TUNDU LISSU, MKEWE WALIVYOPANDA JUKWAANI MBAGALA

  Рет қаралды 54,467

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 134
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 жыл бұрын
Toeni Sera za maana basi watanzania wasikie mlichonacho huu sio wakati wa malalamiko ni saa ya kuuza Sera maana kwa stail hii duuuh!!! Sijui !!!!!???
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Jukwaa limechoooka kama nyumba ya wenda wazimu😴😴😴😴😴
@teddyjohn5339
@teddyjohn5339 3 жыл бұрын
Hizo kampen vigodoro baba yangu JPMchapakazi baba achana nawatu wenye akili fupi...mimi namtambua Lisu ni Raia wa ubeligiji acha wajifurahishe
@stephenmseti5539
@stephenmseti5539 4 жыл бұрын
Ningekuwa na uwezo hizo ela kqmpeni mngezirudisha kwenye benki ili tukope zitusaidie wananchi maana Mqgufuli tena 2020
@sarahmarishay6938
@sarahmarishay6938 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa hill nalo neno tukope zetu
@michaelpaul7760
@michaelpaul7760 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@sarahmarishay6938
@sarahmarishay6938 3 жыл бұрын
Wajinga kweli wananimalizia mb zangu halafu utumbo mtupo kweli hawana Viber eti ferstlad hahaaa tunamjuwa mama Janeth Magufuli tu shuuwaini nyie
@upendokaswiza9831
@upendokaswiza9831 3 жыл бұрын
Magu Mungu akusimamie akupiganie mpaka uzee huko
@renatusfbupamba5181
@renatusfbupamba5181 4 жыл бұрын
Kuteua mgombea mlijichelewesha kurejesha fomu mkajichelewesha kwenye kampeni hamjalaza damu haya bwana Mungu awatangulie wana CHADEMA. #tukutane2020/2021 #millardayo #tbcfm
@sophiaharidi4672
@sophiaharidi4672 3 жыл бұрын
Tupo pamoja sana kamanda✌️✌️✌️
@godhelplatia3044
@godhelplatia3044 4 жыл бұрын
Mungu awabariki hakika inapendeza
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 4 жыл бұрын
Mmmh, ni mkutano au kikao maana sielewi
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 3 жыл бұрын
Utaelewa tu, kama ulipata 0 subiri
@saleheabdalah6535
@saleheabdalah6535 3 жыл бұрын
WATU wachache sanna kwa KWELI ngoja mafuliko ya magu
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 жыл бұрын
Halafu pia mlikosea mahesabu yaani bora uliporudi ungejificha ili utokezee wakati wa kampeni sasa wewe umekuja na kuanza kuzunguka nchi nzima halafu hukua hata na Sera za maana zingekusaidia japo kdg sasa washakuzoea watanzania hawaoni jipya tena wale waliokua wanakuja kukushangaa sasa hv hawajui tena maana hukuwabia chchte cha maana.
@luluamri370
@luluamri370 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kunywa cola ....ndio maana walimalizia hasira kwa waandishi wa habari
@abdulabdallah8376
@abdulabdallah8376 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣Kazi kweli kweli hamna jipya
@mweshimiwaraisshikiliahapo8405
@mweshimiwaraisshikiliahapo8405 4 жыл бұрын
Rais ni magu tuuuuuuiui we ulie tuuuuu
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 жыл бұрын
Ila wakati wa lowasa mlikua na vibe kweli ila sasa hv duuuh!! Aibu tupu vibe hamna
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
Huyu Mama anataabu 😂😂😂
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 hakika
@erickmapunda4231
@erickmapunda4231 3 жыл бұрын
Dalili co nzuri, tunaweza tukaambulia %15 ya kura.
@wambulamatiko9906
@wambulamatiko9906 4 жыл бұрын
Bado sijaona kama lowasa
@jacksonjohn7378
@jacksonjohn7378 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa uzma mtetezi wetu
@elminakalunga4030
@elminakalunga4030 3 жыл бұрын
Huu wimbo mbona una-reflect kwingineeee. Halafu mwisho wa kampeni mama wa watu anaishia kudhalilika. Mweee Chadema Mungu anawaoña.
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
Sema kwasababu upinzani lazima wawepo vinginevyo mngeacha tu
@ModimoMendoza
@ModimoMendoza 4 жыл бұрын
😂😂😂msidanganyike na watu nyomi hata mimi ningekuwepo ningeenda kushangaa
@rashidkambi3070
@rashidkambi3070 4 жыл бұрын
Hahahahaha dah yan leo tu rais amesha patikana kiulain mzee magu
@hadijanoro5547
@hadijanoro5547 4 жыл бұрын
Magufuli baba lao
@crispinedward3352
@crispinedward3352 4 жыл бұрын
Tundu lissu for change .......💪💪
@mweshimiwaraisshikiliahapo8405
@mweshimiwaraisshikiliahapo8405 4 жыл бұрын
Toa miguu yako hapo huna sera hata chembe
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 4 жыл бұрын
Naona kelele tu!Subirini 28 October tutakavyowanyoosha kwenye sanduku la kura
@crispinedward3352
@crispinedward3352 4 жыл бұрын
Sio rahs
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Chadema bhana hapo mmeshakunywa mnazi wenu mnajiona dunia yote yenu
@kwambokamkisii3870
@kwambokamkisii3870 4 жыл бұрын
Chamtoto. Angalieni kule dodoma baba lao anavyokinbizaaaa. Weraaaa weraaaa
@batulimwasisime9160
@batulimwasisime9160 3 жыл бұрын
Chadema wanawake wote macho mabovu kila mwanamke anavaa miwani
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
Jaman kama namuona tundu bovu vire wajumbe wamnyoa nywele mchana kweupe yaani hapo wana mzoom tu akijitapa na kuongea utopolo wake🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 3 жыл бұрын
😀😀😀😀Umenifanya nicheke kiboya saanaaa m2 wanguu
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 3 жыл бұрын
@@ramsikhamis7083 😂😂😂😂Nakwambia hatokaa aamini watakacho mfanyia utajua asaivi watz siikama wazamani yaani asaivi washajua mbivu na mbichi hapo asione wote wamevaa sale akajua wote niwapiga kula wake hilo asahau ABADAN
@bongomaudaku4826
@bongomaudaku4826 3 жыл бұрын
Na hcho kijukwaa🤭ety ndo mleta maendeleo hovyooo kaa tulia
@jullipusoe7838
@jullipusoe7838 3 жыл бұрын
Kama wapo kwa mjumbe Kideu
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 3 жыл бұрын
Siasa bwana.
@mweshimiwaraisshikiliahapo8405
@mweshimiwaraisshikiliahapo8405 4 жыл бұрын
Biashara zako kwishinei
@janekichonge4957
@janekichonge4957 3 жыл бұрын
Tunataka sera siyo matusi
@dearnamypastime2435
@dearnamypastime2435 3 жыл бұрын
Mbona ni yeye imepotea
@abuubakarmohamed1615
@abuubakarmohamed1615 4 жыл бұрын
President
@pendoeliya5150
@pendoeliya5150 3 жыл бұрын
President?🙄🙄🙄
@solomoniyakobotuwapatavizu3953
@solomoniyakobotuwapatavizu3953 4 жыл бұрын
Mweshimiwa lisu oyee
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
Ikulu mtaisikia
@khassimmisake9463
@khassimmisake9463 4 жыл бұрын
mvishe mkeo ushungi bn ni alama nzur kwaupande wetu pia
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 3 жыл бұрын
Anavyocheza basi watu wanaumiaaa😂😂
@allymusira2153
@allymusira2153 4 жыл бұрын
Mnakosea kumwita makamu wa rais hata uchaguzi bado
@gracemima5234
@gracemima5234 4 жыл бұрын
HATA HAELEKEI. HALI MBAYA MASIKINI. WATAWEZA KWELI?
@bobuizdoli8796
@bobuizdoli8796 3 жыл бұрын
Maskini daah!! Hadi huruma hahhh,,Magundi oyeee
@simonfundi3609
@simonfundi3609 3 жыл бұрын
Chama cha mapumbavu mtateseka sana Chadema juuuuu
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 3 жыл бұрын
Mapumbumbavu ni chadema au ccm? Nyie ndo mtapata tabu sana
@DenrichStar
@DenrichStar 4 жыл бұрын
Mungu ibariki chadema
@anordpefactus1099
@anordpefactus1099 4 жыл бұрын
Amn
@sarahmarishay6938
@sarahmarishay6938 3 жыл бұрын
Aisee
@cmpacomplex7981
@cmpacomplex7981 3 жыл бұрын
Wamenipotezea mb zangu za bure hawa....hata hoja Hawana😂😂
@africa7479
@africa7479 4 жыл бұрын
Siasa
@ramadhanally4207
@ramadhanally4207 3 жыл бұрын
HARUSI YA NANI HIYO
@pancrasshirima
@pancrasshirima 3 жыл бұрын
Hata Nyie online tv mngefurushwa tu kama tbc maan mnazingua tu
@adamally8791
@adamally8791 4 жыл бұрын
Kigodoro
@saidijafari2812
@saidijafari2812 4 жыл бұрын
Watu wenyewe wawili tu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
Saidi wingi wa kamasi siyo ukubwa wa pua
@aloycekasase6630
@aloycekasase6630 4 жыл бұрын
Camera inaonyeshwa chin tu 🙄🙄
@michaelpaul7760
@michaelpaul7760 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 aibu
@godfreymichael7658
@godfreymichael7658 3 жыл бұрын
Aibu hii bora ya lowasa
@muzneali387
@muzneali387 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Rais wa wanyonge
@salomemlagila5757
@salomemlagila5757 4 жыл бұрын
Mbona watu wachache sana hivyo yaan hapana matumaini hapo
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
mbona wapo weng sanaa dada angu hukuangaalia vizur video hii
@physicsmathstutor.704
@physicsmathstutor.704 4 жыл бұрын
Ata waliopo naona wameenda kushangaa tu ata hawaelewi kinachoendelea
@jumannekhalifa7761
@jumannekhalifa7761 4 жыл бұрын
Kamela mani msenge unaonyeshaje ,kamela yako mbona huitendei haki make naona unamlika miguuutu ofyo sana
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 4 жыл бұрын
Subilini sanduku la kula
@wakishuakutokatz4737
@wakishuakutokatz4737 4 жыл бұрын
Kweli we kilaza, kwa jinsi hali ilivyo bado we uko ccm
@mzakirurashidi9066
@mzakirurashidi9066 4 жыл бұрын
Mungu wetu uliye juu nusuru taifa letu kampeni ziishe salama kwani yote yako mikoni mwako
@promisetenson7258
@promisetenson7258 4 жыл бұрын
ww mbona hata haujui matumizi ya herufi upuuzi ww?andika sanduku la kura sio kula.
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
@@promisetenson7258 🤣🤣🤣🤣
@florencmussa4706
@florencmussa4706 4 жыл бұрын
Tutapigia pesa sio njaa vyuma vimekaza
@luluamri370
@luluamri370 4 жыл бұрын
Watu wako kwa zuchu na van
@salumsaleh6186
@salumsaleh6186 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@karanijunior1257
@karanijunior1257 4 жыл бұрын
Auka. Itu
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 4 жыл бұрын
Hapo tu hakuna watu je jangwani mtapaweza?
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
kutokana na vitimbwi vyote lkn bado mtu nyomii ccm muwe makini sana vingnevyoo mnaweza kubaki mdomo waziii
@khalilkhusair1045
@khalilkhusair1045 4 жыл бұрын
Milad acha figisu mbona hujachukua camera ya juu?ili watu waonekane wachache unatumia camera ya chini tu?
@kaundamwangalaba629
@kaundamwangalaba629 4 жыл бұрын
Rais wa watu
@agathamnyambwa3003
@agathamnyambwa3003 4 жыл бұрын
Tukopamojamzewetu
@milhajiabdallah2787
@milhajiabdallah2787 4 жыл бұрын
Wakwenu huyo chabema
@zawadikitime233
@zawadikitime233 3 жыл бұрын
Haaaaassaaasaaaaaaaaaaa
@muzneali387
@muzneali387 4 жыл бұрын
Naona wengi kama WAJUMBEEEE
@jumaramadhani1486
@jumaramadhani1486 4 жыл бұрын
😁😁umekosa imani nao
@muzneali387
@muzneali387 4 жыл бұрын
@@jumaramadhani1486 kabisaaa inatisha Sana wanakuamnisha kisha wanakukimbia
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
@@muzneali387 Kabisaa hapo ni wajumbe tu ndo wana mzuga lakn hata wajumbe wanajua kabisa maji yako shingoni 🤣🤣🤣🤣🤚🤚
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 жыл бұрын
Ufunguzi au sengeri?
@namandamzuma5478
@namandamzuma5478 4 жыл бұрын
Ni wivu tu. Kwan jipya lipi la kukushangaza hapo!
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 жыл бұрын
Nikajua mko wengi kama picha mliyotengeneza kumbe hamna lolote bwana. Sasa kama ufunguzi wa kampeni ndio hv mmekua wachache hv na hapo ni dar salaam nzima mko hapo duuuuh!!!! Kazi mnayo
@lucykileo2853
@lucykileo2853 4 жыл бұрын
Tutashinda hakika
@jacksonrabson6439
@jacksonrabson6439 4 жыл бұрын
Naww ulielipya kuima huo utupolo Mungu anakuona
@zephaniapaul4437
@zephaniapaul4437 3 жыл бұрын
Hadi raha
@furahacleo6128
@furahacleo6128 4 жыл бұрын
Nimeandaa kitoa adhabu sisemi sana October, Yes Maguful
@wakishuakutokatz4737
@wakishuakutokatz4737 4 жыл бұрын
Mi magu siko pamoja nae,Kama unataka kujua nenda mahakaman,polisi na mahospital utajua,pia elimu bure wakati watoto wao wanasoma ulaya na chunguzi utawala ngazi za juu wanapeana watoto wa viongozi,madege wananunua lakn masikini hana uwezo wa kuyapanda,mtanzania fungus akili na ubongo wako kwa kina
@romualdmadeniromuald525
@romualdmadeniromuald525 4 жыл бұрын
Kwan umekatazwa kumpeleka mtoto wako shule ya kulipua?
@furahacleo6128
@furahacleo6128 4 жыл бұрын
@@wakishuakutokatz4737 uko sawa kimtizamo wako ila ukwl magu kamanda si lazma km ulivyo sema ndomana tuko tofauti na hivyo vema tuombe uchaguz wa Aman ila kuna mtu ata toka na kura za aibu uchaguz huu, lowasa aliteka sana ila huyu ata hajamfikia lowasa bado labda badae
@jamesmasome359
@jamesmasome359 4 жыл бұрын
@@wakishuakutokatz4737 wehu bana shida kwelikwei
@upendolaizer761
@upendolaizer761 4 жыл бұрын
Hapa kazi jamani hamna kitu hapo ni ili ccm tusijisahau tachape kazi mabeberu wanakutumia achia ngazi hata ubunge usingeupata urahisi ni ndoto
@kingfocustzog
@kingfocustzog 4 жыл бұрын
Wadada wa kibongo ndio wadada Pekee ambao huhitaji mume mwema wakati wakitumiwa Nauli wanakula Afu wanabebeshwa mimba na visharobaro.🤣🤣😂
@janethmurow327
@janethmurow327 4 жыл бұрын
CCM mnapata tabu kwani VIP .......nacheka kwa zarau... iz kmnt znu
@fancebtz1071
@fancebtz1071 4 жыл бұрын
Hata msafala Wa gwajima mkubwa luliko hata
@janethmurow327
@janethmurow327 4 жыл бұрын
Mtapata tabu Sana.
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
Mnajifariji tu subirini wajumbe watakavyo wanyoa mchana kweupe🤣🤣🤣
@janethmurow327
@janethmurow327 4 жыл бұрын
Wajumbe wapi mnasema hivyo ili badae mkishafanya yenu 😲😲
@wakishuakutokatz4737
@wakishuakutokatz4737 4 жыл бұрын
Hakika hali ni mbaya mtaani,yaan pesa hakuna.
@gracemima5234
@gracemima5234 4 жыл бұрын
Pesa zilizokuwa mitaani zilikuwa za wizi. Badala ya kujenga hospital zilimwaga mitaani kwa watu wachache. Mnaona bara bara? Fan yenu kazi acheni uvivu
@chugachugambuli8879
@chugachugambuli8879 4 жыл бұрын
Ukimchagua shoga lisu , mkawa mashoga wote mtazipata
@wakishuakutokatz4737
@wakishuakutokatz4737 4 жыл бұрын
@@gracemima5234 kumbe nabishina na mwanamke,nisamehe kiraza mkubwa
@wakishuakutokatz4737
@wakishuakutokatz4737 4 жыл бұрын
@@chugachugambuli8879 shoga baba yako na ukoo wako mzima
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
@@wakishuakutokatz4737 Ukwer lazima ukuume😂😂😂🤣🤣pore yako
Why Starbucks Is Struggling
12:06
CNBC
Рет қаралды 558 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 121 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
TUNDU LISSU AKIONGEA MBELE YA VIONGOZI WA BARAZA KUU LA CHADEMA
21:07
Chadema Media TV
Рет қаралды 81 М.
HUU NDIO UKWELI KUHUSU KUREJEA KWA MAKONDA.
3:16
masta tz
Рет қаралды 1 М.
Why Tensions Between Italy and EU are Rising Again
8:56
TLDR News EU
Рет қаралды 175 М.
KWAYA KUU wamuimbia MAKONDA tulijua tu kua yatakupata haya NENDA TU
7:50