Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 1/5

  Рет қаралды 255,657

Abd Binm

Abd Binm

11 жыл бұрын

Пікірлер: 99
@momatv2019
@momatv2019 3 жыл бұрын
Ulisema kweli Sheikh Ilunga Allah akurehemu, akusamehe makosa yako na kwa huruma zake akuingize JANAT FIRDAUSI.
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 7 ай бұрын
Allahuma Ammin
@maajaliwacassim1977
@maajaliwacassim1977 7 жыл бұрын
tumeelewa zanzibar ni koloni mungu akubariki kwa kutufungua masikio
@kanalngolwe42
@kanalngolwe42 10 жыл бұрын
Upo juu ustadh ilunga mungu akuzidishie ...
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Mungu atakulipa kwa wema wako n kuwatete zanzibar ukweli haufichiki ata wauwe wote mungu yupo tangu 1963 wameaza kuuwa wanaosema ukweli
@user-il8lq4qi2l
@user-il8lq4qi2l Жыл бұрын
Kwel sheikh ulivyosm mungu akupe kauli thabit Amin 🤲
@tatukinyogoli9001
@tatukinyogoli9001 6 жыл бұрын
Allah mrehemu khalifa wetu
@shembaker5405
@shembaker5405 5 жыл бұрын
wamemuuwa huyu Allaah Atamlipia
@ahmadubeida8735
@ahmadubeida8735 3 жыл бұрын
Allah awaridhie mashkh kama hawa...
@alinuhu4733
@alinuhu4733 7 жыл бұрын
Allah akubariki inshaallah na akupe kila La kheri inshaallah
@abuumudrik7285
@abuumudrik7285 7 жыл бұрын
Allah ambaari
@amurisabiti7037
@amurisabiti7037 2 жыл бұрын
Sisi wa zenji tunaonewa sana nawa bongo hatu taki muungano
@furthernelly665
@furthernelly665 6 жыл бұрын
dahhh mungu akulaze mahala pema mzeee
@shabanismail7762
@shabanismail7762 2 жыл бұрын
Wallah hii ilikua ni nuru ya waislam
@RidhwanAmar
@RidhwanAmar 11 жыл бұрын
Swadakta Ustadh Ilunga Allah akuzidishie upeo wa elimu yako
@supumoto6819
@supumoto6819 6 жыл бұрын
YA ALLAH WAREHEMU, MASHEKHE WETU
@tomwalatu6785
@tomwalatu6785 9 жыл бұрын
Wanaomponda ilunga ni wapumbavu na chuki Zhao dhidi ya Islam mtasugua Dana vichwa
@saidahmed9688
@saidahmed9688 6 жыл бұрын
sichoki kumsikiliza sheikh ilunga isha allah apate pepo ya daraja ya kwanza
@IsmailhemediHaji-cm8tw
@IsmailhemediHaji-cm8tw 10 ай бұрын
Allah akujalie kila la kheri popote ilopo
@fatumamuhamad8570
@fatumamuhamad8570 6 жыл бұрын
Ally muhammed sheni sio raisi ni mkuu wa mkoa sasa wa zanzi bar amuamkituu rudini katika uislam kataeno demokrasia na kufru zake zoota allah awasimamieni inshallah
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 6 ай бұрын
Rabii warehemu wazee wetu uwasamehe makosa yao
@SimionbarnabaNyamhanga
@SimionbarnabaNyamhanga 2 ай бұрын
Waislaam tumetekwa na tumekubali kirahasikwel tutaipata pepokwa stail his!!!!
@kfastak
@kfastak 11 жыл бұрын
IMEELEWEKA USTADH:ILUNGA WEWE NI KIONGOZ
@wardalward3693
@wardalward3693 7 жыл бұрын
Allahu Akbar
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 Жыл бұрын
Napaje muendelezo wake?
@daskat1161
@daskat1161 11 жыл бұрын
Kwa watanzania wasio na akiri hawata kuelewa,
@ramadhanbadoo5857
@ramadhanbadoo5857 5 жыл бұрын
kila mja atalipwa kwa aliyoyatenda.allahuma ghfirlii warhamahu waskana fil jamaa.
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
Ni kweli kabisa wengi hawajamuelewa
@islander3191
@islander3191 10 жыл бұрын
sheikh ilunga M.Mungu akuzidishie elimu lakini ujuwe tu sio watu wote wataowafikiana na wewe kama wajinga wengine wanaojiita wazanzibari wanaosema bin sumeit na abdullah saleh farsi na wengineo uliotaja ni wameleta utumwa, hao wanojiita wazanzibari kama huyo mshamba hapo chini, ni kibaraka tu wa hao viongozi wa sasa wanokula riba na kuvimbisha matumbo yao mpaka kaburini, sheikh ilunga jazaka allahu kheir. na huyo mjinga hajaelewa kama wewe unaisikitikia zanzibar na unaipenda nchi ya ndugu zako kuliko huyo mshamba anojifanya mzanzibari na hajui chochote kuhusu zanzibar.
@fathimbarak644
@fathimbarak644 6 жыл бұрын
wasema kweli shekhe
@thedon8467
@thedon8467 Жыл бұрын
WATANGANYIKA HAWATAKI KUVUNJA MUUNGANO KWASABUBU UCHUMI WA TANGANYIKA ASILIMIA 60 UNA TOKANA NA ZANZIBAR
@bakarkhamis6051
@bakarkhamis6051 7 жыл бұрын
Jimmi ndugu yangu kumbe huji kitu kwa nini usikae kimya tu Sheikh Ilunga anelewa kila kitu ila wewe Ukiongelea dola ya Uturuki ilianzishwa na Othman bin Affan swahaba wa Mtume na ndo mana ikaitwa Otoman Empaya kasome bwanamdogo au kaa kimya
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 3 жыл бұрын
Hati ya muungano iko wapi?
@daskat1161
@daskat1161 11 жыл бұрын
Tell them true
@hassanussi1747
@hassanussi1747 8 жыл бұрын
Wandugu hakuna haja ya kuitana wapumbavu na kutukanana, huko ni kutenda dhambi, kila mmoja wetu awe na yakini ya kufufuliwa pekee na kuhukumiwa kwa aloyatenda. Ilunga ataulizwa pekee na Nyerere ataulizwa peke yake. MATUSI TUACHE.
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 Жыл бұрын
Mim sioni haja ya muungano kama sukari hairuhusiwi kuvuka kwenda bara kuna haja gani ya muungano.
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Mmh kasheshe kubwa duuh
@hamisihussein9851
@hamisihussein9851 8 жыл бұрын
kazi ipo dub
@salehkombo8205
@salehkombo8205 Жыл бұрын
Nimeiangalia clips ila wanao mpinga sheikh ilunga asilimia wote wanatoka bara hapa inaleta picha flani juu ya anacho kizungumza
@emmanuelmnyonga8032
@emmanuelmnyonga8032 Жыл бұрын
Wewe ni mchonganishi Kama cmgombanishi hufai hata kidogo
@abubakariali9690
@abubakariali9690 6 жыл бұрын
Zakaria mwanjie
@abubakariali9690
@abubakariali9690 6 жыл бұрын
Maashaa allah
@gininfo1242
@gininfo1242 9 жыл бұрын
Mashallah na ALLAH akuzidishie nyie ndio haswaa mashekh wa jihad tunaowataka hivi wewe isa hassan muislamu gani ambae unataka pepo wakati huielewi jihad wewe hujui Mtume (s.a.w) kama kapigana vipi jihad mpaka tumefikia hapa na istoshe pepo ipo ncha ya upanga pumbavu angalia kwanza ktk kupost ujinga wako ww mzanzibari gani huijui hata history ww hujui km huyo muarabu wenyewe kama alikua katawaliwa na muingereza labda huyo sayyid bin seyyid bin sultan alnyajuba ww washekh wetu wanatetea ww eti oooh wazanzibari pumbavu ww issa
@mohdnasser894
@mohdnasser894 Жыл бұрын
Kweli wa Zanzibar hawajitabui vp mmeregeya hivyo nyiye ni wingi wa maneno. Sasa shikeni silaha mbona silaha zinapatikana tena kwa wingi tu ila nyie mmeregeya kwa urojo
@edwardmahewa9994
@edwardmahewa9994 7 жыл бұрын
ilunga origin yako tabora nakushanga unavyo itaka zanzibar rud nyumbani brother
@saidkiand3200
@saidkiand3200 6 жыл бұрын
Duu kumbe
@othmanmuna3115
@othmanmuna3115 4 жыл бұрын
Unaugua wapi Tanzania ni yetu na mawaidha ni popote na sheria inamruhusu
@isahasan1356
@isahasan1356 10 жыл бұрын
Ustadhi huyu anazungumzia sisi wazanzibaa nataka atuambie ninani aliyeleta utumwa Zanziber Nakuifanya soko kubwa la watumwa.Huyu ustadhi ni mmoja wahao walioleta Utumwa Hapa nchini. Wewe na mimi tukafungwa na kuuzwa kama wanyama. Hii ndio Abedi Amani Karume Aliwapinduwa na kuwafukuza hapa kwetu..Huyu Ilunga Anatakakuwarudisha watu ambao wametunyanyasa na kutuuza kwa wazungu. Anadai baadhi ya Mashehe wame kimbia na kufia Nchi za kigeni hao Ni wale waliokuwa Na fikira kama za Ilunga.......
@ajackdeng5947
@ajackdeng5947 5 жыл бұрын
huma maana isa hasan yani bado akili yako imeganda waelezwa ya kwelii waongea upuuzi tu wewe ni kafiri wacha nikukufurishe kwa maneno yako ya kikafiri nyie ni wale waislam hawataki uislam utawale wanataka waendelee kuytawaliwa na makafiri laaniwa sana kwa kauli zako chafu na nakushauri soma QURAN usiongee kwa vile umepewa mdomo wajisemea tu
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 жыл бұрын
lazima una husiana na rajabu diwani
@aminaally3116
@aminaally3116 4 жыл бұрын
Uyu sio issa uyu ni john sidhani kama uyu in muisla nahisi ni kafiri yaani muislam anakueleza kitu ambacho ni muhimu kwetu sisi waislam na wazanzibari ili tujue nchi yetu inavyo endeshwa kikafiri yeye anamtukana
@Mawerelini
@Mawerelini 11 жыл бұрын
Story ya CUBA-USA-RUSSIA umeikosea kidogo Ustadh !
@bakarkhamis6051
@bakarkhamis6051 7 жыл бұрын
Wewe juma ali sio muislamu wewe ni murtad
@parsonangaanga968
@parsonangaanga968 8 жыл бұрын
kuna hoja hapa c WA kuuzwa huyu
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 5 жыл бұрын
Unaliwa mkundu wewe ustadhi
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 жыл бұрын
pole mkristo mjinga mpaka mapovu yamekutoka
@aminaally3116
@aminaally3116 4 жыл бұрын
Baba yako na mama yako wrote wanaliwa mkundu na wewe pia unaliwa fala mkubwa wewe
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Si unamuona alivyo? amekaa kishoga kabisa
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 2 жыл бұрын
Da watanzania tusifike huko jamani
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 2 жыл бұрын
@@teddyoscar6876 una uhakika baba yako ana malinda
@jumaaliy7852
@jumaaliy7852 10 жыл бұрын
Huyu Ilunga sawasawa yake akamatwe na ashitakiwe kama wale Majasusi wenzake huko Zanziber Maana yeye ndie ana waambia Waislamu waanzishe vurugu nchini Tanzania,Ikiwa yeye mutamuacha aendeleee na ujinga anao utangaza kwa sisi waisilamu Tanzania Itakuwa kama Somalia.....Vita visivyo kwisha na watu kupoteza maisha yao na mali zao hatutaki sharia law. Hapa Tanzania.....
@komamako863
@komamako863 8 жыл бұрын
juma ally ww nimkatoliki ww juma mshenzi
@rsmadhanisala4466
@rsmadhanisala4466 7 жыл бұрын
mjinga we
@kassimmurji2872
@kassimmurji2872 2 жыл бұрын
Kweli tunawaislamu wapumbavu tuwasamehe
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 жыл бұрын
JUMA ALI MNAFIQ WEW ALLAH AKUADHIBU WEW
@isahasan1356
@isahasan1356 10 жыл бұрын
Wewe Ilunga sisi tunajuwa wazi kwamba unajihusisha na Al-Kaida + Al-Shabab, Wacha Kutuzuzua,..........
@aminaally3116
@aminaally3116 4 жыл бұрын
We we unajishughulisha na makafiri
@venslausblaise507
@venslausblaise507 2 жыл бұрын
Mzee acha uongo wewe!
@mtamumie
@mtamumie 10 жыл бұрын
Kwa kifupi haukuwa MUUNGANO! Tulikuwa tunachua kipeace chetu cha nchi pamoja na ndugu zetu! Tena tulisahau tu kubakisha jina lao "Zanzibar" Ile ni PEMBA na BUNGUJA ya waAFRICA!
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Umeongea kweli zanzibar ni kipisi chetu kile Tanganyika, hawa watumwa waliletwa tu pale kisiwani sasa ishakua ni nchi yao😅😅😅 wakati wao wenyewe walichukuliwa huku huku bara na wengine Msumbiji, huyu sheikh mpotoshaji kabisa,
@isahasan1356
@isahasan1356 10 жыл бұрын
Huyu Ilunga ni muongo Zanziberi Haikutawaliwa na Waingereza, Iltawaliwa na Waarabu kutoka Yemen ]SAYD SAYD] ....................................
@yahasalel-sheibany5403
@yahasalel-sheibany5403 5 жыл бұрын
Baba historia inakupiga Chenga bas si bora ungesema waarab kutk Oman huna hat hoja
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 жыл бұрын
isa hassan , tatizo waislamu uchwara kama wewe hata shule imekupiga chenga , sijui umehitimu chuo cha nyerere kivukoni ?
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
@@yahasalel-sheibany5403 😅😅😅watu wanapenda Oman tu, ila ni kweli wa Yemen ndio waliokuja zanzibar huyo mu Oman alikuja baadae kununua watumwa.
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 3 жыл бұрын
Aiseee wewe jamaa kweli Historia inakusumbua sana. Kwa hiyo , miaka yote ulikuwa haujui kuwa Zanzibar ilitawaliwa na Muingereza . 😂😂😂😂😂
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 жыл бұрын
Muongo wa karne wewe.
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 2 жыл бұрын
Mwambie babako alete ya ukweli
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 жыл бұрын
We huna akili !! Sio kila mzee ana busara,, Wajinga pia huzeeka...
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Toa historia unayoijua na ww. Kuma we
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 жыл бұрын
Mohamed Othman We gaidi tukana tu!! Ila iko siku tutakufinya korodani utaje na magaidi wenzako..
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 жыл бұрын
gaidi wa kikiristo kawaida kutoa mapovu
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
@@noelbryson7840 kafiri ndio gaidi n km ww kafiri basi gaidi pia
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 жыл бұрын
You’re an Idiot.!!! Na utafeli!! Huo uhuru unaoutaka mtaupata kuzimu!! Sio hapa Tanzania 🇹🇿!! Hati ya muumgano unaitaka ya nini??? Who are you???
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 жыл бұрын
Zanzibar yakwetu ....sisi vipi kuna shida na ilo
@topn6852
@topn6852 Жыл бұрын
Na wew utaujua uhuru upi tunaoutafuta ukishafik huko kuzimu
@user-kr9gd1tl8h
@user-kr9gd1tl8h 2 ай бұрын
Give freedom
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 2/5
34:21
Abd Binm
Рет қаралды 191 М.
WAJUE MAADUI WA UISLAMU: NASAHA ZA UST. #ILUNGA
18:25
Hudatz Tv
Рет қаралды 84 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
KONGAMANO PEMBA 2 ~~MFUMO KRISTO NA ZANZIBAR
32:04
Bin Seif
Рет қаралды 29 М.
WOSIA WA SHEIKH ILUNGA KWA WANA THAQIB- MWANZA FULL PRT 4
46:32
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/1
35:32
Abd Binm
Рет қаралды 153 М.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 3/5
34:09
Abd Binm
Рет қаралды 425 М.
SHEKH ILUNGA HASSANI MTUME MUHAMMED S.A.W.ALIKUA ZEEBU GANISEHEMU YA TATU
1:00:34
sheikh ilunga rahima Allah historia ya zanzibar
12:22
Salito Sofo
Рет қаралды 10 М.
Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/2
35:21
Abd Binm
Рет қаралды 93 М.
SHEIKH ILUNGA
40:05
Chalamanda _
Рет қаралды 221 М.
WOSIA WA SHEIKH ILUNGA KWA WANA THAQIB- MWANZA FULL PRT 3
46:08