No video

Ukurasa wa Pili Noorah aka Baba Stylz

  Рет қаралды 1,146

eryc oyugi

eryc oyugi

Күн бұрын

Ukurasa wa Pili Noorah aka Baba Stylz
Verse: 1
Yeah!
Ndani ya Gari najivinjari na please Dully Sykes,
Namwona doo white simjui amevaa glass,
Eti(Mambo?) Safi(Jamani naomba lifti)
Unataka lifti?(Eeh)
Kapande kitegea uchumi(Eiih kaka mbona unanijibu majibu ya kihuni?)
Hebu toka hapa mtakufa na Ukimwi enyi mabinti,
Halafu kuna dame huwa anapenda sana kunizingua,
Huwa hanitafuti mpaka askie nimetoka tour(Phone rings)
Hallo..(Mbona siku hizi huonekani?)
Nimekuwa mweusi?(Aaah we acha utani),
Hivi unajuwa kwanza huku unaongea na nani?(Si Noorah?),
Ni Ngwair(Basi samahani),
Mwingine alikuwa ananipita bila hata salaam nashangaa siku hizi eti(Noorah umekuwa handsome),
Mwingine nilienda Tanga ku perform,
Nakumbuka vizuri sana kwamba nilitumia condom,
Wiki mbili baadaye eti si akaniandikia barua kua ana mimba ya miezi tisa na anataka kujifungua,
Kama ni kuhusu fedha mama cha kusaidia sina,
Labda nikusaidie tu kumchagulia jina.
Chorus: 1 (Not sure of the correct words)
Ooooh, hawa madame sijui ni vipi?
Ooooh, wananitaka taka kukaa nami jamani,
Ooooh, wanapunja sana pesa,
Ooooh, hospitali tutaomba ni vijimambo tu.
Verse: 2
Niko na Prof Jize,
Na daily club si tuko bize(busy),
Vicheche vinajipitisha tu kama wiper,
Pose letu ni counter,
Hakuna kuwaita, yeah kama kawaida,
Sijatulia mara napokea kikaratasi,
(Naomba tuongee dakika moja tu basi),
Sijauliza ni nani mara hii hapa,
(Nipe nafasi sitokuacha nahapa)
Oh na bahati mbaya juzi tu nilikuwa "Kigosa",
Na huko me nilienda kutoa posa,
(Basi hata girlfriend?)
Dini hairuhusu,
(Jamani naomba basi japo nikubusu)
Kwa hilo nitafute kesho usiku saa tisa,
(Naomba number ya simu basi)
Aaah sina kabisaa,
(Hmmm...Naomba basi japo unichukulie beer)
Ok waiter mpe beer halafu mwenyewe atalipia,
Chorus: 2
Kuna dame wangu Milly nilimfuma bar na mchizi,
Nishamwona nikaamua tu nimfanyie uchizi,
Nikampigia simu, honey njoo basi maskani,
(Oh leo dingi leo nyumbani haiwezekani)
Wewe si nakuona kwa bar huku unakunywa beer?
(Haa kumbe umeniona nilikuwa tu nakutania)
Hamna cha kutania kitu mtoto utaumia,
Nikamchunia hata akipiga simu nikawa namkatia,
Eti akatuma message,
(Naomba tukutane Juma tatu)
Nikamjibu sitakuwepo nitakuwa nimeenda Kidatu,
Basi akapiga,
(Basi tufanye Juma nne)
Aaghr! Ntakuwa sijarudi labda tupange siku nyingine,
(Eeeih! Jamani tufanye Juma tano)
Nitakuwa Dodoma bungeni kwenye mkutano,
(Alhamisi basi nimekumissi)
Siku hiyo kwanza kuna hutuba ya raisi,
(Ijumah je?)
Mmmm....sijui itakuwaje?
(Jumamosi?)
Kweli wewe una mikosi,
Me ntakuwa Shinyanga nashona wagosi,
(Hmmm....Jamani tufanye jumapili)
Haina noma kama unaweza kusubiri nafikiri ntarudi baada miezi miwili,
(Hmm...siwezi, basi tuma dollar kumi)
Weeh! Si unajuwa zinauzwa? Tuma kwanza hiyo elfu kumi.
Chorus: 3
EHehehe! Aaah! Ushajiuwa! Madame wa siku bana, ukiwatokea wanakuambia eti,
(Ooh me ninangoma)
Kama anangoma unamwongezea guitar na keyboard na kila kitu halafu anafungua bendi(band) au vipi?
Ehehe! Sawa tu babake.

Пікірлер: 8
@cesarfabregas28
@cesarfabregas28 2 ай бұрын
Dah! Baada ya miaka 19 naipata tena hii ngoma
@luisojr3480
@luisojr3480 2 ай бұрын
baba style noorah jamaa alikua na kipaji cha hali juu
@estherngige8217
@estherngige8217 2 жыл бұрын
Hi ..oyugi
@ramadhaniarmand620
@ramadhaniarmand620 9 ай бұрын
Iyi ngoma aita ishaga utamu wake
@estherngige8217
@estherngige8217 2 жыл бұрын
Hi ..oyugi
@ErycOyugi
@ErycOyugi 2 жыл бұрын
Mambo essy
@estherngige8217
@estherngige8217 2 жыл бұрын
@@ErycOyugi wpi number whatup
@ErycOyugi
@ErycOyugi 2 жыл бұрын
@@estherngige8217 +447587208457
Ukurasa Wa Pili (feat. Shaa)
4:42
Babastylz - Topic
Рет қаралды 3,5 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,1 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 476 М.
Mandojo na Domokaya  - Dingi (Official Video)
5:45
Domokaya
Рет қаралды 533 М.
MKE WA JIRANI PART { 2 }
15:24
DIRECTOR GOZI
Рет қаралды 126 М.
Noorah "Haji Nura"
3:38
Eric Branco
Рет қаралды 26 М.
Dayoo - Huu Mwaka
3:25
Dayoo
Рет қаралды 1,1 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,1 МЛН