#viral #news #youtube Ujenzi wa mradi wa barabara ya Kidatu -Ifakara Wilayani Kilombero mkoani Morogoro kwa kiwango cha lami wenye jumla ya Kilometa 66.9 Ukijumuisha ujenzi wa daraja kubwa la mto Ruaha Mkuu umefikia asilimia 87.
Пікірлер: 4
@NasonyTz4 ай бұрын
Asanteh mama Samia, rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Mungu akupe maisha marefu🙏🙏🙏
@saidmassoud856 Жыл бұрын
Mashallah
@saidbakar-qo6ri11 ай бұрын
Mama samia oyee
@user-zc2ms4wl6r4 ай бұрын
Acheni ubabaishaji miaka mingapi km 60 nakitu bado mpo hapohapo