UKIMUHESHIMU ROHO MTAKATIFU ATAKUONGEZA KIWANGO CHA KUMTUMIKIA MUNGU

  Рет қаралды 55,648

Mgisa Mtebe

Mgisa Mtebe

4 жыл бұрын

Luka 24:49
Nami mwenyewe nitawapelekeeni yule ambaye Baba aliahidi kumtuma, lakini ngojeni huku mjini mpaka mtakapopewa ile nguvu itokayo juu.”
#Mgisamtebe #Mafundisho #Rohomtakatifu

Пікірлер: 93
@gracemaleko4167
@gracemaleko4167 4 жыл бұрын
Asante sana Mwalimu wa neno, leo nimefaidika sana na mafundisho yako. You have said the truth, ambayo watumishi wengine hawataki kusikia. Mungu humgawia kila mmoja kwa utayari wake katika kumtumikia Yeye. Mungu aendelee kukulinda,kukuvika ujasiri umhubiri Kristo hadi atakaporudi. Mungu aendelee kukutumia Mch na kukuinua.
@magdalenammassa8206
@magdalenammassa8206 Жыл бұрын
Ninabarikiwa Sana na mafundisho yako Mungu azidi kukutunza na kukujaza uweza na nguvu zake
@isayakipoi493
@isayakipoi493 2 жыл бұрын
Dah. Jamani naipenda haya mafundisho ya mwalimu mtebe. Ubarikiwe mwalimu.
@miriamtutorial
@miriamtutorial 2 жыл бұрын
Amen Amen teacher 🙏
@user-zp8le3if7u
@user-zp8le3if7u Жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba, I'm Ev David from Uganda napenda sana ekima Yako ...
@mamagift195
@mamagift195 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Mtumishi wa Mungu hakika Mungu anakutumia ubarikiwe sana
@abisaimoses8556
@abisaimoses8556 4 жыл бұрын
Mungu aendelee kukufunulia mafunuo yake ili tujue kweli na sisi tuzidi kuwa huru....Mungu akubariki sana..
@petromaley
@petromaley 4 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu kwa ajili ya ujumbe huu
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 17 күн бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah 😂❤❤❤
@EvalineKitso-ux8ur
@EvalineKitso-ux8ur Жыл бұрын
Amne.ameeee.barikiwa.sana.mutu.wa.mungu
@monicamartin1947
@monicamartin1947 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi,nakupata sana
@mackmillan9040
@mackmillan9040 4 жыл бұрын
Mungu nirehem, Naomba unipe na mimi hii neeema jaman,,, Nakupenda mwalim
@robsonsadiki
@robsonsadiki 4 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi, katoe pepo kwa masters
@joycewambui2270
@joycewambui2270 4 жыл бұрын
Mwali asante unafundisha vizuri sana
@barakadaniely8967
@barakadaniely8967 2 жыл бұрын
amina ubarikiwe na mungu
@silashemed4849
@silashemed4849 2 жыл бұрын
Barikiwa Mwl
@anethmt6383
@anethmt6383 2 жыл бұрын
Injili za uzima zimekuwa adimu Leo ubalikiwe sana mtumishi
@barakasylvestertv7506
@barakasylvestertv7506 4 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu!
@lucianagilbert6316
@lucianagilbert6316 4 жыл бұрын
Yaan we baba unajua kufundisha uwi Naelewa mpaka napitiliza🙌
@silvamwakabanje4590
@silvamwakabanje4590 4 жыл бұрын
Mtumish nakuelewa sana kuliko unavofikiria wafundishji wa hayo mafundisho wengi walienda na mafuriko
@josephchivatsi64
@josephchivatsi64 2 жыл бұрын
MUNGU Wa Mbinguni Akubariki Sana Sana Mtumishi wa Mungu. Nabarikiwa Sana.
@emanuelbadi4741
@emanuelbadi4741 Жыл бұрын
Roho mtakatifu NIONGOZE ktk maisha yangu AMEN
@alexngowo2757
@alexngowo2757 4 жыл бұрын
Mgisa ubarikiwe sana maana masomo unayotoa ni ya kipekee. Hakika Roho wa BWANA anakuongoza vema.
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
@@mgisamtebe nipe maana ya roho mtakatifu maana yesu hakuongea kiswahili hebu nipe maana yake hili neno mnalitu Mia sana na ilihali hamna elimu nalo biblia haikushuka kwa kiswahili wala kingereza wala kigiriki elimu hii mmeitoa wapi?
@anjelashila7343
@anjelashila7343 10 ай бұрын
AMINA!
@johnstonjtenkule7151
@johnstonjtenkule7151 4 жыл бұрын
Dunia ya Leo tunahitaji walimu kama Mgisa Mtebe unanibark sana Baba ubarkiwe sana
@johnstonjtenkule7151
@johnstonjtenkule7151 4 жыл бұрын
@@mgisamtebe Amina Amina mtumishi usichoke kutufungua faham zetu kwa kutufundisha kwa kadr Mungu atakavyo kujalia
@janethjkavishe589
@janethjkavishe589 4 жыл бұрын
Asante kwa kutuwekea vipande virefu zaidi. Ubarikiwe mno
@ushindipeter8464
@ushindipeter8464 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji 🙏🙏
@edwinezawadi4707
@edwinezawadi4707 3 жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@timothymutunga-ds8zq
@timothymutunga-ds8zq 2 ай бұрын
Teacher ongera sana kwa kunitoa sehemu
@furahayabwana6127
@furahayabwana6127 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana.Yote ni tip top💯Amen amen amen🤝
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
ona dada kama wewe umri huo maandiko huyajui unaona anachokisoma mchungaji wako ktk biblia kipo sawa yani hata kutofautisha injiri nawalaka wa paul bado, umri huo kweli utaenda kumjibu nini mungu wako Paul hakuandika injil walioandika injil wewe huwajui? hapo ndomlipo changanywa Paul ni mtume wa shetani na yesu alimtabilia yeye kaacha ngano atakuja mtu atapanda mtu magugu katikati ya ngano wewe hilo andiko ulilielewa yesu kaacha injiri nzuri Paul kaja kapanda magugu katikati ya ngano leo soma hili andiko vizuri jiulize nini maana ya ngano nini maana ya magugu usifate mkumbo utaiangamiza nafsi
@suzankasile484
@suzankasile484 4 жыл бұрын
Nakukubaligi sana pastor Mungu akupe Maarifa zaid Mungu azid kukupgania
@janembalinga7074
@janembalinga7074 3 жыл бұрын
Waoow yaan hii ni kweli kabisa
@TAFSIRIZANDOTO4106
@TAFSIRIZANDOTO4106 3 ай бұрын
kwahiyo Mwalimu si muhimu kubatiza Kwa maji na kama si muhimu basi zisitishwe habari za maji madogo na maji mengi tubaki na chalazima kubatizwa Kwa Roho Mtakatifu
@furahinikisapi9987
@furahinikisapi9987 4 жыл бұрын
Daaah nimejifunza kiktu kikubwa mno! Mungu akubariki mtumishi
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 3 жыл бұрын
Barikiwa saana Mgisa sisi wengine tunabarikiwa saana na Masomo yako
@marymlelwa8471
@marymlelwa8471 3 жыл бұрын
Injili tunayoitaka ndo hii... MUNGU akubariki mnooo BABA
@andrewmziray2233
@andrewmziray2233 4 жыл бұрын
mgisa mtebe nakuelewa san since I know you 2012
@jaysureson_og3708
@jaysureson_og3708 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwakweli mmm bas,kweli kabisa
@rhinakiza
@rhinakiza 4 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa kabisa, niliwai uta kuusu hio oxygen, Amina ubarikiwe sana mtumishi
@liberatusistephano8171
@liberatusistephano8171 4 жыл бұрын
Mtumishi asante kwa ujumbe mzuli nabalikiwa loho mtakatifu anatenda kwangu japo sijasoma
@tanzaniafxlab
@tanzaniafxlab 4 жыл бұрын
Kwa kweli hapa nimepata jambo kubwa sana. Hii ni shule tunayohitaji kujua kuende kwa njia za Mungu
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 4 жыл бұрын
254 nakupata sana kwa mara ya kwanza dah.... huduma ni wito wala sio masomo hii habari ya Musa yani huwa naitafakari sanaa
@hurumaemmanuel470
@hurumaemmanuel470 4 жыл бұрын
Be blessed man of God
@shedrackmsungu8100
@shedrackmsungu8100 4 жыл бұрын
Amen mtumishi
@raphaelmugho9466
@raphaelmugho9466 4 жыл бұрын
Wow so nice preaching
@majigesimon7231
@majigesimon7231 4 жыл бұрын
Amen!! Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@tatubanadi4710
@tatubanadi4710 2 жыл бұрын
Amen.utukuzwe Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
@lovenessdiva7132
@lovenessdiva7132 4 жыл бұрын
God bless you
@namid4284
@namid4284 4 жыл бұрын
mafundisho mazuri sana
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 4 жыл бұрын
Preach 👏🙌😀
@lucanziku7836
@lucanziku7836 3 жыл бұрын
Ubarikiwe kak
@dorismakwayamoses
@dorismakwayamoses 3 жыл бұрын
Barikiwa 🙏🏾🙌🏾🙏🏾
@francismassawe7131
@francismassawe7131 4 жыл бұрын
Nice mwl.mgisa nakuelewa Sana Mara ya kwanza kukusikiliza niligundua tu wewe ni mwalimu,I appreciate you....
@neemajosephitambu3587
@neemajosephitambu3587 4 жыл бұрын
Nikweli mwalimu
@neemajerrymwaihojo2813
@neemajerrymwaihojo2813 4 жыл бұрын
aleluya
@tumainimwampashi6662
@tumainimwampashi6662 Жыл бұрын
MUNGU akutunze mtumishi umenivusha kwa hatua
@tumpelukongo2830
@tumpelukongo2830 4 жыл бұрын
Barikiwa sn
@sangoheri6076
@sangoheri6076 4 жыл бұрын
Uko sawa Mtumishi!Ubarikiwe najua wengine unawakwaza lakini usiache kusema!
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
sango Heri hamkwazi mtu ila anaiteketeza nafsi yake mwenye tatizo wenzetu biblia hua hamsomi mnasomewa hilo ndo tatizo ona sasa jinsi mnavyopotoshwa yeye ana waita waislam watoto wa mama mdogo kulingana na ufinyu wake wa elimu kwani biblia inasemaje kuhusu Ishmael na isaka kwanini na nyinyi hamsomi biblia mpaka msomewe? minaona nyie wenzetu mmelizika na dunia maana kama kweli mnaamini cku ya mwisho basi mngemtafuta mungu wakweli maana biblia hamsomi mkailewa hao wachungaji wapo kimaslahi lini mtazinduka? soma biblia vizuri usipoteze muda wako chambua maandiko muombe mungu akuongoze
@meshackngadango6855
@meshackngadango6855 4 жыл бұрын
Amen!Mungu akubariki Mwl.sema kweli tupone na kurithi mbingu
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
acheni kujidanganya kuurithi ufalme unafikiri mchezo wakristo amkeni bado mpo gizani kuna vitu wachungaji wenu wanawaficha hawataki kuwaambia ukweli zingatia apo kwa Ishmael kama wewe unasoma biblia tafuta hilo andiko hlf wanavyolisoma wachungaji wenu nisawa na lilivyoandikwa? hlf unasema unataka uurithi ufalme wambinguni mungu anasema atakae mlaani Ibrahim amekwisha laniwa sasa kumwambia Ibrahim kazini ni tusi tena nabii wa mungu tena baba wa imani na nyinyi mnashangilia mnaona hayo ndo mafundisho jamani acheni tamaa za dunia jueni ipo cku ukweli utajulikana tumieni akili zenu mtakuja kujuta someni biblia vizuri msisomewe mtajua ukweli
@farajilyambafu4312
@farajilyambafu4312 4 жыл бұрын
Mgisa mtebe
@tinkasimeremugisa1484
@tinkasimeremugisa1484 4 жыл бұрын
Mingus akubariki saana
@nickodemmwandambo8924
@nickodemmwandambo8924 4 жыл бұрын
Kweli huyu ni mwalimu
@fredyshukuru4725
@fredyshukuru4725 4 жыл бұрын
Jaman mm nhtaji haya mahubli ntapataje
@jaysureson_og3708
@jaysureson_og3708 4 жыл бұрын
Kweli Roho mtakatifu umeruka geti,
@suzankasile484
@suzankasile484 4 жыл бұрын
Hakika
@patrickmusyoka3544
@patrickmusyoka3544 4 жыл бұрын
thanks
@dahirdaud3025
@dahirdaud3025 4 жыл бұрын
Waonee huruma watu wote na unapo hubiri balance usipendelee watu fulani watu wote wako ktk hasara
@agnesnzali5724
@agnesnzali5724 Жыл бұрын
An nmepata kit kipya zaid
@bedamgonja9484
@bedamgonja9484 4 жыл бұрын
Amina
@christopherphilipo5400
@christopherphilipo5400 4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@juliusmsaka5048
@juliusmsaka5048 4 жыл бұрын
Asante mwalimuu
@elisantennko8222
@elisantennko8222 4 жыл бұрын
Kusoma ni muhimu sana na ni ushaur wa Roho tusome. Timoth aliagizwa kusoma, kuonya na kufundisha. Sidhan kuwa kusoma ni kurudi nyuma kwa karama bali ni ufahamu wa kazi tu.
@shammahlupon7945
@shammahlupon7945 4 жыл бұрын
Elisante Nnko wewe ni mzee usie elewa nitashangaa kama umesoma
@dianessbrighton5140
@dianessbrighton5140 4 жыл бұрын
Shammah Lupon sishangai kutokuerewa kwake ila mngu ambadishe tu
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 4 жыл бұрын
Pamoja Na umuhimu wa kusoma, Karama za Roho Mtakatifu hazipatikani Bible College.... Mwalimu M Mtb analonga Ukweli mtupu.....Elimu ya Rohoni hiyo...1. Kuzaliwa x ya pili....2. Kubatizwa Kwa Roho Mtakatifu....Na madhihirisho ya awali ya Kunena Kwa lugha I.e Lugha ya Maombi ( Intercessory language) kwa kuanzia.....Kuziekewa kisha Kuzitaka Karama......1Kor 12:1-10.....1Kor 12:31....1Kor 14:1... Huyu Mwl. M Mtb kaletwa Na Bwana Kwa saa Na majira yalokubalikaaaa......Wa kusikia Na Asikieee.... Amen.....
@dahirdaud3025
@dahirdaud3025 4 жыл бұрын
Unahubiri vzuri ila kuna kitu kidogo sana unatakiwa ukitowe na uingize kitu kiliobora zaid.
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 4 жыл бұрын
Kitu gani tena hicho D D??Mbona huyu Bible Teacher Yuko Vizuri Hivyo???
@senyafredrick7248
@senyafredrick7248 4 жыл бұрын
Dah baba huwa nna enjoy ukifundisha sijui nieleze vipi ili nieleweke jinsi gani nnavyo elewa.ila hii Ni ndefu mpaka nimeinjoy kupitiliza.huwa nna enjoy zote lakini Dah
@senyafredrick7248
@senyafredrick7248 4 жыл бұрын
Ahsante
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 4 жыл бұрын
Nafuu hii ni ndefu, huenda kuliko zingine
@dahirdaud3025
@dahirdaud3025 4 жыл бұрын
Wapende watu wote usibague hubiri injili ya ufalme wa Mungu waunganishe wakiristo na waislam wapendane wawe kitu kumoja
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 4 жыл бұрын
Kuunganisha??? Duuuh....hapo Mhhhhhh....Acha Injili iendelee mbeleeee....Kwa mafundisho haya, wengi wanapona ktk Nyanja mbalimbal.....Kiroho kiufahamu, kiuelewa,. Kiimani, kimaarifa....nk...nk....
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
@@mackfasonmoshi4629 samahani eti nini maana ya roho mtakatifu
@mecyjoseph8412
@mecyjoseph8412 3 жыл бұрын
ameen mtumishi ubarkiwe sana kwer tujifunz kusoma
@ayubujohnayubujohnjohn8924
@ayubujohnayubujohnjohn8924 3 жыл бұрын
Soma yohan 14:15
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
Mchungaji acha kuita wenzako watoto wa Mama mdogo unakipawa chakuongea lkn huna historia ya dini biblia inasema atakae mlaani ibrahimu nae ameshalaniwa wewe hata ukimkataa Ishmael mungu alishambariki wewe unasoma habari za paul badala ya kusoma injili hakuna sehemu ktk injiri torat zabur imetaja kanisa sasa nyinyi mnafata mafundisho ya Paul
@paulshillah7397
@paulshillah7397 3 жыл бұрын
Hakuna sababu ya kutaja dini ingine. Haisaidii lolote. We hubiri NENO tu. Tabia ya kukosoa dini zingine itakupunguzia watu wote kukusikiliza, unaweza kutoa mfano bila kutaja dini au dhehebu lingine
MUNGU HUWAPINGA WENYE KIBURI - Mwl: Mgisa Mtebe
22:46
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 34 М.
Mwl. Mgisa - NAMNA YA KUBADILISHA AHADI KUWA HALISIA
22:24
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 32 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 10 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 154 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
ROHO MTAKATIFU(SEHEMU YA KWANZA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:27:16
Reality of Christ Church
Рет қаралды 66 М.
CHAKULA SIO KITAMU NJAA NDIO TAMU // SHEIKH OTHMAN MAALIM
47:44
arkas online tv
Рет қаралды 3,3 М.
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024 VOL.06
58:53
MUME WA MUNA LOVE ATOBOA SIRI NZITO MSIBANI
2:27
PRAISE TV MEDIA
Рет қаралды 38 М.
Mwl. Mgisa Mtebe - SHETANI SIO CHANZO CHA UOVU
13:40
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 66 М.
FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA.KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU SEHEMU YA PILI.
11:20
NENO LA MUNGU NI KWELI.
Рет қаралды 2,6 М.
Mwl. Mgisa Mtebe - NGUVU YA MANENO
14:30
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 57 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 10 МЛН