No video

Tv showcase + molding Kwamahitaji zaidi wasiliana nasi whtsp+call 📞+255712799276

  Рет қаралды 848

Lugazo Decoration

Lugazo Decoration

Күн бұрын

Kalibu Lugazo decoration kujipatia mafundi wazuri wa decoration tunafika brandaling Gypsum decoration skimming pvc na Rangi zakisasa usisite kututafuta ili tukubadilishie muonekano wa nyumba yako tumapatikana dar es salaam ila mikoani tunafika kwa gharama nafuu sana tunawakalibisha kujipatia kilicho bola kutoka kwa Lugazo decoration Kalibu sana Asante

Пікірлер: 4
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 Жыл бұрын
Mashallah tabarakaallah kaka lugazo kazi safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sana Allah awaifadi Yarabii ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@mkushidecolation5311
@mkushidecolation5311 Жыл бұрын
Kaka hyo kazi imefanyika mwanza
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Kazi zenye muonekano kama huu ilizoeleka kupatikana na kuonekana pande zile ambazo teknolojia imekuwa juu ( Ulaya) Leo hii hamdulillah Allah amejaalia kutia teknolojia hiyo kichwani mwa Lugazo mtanzania mtoto wa mama Samia na akawa anayapamba majengo mithili ya Ulaya, Wallahi ni neima kubwa kwa watanzania kumpata kijana huyu. Kaka nakuthibitishia kwa maandishi huku nikiwa na yakini moyoni kuwa kazi zako nazikubali sana.Mimi ni fundi pia kuanzia kujenga hadi finishing lakin si kwa kiwango hicho pengine wakati mwingine kutokana na ufinyu wa material huku mikoani. Allah akubariki sana wewe, kazi zako na familia yako. Karibu Nanhyanga Tandahimba Mtwara. Inshaallah nitakutembelea kaka
@lugazodecoration3262
@lugazodecoration3262 Жыл бұрын
Asante sana kaka tuko pamoja✊
Two Side Cushion For Bed | bed diy | part - 2
12:44
Deep Wood Work
Рет қаралды 2,4 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 26 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
7 Weird Facial Expressions of a Narcissist
12:22
Danish Bashir
Рет қаралды 298 М.
Inside a $85,000,000 New York Townhouse with Indoor Swimming Pool
19:47
The Luxury Home Show
Рет қаралды 116 М.
Top 10 Designer Approved LUXURY IKEA Products 2024 | Nina Takesh
17:54