Mkate ulipanda kitambo mwaka wa elfu mbili lakini walipunguza uzito wa mkate kitoka grams 500 hadi grams 400. Hapo wananchi hawakugundua kwasababu bei ilibakia ile ile lakini mkate ulipunguzwa uzito. Safari hii naona watu watakoroga uji badala ya mkate.
@danielkisarenge973920 күн бұрын
Congratulations mr president when i grow up i what to be like you, ungeza kabisa
@jackievaupel20 күн бұрын
We go back to basics. Sweet potatoes, cassavas,Nduma,mchele or Ugali baridi. Its survival times.
@itsTheTruthTeller19 күн бұрын
No, how about we make a stand and fight instead of running away with cold ugali on our faces?
@jackievaupel19 күн бұрын
@itsTheTruthTeller in my opinion cold ugali and the traditional foods are way much healthier than the refined bread.
@itsTheTruthTeller19 күн бұрын
@@jackievaupel sawa, you can save yourself and run away with bits and pieces of cold ugali on your face while I and others like me fight to lower taxes so that you stop looking like a mad woman running around with bits and pieces of cold ugali on your face... Unaelewa kitu nasema?
@itsTheTruthTeller19 күн бұрын
@@jackievaupel shida si ugali ni tax... Si unajua hivyo?
@jackievaupel19 күн бұрын
@@itsTheTruthTeller exactly,we can reverse the tax rules by not buying the bread.
@robertndeto113020 күн бұрын
Kanyaga shingo kabisa bado mama mboga na mtu WA bodaboda anapumua😂
@amaniathman-744520 күн бұрын
Good job Mr president ongeza kabisa sisi ndio tulikupigia kura 😂😂😂
@FloraAlanaxi19 күн бұрын
Usuri mi sio fan wa 🍞😅😅
@mzurijora624719 күн бұрын
Na serikali ya America, inapendezewa sana na uongozi wa Ruto kwa wakenya 😂😂...
@princeogwelofficial468220 күн бұрын
Azimio hoyeee, Na bado!! 👉😂
@madammagdarlynmuthembi72920 күн бұрын
Ruto amekubali kua zakayo but now transformed Judas he wants more and more and has betrayed Kenyans by agreeing with mashoga and raising the cost of living contraly to what he promised. Mungu anaoma
@beirut975019 күн бұрын
Stop complaining who told you to vote for a husler imposter.mwiba wa kujidunga hauna pole
@miriamschildrencourt.485918 күн бұрын
President should tax white bread and Suger and all unhealthy foods, so that we can retreat to our traditional foods.
Ruto angeongeza UNGA ngano bei raia hangejua,hapo hakucheza smart😂
@user-rf7wx7og6t20 күн бұрын
Kazi zuri ruto
@jeccym871520 күн бұрын
Watu wakule chai na cassava ama na ugali,wacheni mikate
@itsTheTruthTeller19 күн бұрын
Wee fanya hivyo wacha sisi tupigane juu ya hii mkate sababu vile wee ni fala hauoni next itakuwa hio cassava na whatever else inaweza ongezwa tax. Wacha kulala
@gikundiarenge959620 күн бұрын
Ongeza kabisa Zakayo..it is not your fault but people's.
@erickithuka699720 күн бұрын
Wenyevwalichagua 2 cartels next time vote wisely
@susannyambura375920 күн бұрын
Ongeza vile unataka tuko tayari tumezoea maisha no maya😂😂😂😂😂😂
@user-ee8dr9iw4t19 күн бұрын
Ukumbuki, bangi pombe sigara miraa mogoka drags, aibu kwa kiongosi wa kenya pandisa vileo' si chakula😅😅😅😅😅
@user-cg3vf2bl6b19 күн бұрын
Asiyemjua huyu jaama utathani amekuja jana ,lakini ni yule alikuwa akisema mambo ya kuongezea ushuru ni kugandamiza wanainchi sasa ,yeye ndio kuongea zaidi ya Uhuru Kenyatta
@chainbre27520 күн бұрын
Waaaaaa hadi kwa mkate lol ruto Yuko kazini
@ndukumwendwa-jq7fq19 күн бұрын
Mkate ama UNGA ya ngano coz naeza kula chapu through out.
@robertkimani242020 күн бұрын
Zakayo anazidi kupanda miti
@user-rf7wx7og6t20 күн бұрын
Waaah,😏👐
@cloudinhoabdi86820 күн бұрын
Why must the Government add tax on a bread surely? Does it have nothing else to increase tax on? This reminds me of my childhood life when we used to take tea with our left over Ugali.
@itsTheTruthTeller19 күн бұрын
Go back to your childhood basi
@jaymwinyi695720 күн бұрын
Daaah hii Kenya balaa😂yani anapunguza ushuru wa pombe na kupandisha mkate
@shhjab362120 күн бұрын
😂😂😂😅😅
@user-rc6rk4tm2i20 күн бұрын
😂😂😂ruto wewe ni zakayo wa ukweli weeeh
@user-lm6wx5fp4s20 күн бұрын
Huyu ni farao si zakayo. Zakayo alitii yesu akashuka kwa mti ata zile ushuru alirudishia wenyewe