Ukichaji gari hili la umeme nyumbani kwa umeme wa elfu 20 unatembea kwa zaidi ya kilometa 300

  Рет қаралды 1,643

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

9 ай бұрын

Wakati huu mbapo ulimwengu unakabiliwa na changamoto za uhaba wa dola, matukio ya vita pamoja na athari za ugonjwa wa korona uliotikisa mwanzoni mwa mwaka 2021, Shirika la Maendeleo la umoja wa mataifa l;imekuwa liihimiza matumizi ya vyanzo mbadala vya nishati ikiwemo magari ya umeme pamoja na nishati ya sola.
Hapa ni kwenye kituo cha kuchajisha magari ya umeme jijini Dodoma ambapo Mtaalamu wa Nishati Mbadala wa UNDP Kaare Manyama anatudadavulia kila kitu kkuhusu matumizi ya magari ya umeme na uchajishaji wake, kkikubwa ni unaweza kuchajisha gari lako nyumbani na kufanya mizunguko ya siku nzima.

Пікірлер: 3
@CallieNoela-ey6qb
@CallieNoela-ey6qb Ай бұрын
Asanta salut❤
@amanijampion3045
@amanijampion3045 9 ай бұрын
Wafanyabishara tz wamechelewa sana kuleta EV
@savannahspace
@savannahspace 9 ай бұрын
The most expensive part is battery replacement when the battery dies. It's like buying another car. But otherwise, the technology is good for our planet!
USIICHUKULIE POA HII KARATASI  "KWAKO UNAETAKA KUNUNUA GARI USED"
16:03
Tuktuk zinazotumia umeme umeme
2:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 500
Super gymnastics 😍🫣
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 108 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Gari ndogo ya umeme inayotumia umeme wa elfu 1 na kutembea km 100
9:32
MAGARI YA UMEME BADO KIGUGUMIZI KWA WENGI MAREKANI
4:09
VOA Swahili
Рет қаралды 690
GARI YA CHINI YA BEI RAHISI 2024
3:23
shioways
Рет қаралды 3,1 М.
MTANZANIA ALIETENGENEZA GARI LINALOTUMIA UMEME "HATUENDI SHELI"
6:04
ALIYEKOPA BENKI AFILISIWA, IST ZAIDI YA 50 KUPIGWA MNADA DSM
3:00
Big Engines Starting Up
10:16
Car News Central
Рет қаралды 40 МЛН