Рет қаралды 14,551
Ramadhan Mbwaduke mzee wa Takwimu anaongoza uchambuzi wa mechi zote nane za leo, likiwemo tukio la Yanga kukabidhiwa kombe lao la ubingwa wa 30 kwenye #NBCPremierLeague
Fahamu vigezo nani anastahili kuwa bingwa, kuwa mshindi wa nafasi pili, kudhuka daraja na pia nani anastahili kuchukua tuzo ya mfungaji bora
Matokeo ya mechi zote za leo ni
FT: Yanga 3-0 Tabora United (Guede 19’, Maxi 49’, Aziz Ki 90’+1)
FT: Simba 1-0 KMC (Saido 03’)
FT: Azam 5-1 Kagera Sugar (Gibril 50’, Kipre 65’, Feisal 72’, 79’, Nado 90’ / Mbaraka 51’)
FT: Singida 2-1 Geita Gold (Gyan 7’, Amos 18’ / Kyaruzi 54’)
FT: Namungo 2-2 TZ Prisons (Mukombozi 58’ 84’ / Zabona 33’, Benedicto 61’)
FT: Ihefu 0-2 Dodoma Jiji (Mgaza 7’, Zigah 89’)
FT: Mashujaa 3-2 Mtibwa Sugar (Lusajo 3’, 26’, Vuai 33’ / Karihe 15’, Madeleke 55’ OG)
FT: Coastal Union 0-0 JKT Tanzania
Zote zilikuwa LIVE #AzamTV