Ukiona Dalili hizi Jua mkeo anakusaliti - Madam Leilah Aboubakar

  Рет қаралды 317,571

Kalamutz

6 ай бұрын

Пікірлер: 238
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 6 ай бұрын
Dada huyu ni smart 🧠 brain. Kizazi chemistry hiki.. mama wa family bora
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 28 күн бұрын
Dada Leilah nakusalute upo vizuri sana kichwani kwako Mungu akubariki sana kwa ushauri mzuri wa ndoa.
@salimhamid370
@salimhamid370 5 ай бұрын
Swadakta doctor lyleila allah azidi kukupa kipaji na watu waeze fanikiwa kwa maisha na kuwa na imani kwenye ndoa inshallah jaza yako kwa allah
@amourmtungo623
@amourmtungo623 6 ай бұрын
Asante Madam Leilah. Ubarikiwe kwa elimu, mawazo na mchango wako katika jamii🤝
@jumaramadhani-fp6zl
@jumaramadhani-fp6zl 19 күн бұрын
Dada Leyla umetisha sana, nimekusiliza narudiarudiarudia clip yako WONDERFULL
@juniorsamuelsamuel1224
@juniorsamuelsamuel1224 6 ай бұрын
Ahsante sana mwalimu wangu mzuri, nakupenda
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 6 ай бұрын
Bass haya ishaalah wapo wasaliti wengi ni wanaume mimi kulikuwa na mwaname nipanga kila kitu kwangu baadae alibadilikiya aposhapata mtono bass kajenga nyumba bass nimemuwachiya mungu ishaalah mungu yupo anamuona atalipa hapa hapa dunia kabla ya khera
@FrankSylvester-eo7zf
@FrankSylvester-eo7zf 6 ай бұрын
Bado hujasema dada Mungu akusaidie wasaliti ni 50% kwa jinsia zote hujawahi sikia maumivu ya mwanaume juu ya mkewe 😢😢😢
@jamesmwandu9295
@jamesmwandu9295 4 ай бұрын
Sister upo very very smart hongera kwa darasa zuri, Hakika kuna jambo kubwa sana la kujifunza kupitia mazungumzo yako God bless you 👏👏👏🔥🤝🤝
@EliaMwasaule-nj1gk
@EliaMwasaule-nj1gk Ай бұрын
Hongera mm kwa mafundisho Mungu akujalie maisha mema
@jameskivelege8630
@jameskivelege8630 6 ай бұрын
Nimeipenda busara yako, Mungu akubariki uendelee kutujuza
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 6 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah kheri Madan Jazzak Allah kheri
@jumakuswa715
@jumakuswa715 5 ай бұрын
Mungu akuweke u unaelimisha ndoa zetu au mahusiano yetu nivituko v2pu Ila kiukweli unatuweka sawa tutajitambu kaz kufanya maamuz.
@jafariabdallahMasukuzi
@jafariabdallahMasukuzi 4 ай бұрын
Mashallah madam tuseme tu ule ukweli nakupendaga saana na laiti ningepata mwanamke mwenyewe swiha yako yalabh ningeweza hata kuweka kiapo juu ya kumsaliti mkewangu.❤❤❤🤝🙏
@jafariabdallahMasukuzi
@jafariabdallahMasukuzi 4 ай бұрын
Please madam naomba hata uisome tu comment yangu jamani love you so much more❤❤🙏
@ahz6907
@ahz6907 3 ай бұрын
Kumpata kama huyo nawewe uwe na sifa za mume bora pia 😊
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Ай бұрын
​@@jafariabdallahMasukuziAna mume nawe kuwa mstahamilivu😂
@user-jt8uc6rg6n
@user-jt8uc6rg6n 4 ай бұрын
Madame Leila, Allah akulinde In Sha ALLAH
@sharifasuleiman9134
@sharifasuleiman9134 5 ай бұрын
Yani mungu akupe mema ya duni na khera. Mashallah mashallah
@TofiqueZuberi-ec1zv
@TofiqueZuberi-ec1zv 6 ай бұрын
Masha Allah madam. Wanaume tunachangamoto nyingi sana lakini nyingi tunasababishiwa na wanawake. Mfano sisi mara nyingi husaliti kwasababu ya tamaa na wanawake ni hisia. Sasa mwanamke unakosana nae unamtaka mzungumze yaishe lakini anakataa na badala yake anakunyima unyumba miezi 6. Unadhan mwanaume atafanyaje hapo? Allah atuepushie
@twahamohamed5745
@twahamohamed5745 6 ай бұрын
Alhamdulillah dah Allah akuongoze dada yangu
@user-lq9sw3ne6j
@user-lq9sw3ne6j 6 ай бұрын
Mamangu ❤ KilA la heri kwa Mambo ya hekima Musa kutoka Kenya🇰🇪🕊️💘
@mohamedshariff6370
@mohamedshariff6370 Ай бұрын
Mash Allah mungu akulinde hapa dunia na kesho akhera lelah
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 6 ай бұрын
Mimi mtu mzima ndoa yangu na mke wangu ina miaka 30 na ushee. Nimeshastaafu ila mke wangu bado anafanya kazi. Hayo ya kuambiwa nimechoka, nishaambiwa sana kiasi mpira naumulika na tochi siuoni. Mwisho wake nimeinua mikono kwa Mwenyezi Mungu nikimuomba azidi kumbariki mke wangu aendelee na isimu hiyo ya kuihamisha haki yangu ya ndoa na kuipeleka kusikojulikana.
@kalamuMedia
@kalamuMedia 6 ай бұрын
Pole sana,umefanya jitihada zozote?
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
Hili cm ndoo kisanga cm zimeua+kuvuja ndoa,acha kuchunguza cm oooh,kama hujupendi Allah atakupenda Zaidi cm jamaa zitawamaliza,
@user-vl5tz6xt2m
@user-vl5tz6xt2m 4 ай бұрын
Huyu dada mjanja sana hilo ni kweli kabisa
@HAMIDUKijuu
@HAMIDUKijuu 3 ай бұрын
Mashaalah Kwa mawaidha mazuri. Mmungu akupe majazo mema.​@@kalamuMedia
@user-qd1re6fb3k
@user-qd1re6fb3k 3 ай бұрын
TV TV​@@HamisMghuna-fj3vz
@user-zw6vr8dw3s
@user-zw6vr8dw3s 6 ай бұрын
Dada hapo weka sawa ,mwanamke kiukweri sekta yake ni mapenzi na mwanamme sekta yake ni upendo.mwanamme anahitajika kupenda na mwanamke sekta yake ni mapenzi.na ndoa za sikuhizi wanawake wanapenda waume zao kama wanawake na wanaume wanapenda wake zao kama wanaume ndio maana mahusiano yanakufa
@abudimuddy517
@abudimuddy517 3 ай бұрын
Madam Leila uko Top, Mashallah tabarakallah
@a.856
@a.856 6 ай бұрын
Jazakallah khayran
@IsmailMohamed-yz2wl
@IsmailMohamed-yz2wl Ай бұрын
Dada yangu unatisha mungu akujalie sana akupe maisha mema
@abdallahkitwana8471
@abdallahkitwana8471 6 ай бұрын
Jazakah Allahu khair
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 ай бұрын
Tumeambiwa tuoe wenye dini ( iman) kama hana iman jaribu kumfundisha dini! Akiwa na imani sawaswa hawez fanya haya yotee lkn ukıoa mke anayejifunza maisha ya ndoa kwa kuangalia mitandaonı ndıo yatatokea haya yote Allah atuhifafh wake zetu na dada na watoto zetu!!! Aminnn
@aliahamad7850
@aliahamad7850 5 ай бұрын
Maashallah maashallah dada yangu mola akulipe nini yarab
@ferickkalengela4451
@ferickkalengela4451 6 ай бұрын
Mama Mungu akibariki nimelioenda sana ushauriwako
@DaddySBuda-dp6nq
@DaddySBuda-dp6nq 2 ай бұрын
kweli kabisa mke wangu anaondoka mara kwa mara hata sai mm nko kazi yeye hayuko nyumbani hanihudumii ni mgonjwa kila mara ni kali nilimpatia talaka moja ajirekebishe ila ndio amezidi
@user-he3nz6gt3d
@user-he3nz6gt3d 16 күн бұрын
Amiin amiin inshaallah Nimekuelewa dana my dear sister
@msabahkhamis9438
@msabahkhamis9438 6 ай бұрын
Maashallah Baarakallahu fiik Nakukubali dr Allah akuzidishie elim na hekma
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 6 ай бұрын
Very smart Mashallah
@user-me2dq4yk3q
@user-me2dq4yk3q 6 ай бұрын
Mungu ni mwema kwa kweli
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 6 ай бұрын
Usaliti nyakati hizi limekuwa janga maana wengine tunaumia saana lakini aaah ndo hivo tena ukiuliza tu kesi mbona kunichunga sana hutaki mimi niende hata kwa rafiki zangu hata kutembea kidogo basi unaacha maana ukiendelea kuhoji ugovi
@user-xr8uv1pb8w
@user-xr8uv1pb8w 6 ай бұрын
Mashaaallah
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 14 күн бұрын
We mama unakufuru mungu sisi ni 4 in 1= love
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 6 ай бұрын
Mwanaume huwa hasaliti bali kaumbiwa kumiliki wanawake wengi. Ila njia bora kuongeza mke kwa kuoa. Na mawaume haitwi msaliti kwa kuwa anapopenda mwingine haimaanishi hampendi mkewe bali katamani sifa nyingine kutoka kwa mwanamke mwingine ili awamiliki wote.
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 6 ай бұрын
Kiasili mwanaume hasaliti bali hupenda kumiliki wanawake wengi wenye sifa tofauti tofauti.Hivyo ukiona mmeo anatoka nje ya ndoa ni bora umwambie aoe rasmi ili muwe wawili.
@mutomubaya
@mutomubaya 6 ай бұрын
Kama anafanya na huyo mwanamke mambo ya chumbani kabla ya kumuoa je?
@ahz6907
@ahz6907 3 ай бұрын
​@@mutomubayani usaliti na zinaa kama ni muislam hukumu zipo wazi.
@batsajilo3244
@batsajilo3244 4 ай бұрын
Asante sana umenipa mwangaza zaidi
@tadessehussein3947
@tadessehussein3947 6 ай бұрын
Kweli kabisa. Asante Dada. Mtu akichoka vizuri kutengana. Kuzuia domestic violence
@vicentimageuzi1177
@vicentimageuzi1177 3 ай бұрын
Hahahahahaaaa😂😂😂😂😂ila maadam Leilah ban Et, Huna Nyimbo
@abdallahkassim8600
@abdallahkassim8600 5 ай бұрын
Duu mama kwli mm hayo ya kusalitiwa yashanikuta mm kwli yanauma kwli yni mm alichonufanyia mm alinisalit kenda kuolewa na shemegu yngu mdogo wke mke mdogo
@user-mq6iy4nh6l
@user-mq6iy4nh6l 4 ай бұрын
❤ni kweli watu Hawa hawamwogopi Mungu
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 6 ай бұрын
Mwanangu leilla mumeo ana neema kwako
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 6 ай бұрын
Na iwe hivyo asije akawa kama madebe lidai
@officialkamdudu
@officialkamdudu 6 ай бұрын
acha kujidanganya huyo ana mbinu zote za kivita
@samwelidomayo6195
@samwelidomayo6195 6 ай бұрын
Sana
@edlumala9428
@edlumala9428 5 ай бұрын
Bro unaweza kukuta kashaachika hata mara tatu! Ndoa haina formula kaka, kuongea itself is not enough!
@yusufmohdali2617
@yusufmohdali2617 5 ай бұрын
16:20 😢😢😢
@timbetishaban6804
@timbetishaban6804 6 ай бұрын
mashaAllah dada
@user-uk3vr1oi9m
@user-uk3vr1oi9m 6 ай бұрын
Nikweli kabisa dada Leila upo sahihi mwanamke akifikia kukusaliti mumeo apo akuna mapenz yakweli
@RamaIssay
@RamaIssay 12 күн бұрын
daahhhhh Ina Uma sana kusali Tiwa na mtu unae mpea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SalumSaidy-j2f
@SalumSaidy-j2f 11 күн бұрын
Nikweli kabisa Dada unajua vzuli kuhsu away wanawake uko vzuli
@msafirikushama2193
@msafirikushama2193 6 ай бұрын
Elimu hii nzuri sana.....
@bihayisefu8810
@bihayisefu8810 5 ай бұрын
Asante sana
@user-pq7xi6ve3y
@user-pq7xi6ve3y 5 ай бұрын
Allah barik madam
@user-rb2hd7nh4s
@user-rb2hd7nh4s 3 ай бұрын
Mungu atusamehee kwakweli
@josiahkulwa5318
@josiahkulwa5318 6 ай бұрын
Allah akuzidishie kheri
@NakiatAbdul
@NakiatAbdul 6 ай бұрын
Masha Allah
@user-yb4wo2ts4e
@user-yb4wo2ts4e 5 ай бұрын
Asante.dada.yalinikuta.hayo
@user-bu3wg9mc3f
@user-bu3wg9mc3f 6 ай бұрын
Mungu akubali🤲🤲
@mutomubaya
@mutomubaya 6 ай бұрын
Shukran
@mohdalawiychalapes8749
@mohdalawiychalapes8749 6 ай бұрын
Uko vzur sana dada angu
@iddkawozya3714
@iddkawozya3714 6 ай бұрын
Asalaam aleyhum,katika madhui yako ni ya kheri kwa jamii, wake zetu ndiyo wakwanza kuchafua ndoa zenu sisi wanaume nikama watoto shida ipo kwenu
@user-vq6dc4nr5p
@user-vq6dc4nr5p 6 ай бұрын
Umefiria au umekurupuka
@user-fh6jw6oe8e
@user-fh6jw6oe8e 3 ай бұрын
Dah madam upo vizr sana asee Mm nimeambiwa Hana hisia namm kabsa zipo kwa mtu mwingne. MKE WANGU nimekaa nae miak 7😢 nimeumia sana
@athumanfuko199
@athumanfuko199 3 ай бұрын
pole usiumie vumilia
@Geoffreyobuba
@Geoffreyobuba 3 ай бұрын
Poa dada mungu ni mwaminifu tukitenda alilo litaji pia atatutendea
@sirajionlinetv856
@sirajionlinetv856 3 ай бұрын
Maashaallah Swadacta
@shahadamussaefm7310
@shahadamussaefm7310 6 ай бұрын
Mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@abudimuddy517
@abudimuddy517 3 ай бұрын
Madam Leila uko Top.
@saidmwinyi4437
@saidmwinyi4437 5 ай бұрын
Aminah dada!
@hassanimindu851
@hassanimindu851 6 ай бұрын
Mashallah
@CatherineKimoso
@CatherineKimoso 6 ай бұрын
Tatizo ni kuonja onja Kwa wanandoa kunaleta kizazi kiovu.uovu wa watoto unanzia Kwa wazazi.mandiko yanasema mle mtoto ktk njia impendezayo mungu.
@samxx411
@samxx411 6 ай бұрын
Darsa zuri sana linafunza
@bakariathmanathman2187
@bakariathmanathman2187 6 ай бұрын
Sawadactha hili ndilo wimbi lilo nipiga mm paka mfuoni wabahari 😭
@aishaomar2287
@aishaomar2287 6 ай бұрын
Polee
@HadinanKimimbi
@HadinanKimimbi 2 ай бұрын
Mungu Nisaidie
@SingoMedia
@SingoMedia 6 ай бұрын
Shukrana sana kwa darsa zuri
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
Jamaa cm zimeua kuvuja ndoa acha kuchunguza cm oooh kama hujipendi Allah atakupenda Zaidi cm jamaa zitawamaliza,
@dismaspeter2266
@dismaspeter2266 5 ай бұрын
Mungu akubariki dadangu kwa mawaidha mazuri
@OmaryIssa-uk4zh
@OmaryIssa-uk4zh 6 ай бұрын
Mashaallah
@shukuruTV
@shukuruTV 6 ай бұрын
Mashallah Allah akupe umri mrefu
@DaddySBuda-dp6nq
@DaddySBuda-dp6nq 2 ай бұрын
Dah mama kama unayaona kwa mke wangu Hata kuswali haswali tena amebadilika hatuna mawasiliano ya kujuliana hali kma mwanzo nilipo fika nimeamua kutafuta mke ambae atanijali kama mume
@mussaswahib
@mussaswahib 4 ай бұрын
Dada asante.masshallaa
@13_young.k.i.d.d
@13_young.k.i.d.d 6 ай бұрын
Eti maisha yetu jeshi, siijapenda 😢
@ummymuya.2060
@ummymuya.2060 5 ай бұрын
😂😂😂! Ma MP😜
@salmamohamedali1912
@salmamohamedali1912 5 ай бұрын
Haaahah
@ramaamofarah8967
@ramaamofarah8967 6 ай бұрын
Alxamdulillah mkeo na mumeo waislam kiimani hawasaliti hata kidogo. Because they are much devouted
@unambwenaiman5355
@unambwenaiman5355 5 ай бұрын
Mke mmoja ni changamoto Sana,
@dionrwey572
@dionrwey572 5 ай бұрын
Kweli, hisia za mwanamke zaonekana wazi, akisaliti hafichiki, dharau itajitokeza na hajijui kama amebadilika, ...
@HusseinNkuna
@HusseinNkuna 4 ай бұрын
Yani umeongea mengi sana yamemuhusu mke wangu alienitoroka yani alikua swala tano lakini akaanza kubadirika taratiibu mala naenda Kwa mama mala naenda Kwa shoga yangu hidaya mala siku flani tunaenda shughulini hadi siku ameaga anaenda kwao alafu kukatokea msiba Kisha yeye hayupo kwao kumbe amelala sehem nyingine na cm amezima
@user-ec7iq8yv5x
@user-ec7iq8yv5x 4 ай бұрын
Hongera
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 4 ай бұрын
Ahsante dada🙌🏽🤍🤍🤍
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 6 ай бұрын
Wanawake wapo wengi sana hiyo sio tatizo madam
@zainabpessa2329
@zainabpessa2329 2 ай бұрын
Wanawake wako wengi lakini sio kama huyo ulio nae
@user-dl4wx4iu5n
@user-dl4wx4iu5n 5 ай бұрын
Kwa kweli dada tunashukuru na tunafidika saana Wanamaker wanasumbua sana khasa kwa ajili ya simu zao zinasumbua saana mi.i niko drc
@user-bw4dh3ck1z
@user-bw4dh3ck1z 4 ай бұрын
00
@user-tx6xq6fx6y
@user-tx6xq6fx6y 5 ай бұрын
Wallahi mimi kama mimi yote ulio sema ni kweli hakuna moja ambalo silakweli
@michaelmkaro8456
@michaelmkaro8456 6 ай бұрын
Super
@user-mv8hk9fe2y
@user-mv8hk9fe2y 6 ай бұрын
Wengine hawasaliti kwa hisia dada wanatafuta tu maslahi, saazengine mumeo atahela yakula kukupa shida au akikupa kula vyengine vyote ujitafutie mwenyewe hapo ndo mtu anatafta msaada nje
@silvaraphael9327
@silvaraphael9327 5 ай бұрын
There’s no justification for infidelity. Otherwise ni tabia ya mtu alikwisha izoea toka kubalehe kwake, unakuta kijana wa kiume au kike hadi anaoa au anaolewa kashatembea na wengine huko nyuma zaidi ya kumi ati ni kula Ujana, yaani why exactly kwani ni lazima. Sasa baadaye kwenye ndoa matokeo yake ndo hayo ya kusalitiana ambapo ni ujinga mkubwa sana. Na hauhitaji msamaha huu ujinga either kwa mume au mke, kama unaingia kwa ndoa for infidelity practice why can’t you remain single? Heshimuni ndoa wake kwa waume ndoa ni kipindi cha mwisho cha Maisha ya mwanadam chini ya jua.
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 4 ай бұрын
​@@silvaraphael9327 nikweli. ndoa na iheshimiwe na watu wote. hata Mungu anasema anaefanya hayo hana akili kabisa
@SalamaAli-cv6uj
@SalamaAli-cv6uj 2 ай бұрын
Swadakta 🤝🏻
@mathiasmasolwa5601
@mathiasmasolwa5601 5 ай бұрын
Wewe aliye kuoa awe na kazi sana wewe hakili nyig sana,
@JeremiaNdembo
@JeremiaNdembo Ай бұрын
Awe mwanamke au mwanaume wote wanamapungufu, kikubwa kuvumiliana tu.
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 3 ай бұрын
Mama mkwe wengi wanajuwa ujina wa mabinti zao tena ukute mama mkwe limalaya au Binti yake anamuita mdogo wake mama malaya linamuuza mwanae
@user-xp4yu3tv6f
@user-xp4yu3tv6f 6 ай бұрын
Madam tafadhali naomba namba yako nikufuate in box tuzungumze jambo,ples,nimhimu asante
@salummzee9739
@salummzee9739 6 ай бұрын
Huwez kujua hicho kitu labda awe mwanafunzi ndio utaelewa ila mazingira ya Uchafu itakuwa uchafu lakin mwanamke anaweza kumuona ataoa darsa ukamuamini asilimia 90 kumbe adui mkubwa ktk mapenz ila mapenz ni kitandawili
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 6 ай бұрын
Barikiwa dada yangu.
@zahranyussuf7642
@zahranyussuf7642 6 ай бұрын
Hivi ww Madam Leila umeolewa? Yaani umo kwenye ndoa?
@user-qy7wv3xv4o
@user-qy7wv3xv4o 2 ай бұрын
Sasa dada hapa Kuna tofaut mke akiwa yy ndio kiruka njia hasikii kabisa dawa inayotosha hapa niipi.
@user-to3uq1ct6d
@user-to3uq1ct6d 6 ай бұрын
Duuh hii hali naipitia mimi naombeni mnishauri jamani mke wangu hataki kushiriki na mimi days hajisikii.
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 6 ай бұрын
Tafuta mwanamke mwengine uoe
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 6 ай бұрын
Wapendwa.naomba no.za huyu ukhti.naona haweki
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx 6 ай бұрын
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 44 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 79 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 27 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 102 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 44 МЛН