No video

UCHAMBUZI KUHUSU JUMA AWESO NA SIMBA

  Рет қаралды 18,477

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 26
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 Ай бұрын
Ayo Juma🔥🔥 Kwa mpigo zaidi😂😂🔥🔥
@kipinguseif9945
@kipinguseif9945 Ай бұрын
Hongereni sana sana hapo nyumban kweli hapo ni nyumban
@swalehekabuji4591
@swalehekabuji4591 Ай бұрын
Kiukweli apo Amna wachambuzi mna washabili wa Simba kweli
@augustinoamos7865
@augustinoamos7865 Ай бұрын
Sio Juma Aweso
@Saki930
@Saki930 Ай бұрын
Ewaaaaaaaaaa
@BabuuWakitaa-pb6gr
@BabuuWakitaa-pb6gr Ай бұрын
ASIYEKUA N CHOCHOTE NI MASIKINI LAKINI ASIYEKUA NA CHOCHOTE ZAID YA PESA NI MASIKINI PIA😮
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 Ай бұрын
wakitaka tuu ihii tabia isiendelee watoe icho kipengele
@BarakaSelemani-os9kv
@BarakaSelemani-os9kv Ай бұрын
Mpanzu vip
@hamisigunguda9715
@hamisigunguda9715 Ай бұрын
Eliya mpanzu vip
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn Ай бұрын
Habari za hapo mjengini naomba kujua habari za Elie mpanzu
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Hapa ni home
@mosesgasana7109
@mosesgasana7109 Ай бұрын
Dogo atasugua bench mpaka makalio yatapiga yowe😂
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Ай бұрын
Uyu awesu wangeachana nae kujaza vijana wa apa kwetu afu awajikucheza😢
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 Ай бұрын
Jamaani Mpanzu vip???????
@MoajGraphics
@MoajGraphics Ай бұрын
Jemedari na Leah wanatoa maoni kama wako kijiweni tu hawana fact based opinions. Crown mlipofeli ni kuamini hawa kama wachambuzi. Hamna wachambuzi hapo😂😂
@kareemibrahim1892
@kareemibrahim1892 Ай бұрын
Hayo ni maono yako wew lakin mpira ndio utazungumza awesu atapamban kutafuta nafsi maan kwak ni fursa kubwa
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Ай бұрын
Kwanu unapotàka kuacha kazi si unatakiwa kuandika barua ya kuacha kazi pamoja na kurudisha mshahara mmoja. Mwacheni aende kwenye greener pasture.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Mpira, c unasheria zake au
@comfort-rjtv3291
@comfort-rjtv3291 Ай бұрын
Kama ni kujihudhuru ndan ya masaa 24 ndo unalipa mshahara mmoja ila kama ni kujihudhuru Kawaida inakuwaga ni siku 30 mpka miez 3
@saidindembo4397
@saidindembo4397 Ай бұрын
Navipi.kibu.kaenda.kambini?
@leonardsasita4634
@leonardsasita4634 Ай бұрын
Mbona mchezaji wako aishi Hana furaha Simba na hajaondoka?
@saidindembo4397
@saidindembo4397 Ай бұрын
Vip.kuhusu.kibu
@laurentbaltazar176
@laurentbaltazar176 Ай бұрын
Jemedari analazimisha uongo kuwa ukweli au kila anachokisema yeye ni sawa. Sheria za mpira na sheria ajira ya kazi ya kazia ni tofauti. Kwenye kazi ukitaka kuacha kazi unatoa notice ya mwezi mmoja lakini kwenye mpira haipo hivyo. Kama kuna kipengele cha kuvunja mkataba lazima kuwepo na sababu na kama sababu ni wewe kutaka kwenda timu nyingine basi hilo ni swala jingine kwa maana kwamba hiyo timu inayomtaka inatakiwa ipeleke maombi ya kumnunua huyo mchezaji na kama itaonekana timu yake inambania basi ndo anaweza kuvunja mkataba kwa nunua mkataba wake. Je simba walipeleka maombi ya kumnunua mchezaji Juma Awesu? Au walitumia tu kipengele cha yeye kuwa na uwezo wa kuvunja mkataba then wakamalizana naye? Sheria zingekuwa rahisi hivyo basi kila kukicha tungeshuhudia wachezaji wakiondoka. Ina maana KMC hawana haki ya kupata chochote kwa AWESU kuondoka ndani ya mkataba? Ukweli ni kwamba wachambuzi wengi wanaelemea kwenye USHABIKI kwa kuzibeba timu zao zaidi kuliko kusema ukweli.
@user-sv4er3xe7n
@user-sv4er3xe7n Ай бұрын
Basi tuangalie mwisho ataenda wapi
@user-sv4er3xe7n
@user-sv4er3xe7n Ай бұрын
Na je kwa lawi Sheria inasemaje sababu ya coast kuvunja mkataba wapo sahii.
@DaurdCharles
@DaurdCharles Ай бұрын
Naomba kujua Simba na Ely mpanzu wamefikia wap
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,8 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 22 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 643 М.
ഇതോ AMMA ! ​ഗം | #Gum #NishanthMavilaVeetil | 23 August 2024
20:48
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,8 МЛН