұрын
Waiting
@pamelamurungapamelamurunga38433 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa nyimbo za mafunzo na baraka
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@klaraaga7552 жыл бұрын
Nyimbo zako hunitia nguvu,Mungu akuzidishie umarifu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
@fidelkisoi93883 жыл бұрын
Hakika tunaye anayejibu maombi yetu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL3 жыл бұрын
Amina hakika
@grvik2 жыл бұрын
amen, kwa kuamini atakuvusha vikwazo unavyopitia
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Thanks for your support be blessed more so please dont forget to subscribe my channel and share to others amen
@janejaneffer30713 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sifaeli,,,
@marylogedi1053 жыл бұрын
Asanteni kwa wimbo muzuri sana🙏👍🥰 Mungu ahimidiwe ,atukuziwe kwa kazi zote anatenda ❤🤗
@aspirangazi6540 Жыл бұрын
🙏🙏✋👍
@damaryatsiamillah97483 жыл бұрын
Kweli mungu anajibu maombi🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@nisilesanga36022 жыл бұрын
Kila wimbo wimbo wako kwang is a best brother mung akupe kila jema kuandaa nyimbo nzr
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@sylviamutheu43332 жыл бұрын
Your songs🥺🥺🥺 they've away of talking to me
@tumbousu3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sifaeli
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL3 жыл бұрын
Asante
@monicanjoki76993 жыл бұрын
Awesome... Mungu tunaye anayejibu maombi yetu❤️
@kkjjjhridifj2123 Жыл бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL ee
@joycelukumay49572 жыл бұрын
Ujawahi famta makosa Sifael👌👌💞
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@ernestomlelwa96962 жыл бұрын
Heshma yako kaka, kwa huduma ambayo mungu amekupa huwa nabarikiwa sana kaka
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@maurineken76302 жыл бұрын
Wow nice song much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@krareturns-cpakabamiano3 жыл бұрын
was introduced to this great artist by the late Mama Rwakatare apumzike salama
@obedikilago74162 жыл бұрын
Mungu azidi kukujaria maisha yenye baraka telee na mafanikio
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@hellenmweu24742 жыл бұрын
Hakika tunaye Mungu anayejibu maombi yetu.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@phylvitonyamusic3523 жыл бұрын
Wow baraka teletele mtumishi
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL3 жыл бұрын
Amina asante Sana
@rachelmgoo39463 жыл бұрын
Wimbo mtamu🔥🔥🔥🔥🔥 ubarikiwe mtumish wa Mungu
@kenxomken2 жыл бұрын
East Africa. .......jijini Nairobi kenya....nice one
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@lawrenceravasco81242 жыл бұрын
Hongera nafuatilia kutoka KENYA,,
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@sheilamtuweta67693 жыл бұрын
wah ndio hio imeanza beautiful.barikiwa mtumishi
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL3 жыл бұрын
Amina asante
@sheilamtuweta67693 жыл бұрын
Amen
@sheilamtuweta67693 жыл бұрын
Watching from Mombasa Kenya
@jacquelineaime74952 жыл бұрын
Fuffuh F
@jacquelineaime74952 жыл бұрын
Fuffuh F
@blessingmwakalindile5853 жыл бұрын
Tunaye anayejibu maombi yetu .. Ahsante Yesu 👏
@jamesdonard20813 жыл бұрын
Amen kaka tunaye huyu MUNGU anayejibu maombi yetu MUNGU akubariki kk mkubwa
@aksaenesteaineaaksaenestea23252 жыл бұрын
Ameeni anajikibu kwa wakati sahihi hawaji wa hachelewi.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@jayezzam81593 жыл бұрын
Na mungu Akupe miaka mingi na ujuzi wa kubariki mioyo yetu mtumishi wa mungu..🙏🙏🙏 nine uhakika mungu pia anapenda Mistari ,Sauti,Dance,Beat,wewe #Sifaeli na hawa wasichana wako wa kuimba. Kusema ukweli nakupenda sana mtumishi wa mungu my request from kenya🇰🇪🇰🇪 plz do a collaboration with Christophermwahangila.
@georgengalyoma2512 Жыл бұрын
Zx .
@lilaccalmlife Жыл бұрын
Whoever is reading this, I pray for you that God visits your home today with Healings, Blessings, and Miracles. Amen💞
@WinnyNgetich-cy1xp11 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@kafunakelvin12010 ай бұрын
Amen
@ruthwavua53609 ай бұрын
Amen
@catherinewangeci52269 ай бұрын
Amen and may he do the same to you
@BarackOtieno-ws4qw9 ай бұрын
Amen
@valaryaisha595 Жыл бұрын
Umebadilisha maisha yang'u kupitia nyimbo zako.mungu akulinde akufunike na damu yake pamoja na nyumba yako,Amen!
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Жыл бұрын
asante sana nakushukuru mno ubarikiwe/thanks so much for your support please subscribe my channel and be blessed more share my contents link with others amen?
@janetmutisya59772 жыл бұрын
Oh yes hallelujah tunaye mungu anayejibu maombi kweli
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
Uko vizuri bro, haujawahi kutuangusha be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
@jackyluns82243 жыл бұрын
Nimeiona bro asante sana kazi nzuri
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL3 жыл бұрын
Amina asante Sana
@jackyluns82243 жыл бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL barikiwa zaidi
@deonyagawa24993 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua katika viwango vingine kwa nyimbo za baraka na furaha 💪
@fencilatemesi33412 жыл бұрын
Ameeeen unayejibu maombi yetu ni wee Tu Baba🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amina asante utukufu kwa mungu aliye juu be blessed more don,t forget to subscribe my channel SIFAELI MWABUKA OFFICIAL TZ.
@paschalkiniofficial1232 жыл бұрын
Nashukulu Sana YESU KRISTO maana Niko na wewe
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@ericmutuma75811 ай бұрын
There is God in Heaven,after listening to your songs sifaeli my mother got healed in Jesus name
@vaatiosnat21683 жыл бұрын
Kenya ,tuko na Imani kuwa tunaye mungu anayejibu maombi yetu na tumemwona katika maishani mwetu !!
@enockkagomba12612 жыл бұрын
Asanteeeeeee mtumishi wa Mungu wimbo mzuri saaana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@jacklinekamilla46142 жыл бұрын
Amen,mungu akuzidishie kipaji cha uimbaji
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante sana be blessed more please subscribe and share to others
@ezekielndakiofficial19513 жыл бұрын
Tunaye Mungu anayejibu maombi yetu wimbo wenye kubariki
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL3 жыл бұрын
Barikiwa
@joyjune34463 жыл бұрын
hakika tunaye mungu amina
@ellyopata32422 жыл бұрын
Asante kwa kipaji chako..Nyimbo zako zinanibariki na kunihimiza hapa kenya. mungu azidi kukubariki
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
@kenedymunyao24592 жыл бұрын
Baba naomba hutajibu maombi yangu 🙏🙏🙏Amen
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@maithamutuku12772 жыл бұрын
Mungu aendelee na kukujalia, nyimbo zako unibariki sana
@nyambabazichantal32313 жыл бұрын
Amen god bless you so much nice song
@jeremymwanikofficial74303 жыл бұрын
Wimbo ulio na ujumbe wa kuinua mioyo yetu. I wonder how no one is recognizing the servant's sweet dance moves 🤔🤗
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@solomonkahura95322 ай бұрын
Nice song And turching.God bless you brothers
@merrypeter2093 жыл бұрын
Ameeeen Kaka Mungu ndio kila kitu
@georgemanani13412 жыл бұрын
Mungu ni mungu Big up kaka l'm so blessed
@faithafandi57972 жыл бұрын
Kila siku lazima nisikize huu wimbo...,and i watch more than 3times per day,may God keep you strong for this good work so that we can receive more songs 🙏🙏
@mariammnyinga11322 жыл бұрын
@@georgemanani1341 À
@magafumnaku37962 жыл бұрын
@@georgemanani1341 lmbmi
@hellenkasyoka67453 жыл бұрын
Hallelujah tunaye Mungu anayejibu maombi yetu
@nsengiyumvamelchisedech2180Ай бұрын
Mungu akuongezee nguvu kwakazi zako
@watchmankingstone96023 жыл бұрын
Amina, finaly nimeipokea kutoka nikiwa hapa Nairobi. Mungu anasikia na anajibu maombi yetu, asanti kwake sana. Mungu akubariki ndugu!
@hajihaji60582 жыл бұрын
Wimbo unafundisha sana
@janeshigami87692 жыл бұрын
Nafurahi sana kumuona mamake Marehemu Steven Kanumba......
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@likstlokst47243 жыл бұрын
amen brother be blessed from kenya
@bamusiimeadrine99833 жыл бұрын
I like you songs may God bless u so much i dont understand languege but i feel it in my spirit
@kerrycarol3 жыл бұрын
Woow...am so much blessed..Mungu pigana Vita zangu nimekuachia