🚨Uchambuzi EFM,Kocha Mpya Simba Kutua Leo na benchi lake lote,Anaitwa Badly Davids,Matola kubaki.

  Рет қаралды 7,516

mtanange tv

mtanange tv

4 күн бұрын

#football #simbaislive #ahmedally #alikamwe #simba #yangasc #yangatv #simbatanzania #yangafc #youtube

Пікірлер: 13
@vedastusmathias3188
@vedastusmathias3188 7 сағат бұрын
Matolla àwapishe makocha
@allyr.mavura7878
@allyr.mavura7878 4 сағат бұрын
Kama Matola anabaki basi hata huyo kocha hatokaa
@medardjustinemakonge9900
@medardjustinemakonge9900 4 сағат бұрын
Kwa kocha wamechemka sanaaaaa,,Huyu jamaa hakuna kitu,,hana Record yoyote ya ushindi:
@bedomgwalupogo2652
@bedomgwalupogo2652 4 сағат бұрын
Matola ni kdudu mtu hapo simba sc
@user-ng6ep3hi4c
@user-ng6ep3hi4c 4 сағат бұрын
Sport HQ amna kosha umo namjua vizuri ata uku South Africa awamtaki anashusha timu daraja nyingi tu
@EliasiKumpuni
@EliasiKumpuni 4 сағат бұрын
Kocha anatokea nchi gani
@BatoPaskal
@BatoPaskal 4 сағат бұрын
kaze kafanya nn
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 7 сағат бұрын
Huyo kocha anatoka nchigani
@Kabeya410
@Kabeya410 2 сағат бұрын
Matola kama yupo wamekwisha mtoto mwanga yeye na mgunda kocha mpya hakai mtaniambia
@JosephNdimbo-ur9kh
@JosephNdimbo-ur9kh 4 сағат бұрын
Tungoje tuone jaman kira ardhi iñabaraka zake
@Kabeya410
@Kabeya410 2 сағат бұрын
😅Wanatwanga maji kwenye kinu timu wachezaji wanakaa majumbani mwao hilo ndo limewafelusha miaka hii mitatu dawa wahamishwe wakae kambini wakiwa majumbani uhuru mwingi watakua mabaa klabu wanawake na hata wenye wake wanaokaa nyumbani pia wanaharibu mazoezi yao kwa starehe na huo mpango wa kupangiwa wachezaji watoke majumbani ni ten percent nyumba milioni 2 anaongeza 1 wanampiga muhindi niambie wachezaji 30 kila mwezi milion moja kwa mwezi ni milioni 30 hii ni pesa wanaingiza viongozi kocha atakapo dai kambi watu wakae kambini atapigwa zengwe na hapo ndo mgunda na matola wanarudi 😅
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 28 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,8 МЛН
🔴#LIVE:SPORTS ARENA  NDANI YA WASAFI FM  08 JULY 2024
2:06:04
Wasafi Media
Рет қаралды 10 М.