USO KWA USO MR. TABULELE NA HAJI MANARA APEWA AAHIDI YA KUFANYA COLLABO NA DIAMOND PLATINUMZ
Пікірлер: 188
@user-ly7td4qy4n8 ай бұрын
Haji manara big up Sana very very classic and fantastic man
@shuwehaharuna63098 ай бұрын
Kijana mdogo safi sana ,,,,akiimba na dai itakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@atukasapi24758 ай бұрын
Kondee ndo mwanayangaa mwenyew na star wetuu utukomee manara
@naliakafatuma98708 ай бұрын
Kila la kheri kazi njema barikiwa Sana Yanga
@JulianaMushi-nq3kc8 ай бұрын
Asante yanga kwa kumchagua konde kupiga colab na tabulele kimeumiza watu mbaya
@benancejohn11988 ай бұрын
Huyu Manara asingekuwa kwenye nafasi aliyopo angekuwa tapeli mzuri tu kwa maneno yake hayo 😂😂😂🙌
@FreeGod3688 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@africantv1728 ай бұрын
Ha ha ha h ha haaa, acha nicheke tu
@abdulazizmmbaga25708 ай бұрын
😂😂😂
@othumanlorenzo2607 ай бұрын
Pasi na shaka
@taharamohd48538 ай бұрын
Mannara anakitu wivu sana
@davidmwasa8 ай бұрын
Manara namkubar sana big up broo kazinzuri
@mselawataifa8 ай бұрын
Kumbe ndo chicharito kwenye zile goli ndo ilikuwa birthday yake😂😂😂
@NellyWaKidato8 ай бұрын
Manara inaonekana ana Jilasi Sana Na Konde & Kiba Na Ameumia Sana Dogo Kufanya Collabo Na Hamo
@onesmongulo37708 ай бұрын
Ushachelewa ngoma na harmonize ishatoka Mzee acha kuteseka
@erickmuli10308 ай бұрын
Oi,kwan uyo mwamba na Harmo nan mkubwa kimzik? Sion haja ya kuomba damu kwa mgonjwa,huo cyo upepo kwa mond! D.platnumz ft 6x9! Tabulelee fg Giggy money.
@epafraditopajenga46508 ай бұрын
Harmonize tosha Mzee Acha Kiazi Diamond
@josephgamba83898 ай бұрын
Very fantastic exclusive interview big up
@dianarosekaugira56088 ай бұрын
harmonizeeeeeeee oyeeeeeeee
@user-jj1wz6lk4i8 ай бұрын
Oyeeeee Tembo
@OmmyConscious8 ай бұрын
manara nae ni star ukifika dar bila kukutana na manara hujafika dar 😄🙌 ana mbwembwe sana huyu
@lucmpangaje87278 ай бұрын
Much love kaka Manara 😍😍😍❤️❤️❤️
@user-zi2bf1nv5d8 ай бұрын
Konde kamaliza diamond hana maajabu
@djarudkellz8 ай бұрын
Thanks asante sana Khadj Manara kuapokea eshima zako sheikh love from Gisenyi_Rwanda ❤Kabulele
@saidmbarouk35538 ай бұрын
🤣😂😅 SASA MBONA MANARA UNAMLAZIMISHA AENDE KWA MONDI WAKATI YEYE ANAMKUBALI MMAKONDE 🤣😂
@hijamaulidi73828 ай бұрын
Suala la mafanikio yaan you never know. Kama miso misondo hakutarajia pia atakuw dj kuja dar
@abdulmohd68808 ай бұрын
Haji Managha😂 Bugati unafeli ivo iyo collabo haitawezekana coz keshamzoga Konde uyo😅
@giztony20098 ай бұрын
Hata mm namshangaa utafikili amevuta bangi jana tuu huyo jamaa wamefanya na konde boy leo mondi ale matapisha huyu mzee anajikuta msemaji wa kila mtu
@leonardchisutia85288 ай бұрын
Shauriyenu na diamond wenu,,, sisi ni kondeboy 🐘🔥🔥❤
@user-nc5bf3ez8q8 ай бұрын
Uto mtafungwa 4-5
@AfricaYangu8 ай бұрын
He is having the best time of his life
@anjelinakasembe8458 ай бұрын
Najua kaona kafanya na hamonize kaumia😜😜😜😜😜
@user-pg3zf7us1e8 ай бұрын
Kaona kafanya na hamonazi inawauma sana 😂😂
@abubakarmpole40008 ай бұрын
Haji una wivu kwa kuwa ametoa kazi na Konde boy 😂😂😂
@zombokoyassin-li8sd8 ай бұрын
Wivu gani wakati nyimbo co ya hamo?
@D.Olivier8 ай бұрын
Uyu translator ananiuwa na cheko sana...sema jamaa anajua kifaransa, Big up kwanza...''la signification de TABULELE'' jamaa anavyo uliza utasikia SIGNIFANSE DE TABULELE 😂
@moussasoubath35477 ай бұрын
hajui kifansa nivile mweye hamjuii😂😂
@D.Olivier7 ай бұрын
@@moussasoubath3547 tu penses que je ne connais pas le français ??
@Ndalolusulo-yt2ol8 ай бұрын
Haji kutokana na tabia zako yanga hatukuhitaji tena ktk nafasi yoyote utabaki kuwa mpambe tu Diamond ni simba sio yanga unalazimisha nini yanga ni Harmonie s
@mariamshabani71078 ай бұрын
Hamonahizi tembea kifua mbele wanakuinga wenye wivu wanahangaika mpaka manala tena mungu akupinganie mpaka dunia ikujuwe
@user-gp7tr7it8u8 ай бұрын
Wuvu unawasumbua mpk wanahangaika sana hamo atawasumbua
@user-jj1wz6lk4i8 ай бұрын
Kbsa TEMBO NI TEMBO TU
@julianamwalongo60478 ай бұрын
Huyu naeee, alikuwa wapi wenzio wameanzia Airport wewe unamalizia nakimbuka.
@RodrigueHabarugira-zj7uq8 ай бұрын
Uyu mzee hamupendo Harmonize musenge uyo
@hadijamohammedy52328 ай бұрын
Huwiiii manaraaa umeniacha hoiiii 🖐️🖐️ laaaaaaah
@user-ix3tl2xj7t8 ай бұрын
Poleni sana wsf jishii ndowetu
@msteveg21818 ай бұрын
Uko msenge manala
@jivankulikwa248 ай бұрын
Kwahyo haji kumbe ww ni chawa wa Diamond😂😂😅
@sonnyr18998 ай бұрын
Sio chawa ni connection
@atukasapi24758 ай бұрын
Kumbee hilii babaa shenzii jamn
@simonIbrahim-hc8vm8 ай бұрын
Safiii sanaaa😂😂🎉🎉🎉🎉
@peterlove4g8698 ай бұрын
Acha bangi we pimbi ngoma just ishatoka 😅😅😅
@maestrokiss72458 ай бұрын
Raha sana😅😅😅😅
@user-bp7lu7mx2i8 ай бұрын
I love you tabulele
@MSIMBATIBoy-zd2rm8 ай бұрын
MANARA UNAWIVU KIASI HIKI KHAAA😮😮 WW NI HONYO KABISA
@emmanuelibrahim45568 ай бұрын
Huyu jamaa tayari kaondokanna upepo,, yaani mafanikio hayawezi kuja ukiwa umelala katika upambanaji wako ndo mlenmle yatakukuta. Tabu Lele laaa🎉😂
@LydiaStephano8 ай бұрын
Kwakweli yaani mungu ndo huwa anapanga mafanikio yetu
@emmanuelibrahim45568 ай бұрын
💯 pasent
@sonnyr18998 ай бұрын
Tabulele Ft dj Miso Misondo & Diamond Platnumz ni moto
@sulleymanjimmy22148 ай бұрын
PAbLo 💪💪💪💪🙌🙌🙌
@user-wt9nd8bh2h8 ай бұрын
Mbona keshafika Kwa Harmo Haji hajaridhika😂😂
@juliusmujungu90438 ай бұрын
Uchawa ni kazi ngumu sana.
@alistachiusleo25068 ай бұрын
Tumekumis Manara nchi imepoa bwana,kawe hata msemaji wa Azam fc
@tasilokamenya48968 ай бұрын
Daah leo walau nimemjua aliyetuletea Molinga na Kindoki😂😂
@kasimukigoda89748 ай бұрын
Huyu jamaa kaona wivu kuona tabulate kufanya callable na Harmonize
@Mohaa43098 ай бұрын
Wivu wa nn nae ebu ondoka hapa mmh
@jumamkuchutito11218 ай бұрын
Harmonize si alichukua kile kidem chake basi yeye kakasirika mbona dulla kavaa mpaka leo
@user-gp7tr7it8u8 ай бұрын
Aca ahangaike😂😂😂
@user-or3lj6do9m8 ай бұрын
Acha kuchochea moto acha uzime
@ayubukedimundi32218 ай бұрын
Sawa kijana usimpe pressure Sana.... Amekuja kutafuta ridhiki kwajili ya kwao tumuache Aya maugomvi yetu ya sisi ALIKIBA sijui Daimond sijui harmonize tubaki nayo sisi wenyewe...... Tumuche kijana apate pesa nao nyumbani kwoa wakafurai Mungu azidi kumbariki
@ismailchibonda50058 ай бұрын
Hili kweli chizi
@cosmasielias9568 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@simonIbrahim-hc8vm8 ай бұрын
Hakika sanaa bugatiiii😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@msafiringumule94198 ай бұрын
Yaan tabulele analazimishwa kufanya colabo na walio katwa mikia wakati sisi wana yanga na hamornizer wetu tunao ifia yanga tulisha maliza colabonyetu
@user-jj1wz6lk4i8 ай бұрын
TEMBO NI TEMBO TU
@p2rrecords5218 ай бұрын
Mr tabulela 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Sngpark8 ай бұрын
Kumbe ndiyo roho yako ilivyo duu😢
@tariqshabani32138 ай бұрын
Iv kweli Ghaleeb awe mkubwa zaid ya Moyez Katumbi mnaakil kwel nyie😮
@sonnyr18998 ай бұрын
Mkalimani wa mchongo kabisa.😢😢 Tafuteni mkalimani mzuri wa kilingala ao kifaransa
@aminmohammed42498 ай бұрын
Sema kajitahidi siyo mbaya
@user-ir3lf1wl6n8 ай бұрын
Na wewe ni wamchongo msiwe na wivu za kijinga
@sonnyr18998 ай бұрын
@@user-ir3lf1wl6n Hahaha siwezi kuwa na wivu Kaka nikutoa maoni tu 🤣 Manara ni brand kubwa. Kufanya kitu kipendeze zaidi kwako unatafsiri ni wivu basi hatare.
@iddyngaiwa8 ай бұрын
Chopa ndio kaenda kumpokea airport
@marthagabriel34178 ай бұрын
Watu wa kule wananidhamu sana
@kilulumasunga86578 ай бұрын
Haji star 🌟 sana
@erickndunguru18248 ай бұрын
Harmonize kashawapiga baoo apoo mnafata nyayo tu
@user-nj9hm6xd5u8 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤲🤲🤲
@RevocatuskafefaKafefa-malulu8 ай бұрын
Haji manala si alishafungiwa kujihusisha na shughuli za kisoka inakuwaje Tena au amesha samehewa., hafu Kama hamjui anawatukana tu bila kujia wasenge kweli baadhi ya watanzania
@philemornmutta15978 ай бұрын
Haji Manara tabuileile kwenye ndoa
@davidmacha92158 ай бұрын
Nyimbo kali ila dah hapo angefanya na young killer ingetoka sana,
@BenjaminMutiso-eh5zp8 ай бұрын
Mshezi mkubwa uyu sasa katoa dunde kali na msela harmooo bna kaleta ufala uku
@michaelraphael28668 ай бұрын
Yani hii mnaona kabisa mna fosi
@JulianaMushi-nq3kc8 ай бұрын
Yaani huyu mzee unashida san cc tunampenda konde na dogo anampenda haromonize acha wivu na wew daimond mpelekee mkeo
@tomsijohni8 ай бұрын
Utimu unakusumbua wewe mutu muzima hovyo sana wewe umeona kaenda kwa harmonize umeona wivu
@ISMAIL_THE_BARBER8 ай бұрын
Achana na kila kitu
@iddybakar19468 ай бұрын
😃😂😂😂😂 nimecheka sana kama ujakutana na hajimanara au diamond aujaja dar es salam utakua umeenda mvuti
@HassanKatumbi-hr5lg8 ай бұрын
Sio kitonga kaka
@user-gp7tr7it8u8 ай бұрын
Manara aca ushawa hukufai kasikie kitu kiloco tolewa na teacher a.k.a jeshiii kiboko yenu kasikia utamu kwenye youtub ya hamo😂😂💥💥
@onetooneto51318 ай бұрын
Diamond hawez kufanya show na huyo dogo ata siku1
@jeremiapeter6838 ай бұрын
Misso Missondo ume pigajee hapo pacome wa Yanga??😂😂
@user-wk2bg8zf3l8 ай бұрын
uyo ni mtu wa lubumbashi
@andrewzimba6928 ай бұрын
Nani kauliza
@dasadremandad92088 ай бұрын
Manara kibri😢😢😢
@Johnsonchristopher-uc5er8 ай бұрын
Kanata anasifa mhh,collabo aifosiwi inakuja outmaticaly msanii akisikia huo wimbo SASA unalazimisha
@villaofficiel43118 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥
@siasazaafrikanaburudani17128 ай бұрын
Sasa huyu ni msanii ao mchezaji ?
@user-nf3dc9fb6v8 ай бұрын
Laaaaa
@JohnValle-xn1dx8 ай бұрын
Manara tumia akiri unapoongea diamond ni simba wewe unalazimisha awe yanga , kuwa kaka
@tembasimba94628 ай бұрын
Mbona kama anasema chabulele😅
@user-uh1uu3hb9n8 ай бұрын
Mwamba nimemkubari Sana
@mpencel79808 ай бұрын
DUH, MANARA HAPA KAONESHA ROHO YAKE LIVE, KONDE BOY NDIYE YANGA DAMU, LAAA, MANARA ACHA YANGA TUPATE UTAMU LAAA, USICHANGANYE MAHINDI MACHUNGWA NA VIAZI VITAMU LAAA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Nimecheka sana hii interview..
@mpencel79808 ай бұрын
NIMECHEKA SANA HII INTERVIEW..
@hanifudi8 ай бұрын
Hiki kipande ni Bora kuliko Ile nyimbo
@user-lm3pf6ty4k8 ай бұрын
Manara acha wakat uongee auvitu vijiziilishe vyenyew Acha kufc wakt kil kit kiko wz mapenz some times unakuw km kipof 😂😂😂😂😂cndy tabuleeeeeeeee raaaaaaaaaaa wt watesk jamn mmmh, imeendaaaahiyoooooooooooo
@redcardonlinetv72578 ай бұрын
ujinga plus upumbafuRais aliyeteuliwa na sio kuchaguliwa baada ya wanaume kupuuza,sasa gombe limekula nailoni.mwanaume kutwa mitandaoni kusifia wanaume wenzake kaazi kwelikweli.....Unguja kuroga
@iddyngaiwa8 ай бұрын
Konde ndio kamleta acha uongo
@shinjebenard49918 ай бұрын
Laaaaa😂
@MichaelSiuhi-xl2qq8 ай бұрын
Simba Nguvu moja
@JulianaMushi-nq3kc8 ай бұрын
Colab na konde tiari na konde ndo msanii mkubw kwa sas huyo wa kwako daimond kashapepea
@saidmtutuma15078 ай бұрын
Manara hapo umezingua
@husseinmtima61068 ай бұрын
Pumba tupuuuu unachanganya mafaili
@jumaamtenganya-86808 ай бұрын
Mondi apige kolaba na mwamb kama atawez kond ndio kila kitu wengine mpak wajitafute sana lakin mwamba mmoja tuu konde
@salimsuleiman69698 ай бұрын
NENDA ZAKO UKO ROHO MBAYA TU
@Ben_infotv8 ай бұрын
mbona unacuki sana wewe konde boy for every body @ Kigali
@user-kh8cc6on7d8 ай бұрын
Wa tanzania ni zaidi ya wautu na utusi wana chuki chafu sana daaah
@jumamkuchutito11218 ай бұрын
Manara mi mmoja mwanayanga ila hiko unacholeta sijapenda tembo mkubwa kuliko diamond
@robertcosmas75758 ай бұрын
Kuwa na adabu na diamond hawezi kutushiwa na kinyago alicho kichonga mwenyewe
@user-wk2bg8zf3l8 ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 mashabiki bora barani Africa is, sema nduguzetu bado mnaushamba flani ivi
@Grace-lh5rr8 ай бұрын
Kwendraaa na Bado hujasema
@matiankomola23918 ай бұрын
Acha Roho ya Wivu.
@mwanangusana8 ай бұрын
Lakin una enjoy na Moyo wako unafuraha Sana .... Kuona issue za yanga