Nawakubali lakin stor inaisha ikiwa inadai muendelezo inakuwaje badae wakati umeenda nae geto navipi tarifa za mteja dukan na kwanini mwizi hajabadili kila kitu alivyo tokea dukani ndivyo ametokea kama mwizi
@simontembele4393 ай бұрын
Kweli kabisa yani story nzuri alafu inaishia njiani kweli damn
@geofreymwamakula7178Ай бұрын
Ina maana hakuwapa receipt? Ki kawaida muuza duka hawezi kukubali kurudishiwa simu aliyoiuza