Ubora wa mbegu mpya za minazi 'usipime'! zina uwezo mkubwa wa kuhimili ukame na magonjwa.

  Рет қаралды 3,508

PROMO ONLINE TV

PROMO ONLINE TV

3 жыл бұрын

‪@promoonlinetv7442‬ inakuletea habari, dondoo na makala za kilimobiashara, mazingira, maliasili na utalii.
Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

Пікірлер: 17
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 Жыл бұрын
siasa inatukwamisha + roho mbaya ya wadau nimeshuhudia taasisi serikali tari zinazozalisha Miche wanaukiritimba nyingi nilishuhudia katika maonyesho ya sabasaba walieleta mche mmoja kama . mfano wa maonyesho badala ya kuuza nyingi katika maonyesho (roho mbaya)
@adamunkwabi9646
@adamunkwabi9646 2 жыл бұрын
Naomba msaada minazi yangu inashambuliwa na mdudu na sijuwi in mdudugani
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 Жыл бұрын
We are not serious. Mkombozi wa upungufu wa mafuta ya kupikia ni large scale kilimo cha michikichi. Wahindi wana-import mafuta ya mawese then wanai process to different kind of mafuta ya kupikia. When they said we are importing cooking oil,they meant unprocessed plums oil.
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Inshallah baba
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 Жыл бұрын
Kwa ninavyo fahamu mafuta ya nazi hayapendwi na siyo mazuri hata kidogo . Watu wanatumia tui la nazi kupikia . Tui linapatikana kwa kukamua machicha ya nazi. Huyu mtaalam katufunga kamba huwezi kutengeneza furniture kwa kutumia mti/ shina la mnazi.
@carolinemasonga163
@carolinemasonga163 6 ай бұрын
Mti wa Nazi uliokomaa una mbao ngumu usivyojua na haipekechwi na wadudu kama mbao nyingine na ni kweli Inatengeza fenicha. Fuatilia kwa mafundi.
@elvisjonas8520
@elvisjonas8520 2 жыл бұрын
Na maanisha miloni 800 sio milioni 8.
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 жыл бұрын
Tanzania tuna rasilimali nyingi zinazoleta utajiri , sijui tunakosea wapi ????
@promoonlinetv7442
@promoonlinetv7442 2 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa, naamini kadri tunavyopata taarifa sahihi za fursa hizi Watanzania tutazitumia na kupata maendeleo. Nadhani tatizo ni kukosa taarifa sahihi za fursa kama hizi
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@zainabushabani7309
@zainabushabani7309 Жыл бұрын
Chambezi ndo wapi wadau
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Changamoto za wahandishi wetu ni kubwa, sasa tushajua minazi ina faida sasa hizo mbegu zinapatikana wapi?
@promoonlinetv7442
@promoonlinetv7442 2 жыл бұрын
Ukifuatilia vizuri utapata jibu la swali lako, huyo anayezungumza ni mtu kutoka TARI Dar es salaam, na ndio wanaozalisha hizo mbegu. Lakini maoni yako tumeyaelewa na tutayazingatia
@kitonikitoni6299
@kitonikitoni6299 2 жыл бұрын
Binafsi ninashida na namba ya huyu mzee kiofisi
@elvisjonas8520
@elvisjonas8520 2 жыл бұрын
Tz tunazalisha nazi miloni 8 kwa mwaka, je nikati eneo la 265ha? Au kuna siri ya aina flan ya minazi yenye uwezo mkubwa wa kuzaa?
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Inshallah baba
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Ifahamu Ifakara Mjini
17:21
tuos TV
Рет қаралды 3,3 М.
Mbegu ya Vitunguu aina ya Red Bombay
2:57
PROMO ONLINE TV
Рет қаралды 588