UPENDO PENEZA AFUNGUKA/ RUSHWA YA NGONO/ HALIMA MDEE NA MBOWE/ NJAA IMEKUPELEKA CCM?

  Рет қаралды 14,784

Dar24 Media

Dar24 Media

2 ай бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 290
@salinjason
@salinjason 2 ай бұрын
Huo ni mwisho wako wa kisiasa huna mvuto tena jitafakari
@ROBERT75376
@ROBERT75376 2 ай бұрын
Najua kuwa ni haki yako ya kikatiba ila, ukweli fahamu tu kuwa, wapo vijana wengi walikuwa wanakutazama wewe na kujifunza mengi. Tunatamani ungepambana na rushwa hukohuko CHADEMA. Kuhama kipindi hiki ambacho shutuma kama hizo ziko kila upande inatoa nafasi kwa baadhi kukufikiria vibaya pia. Lakini mwisho wa yote, kila la heri huko, usisahau kupigania haki uliyokua unapigania ulikokua.
@eliaskangabo779
@eliaskangabo779 2 ай бұрын
Uchaguzi unakaribia unatafuta fursa siku zote ulikuwa wapi?
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 2 ай бұрын
We dada unatafuta vyeo kijinga kwanini hukusema ukiwa huko. Nashangaa unaitwa mwanasiasa sijui kwa kigezo kipi. Hii ndio tz
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 ай бұрын
Imekugusa sn ndugu
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 Ай бұрын
​@@KassimAlly-xp4dz Uvumilivu umemshinda
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 6 күн бұрын
Usimpangie muda wa kusema
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 6 күн бұрын
Usimpangie muda wa kusema
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 2 ай бұрын
Can we call this political prostitution?
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 ай бұрын
Kabisa, ni malayamalaya bila kumung’unya.
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 2 ай бұрын
Duhuuuuu!! Ila sisa bhan yaani uyu dada upendo nlikuwa namkubali ss ndo anakwenda kupotea kabisa na ukimskiliza anavyo jibu ni hopless hana majibu sahihi njaa mbayasan
@dennisrwelamira1259
@dennisrwelamira1259 2 ай бұрын
Mbona Upendo Peneza anakimbia maswali kwa kutoa majibu yasiyo sahihi
@abbiecox1
@abbiecox1 25 күн бұрын
muombe mtangazaji aje akuhoji wewe umpe majibu uyatakayo
@user-xy7eu6ev6c
@user-xy7eu6ev6c 2 ай бұрын
Anatoa hoja bila ushahidi mf:athibitishe palipofanyika rushwa.Mwandishi mpigie Mbowe simu athibitishe kama aliwahi kupewa ushauri .
@HusseinEca
@HusseinEca 2 ай бұрын
Mi nilifikiri Delilah alikua yule m'moja tu mke wa Samsoni kipindi kile.... kumbe hata leo yupo mwengine tz
@dulasaid2581
@dulasaid2581 2 ай бұрын
Kwa bahati mbaya na masikitiko Chadema haina pesa za kuhonga. Wasaka Tonge kama huyu watajitokeza wengi.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Hahahaha,,, kwahiyo unadhani Mbowe ni masikini?
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 2 ай бұрын
Tulizoea kuona wasariti wanaume kumbe hata wanawake wapo??? Subiri uteuliweeee!!!
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 2 ай бұрын
alisema CCM wameniibia kura mwaka 2020, CCM ni mafisadi na wala rushwa sasa nimeamua kujiunga na wezi wa kura, mafisadi na wala rushwa naombeni cdm mjirekebishe msaliti mkubwa anazunguka mbuyu baada ya kukosa ubunge mwaka 2020 na njaa imeanza ingia kichwani sasa hata kufikiri ni shida kutokea tumboni. serikali ya CCM lini imejisafisha na uwizi na ufisadi wa mali za umma umesoma kweli ripoti za CAG?? Nenda uko ukajaze tumbo lako msaliti mkubwa wewe..
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 2 ай бұрын
Kuhama chadema ni usaliti na kuhama CCM ni ushujaa!!! Hayo ni maneno ya wanachadema waliofilisika kifikra na kisiasa!
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Tena wasaliti wa kike niwabaya kuliko shetani, mke wa Ayubu ana mwambia Ayubu mkufuru Mungu ili ufe unafikiri alimuinea huruma kwa mateso ya mumewe, kumbe kuliwa na mpango afe Ayubu ili aolewe na wale wasaliti wa Ayubu, au marafiki wa Ayubu, Huyo niwaku muangalia nje ya box,
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 2 ай бұрын
Peneza uwezo wake wa kujibu hoja ni mdogo sana, hawezi kujenga hoja wala kuchanganua hoja
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 2 ай бұрын
Pendo, ni kweli ccm imekuwa takatifu mbele yako kwa maovu yake yote wizi, dhuluma, kuteka na kuua w/nchi wake, rushwa, kutowajibika kwa ye yote(ripoti ya CAG) maisha magumu kwa w/nchi, kuuza mali ya umma, kuikanyaga katiba nk. Umeshindwa kuchukia haya, unahangaika kuinanga CDM ambayo haina baya kwa umma. Wewe unaiwekea uovu hafifu wa kutunga ili kuhalalisha njaa zako za kutafuta uteuzi. Kushutumiana viongozi sio malaika, ni njia ya kukemea rushwa wazi wazi inayotoka nje ya CDM. Pesa ya rushwa siku zote inatoka ccm. Ccm ni mtoaji mzuri wa rushwa, hilo huwezi kulikemea, ila unahangaika na Cdm wanaokemea hadharani, wewe unaita kushutumiana. Ninyi waganga njaa, kuweni kama Lowassa hakutunga wala kunanga Cdm. Pendo, epuka interviews hizi zinakuvua nguo bila kujijua kwa hoja hafifu mno mpaka hujibu maswali, ila unabaki kujikanyagakanyaga tu. Bora ukae kimya ule vinono ulivyoendea huko ccm.
@mohamoudali8652
@mohamoudali8652 2 ай бұрын
Halafu huyu dada kajichubua kishenzi. Maskini ana tatizo la kutokujiamini.
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Usimwamini mwanamke hata sikumoja huyu wa ngapi
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 2 ай бұрын
Yuda vipande 30 utavitapika
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Tamaa tu, huko ccm ndio kumeoza na hutoongea chochote wenzio wamepotelea kabisa huko.
@clemenceparokola
@clemenceparokola 2 ай бұрын
Mmmm tamaaaa tu
@zat6311
@zat6311 2 ай бұрын
Mchanga kisiasa hiyu wala cdm kisihangaike kujibu
@venatusmukungu3340
@venatusmukungu3340 2 ай бұрын
Umejiuza kirahisi mno dadangu.
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 2 ай бұрын
Wewe file lako tutalipata tu,,bure kabisa 😮😮
@albertkamala6843
@albertkamala6843 2 ай бұрын
>Duuuu...Madam Upendo Peneza..jibu refu sana lisilo mwisho kwa swali rahisi la kutoka CHADEMA kuhamia CCM! >Spot on Mtangazaji..kiongozi/mwanasiasa kijana kaporomosha sana hadhi yake kwa kitendo cha kuhama! Mapungufu ndani ya CHADEMA kulinganisha na CCM yaweza kweli kuwa sababu kuhalalisha msukumo kutoka?
@henrymmbando5930
@henrymmbando5930 2 ай бұрын
Kwa hiyo CCM ukikutana na changamoto ambazo haziendani nae atahamia kwa Mzee wa Ubwabwa? Huyu wala si mwanasiasa. Muda si mrefu mtajionea.
@zat6311
@zat6311 2 ай бұрын
Mwongo huyo utafikiri siyo ke
@zat6311
@zat6311 2 ай бұрын
Makosa sana kuwa na mtu wa aina hii chamani
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 2 ай бұрын
Huyo Hana jipya ni kirusi kama wengine waliotoka chadema na kwenda ccm Hana la tofauti ni mchumia tumbo
@linusmwanitega4173
@linusmwanitega4173 2 ай бұрын
Yaani ww unapenda mtu aseme mazuri tu kwa chadema ila akisema mazr ya ccm hutaki kusikia. Ila upo sawa maana huwezi kuwa kuunga asiye kuwa wa upande wake.
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 2 ай бұрын
Naomba MUNGU anipe Uhai mrefu ili niendelee kuyaona na kuyasikia ya Dunia,Maana Wengine tutafika Mbinguni tukiwa TUMECHOKA VIBAYA
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 ай бұрын
Kwa hio my sister hukitoka na CCM,pia utataka watu wakufate huko huliko?....... Lakini peneza kama hukikosa huongozi je, hutaendelea na CCM au hulicho fata huko ni huongozi?..... Lakini peneza unataka kusema CCM hawaikosei katiba yao?....... Na Je,ndani ya CCM hakuna mambo ya Rushwa?....... Naona my sister nikama hunajiukumu your self Kwa ni huko hulikokwenda wako sahii kuliko kila chamq kina shida zake mi naona peneza Ni bora hukanyamaza husizungumze mengi sana maana hayo unayo yazungumza yanaweza kukuludia.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 2 ай бұрын
"Naomba nimalizie"....Stanslaus Lambat mpe mwenzio "amalizie"😂😂😂
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 2 ай бұрын
Yaani wewe pendeza hutaki cdm wanavyofanya mikutano ya kuelimisha wananchi juu ya maofu ya ccm basi wewe ni pandikizi lililokomaa sana ulikua unasubiri update nafasi kubwa ili uumize cdm vizuri Wacha biashara chafu ya siasa huko ulikokimbilia ndo umekufa kisiasa kabisa umebaki na mdomo na sauti mpaka aibu unaoneka usoni mwako
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 ай бұрын
Rambat nakukubali. Professional
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 ай бұрын
Mzee hata jina ambalo lmeandikwa hapo unashindwa kuliandika tukueleweje. Huyu ni Lambat bro sio "Rambat" Tatizo nini jamani mbona hivi?
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 2 ай бұрын
Ningefurahi sana Upendo ungekuwa direct zaidi kwenye kujibu maswali. Unaongea mnooo katika maswali yasiyohitaji maneno mengi. Utakuwa mwanasiasa mzuri kama utapunguza maneno mengi na hapa kwenye kuwa na maneno mengi ndipo watu wanaona kuwa hauna hoja yaani unajaribu kuokoteza maneno bila kuwa na data. Unaulizwa kuhusu rushwa wewe badala ya kuja na uthibitisho unaanza kufanya reference kwa maneno ya watu wengine.
@henrymmbando5930
@henrymmbando5930 2 ай бұрын
Huyu ana nongwa tu kwa wale Covid 19 kutomweka kundini na alikuwa anajiona ni mwanamke ambae ndani ya cdm alikuwa juu sana. Covid 19 walimtema akaona hana kitu tena. Je huyu angejumuishwa ndani na Mdee je angekataa icovid ??
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 2 ай бұрын
Mimi ni muumini wa kuamini kuwa kwenye kila taasisi alimradi inaongozwa na watu basi lazima kuwe na changamoto. Inategemea tu wewe unaamini katika nini . Mimi ni ccm lakini mtu wa aina ya Upendo ni wa kuogopwa sana. Yeye hana anachokipigania zaidi ya maslahi yake. Ninachokiona anataka kujiaminisha kuwa ili upate nafasi ya uteuzi basi uwe mpika majungu kwa upande wa pili. Ni majungu kwasbb sijaona tangia ameanza kuhojiwa na vyombo mbalimbali akitoa hoja zenye ushahidi kuntu ili kuhalalisha malalamiko yake.mtu kama huyu kama hatoweza kupika majungu katika level ya chama basi atapika majungu between individuals ili yeye aonekane msafi. Tunahitaji kizazi jeuri chenye uwezo wa kuhoji na kukosoa kwa hoja na ushahidi lakini sio kama Upendo Peneza. Nawaheshimu sana wanasiasa marehemu Bernard Membe pamoja na Edward Lowasa. Pamoja na kuhama ccm lakini bado walikiheshimu chama na walikuwa makini sana katika kujibu maswali yenye viashiria vya uchonganishi, vivyo hivyo waliporejea ccm kutoka upinzani hukuwasikia wamesema maneno mengi zaidi tu ya kujibu "nimerejea nyumbani". Hivi ndivyo siasa zinavyokuwa.
@henrymmbando5930
@henrymmbando5930 2 ай бұрын
Huyu dada mhuni tu, Anaongelea rushwa lakini hana hoja yeyote kuthibitisha. Huyu ni kiruka njia tu. Kaona hapati chochote kagilibiwa, kalegea ameamua tu kujivua mwenyewe arudhishe roho yake. Hivi huyu dada Kaolewa? Kama ndiyo nashauri mwenza achukua nafasi ya counseling. Huyu kavurugwa.
@dismasmtui729
@dismasmtui729 2 ай бұрын
Huyu dada inaonekana alikuwa na tamaa ya uongozi sana!. Kwa hiyo yeye alitaka CHADEMA kama taasisi wamsikilize yeye?!. Kwa hiyo CCM ndio watakusikiliza?. Bora ungenyamaza kwa sababu unajichanganya zaidi!. Ila ukiwa sebuleni unatakiwa ukae kwa nidhamu kwa sababu ukicheza vibaya hata chakula utanyimwa!!.
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
Huyu ni Lilith tu aliye msaliti Mungu aliye Muumba awe make was Adam ye akamuacha Adam na kwenda kuolewa na lisifel aliye muasi Muñgu
@laninjeje8290
@laninjeje8290 2 ай бұрын
Huyu dada ni Malaya tu Tena Kuma lake linawashwa ccm amefuata mboo tu hana jipya
@user-rw5em6lt1j
@user-rw5em6lt1j 2 ай бұрын
Huyo dada anatatizo la kiakili hivi ccm hakuna rushwa? Hata hiyo rushwa anayoisema ipo cdm hajathibitisha
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
Yeye na wewe nani mwenye matatizo kiakili? Wapumbavu kama wewe huwa ni mashoga huko mbele ya maisha
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 2 ай бұрын
Aliyesema chadema kuna rushwa ni makamu mwenyekiti wa chadema akiwa Iringa kwenye mkutano wa hadhara!pia mwenyekiti kwenye mkutano wa hadhara wa kwanza alisema kuhusu watu kulamba asali
@zat6311
@zat6311 2 ай бұрын
Mzigo tu huo
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
nakuonea Huruma Rudi Chadema moyo wako nakuona unakuuma na unaelewa serikali aifanyi saw Kwa wananchi na unaenda hukohuko watumishi was imma halo ya mishahara haiendani na mabadiliko ya kiuchumi
@paulowilly7864
@paulowilly7864 2 ай бұрын
Damu ya mawazo itakuandama mpaka mwisho ni afadhali viongozi wa chadema wanasema rushwa ndani yachama kumbe Yuko sahihi huko kwenu CCM nani aliwahi kusema rushwa mnasema Kila Moja ale kwa kamba yake
@user-qo7uv2zc3g
@user-qo7uv2zc3g 2 ай бұрын
Dada jitadhmini sana unapotea vibaya mnomno nenda kwenye majukwaa leo ukawaeleze utawafanyia nini ndani ya CCM ambayo imekaa madarakani toka unazaliwa mpaka leo uwapatie maendeleo leo hiii
@modestuslwemigira7188
@modestuslwemigira7188 2 ай бұрын
Mbona alisema chadema wanavunja katiba Sasa mbona anatetea kuvunjwa kwa katiba ya CCM. Nafikiri Kala rushwa huyo ni wakuogopa kama ukoma
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 2 ай бұрын
Nimefurahi umehakikisha kuwa Chadema haikupeleka majina ya wabunge wa viti maalum. Moja baada ya kingine yatajulikana. Mungu yupo
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 2 ай бұрын
@Lambert umeniangusha kumto mchallenge suala la Biden kwani Biden aligombea ndani ya democratic na wenzake wengine hakuwa peke yake
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 2 ай бұрын
Kama hakuna rushwa ngono. CCM hakuna basi hakuna wsnaume. Sehemu yoyote humo maofisini. Vyama vya siasa rushwa ya ngono haikwepeki
@user-fe8tx5bo2f
@user-fe8tx5bo2f 2 ай бұрын
Ww acha huongo tutaona utafika wap tunapigania halakati alafu nyinyi mnatushika miguu Kwa ajili ya matumbo yenu kuna chama kinacho ongoza Kwa lushwa kama ccm.pumbavu kabisa ww
@JosephuSwai
@JosephuSwai 2 ай бұрын
Mama ccm Kuna vijana wengi wametumikia chama kwa maisha Yao yote hao ndio uwape uteuzi sio Hawa wadangaji kwani wewe nani
@ishengomanelson
@ishengomanelson 2 ай бұрын
Inasikitisha sana. Afrika haitawahi kupiga hatua kwa aina ya watu tunaowaita viongozi wetu. These are self-serving fugures ambao wameitesa Afrika. Wananchi tujitambue.
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 2 ай бұрын
Kweli, wengine hawana aibu. Mnarudisha nyuma harakati za kudai haki katika nchi yetu. Mnawavunja moyo wapiganaji halali.
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 2 ай бұрын
Umepoteza mvuto Hadi afya inafifia pole sana
@PeterJohn-sg4oe
@PeterJohn-sg4oe 2 ай бұрын
Kwani CCM hawatuhumiani kwa Rushwa?! Sema unataka cheo
@mgungulem3187
@mgungulem3187 2 ай бұрын
Hujaelewa kulamba sukari mbowe alimaanisha nini!! Hata CCM hawakuwa wanasema kuhusu majadiliano
@marwamagere
@marwamagere 2 ай бұрын
Huyu changu doa Hana jipya upendo peneza unazidi kujivua nguo
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 2 ай бұрын
mtangazaji yuko sahihi km angekwenda upinzani lakini tatizo kubwa la Upendo kulalamikia rushwa ndani ya Cdm halafu unakimbilia kwy chama cha mapapa wa rushwa, yaani unakimbia mkojo unakanyaga mavi
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 ай бұрын
Naombeni nafasi ya kumuhoji huyu my Sister Natamani kama nitapata nafasi ya kumuoji
@ngalamawecheslous9976
@ngalamawecheslous9976 2 ай бұрын
Wananch hatukutaki njaaaa inakusumbua umeona kupa ubunge kwa tket ya chadema ni kwa jasho unataka ccm kwa sababu ni mtelezo utagazwe kwa ulizi wa police
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 2 ай бұрын
Acha uwongo mlafi ww chadema waache hata huko hawakupendi kisa umbea walikupa ubunge wa kupewa sema asante endelea kusema uwongo ok
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 ай бұрын
Huyu mwanamke anaonekana msomi lakini pia ni mchumia tumbo
@SAMSONKAGOSE
@SAMSONKAGOSE 20 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🧑‍🔬🧑‍🔬💓💓💓💓👀👀acheni kebee uzalendo ndo msingi WA taifaletu 1:01:05 tuache kebei amaniuliyo nayo ni CCM utawala bora
@fabianmahenge301
@fabianmahenge301 16 күн бұрын
Nonsense to that woman....... fighting for justice is all over. Kaa kimya wewe!
@marybalya2371
@marybalya2371 2 ай бұрын
Wewe Kama uliondoka ya Nini kuendelea kubwabwaja?. Hizo Ni njaa na umalaya unakusumbua.
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 ай бұрын
Kwa hio mnataka kutuaminisha hivi vyama vya siasa ni wauni tu?.......
@MdYeasin-xx1gm
@MdYeasin-xx1gm 2 ай бұрын
akuna kisichokuwa na mapungufu tatizo ww umetoka kw pipa na kuamia dampo afazali unge amia jalalani
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l 2 ай бұрын
Mwanamke acha uongo mbona njaaa yako utalipa ktk hayo Machafu mnafiki mkubwa.
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 2 ай бұрын
Kwahiyo huko ccm Hamna rushwa mbona unaongea HOJA nyepesi
@emmanueltarimo892
@emmanueltarimo892 2 ай бұрын
Unayoyakosoa chadema yote yapo ccm.so kuhamia kwako ccm hakuna logic
@joyceharris2093
@joyceharris2093 2 ай бұрын
Hana sababu iliyonyonko iliyomfanya kuamia ccm. Pia anashindwa kujibu maswali anayoulizwa
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 ай бұрын
Au hunaenda kuwachunguza CCM, humetumwa kwenda kufanya investigation
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 ай бұрын
" Hunaenda" "humetumwa" hicho ni Kiswahili gani? Na ikija kuandika hapa utaandika "apa" Huu ugonjwa gani unawasumbua nyie waTz wa siku hizi? Mmesomea shule za aina gani nyie?😢
@abiadhasmassawes3984
@abiadhasmassawes3984 2 ай бұрын
hakuna kitu hapa, hayo mamikono ni mengi kama anavyoongea. Mpeni maji kwanza amalizie uongo wake
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 2 ай бұрын
Pumbavu malaya wew
@user-cz3gk2op9r
@user-cz3gk2op9r 2 ай бұрын
Unachokitafuta ni nini?
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 2 ай бұрын
Kwa kifupi ni njaa inakusumbua. Umeona ukihamia huko utahongwa cheo. Pole sana kwani umejidhalilisha sana. Hsts sauti yako inaonesha kuna kauongi.. you have no confidence. By the way mimi si mwanachadema.
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 2 ай бұрын
Kwa wanachadema hasa wasiojua siasa kujiunga chadema ni ushujaa na kujiondoa chadema ni njaa! Acheni hizo siasa za kihuni zinakiua chama chenu!!!Rudini kwenye msitari ili CCM ipate mpinzani anayetosha
@fredymapunda1768
@fredymapunda1768 2 ай бұрын
Unajibu swali unatoa maelezo?
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Hakuna chama cha siasa kilicho salama,
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Upendo.acha.maneno..mungu.kila.mahali
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o 2 ай бұрын
Wewe hujalamba sukari?
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 2 ай бұрын
Chadema muwe makini na mamluki wanakuja kuwavuruga chama
@stevenngussa9334
@stevenngussa9334 2 ай бұрын
Wewe Paka tuu!! kama paka wengine nenda ukalale
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 2 ай бұрын
Utahangaika sana pendo , uchakifanya ni ulaghai
@stanastana3199
@stanastana3199 2 ай бұрын
Hata sielewi hoja yake,anaulizwa hii anasema hii
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 naona kama kinyani
@user-fe8tx5bo2f
@user-fe8tx5bo2f 2 ай бұрын
Wasaliti walikuepo tangu enzi za yuda
@maudimwalwembe
@maudimwalwembe 2 ай бұрын
Jamani siasa ni maisha
@paulowilly7864
@paulowilly7864 2 ай бұрын
Ww ni malaya tu
@bilid4128
@bilid4128 2 ай бұрын
Ana maneno mengi hata sielewi
@etufaniakahemela5879
@etufaniakahemela5879 2 ай бұрын
Anajikanyaga hata maongezi yake njaa siyo kitu kizuri
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Mbona anafanana na wacharwanda?
@marybalya2371
@marybalya2371 2 ай бұрын
Jina maana
@aloycejames4862
@aloycejames4862 2 ай бұрын
Buree kabsa
@sondajohn1371
@sondajohn1371 2 ай бұрын
Duh hawa ndo wanadam hakna jipy chn yajua
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 2 ай бұрын
Maovu ya ccm unayafahamu.mnanunuliwa.kuahidiwa vyeo..ni hongo. Wanaye mwona ni best toka chadema ananunuliwa
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 6 күн бұрын
Cdm chama Cha kidikteta
@SAMSONKAGOSE
@SAMSONKAGOSE 20 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🧑‍🔬🧑‍🔬💓💓💓💓👀👀acheni kebee uzalendo ndo msingi WA taifaletu
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 2 ай бұрын
Umepoteaza dira
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Huyu ni hatari sana
@fredymapunda1768
@fredymapunda1768 2 ай бұрын
Hii kichwa ikiliwa ni sawa tu hamna kitu
@SAMSONKAGOSE
@SAMSONKAGOSE 20 күн бұрын
Upovizuri mahaliulipo ndosehemu sahihi wanao kubeza hawana tochi ya maono ya baadae Kwanza ulipotezanguvunyingi sana chadema Dada CCM chamakubwa karibu CCM wewe ni mama na nchiinaongozwa na mama mama ndoanae jua uchungu WA mwana waache wapige porojo wewe pambana nikijana na sisivijana tunakukubali
@ngalamawecheslous9976
@ngalamawecheslous9976 2 ай бұрын
Sema njaaa ya tumbo inakusumbua
@edsonmnego4030
@edsonmnego4030 Ай бұрын
Njaa mbaya sanaa
@MichaelJoashi
@MichaelJoashi 2 ай бұрын
Unatamaa
@SoloMwakaje
@SoloMwakaje 12 күн бұрын
Ulikuwa wapi kusema ukiwa huko ndoo mwisho wako
@salarose5980
@salarose5980 28 күн бұрын
Duh binadamu hatari sana
@burchardkasindo1676
@burchardkasindo1676 2 ай бұрын
Naamini huyu mtoto wakati anajiunga Chdema alikuwa anakfahamu kinachomplekahuko, Ila sasahivi hajui kwanini anatoka , nahuko aendapo haelewi kwanini anakwenda. anakwenda.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 2 ай бұрын
Pole sana Peneza umepotea sana.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 29 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 72 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 49 МЛН
How to adapt education and skilling for GenAI
25:03
The Indian Express
Рет қаралды 4,5 М.
WAPINZANI TUPENI MGOMBEA LEO, KESHO NI MBALI
17:09
SK Media Online TV
Рет қаралды 27 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН