JAMANI HII REDIO SIJAELEWA NYIE WATANGAZAJI MMEHAMA WASAFI
@haslanclassic4025 күн бұрын
Uyo anae sema vital'O ya burundi ni mbovu kuliko APR ya Rwanda Afatili mpira ana fatilia Team za ulaya VitalO nibora kuliko APR
@user-mr9xp5mr7i25 күн бұрын
Una wazimu wewe tuulize sisi tunaoishi hapa Buyenzi Vital0 ni timu hiyo sasa? Bora ata Ainge Noir APR ni Klabu bora kabisa na inapata msaada wa Jeshi ni Timu ya Jeshi la Kagame Hujui hata ligi ya Burundi ni takataka kabisa
@MZAMILUMNYOTI25 күн бұрын
@@user-mr9xp5mr7iyanga washa pita mapema Sanaa to Yani
@khamisrashid658125 күн бұрын
Mbona nyie waandishi mnakua wabaguzi inamana tanzania JKU haimo?