MAKONDA AAMBIWA HANA AKILI, "NANI MJINGA?" ONA KILICHOMPATA HUYO JAMAA

  Рет қаралды 571,900

Uhondo TV

Ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 1 258
@jacksonshosi5246
@jacksonshosi5246 Ай бұрын
Watu wa Arusha mnapo muomba MUNGU kwa ajiri ya Afya zenu msimsahau na makonda ni wazo tu
@REGNARDkiswagachimbo
@REGNARDkiswagachimbo 25 күн бұрын
sawa❤
@janethPiuce-jo6mc
@janethPiuce-jo6mc 21 күн бұрын
Safiii
@EsterMwalongo-ox2sk
@EsterMwalongo-ox2sk 16 күн бұрын
Amina
@abubakardodo3976
@abubakardodo3976 4 күн бұрын
😂😢 4:05 ​@@REGNARDkiswagachimbo
@muddy__bike
@muddy__bike Күн бұрын
@MokeAmos-bq6to
@MokeAmos-bq6to Ай бұрын
Best kind of leadershirp i prefer, bravo Regional commisinor Makonda🙌🙌💥
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Ай бұрын
Hongera sana Makonda👏👏, Hongera sana Makonda👏👏, Hongera sana Makonda👏👏, Mwenyezi mungu akulinde 🤲
@gategayaelias8925
@gategayaelias8925 27 күн бұрын
this mzee magufuri legacy
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Ай бұрын
Watanzania sio wajinga, muda wa kuwadharau na kuwaona ati ni mbumbumbu umeshapita! Makonda kudos! I see maturity in leadership here. congrats Makonda.
@jumarata6459
@jumarata6459 Ай бұрын
Mheshimiwa Mkuu wa mkoa Paul Makonda, unafanya kazi nzuri sana.Endelea kutenda haki kwa wananchi na Mungu atakubariki!
@RoseMollel-wo3ls
@RoseMollel-wo3ls Ай бұрын
Kweli😭😭 kajifunz vitu Ving lakn kwa maguful
@emeresianamichael5163
@emeresianamichael5163 Ай бұрын
Duh! Jamani Mimi siwezi kusema ila huyu makonda jeshi la malaika wamzunguke pande zote ulinzi kamili
@mfwimisapi9444
@mfwimisapi9444 Ай бұрын
K
@juliusmwazembe4230
@juliusmwazembe4230 5 күн бұрын
Hongera makonda mungu akulinde nipo mbeya mjin.
@BimamuosmanOsman
@BimamuosmanOsman Ай бұрын
Rais mama Samia kusema kweli kkayangu makonda afanya kazi Mzuri Sana Allah ambariki na akubariki wewe inshaallah.
@silashemed4849
@silashemed4849 Ай бұрын
rait hii nchi ingekuwa na system kama hii,hata ambao wanawania nafasi za ngazi za kijiji na kata wasingewania(gombea) nafasi hizi, Asante Mh. Makonda kwa kutuamsha
@lucasmkui3160
@lucasmkui3160 Ай бұрын
Mh Raisi Daktari Samia nakusifusana kwamaono mazurisana kumteua Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Paulo Makonda Tangu aanzekufanyakazi yupo vema Tanzania safiii kazi iendelee
@benedictmillinga4297
@benedictmillinga4297 Ай бұрын
Upo sahihi kabisa. Hii hazina ni kama ilifichwa
@peterlazaro2853
@peterlazaro2853 Ай бұрын
Daah kazi mzuri mweshimiwa mkuu wa mkoa makonda Mungu akubariki sana sana sana
@georgekigora2509
@georgekigora2509 14 күн бұрын
😅0
@user-jx6ql8ds6w
@user-jx6ql8ds6w Ай бұрын
Ibada hii ni nzuri sana ,hongera sana mtumishi wa MUNGU BABA Makonda ,ubarikiwe kwa kazi nzuri
@SophiaKawishe
@SophiaKawishe Ай бұрын
Mungu ni mwema Safi sana
@jumasalum991
@jumasalum991 Ай бұрын
😊q
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 Ай бұрын
Unazingua
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u Ай бұрын
BEST ADVICE from Paul MAKONDA. I have never seen
@johnmtumishi8554
@johnmtumishi8554 Ай бұрын
Mh Makonda unaakili sana Mungu akulinde.Mungu ibariki Tanzania Linda viongozi wetu wenye moyo wa kusaidia wananchi
@maryamobady1853
@maryamobady1853 Ай бұрын
Arusha mtanyooshwatu😂😂😂😂
@maryamobady1853
@maryamobady1853 Ай бұрын
Huyo ndio makonda bwaaanaa
@FILIPOMLAWA
@FILIPOMLAWA Ай бұрын
Makonda ¡!!kazi iendelee mzee maguu anakuona na kukufurahiaaa
@mirumbechannel.8465
@mirumbechannel.8465 Ай бұрын
Ipo siku utakuwa kiongoz katika nchi hii bro makonda .....uko vizuri
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 Ай бұрын
Hongera mkuu wa mkoa. Ila Acha niseme kitu,wewe unaependa kunyanyasa watu,kujiinua kwa kuwa una mabawa,hakika yupo Mungu anayerudisha vyote vilivyoibiwa. Kama ulimnynyasa mtu au kumdhulumu mtu kwa njia yeyote,lazima utalipa tu.Asante Mungu usiyelala. Mungu ibariki nchi yetu Tanzania Mungu ibariki Africa yetu
@ayubumsigwa542
@ayubumsigwa542 Ай бұрын
Acha kuongea ujinga kwa makonda unachuki kwa huyu mkuu
@user-et3zq5ef1b
@user-et3zq5ef1b 14 күн бұрын
Amina
@petermoshy7650
@petermoshy7650 Ай бұрын
😢Makonda unafanya kazi nzuri Mungu akubariki sana
@MeshackMuya
@MeshackMuya 5 күн бұрын
safi sana
@mtukufusafari5535
@mtukufusafari5535 Ай бұрын
Makonda unafanya mpaka watumishi wa sehemu nyingine wafanye kazi kwa kukuangaria ww
@AllySalehe-mv7um
@AllySalehe-mv7um 17 күн бұрын
Mtoto unae tembea kwenye kivuli cha mh.magufuli..hongera mheshmiwa
@JoyceManyuka-ot7sg
@JoyceManyuka-ot7sg Ай бұрын
Makonda natamani ungekuwa mkuu wa mkoo wa morogoro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MalandoJames
@MalandoJames Ай бұрын
Makonda, makonda, makonda, endelea kuwasaidia wananchi. Mungu atakulipa aise. Kwenye nchi hii madudu ni mengi sana.
@user-bf2dq3qj1o
@user-bf2dq3qj1o Ай бұрын
Unajuwa kazi anayo ifanya huyu bwana kazi njema sana na inatufanya sisi kuwa jasiri katika kutambua haki zetu na Mungu akutunze sana pia tunakuitaji kigoma
@user-bm5ov6kx3c
@user-bm5ov6kx3c 29 күн бұрын
Kweli kabisa
@user-vs6ps4dl2e
@user-vs6ps4dl2e Ай бұрын
Jasho la mnyonge linalipwaa na Mungu baba hakika kazi yako ni nzuri sana God bless 🙌
@user-gh6bh2uj4q
@user-gh6bh2uj4q Ай бұрын
Mwenyezi mungu akulinde makonda
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail Ай бұрын
Ameen 🙏🙏
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Shule inadarasa moja na chumba kimoja cha walimu ,Raisi anabeba wasanii kwenda Korea nchi hii Mungu atunusuru tu 🙌
@StellaMwasha
@StellaMwasha Ай бұрын
Hahahaha
@juliusstanley905
@juliusstanley905 Ай бұрын
Huo sasa wivu bhn
@BigZhumbe
@BigZhumbe Ай бұрын
Jiulize Wasanii wanatoa bilioni ngapi kodi za mauzo
@user-yd3cj5xs1z
@user-yd3cj5xs1z Ай бұрын
Ako ka mama kameanza kuruka ngoma uzeeni, anafikilia kuwa msanii wa taalabu ndio maana yupo kaliibu sana na wasanii.
@user-yd3cj5xs1z
@user-yd3cj5xs1z Ай бұрын
Acha ujinga wewe, kwani wewe hauoni?? Nchi ina migogoro bado yeye anaruka nyoka.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
Yaani huyu Mzee alitoa milioni 30 halafu mnamnyima hekari moja na nusu Wanaomponda makonda wote ni wale waliofanya madudu kwenye maofisi yao
@fortunatanyumayo
@fortunatanyumayo 8 күн бұрын
Hongera sana makonda kwa kutetea haki za wanyonge Mungu akulinde daima.
@user-zg2bq4uz2i
@user-zg2bq4uz2i Ай бұрын
tunakupa uliz wa mungu makonda wetu
@ayubustefano
@ayubustefano Ай бұрын
Baba amerudi nyumbani lazima ujue asiye mtaka mkuu wa mkoa Makonda Mungu kamrudisha duuu Mungu afananishwi
@mtukufusafari5535
@mtukufusafari5535 Ай бұрын
Kazini kwa makonda kuna kazi
@lovenessbupamba
@lovenessbupamba Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NuluLupepo
@NuluLupepo Ай бұрын
Iyo supana ninoma mkuu watasema tu kaz nzuri mungu akusimamie
@user-bg6vf8ec8v
@user-bg6vf8ec8v 20 күн бұрын
Thanks 4 yo patriotism bro
@Njile-Makonda444
@Njile-Makonda444 10 күн бұрын
kazi nzuri
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Ай бұрын
Watendaji wa serikali hutumia kigezo hicho kuchukua maeneo ya watu.Ukifuatilia utagundua wamejimilikisha njoo Kilombero Morogoro .
@godfreyelibarikilaizer6178
@godfreyelibarikilaizer6178 Ай бұрын
Chapa kazi jembe makonda una jambo jema kwa mkoa wetu wa Arusha siku zote wasiojali watasema wewe ni mwonevu lakini wewe ni mtetezi 💪💪💪🇹🇿💪🇹🇿🇹🇿🎉
@vicentmugisha6972
@vicentmugisha6972 5 күн бұрын
Makonda unafanya kazi nzuri, tuna viongozi walio jisahau kuwajibika kwa wananchi
@livingstonechurchtz8400
@livingstonechurchtz8400 2 күн бұрын
Safi sana Mkuu wa mkoa Makonda.Nipo nakuomba kwa vita ulivyo navyo kwa haki uliyo nayo kwa wengine.Mungu zaidi kukupa hekima na busara katika kuamua yaliyoshindikana kwa usahihi.Wewe ni sawa Mfalme Sulemani kwa hekima
@rwelamira
@rwelamira Ай бұрын
Huu ndiyo uhalisia wa mambo vijijini, Hongera Makondo kwa kazi hii nzuri
@user-ky4rb2lg3h
@user-ky4rb2lg3h 29 күн бұрын
Sio Makondo ni Makonda
@ChristinaAgostino
@ChristinaAgostino 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂​@@user-ky4rb2lg3h
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Ай бұрын
Makonda na Magufuli tofauti ni sura tu... lakini Akili wanafanana, Hekooooo Kaka Makonda
@zakayokahuna9294
@zakayokahuna9294 Ай бұрын
🤣🤣👍👍👍👍👍👍👍👍👍🏃
@ChiefNgosyemo
@ChiefNgosyemo Күн бұрын
P makonda Mungu akutangulie Baba
@estherkimario7940
@estherkimario7940 14 күн бұрын
Magufuli namuona hapa mungu akulinde dady makonda
@user-ov3cy1nr8f
@user-ov3cy1nr8f Ай бұрын
Kazi nzuriii makonda. Wanaonea sana wananchi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Nani hao???
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Mtendaji kwanza umesha kula sana chapa zako mwendo.
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x Ай бұрын
Hongera sana Mtumishi Makonda Ubarikiwe
@Kiyonga2014
@Kiyonga2014 Ай бұрын
Mr. Makonda is a best leader in the world! I love Makonda.
@onesmomalifedha4709
@onesmomalifedha4709 Ай бұрын
Naendelea kukufuatilia mh Makonda.Kama Watanzania wazalendo tuko tayari kukupa nchi baada ya mama.Una kitu kikubwa sana ndani yako yaani like father like son
@jeradvyabandi-wh7nr
@jeradvyabandi-wh7nr 16 күн бұрын
Mungu akutunze bab
@MwanamkuuMumbe
@MwanamkuuMumbe Ай бұрын
Natamani ungekuja kuwa Raisi baada ya Mama Samia uwe mfano was marehemu Magufuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Ай бұрын
Huyu mwamba Mh. Makonda ananifanya nione kama Tanzania kuna mkoa mmoja tuu kwa sasa wa Arusha, maana mikoa mingine siiskii kabisa 😂😂
@victorelisamia1409
@victorelisamia1409 Ай бұрын
Nakkubali xanaa Mh wangu Paul Makonda Mungu atakulinda na kukupa maisha marefu maana Mungu pia anaona watu wanavyoteswa na we umekua mtetez wao na kutatua changamoto bigup xana Makonda
@chrisshonga
@chrisshonga 23 күн бұрын
Laana ya dhuluma, unyang'anyi, rushwa, ndiyo inayoididimiza nchi na kitu ambacho ulimwengu haujui ni kwamba pesa ya dhuluma hata ungefanyaje kamwe huwezi kufanikiwa. Asante mtumishi wa BWANA katika kazi yote ya kutetea haki ya wanyonge. hakika inasikitisha sana na inahudhunisha sana! Ashukuliwe MUNGU wa mbinguni kwa kuweka kaburi ambalo ni mwisho wa kila mwanadamu mwenye jeuri
@PartySekemi
@PartySekemi Ай бұрын
Raisi wa mkoa hoyeeeeeeeeee😅😅😅😅❤❤❤
@elinamikileo4011
@elinamikileo4011 Ай бұрын
Hoyeeeeeee
@oliviamasao8394
@oliviamasao8394 Ай бұрын
Makonda Mungu akusimamie
@JotoKali
@JotoKali Ай бұрын
Mungu akutunze mheshimiwa Makonda
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 Ай бұрын
Naombeni mnilinde maana haya mambo ya siku hizi hayaeleweki wasije nilisha sumu 😅😅😅
@hurumamlawa5253
@hurumamlawa5253 Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Ай бұрын
We nae mbwa unasema makonda anadhilisha watu wanajizalilisha wenyewe angekuwa babaako anadhurumiwa ungejisikiaje
@magretangel5242
@magretangel5242 Ай бұрын
Waambie hao hakuna udhalilishaji Kama mtu utakaa kwenye kiti chake akaenea....tatiz watumish wengin janja janja
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 Ай бұрын
Mikutano ya Mheshiwa makonda inafaaa kuwa move na ikauza na kuingiza pesa hasa
@user-ko5co3bk9f
@user-ko5co3bk9f Ай бұрын
One blood❤❤
@LilianMoshi-wu1lq
@LilianMoshi-wu1lq Ай бұрын
Uwiiii Makonda asitolewe Arusha Tunakupenda😊
@user-uk1ic8qr2h
@user-uk1ic8qr2h 15 күн бұрын
Hatariiiiiiiiiiiii
@user-ys5kk4jr4h
@user-ys5kk4jr4h Ай бұрын
Mashaalah Allah akulinde makonda najiuliza hawa wakuu wa mikoa mingine wamekaa tu ofisin kwnn hawafanyi kaz km makonda
@DevothaKilanzi
@DevothaKilanzi Ай бұрын
Uwa sisahau siku makanda amilia,NAMI nililia sana kama tumetoka tumbo maja,ila nilimwembia mungu wewe unajua nafsi yake pekee.Niliamini ipo siku atainuliwa kivingine Kwa ukuu wake mungu ametenda
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo Ай бұрын
Daaahh!!!!! Kama ni hivi ? Iko kazi.
@kiembathegreattz5633
@kiembathegreattz5633 Ай бұрын
Makonda unapiga kazi mpaka unafurahisha
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail Ай бұрын
Kabissaa Yani 🎉🎉🎉🎉🎉mungu azidi kumlinda mheshimiwa Makonda
@EsterMwendawila-wj2ks
@EsterMwendawila-wj2ks Ай бұрын
Ubarikiwe sana baba mungu akulinde makonda juu
@VeronicaMsenga
@VeronicaMsenga Ай бұрын
kila sku MH anareta raha kumuangalia,sinunui mboga MPK nipate bando
@OmbeniCharless
@OmbeniCharless Ай бұрын
Iyo Miaka. Ya ufisadi inatosha
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp Ай бұрын
Utaachika dada😂😂😂😂
@EsterMwalongo-ox2sk
@EsterMwalongo-ox2sk 16 күн бұрын
Kweli kumsikiliza makomda kuna Raha yake hata sijutii kumaliza bando
@godfreymlau2525
@godfreymlau2525 Ай бұрын
Hongera makonda unaakili nyingi sana
@fadhilijohn4811
@fadhilijohn4811 Ай бұрын
Leadership ni utatuzi wa matatizo ya unaowaongoza na kuweka mazingira sawa kwaajili ya shunguli zingine! Hongera sana Makonda👏👏👏
@nurumwene4421
@nurumwene4421 Ай бұрын
Mh. Makonda mungu akulinde hongera sanasnsanaaaaa
@KabwikaIbrahim-ld8vf
@KabwikaIbrahim-ld8vf Ай бұрын
Pole na hongera sana mzee Makonda,unakutana/pambana na mambo mazito.Mungu akutilie wepesi!.Aamin.
@user-vd6br7vq4z
@user-vd6br7vq4z Ай бұрын
Kazi nzuri sana
@jafaribori5428
@jafaribori5428 Ай бұрын
Duh kaka makonda Mkono wa Mungu uwe juu yako, yani kuna dhulma za chinikwachini😭😭😭
@BRIGHTERMANGO
@BRIGHTERMANGO Ай бұрын
spirit of leadership....Sankara and Lumumba on reign again..🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha Ай бұрын
Inabidi hii mikutano iitwe tujipe jinai la mahakama za wazi za wananchi,
@shahdujamada7804
@shahdujamada7804 Ай бұрын
Yaani nimecheka kama mazuli nahisi awamu ijayo watu watazikimbia fomu za kuomba utawara😂😂😂
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 Ай бұрын
😂
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Ай бұрын
Ha ha ha ha ha ha ha
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk Ай бұрын
Kabx
@johnjoba444
@johnjoba444 Ай бұрын
uongozi ni gharama😀😂
@SamGeorge-qy2zf
@SamGeorge-qy2zf Ай бұрын
Mh makonda mungu akulinde san na akupe maalifa zaid
@UpendoLangeni
@UpendoLangeni 20 күн бұрын
We are blessed to have you . heaven be with you ❤❤
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw Ай бұрын
natamani kuishi arusha kwenye mkoa anaoongoza Mh .P .Makonda Mungu akupe nguvu na Maisha marefu asante Mungu kutupatia mtu huyu asante mama Samia kumpatia nafasi ya kutumikia wananchi nakukubali nikiwa Rulanda kagera
@LeonardMollel-dl8du
@LeonardMollel-dl8du Ай бұрын
Kazi nzuri,na tunasubiria kata yetu ya Musa
@lupakisyoassa1579
@lupakisyoassa1579 Ай бұрын
Kazi nzuri japo kuwa nchi nzima migogoro ni mingi mmno haina mtatuzi, big up.
@user-xx4tj4uy6w
@user-xx4tj4uy6w Ай бұрын
Mungu azidi kukubariki makonda kwa Kaz nzuri
@user-ir8ym5ws1f
@user-ir8ym5ws1f Ай бұрын
Hapo kwa mtendaji pana mnyololo mrefu wengi wanahusika
@user-yc1tm4hp4n
@user-yc1tm4hp4n Ай бұрын
Eeeh mwenyezi Mungu mpe umri wenye heri Makonda. Lakini nakuomba uangalie na ofisi ya ardhi na wataalam mbalimbali.
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala Ай бұрын
Nampenda r c makonda❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Ай бұрын
Sukuma ndani huyo amaumiza sana
@magretangel5242
@magretangel5242 Ай бұрын
Af Watakuja kulalamika Makonda anawazalilisha😂😂..Mtendaji angesema ukwel adhab ingekuwa ndogo ...tatzo kadanganya...hio n dharau...kayataka.
@RichardFrank-it4wv
@RichardFrank-it4wv Ай бұрын
Ameyatimbaa
@asharamadhan7392
@asharamadhan7392 29 күн бұрын
mzee makonda hongera sana baba unatenda kazi nzuri Allah akufanyie wepesi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RoseMollel-wo3ls
@RoseMollel-wo3ls Ай бұрын
Makonda mungu awe nawe kiongoz mzur
@matuyanilaizer6122
@matuyanilaizer6122 Ай бұрын
Makonda karibu Lemara
@WitnessNnko-e9j
@WitnessNnko-e9j 4 сағат бұрын
Am very proud to having leader like makonda
@marryfelician1426
@marryfelician1426 Ай бұрын
Makonda baada ya samia ni makonda nilikuwa chadema lkn kwa ubinadaamu wa huyu mteule wa mama nimerudi CCM kwa asilimia 1000 potelea mbali hata kama hakuna asilimia elfu moja CCM hoyeeeee na mama samia juuuu juu kabisa Makonda is a good leader Mama samia uliona mbali mama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@FrankChalula-hz6dn
@FrankChalula-hz6dn 28 күн бұрын
Umeitoa kwa hisia mwanangu 😂😂
@eliasmwankenja4223
@eliasmwankenja4223 Ай бұрын
makonda mimi ni mkaazi wa mbeya tutamuomba mama akulete mbeya kazi yako nzuri
@felistermkongwa4379
@felistermkongwa4379 Ай бұрын
Yaaani aje aje aje kuna Mwenyekiti nimsemeleeeee🤣🤣🤣🤣🤣
@uyetomato9514
@uyetomato9514 Ай бұрын
kweli kaka mkuu wetu kapoaa
@josephhaule9123
@josephhaule9123 Ай бұрын
Ila kweli mbeya kumeozaaa
@jeannentibitigure5515
@jeannentibitigure5515 Ай бұрын
Je , mweshimiwa Makonda , ukiwa Raisi hutakuwa biz
@LuftansahMahmoud
@LuftansahMahmoud 14 сағат бұрын
🤲🏻Tunakuombea poul makonda na makonda ni ☝🏾tuu 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@mosesfutila4524
@mosesfutila4524 Ай бұрын
Maendero hayana Chama 😂😂mwendo wa pini 2
@marthaswai1185
@marthaswai1185 Ай бұрын
Kuanzia leo,tuwe na kiongozi wa wakuu wa mikoa yote.Kiongozi wa kutatua shida za watu
@VenjiStone-fc1sx
@VenjiStone-fc1sx 22 күн бұрын
Upo vzr mungu akubariki sana kwa kaz nzur unayoifanya......
@Fatumakikuyu-iq4jk
@Fatumakikuyu-iq4jk Ай бұрын
Mungu akutunze Makonda naakupe uvumulivu tu
@SayyidAhmadBaalawy
@SayyidAhmadBaalawy Ай бұрын
Weka wao ndani muheshimiwa makonda mpaka waregeshe hiyo 30m haraka iwezekanavyo
@VumiliaMosha
@VumiliaMosha Ай бұрын
Hongera sana makonda mungu akufunike na afunike kazi ya mikono yako amen
@KimeshwaAlakara
@KimeshwaAlakara Күн бұрын
Hongera sana regional commissioner mungu akulinde nataman one upewe kijiti cha kuongoza hii nchi
@abiusjohn1973
@abiusjohn1973 Ай бұрын
Piga supana makonda 🌹🌹🌹🌹🌹
@giftaugustine1296
@giftaugustine1296 Ай бұрын
Mom kipenz Cha watanzania je swali mikoa mingine Haina wakuu wa mikoa kusikiliza kero za wanainchi
@isakamangola1617
@isakamangola1617 Ай бұрын
Good leadership best steps of conversation
@user-uf8or8hd9p
@user-uf8or8hd9p Ай бұрын
Narudia tena mungu akubariki sana makonda akupe nguvu kubwa
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 62 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 15 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 116 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 126 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 62 МЛН