Ulaula msamba mbelenya miaka mingi hatujafilimba ulembe. Gonga like kwa kukubal msemo huu🤗🤗🤗
@user-dt2rv1cr3f7 ай бұрын
Nice one .big love from Mombasa
@madollarmadollar64614 жыл бұрын
Mkojani ni kweli unakujua kwetu Mombasa kisauni mariakani
@maruanidocksnation70404 жыл бұрын
Likoni kwetu amekutaja
@imamrema18804 жыл бұрын
Pamoja aso na team zima @tin whaite og1 @mkojani @nagwa Nk.. Na team zima pamoja sana
@yasynally19083 жыл бұрын
Km we mpk Sasa japo Al haji Mzee Majuto kashakufa Ila Kuna Mkojani anajitahid Sana kufua nyayo zake na umegundua Hilo maana mpk vichekesho,kejer,kebei mpk msuli anaovaa pass n Mzee Majuto😀😀😀tunapata alternative way hii.japo solution Alikuwa Mzee Majuto mwenyewe.GONGA LIKE twenzetu kuview nyingne zaidi 🤝🤝
@dastanjohn8434 жыл бұрын
Mkojani kiukweli unajua unavyoe fanya Unaendana naulivyo ebu like Kama unamkubali
@jumaally58554 жыл бұрын
Ni shida
@justinemwakyasima61964 жыл бұрын
Mkojani ivo unavyo ongea nakukubar sanaaa
@tayt40864 жыл бұрын
Ngoombeee weweeee kumbe hunijuiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣 swaga za mkojan Like
@ishirestaurant78414 жыл бұрын
Hakuna tena tanzania km hawa mko vyema sana
@josephpeter5544 жыл бұрын
Nakukubali sana mkojani
@lilhomies25414 жыл бұрын
Sijaona wa kumfananisha na mkojani kwa gem la bongo kwa Sasa... Uko vizuri mheshimiwa
@razackiunowe89342 жыл бұрын
Akojani Nanagwa
@moseskanganga47434 жыл бұрын
Mkojani nakukubali sana ndugu
@SWEETGALKHAN_001 Жыл бұрын
Eeehhhhh ❤❤❤mombasa 💙basi weye mkenya wetu mbona kama umetaja mkoa wote humu kwetu ? 😀❤ Njoo kenya from today you are one of us 💖Mombasa , Kisauni karibu mkojani 💕💕💫💫
@thomasvenance51864 жыл бұрын
Kama ngoma nagwa na mkojani una wakubali like hapa
@abelsiyame78633 жыл бұрын
Wako vizur
@hadijamohamedi4774 жыл бұрын
umemuwezaa leo
@mnyimbimakame84824 жыл бұрын
Daaaaahhhh nagwa noma sana hii lazima nicomment Mara zote fantastic
@mashaomar46924 жыл бұрын
Kutoka +254 kazi safii sana
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Thanx masha
@fatumaomy48584 жыл бұрын
😂😂😂😂 jamani mkojani wewe..uko poa sanaaa
@SamsungA03core-tz7sz6 ай бұрын
Nmejikuta stress zote zimeondok yan,blessing nying san kwenu❤
@ngatialennylenny23864 жыл бұрын
Hapo sawa
@hafsakawilo36904 жыл бұрын
Kama we muuni unaondoka sasaiv. 😂😂😂😂😂 Mkojani nomaa
@omarihamadumetishasanalava47252 жыл бұрын
Ngombe hunijuwi
@cheedflavor25634 жыл бұрын
Nawakubali saana wanangu from kenya
@bakarameir28684 жыл бұрын
Mkojan nagwa hupenda kukuingiza matatizon kwel
@kibasamohamedi80294 жыл бұрын
Mnajua kunitoa stress nyiee. Safi nawapenda
@lillywilliam14244 жыл бұрын
Aisee mkojan wew n hatar kinoum
@jumaally58554 жыл бұрын
Wanajua
@malkiawafizi23944 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣mkojani heee taimingi za hivyo,kweli Wewe siyo pacha wa nangwa.🤣🤣🤣🤣🤣subiri atoke jela atakufanyiya baridi barafu🤣🤣🤣🤣cheko lako uwa linanichekesha ile mbaya.
@ahmadbinally41463 жыл бұрын
Hellow +255778742459
@wasafimedia53993 жыл бұрын
@@ahmadbinally4146 nyege mbaya sanaa
@justinemwakyasima61964 жыл бұрын
Nagwa na ubabe wake katulia
@AhmedSalah-ri3es4 жыл бұрын
Hhahahha nice mkojani
@joshuakipalule55014 жыл бұрын
nakubali mkojani
@sharoinstargang1843 жыл бұрын
Nan alie ona nyumba ya kasir ya mkojan
@unclesam15344 жыл бұрын
Duuuh!mkojani ushafika mariakani?🤣😂😂,duuuh kweli we baharia aisee!much love from +254❤❤❤