No video

USALITI |Tino Muya|Asha boko|Hidaya Boli|BONGO MOVIE 2020

  Рет қаралды 207,519

Halisi tv

Halisi tv

Күн бұрын

USALITI #USALITI

Пікірлер: 176
@ruqayaisumaili33
@ruqayaisumaili33 3 жыл бұрын
Asante nimefungua kwajili ya asha boko to
@bikyeobewalo8730
@bikyeobewalo8730 3 жыл бұрын
Me too😂😂😂☝
@habibaa9503
@habibaa9503 3 жыл бұрын
Nimeangalia hii kwajili ya hidaya tyuu nakupenda kwa ajili ya allah
@allmassmohamedy1415
@allmassmohamedy1415 3 жыл бұрын
M pia kwa ajili ya hiday boli classmate mwenzangu nazipenda kwel muvi zake yaan alieigiza kam jack
@zuhurazuh516
@zuhurazuh516 3 жыл бұрын
Na mm Nampenda sana hidaya Boli Maashaallah Mzur balaa
@liliankhavakali3878
@liliankhavakali3878 3 жыл бұрын
Asha Boko uko vzr sana mama nakubali
@aamyaamy8504
@aamyaamy8504 3 жыл бұрын
Wangapi wamefikishwa ju ya asha boko apa...plz tujuane
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Yan kwenye saut mmefer vibaya mno daaaaa!!! Mizik tu juuuuuu😏😏😏😏😏
@hawasaid2566
@hawasaid2566 3 жыл бұрын
Nimeingia hapa Kwa ajili ya tino na penda sana anavyo igiza
@abduibrahim7363
@abduibrahim7363 3 жыл бұрын
Maansha Allah muvie mzuri pia nikiyaona mazingira ya nyumbni najiisi rahaa, nipo Omani
@mulhazinzibar6912
@mulhazinzibar6912 3 жыл бұрын
Wewe unajiskiyarahaaeehh
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 3 жыл бұрын
keif halik
@mayrosegarcia5747
@mayrosegarcia5747 3 жыл бұрын
@@daishajumanne5990 nzeni
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Hidaya wang asha boko 👌👌👌👌👌asant kwahote
@janethnestory1062
@janethnestory1062 3 жыл бұрын
Sonzur hata ipokawaida 2yu
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
@@janethnestory1062 ya kawaida tu ila nampenda tu uyu dada
@fraziamsonge4492
@fraziamsonge4492 3 жыл бұрын
Hiki ndo kitu nisicho kipenda kudet na mwanaume ninae mzid umri haswa ukiwa na watoto ni aib kabsa ahsanten movie nzur sana Ina mafunzo
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Kabisa aibu kweli na hasa watoto wa siku izi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asha bwana hiyo pasi moto AMA baridi😂😂😂😂😂😂😂😂
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Baridiii😂😂😂😂😂
@bredawakio5381
@bredawakio5381 2 жыл бұрын
Nampenda Sana hidaya boli❤️❤️❤️
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Shukran Sana Picha Tamuuu, Wa Mziki Arekebishe Plz, Hongereni.
@khaijajumanne1317
@khaijajumanne1317 3 жыл бұрын
Mashaallah nimeipend san
@alialhajry4458
@alialhajry4458 3 жыл бұрын
Movie nzuri nimeipenda lakini mziki uko juu sauti ya maongezi iko chini
@alialhajry4458
@alialhajry4458 3 жыл бұрын
Tunawaombeni mtoe mziki wakati wa kuongea
@Josepht-gs8mj
@Josepht-gs8mj 3 ай бұрын
Wow kazi nzuli Jr hapa from moro tz
@zulachama1067
@zulachama1067 3 жыл бұрын
Safi sana picha au filamu iko vizuri kwa kweli mlijipanga, mbele ya mastarring ninao waona hapo Asha boko,mtt mzuri hidaya boi na wote hao picha limekamilika ongera sana 👏👏👏👏🤜🤛💪
@zeinabukanzokahaso6221
@zeinabukanzokahaso6221 3 жыл бұрын
0
@lizzybeb6842
@lizzybeb6842 3 жыл бұрын
Dada nakupendea tu hayo macho 😍
@judithmasida8504
@judithmasida8504 3 жыл бұрын
Filamu nzuri tatizo nvombo vipo juu sana kulikoni sauti zenu,tafadhali jirekebisheni asanteni sana
@mwakaathumani4793
@mwakaathumani4793 3 жыл бұрын
Mama mlevi mpaka niaibu wallah alafu yuwapenda viben10 salala
@SaraSara-gi9he
@SaraSara-gi9he 3 жыл бұрын
Jamani mm nikiona uyu dada jitho siwezi mpita
@rashidahmed7504
@rashidahmed7504 3 жыл бұрын
haha kama umemskia asha boco mbona hujapija hata pasi like twende sawa hapa 😂😂😂eti kitanda chako kina kunguni 😂😂😄😄
@aishaimam1442
@aishaimam1442 3 жыл бұрын
Mie huyu Hidaya nampendaga kadada kazur sana
@rukiaali8481
@rukiaali8481 3 жыл бұрын
Hata mm hua nampenda kwel hyu dada jaman
@naimasaid7763
@naimasaid7763 3 жыл бұрын
@Husna Rajabu sana
@ugalimtamu2138
@ugalimtamu2138 3 жыл бұрын
Na mimi pia namipenda anamacho kama yangu mashallah
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
@Husna Rajabu kwel ukitaka kujuwa mwanamuke muzuri mutafute kabra hajajipodowa
@bindawood978
@bindawood978 3 жыл бұрын
@@ugalimtamu2138 kumbe?
@mma8988
@mma8988 3 жыл бұрын
Asha wapendeza mama hongera
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah😍😍💕
@sheilamdachi9346
@sheilamdachi9346 3 жыл бұрын
Oooh nice...waiting part 2
@Halisitv
@Halisitv 3 жыл бұрын
Thanks for watching
@waleedabdul55
@waleedabdul55 3 жыл бұрын
Mziki uko juu sana kuliko sauti ya watu
@cjafugekhasan7777
@cjafugekhasan7777 Жыл бұрын
Sauti wameweka ndogo
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Жыл бұрын
😅😅Nampenda Sana Asha boko 😂😂😂😂😂
@jennifersimpanga2748
@jennifersimpanga2748 3 жыл бұрын
ninzuli lakini mnazidisha matangazo Sana punguzeni
@mahmudmustafa8588
@mahmudmustafa8588 3 жыл бұрын
Watching From NAIROBI KENYA
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Eastleigh😎
@yusuphchakupewa7273
@yusuphchakupewa7273 3 жыл бұрын
Movie iko vizuri hongeleni washiliki wote lakini jitaidini kupunguza mziki ili maneno yasikike
@hawaa2227
@hawaa2227 3 жыл бұрын
Swadakta
@aisharmanyanja8877
@aisharmanyanja8877 2 жыл бұрын
Mh mbon kama ndug wanaenda kumpenda mwanamke 1 🙆🙆
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 жыл бұрын
Wasoma comments tujuane naona mambo mazur
@momososo7282
@momososo7282 3 жыл бұрын
Mimi Apa mmoja wapo
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 3 жыл бұрын
My sara penda sana n asha boko
@babyfatma5339
@babyfatma5339 3 жыл бұрын
Tunaomba patitu
@gracesiwale7066
@gracesiwale7066 3 жыл бұрын
Asha boko una nifurahisha sana una mfukuza mkweo na pasi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Huyu mama tena balaa lakuka na vibenten masikini kijana anamuonea mama huruma mwisho back ground yaumizaa kweli kumbe baba alikuwa wakulelewa mwisho watoto wanagawanywa Kama mafungu ya nyanya nahisi huyu jamani wakuhonga doctor afichiwe siri ndo ndugu mtu kamgonga sijui vitakuwa vip😱😱😱😱😱😱😱😱😱
@rehemabakali494
@rehemabakali494 3 жыл бұрын
👌👌👌 tulikuwa tunaingoja
@hawahawa6915
@hawahawa6915 3 жыл бұрын
Kazi nzuli
@aishaimam1442
@aishaimam1442 3 жыл бұрын
Mashallah nzur
@mandawarashid1497
@mandawarashid1497 3 жыл бұрын
Jaman Asha boko unanikosha
@antiemiy347
@antiemiy347 3 жыл бұрын
mziki punguzeni unatuumiza masikio
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 3 жыл бұрын
Kwa kweli wapunguze mziki
@najmanajma-4765
@najmanajma-4765 3 жыл бұрын
Hata nashindwa mziki wanii?ndio mana napenda muvi za madebe hazina makelele
@fatimaf5284
@fatimaf5284 Жыл бұрын
aaaa wanaume hee
@EzekieliCharles-en1mu
@EzekieliCharles-en1mu Жыл бұрын
jamaa umeigiza
@zuleamikidadi6312
@zuleamikidadi6312 3 жыл бұрын
Jamani hidaya nakupenda bureee
@allyvuai9762
@allyvuai9762 2 жыл бұрын
Maziki makubwa kuliko saut mnaboa
@mcteekaya.k.abigstorm5699
@mcteekaya.k.abigstorm5699 3 жыл бұрын
Movie yenyewe freshi kabisa..Lakini wapi part 2??Naomba sehem ya pili ya movie??Pia naomba,punguzeni sauti za nyimbo,wakati actors wanaongea..Kuna kwingine hakuskiki
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Yaan ndivyo Walivyo bongo muv waliobakia kila siku tatizo moja mzikiii I ssaut chin Wanaboa kishet yaan
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Yeah wamesikia malalamiko yetu
@stevemaker5858
@stevemaker5858 3 жыл бұрын
Kwel kabisa
@selinaronald929
@selinaronald929 3 жыл бұрын
Kweli yni sauti
@ashajabiri8008
@ashajabiri8008 3 жыл бұрын
Ni nzur ila nampenda hidaya
@zuhurazuh516
@zuhurazuh516 3 жыл бұрын
Saaana Maashaallah hidayaaaaaaaaaa
@swariotibi6134
@swariotibi6134 Жыл бұрын
Jamni nimecheka tu san hahhhhh
@zawadicharo9740
@zawadicharo9740 3 жыл бұрын
Nyc one, I love it
@isheali546
@isheali546 3 жыл бұрын
Jamani mweendelezo
@hawakiwambwa7601
@hawakiwambwa7601 3 жыл бұрын
Iko po a👌
@madamboss348
@madamboss348 3 жыл бұрын
Asha mamalao uko bie 💋💋💋💋💋
@yasintaswahasni4747
@yasintaswahasni4747 3 жыл бұрын
Pat 2 jomon
@farmamohamedy9264
@farmamohamedy9264 3 жыл бұрын
Jamani mbona hapo kwaa ashaboko vinanda viko juuuu mpaka usikii vizuri
@ayushjhay1979
@ayushjhay1979 3 жыл бұрын
Asha boko warererere wataka mkwe wa pesa maa!
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Ako sawa.mtt umlelee awe na ubikira wake kisha aje mtu hata kazi hana ni shda
@foodbae124
@foodbae124 3 жыл бұрын
Haha daa jmn Pesa izi nyie zinafanya tunadhalaulika ukweni 🖐
@moshimgaza5642
@moshimgaza5642 3 жыл бұрын
Mtoto unamfuatilia mama yko kama mkeo hovyoo
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Ndio maana anatembea na watoto wadogo sio heshima tena anawaleta kwanyumba sio poa
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Ako sawa kumrekebisha hata kama ni mamake
@shadia32shadia44
@shadia32shadia44 3 жыл бұрын
Makelele ya Mziki hatusikilizani
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 3 жыл бұрын
Kwendraaaa😂😂😂 katafute kazi utaniuwa na njaa🙌
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 2 ай бұрын
❤❤❤
@mgeniali941
@mgeniali941 3 жыл бұрын
Asha boko ss wapemba hatuna tabia iyo tuombe radhi
@ashahahahahatwendenikwetut3826
@ashahahahahatwendenikwetut3826 3 жыл бұрын
Hahahaha
@saidahmed9688
@saidahmed9688 5 ай бұрын
good movie
@gafosaid4833
@gafosaid4833 3 жыл бұрын
Haha 😂 Aisha boko wwe n kiboko kweli ....Yani wamfukuza mkweo na pasi 😂😂😂
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Pasi hata haina moto😅😅😅
@salmaabdillah9293
@salmaabdillah9293 3 жыл бұрын
Jaman sound ya music is too loud ina kera.kwani lazima muweke music kama hamuwezi ku balance.
@evelyneimana9372
@evelyneimana9372 3 жыл бұрын
Nampenda tino na asha ongera
@suleimankhamis3053
@suleimankhamis3053 3 жыл бұрын
No ongera say hongera
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 жыл бұрын
Nzuri hapo maali lacation poa sana
@halimanassoro1762
@halimanassoro1762 2 жыл бұрын
Jamani mabo ni moto
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 жыл бұрын
hivi hayo mamuziki nyuma ya movie ni lazima kuyaweka yanapoteza ubora wote aisee,,kelele tu
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 3 жыл бұрын
Muendelezo jamani imeisha patamu
@lameyajaff8881
@lameyajaff8881 3 жыл бұрын
Mcheza singeli 😂😂😂asha bok vituko
@chunaamina8719
@chunaamina8719 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣Ila Leo kajitahid
@kushmommy9599
@kushmommy9599 3 жыл бұрын
Qonqie💚
@ruqayaisumaili33
@ruqayaisumaili33 3 жыл бұрын
Asanten tunaomben mwendelezo
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Kutafutiwa mwanaume usiempenda hii pia mitihani watu wamekuwa warabu subutu najitafutia mwenyewe hata kama ni masikini kwaza mm wanaume wapesa siwataki watakunyanyasa
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Sio wote wengine wanamapenzy ya dhati
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 жыл бұрын
Punguzn sauth ya mzk achilien movi itmbe
@ivonnhebron2047
@ivonnhebron2047 3 жыл бұрын
Sehemu ya pili jamani.
@moshimgaza5642
@moshimgaza5642 3 жыл бұрын
Kumbe ndicho wanachokifanya wanaume
@twahiyaadam3131
@twahiyaadam3131 3 жыл бұрын
Nzuri San tatizo matango mnazidisha san punguzen band linakata kwa matangazo time
@bongelabwana1940
@bongelabwana1940 3 жыл бұрын
Uliye mgonga ni Peter nahisi utamhudumia then atakuja kutilia mimba mkeo
@hidayayussufu8683
@hidayayussufu8683 3 жыл бұрын
Tino umemgonga ndugu yako
@marywambui519
@marywambui519 3 жыл бұрын
Shida miziki na misauti iko juu kushinda sauti zenu punguzeni kelele background
@ashatimo4666
@ashatimo4666 3 жыл бұрын
❤kisura changu
@Thumabby8
@Thumabby8 3 жыл бұрын
😍😍
@safinamdingi2338
@safinamdingi2338 3 жыл бұрын
Mwendelezo
@fatmayussuf9980
@fatmayussuf9980 3 жыл бұрын
Part 2 plz
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Nice
@balkissbalbalkis7872
@balkissbalbalkis7872 3 жыл бұрын
part 2 plz
@lucyphilipo6157
@lucyphilipo6157 3 жыл бұрын
Move nzur jamn
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 жыл бұрын
Asha bko nd hidayaa
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Ckuhz uvaaj huu hiday dooh!!!
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 3 жыл бұрын
Ameenda kwenye group lisilokuwa na maadili katika mavazi tofauti na LIDAI
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
@@athumanitanuke6795 Ndio kuendelea. Bila kukaa uchi huwa hujaendelea
@gahimbarebella8652
@gahimbarebella8652 3 жыл бұрын
Jamani mbona part 2 mukasema kama leo itaja lakini siioni
@saidahmed9688
@saidahmed9688 5 ай бұрын
hidaya bolli
@lameyajaff8881
@lameyajaff8881 3 жыл бұрын
Maneno mengine hayaskiki mzik juu
@hajihamisi8739
@hajihamisi8739 3 жыл бұрын
Movie Iko poa ttzo sound ya music Iko juu kupitiliza jalibun kubalance ili muweze kuskika nyie
@kadijajggf9367
@kadijajggf9367 3 жыл бұрын
🙏🌹
@shadiaalsaadi3880
@shadiaalsaadi3880 3 жыл бұрын
Hakuna sauti
@MarryIrunde-fk1bw
@MarryIrunde-fk1bw Жыл бұрын
Wanaongea nini mbona hawasikiki
@zulachama1067
@zulachama1067 3 жыл бұрын
Natamani Nije nikuone mtt mzuri hidaya boli nina zawadi yako,nitafute.
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 3 жыл бұрын
Allah amemjaalia uzuri
@zulachama1067
@zulachama1067 3 жыл бұрын
@@majaliwamussa9268 kizuri kipewe sifa, hila sijui kwa sasa bado uzuri upo au mtindo chemist 🤣🤣🤣🏃‍♂️🏃‍♂️
@esthernasong2972
@esthernasong2972 3 жыл бұрын
Iyo makelele inanipasua misikio
@nica6662
@nica6662 3 жыл бұрын
sasa mziki yote yanini yakutumvunja mackio movie nzur ila kasor mziki😏
@sulesuburasubira6503
@sulesuburasubira6503 3 жыл бұрын
Mwndlezo
@saudaahmed6818
@saudaahmed6818 3 жыл бұрын
Film nzuri hizi kengele za nini jamani 😃
@hawasaid8262
@hawasaid8262 3 жыл бұрын
Nice mv
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 239 М.
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 21 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 42 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 35 МЛН
#JINI_MANOTI__[01] NEW 🌹LOVE ♥️🌹 STORY 🇹🇿
18:23
MIGA FANTY TV🇹🇿
Рет қаралды 7 М.
Kisa Cha Mpemba - Latest Bongo Swahili Movie | African Movie
1:43:55
SWAHILI HUB
Рет қаралды 167 М.
MKE BORA-RIYAMA ALLY/NICE MOHAMED
58:01
Halisi tv
Рет қаралды 48 М.
PAIN KILLER/hemed phd/Jenifer kyaka/mzee chilo/Jengua
31:15
Halisi tv
Рет қаралды 65 М.
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН