🚨Usajili Mpya Yanga,Duke abuya,Je ni Usajili sahihi kwa upande wa Yanga,Ataongeza?

  Рет қаралды 11,364

mtanange tv

mtanange tv

27 күн бұрын

#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

Пікірлер: 19
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 24 күн бұрын
Wachambuzi... bado mtaielewa tu YANGA... Kwani Yanga ilipata shidaa wakati wa lipoumia wachezaji wake.ndiyo maana ya usajili huo
@alexanderfute4559
@alexanderfute4559 24 күн бұрын
Ikumbukwe haya ni mapemdekezo ya kocha na ndio alimhitaji
@danielmsoma4741
@danielmsoma4741 23 күн бұрын
HAYAWAHUSU
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j 24 күн бұрын
Sio KWELI,duke ni winga WEWE wa pande zote,Sifa yake KUBWA ni pumzi na kukaba
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad 25 күн бұрын
Huyu nasri anajua kuichambua lkn muda mwingine hajielew ikumbukwe tu kuwa gamond haitaji winga pasee anataka kiungo ndyo atumeke pembeni mbona hamuelewi tu we huoni km hao mawinga wenyewe wenye spid wanaachwa km okra sa nyie mnachumbua nn wakat mwalim ndyo anapendekeza matakwa yake
@worldherotv
@worldherotv 25 күн бұрын
Wachambuzi wa kisasa hawana mambo ya namba ten sijui six tena
@user-gh6vc9or3v
@user-gh6vc9or3v 25 күн бұрын
Nyiee sio kocha wa yanga hamjui walichoona
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 23 күн бұрын
Mchambuz hii redio kwa sasa ni ambangile
@dr.edmundbmgeni486
@dr.edmundbmgeni486 24 күн бұрын
Naamini benchi la ufundi la Yanga wako very strategic. Wachambuzi chungeni maneno yenu. Siku Moja mnaweza jikuta mnatamani kuacha uchambuzi. Mtamwelewa tu Gamond, just wait.
@RashidiNyinza
@RashidiNyinza 24 күн бұрын
😢uyu nasri wachezaj wa yanga wote anawatilia mashaka sjajua kwann atuambie labda alitaka yanga anamsajili nan
@tabumayuhana47
@tabumayuhana47 25 күн бұрын
Nasri anashida na Yanga huyo!!!
@ladislausmakarious2023
@ladislausmakarious2023 24 күн бұрын
Jfdd 18:42 😊ds
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 25 күн бұрын
NASRI sometimes unazingua uyo Kacheza winga
@mwalimmwalim545
@mwalimmwalim545 25 күн бұрын
Ukweli ni kwamba kuja kwa Boka kunamfanya Gamondi asitegemee mawinga, kwa sababu watatumia wingbacks badala ya full backs. Maana yake ni kwamba viungo washambuliaji watatumika sana. Huyu ni mmojawapo, ambaye pia anacheza nafasi nyingi nyengine, yaani Kiraka kama Pacome.
@dr.edmundbmgeni486
@dr.edmundbmgeni486 24 күн бұрын
Yanga msimu huu anachukua Makombe yote ya Ndani. CAF champions league Yanga anacheza Nusu finali. Keep in mind this, you will remember.
@marcobulili4341
@marcobulili4341 22 күн бұрын
Nina imani kubwa na Duke Abuya!
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 23 күн бұрын
Huyo nasri muongo.. abuya ni winga ya kushoto hata kenya anachezaga hivyo. Japo namba 10 anaweza kuicheza
@peterchande957
@peterchande957 25 күн бұрын
Hakukuwa na haja 1:12
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
HIGHLIGHTS: Rayon Sports v Azam F.C | Umunsi w'Igikundiro Friendly
10:27
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН