Shabalala naye ana makosa mengi sana,asi sifiwe sana,shabalala amehusika naye kwenye kujifunga mara nyingi pia
@DanielChaula23 күн бұрын
Urefu nikitu Bora pia Ako nacho
@tempochoir23 күн бұрын
Na kwa nini Simba walisajili ASANTE KWASI?!
@tempochoir23 күн бұрын
Geoff upo sahihi sana...Kapombe ni longtime sana kwenye MAJERAHA...wengine hapo wameanza uchambuzi juzi...akumbuke kwa nini Simba walisajili Zana Colibali...??!