No video

UTACHEKA MANENO YA BIBI BAADA YA KUPATA GODORO

  Рет қаралды 4,447

DTV

DTV

2 ай бұрын

Пікірлер: 106
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 2 ай бұрын
Allah awaifadhi Fabi na Adamu na Allah amjalie aliyejitolea amzidishie mara mbili ya hiki na kumpa furaha mama etu Hakika Mungu atawalipa
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 2 ай бұрын
Amiin thumma Amiin
@FatumaMuya
@FatumaMuya 2 ай бұрын
Allahumma Amiin
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 2 ай бұрын
Faby mi nakupenda ivyo ulivyohuru na mcheshi uko na hekima sana MUNGU akujaalie maisha marefu❤❤
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 2 ай бұрын
Amiin thumma Amiin
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 ай бұрын
Allahumma Amin
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 ай бұрын
Bibi leo nimecheka unaitwa na mchumba unapiga kelele na kushajua wanataka kimbololo😂😂😂😂 nimefurahi wallah
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 2 ай бұрын
Yan bibi ana maneno sana Allah azidi kumpa afya njema
@HusnaOmarry
@HusnaOmarry 2 ай бұрын
😂😂😂Yani huyu bibi anavituko mungu azidi kumuongezea furaha ya kudum
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 2 ай бұрын
Ameen ya rabii
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 ай бұрын
Nimechekaaa Fabby na bibi Furaha sana ❤
@user-my5di6kx3c
@user-my5di6kx3c 2 ай бұрын
Mashallahh fabi na adamuu Mungu awajalie kila la heriii🤲
@jokhahemed
@jokhahemed 2 ай бұрын
Bila ya samahani Fabian na ss tumefurahi Bure tunajua ni utani wa bibi
@fatumadiwani4098
@fatumadiwani4098 2 ай бұрын
Allah akulinde na kila shary fabi na akupe kila la khery n a akufungulie rizki zako, ameen yarab
@user-my5di6kx3c
@user-my5di6kx3c 2 ай бұрын
Nampenda sana uyui bibi mcheshi sanaaa🥰🥰🌹
@roseurio503
@roseurio503 2 ай бұрын
Kutandika nini bhana kulala ndiyo lazima😂😂😂😂😂 bibi umenifurahisha😂😂
@hyy4114
@hyy4114 2 ай бұрын
Mda wa Allah atakapofika kwa kukuinua hauzuiliki hakika bibi mda alokuwa na subra umetimia subra ni ngumu bali ukaitumikia malipo yake hayana kifan
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j 2 ай бұрын
Mshallah Bibi msela uyu😅😅
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j 2 ай бұрын
Kimbololo ndio nn😂😂😂😂😂
@hyy4114
@hyy4114 2 ай бұрын
Allah amhifadh alomtolea
@FatumaMuya
@FatumaMuya 2 ай бұрын
Amiin
@saudamdoe
@saudamdoe 2 ай бұрын
Jamani huyuuu bibi atariiii🤣🤣🤣
@user-he2pk6io4d
@user-he2pk6io4d 2 ай бұрын
Fabi na bibi yake bwana 😂😂😂mbavu sina unanuka vumbi ulikwenda wapi😅😅😅😅 mkeo hatakuuliza
@Jane-le9gv
@Jane-le9gv 2 ай бұрын
Eti mama Omar njoo mchumba wako😂😂😂😂
@chikujuma18
@chikujuma18 2 ай бұрын
❤❤❤bibi Leo utalala usingiz mwororo sio kwa furaha ulipokuwa nayo hongeren mlio jitolea mwenyezi mungu awazidishie mlipo mtoa inshallah shukuran
@SakinaS-dz8ef
@SakinaS-dz8ef 2 ай бұрын
Mashaalla bibi yetu Allaah akupe umri mrefu
@user-im9tc4gl9v
@user-im9tc4gl9v 2 ай бұрын
Mashallah tabaraq Allah Allah awazidishie awajaze neema awape kila la kheri inshallah amiin❤❤❤.
@mirnababy5012
@mirnababy5012 2 ай бұрын
Alafu faby now bola bibi akae hapo kwao chumba chake kiwekwe vizur basi yule baba fahadi inaonyesha anakaroho fulani ivi kabaya uyu bibi ni muelewa sana
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 2 ай бұрын
Jamani hata mimi nimefkri hivyo kwa nini wasikae nae, ama wanataka kuchangiwa Huku na kule
@mirnababy5012
@mirnababy5012 2 ай бұрын
@@samiraabdimahamed4449 yule baba aanaonyeshaa tu anngekaa na shemeji ake na mkwewe siuunaona kuhusu ishu ya biaashara kushea na mdopgoake pia alikua hataki
@user-bw7ve8ce3q
@user-bw7ve8ce3q 2 ай бұрын
Yani leo Bb 😂😂😂😂 na fab, adam Allah awabarik
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 ай бұрын
😂😂😂😂eti shoga angu 😂😂
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 2 ай бұрын
Eeee bibi anachekesha eti wakija wachawi wananigeuza tu 🤣🤣🤣
@hamidakhamis-ir5qv
@hamidakhamis-ir5qv 2 ай бұрын
Mungu awabariki sana mupate malipo mema inshaallah
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Safi sana bb❤❤ na fab mungu akubaliki sana huyu bb kama yule wa zair
@oman1oman179
@oman1oman179 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂❤❤❤ni kiwa na bibi kama huu siwezi kuzeheka
@user-eu4pk3eh5d
@user-eu4pk3eh5d 2 ай бұрын
Hatariii eti wana mwaga vooko 😂😂😂 Fabian na Adam Mungu awajaalie wake wemaa
@user-sh9jl2hx4u
@user-sh9jl2hx4u 2 ай бұрын
Adamu bibi huyu amezidi ucheshi kwa kumfaraji wewe kupitia wadau mbalimbali tusimuache inshaAllah azidi kutabasamu
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 2 ай бұрын
Kaka fabi ALLAH akujalie umri mrefu wenye kheri ndani yake ila zaidi huyo bibi nampenda sana ❤❤❤ walahi kila nikimwangalia mm hoi kwa kicheko Yuko vizuri mno
@aishatest4451
@aishatest4451 2 ай бұрын
mashaallh 🤲🤲🤲🤲
@habibaseif6908
@habibaseif6908 2 ай бұрын
Mie naofia asije kuibiwa mana chumba akina mlango
@user-my5di6kx3c
@user-my5di6kx3c 2 ай бұрын
Bibi kiwintaaa😁😁adamuu bakiii❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Sasa fab maji kuyaleta si ulisema ana nyumba yake:kwa nini yasiwe kwake kule:lakini sio mbaya hata apate bomba❤❤
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 ай бұрын
Hira bibi yuko vizuri sanaa😀😀😀❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@hamidakhamis-ir5qv
@hamidakhamis-ir5qv 2 ай бұрын
Hmm uyu bb nomaa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Bb anafurahisha sanaxkutandika lazima kulala lazima😁😁😁👍👍❤❤🙏🙏
@tato8979
@tato8979 2 ай бұрын
Kutandia silazima kulala ndolazima😂😂😂
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 2 ай бұрын
Mashaallah 😂😂 yaani bibi umejua kunivunja mbavu siku moja inshaallah nami nitafika hapo kumuona bibi
@mirnababy5012
@mirnababy5012 2 ай бұрын
Tumsaidie tu uyu bibi maana anakaa vizur na majiran baba fahad tuachane nae maana pa kujihifadhi kapata
@DoricaJohn-ep2gd
@DoricaJohn-ep2gd 2 ай бұрын
Bibi anafurahisha
@mrsab303
@mrsab303 2 ай бұрын
Today very funny ❤❤❤❤
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 ай бұрын
😁😁😁😁😁
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 ай бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AWALIPE KILA LA KHER INSHALLAH MNAOSAIDIA WATU WENYE UKHITAJI
@mrsab303
@mrsab303 2 ай бұрын
Gran 😍😍😍😍😍
@aminaramadhan3815
@aminaramadhan3815 2 ай бұрын
Bibi ana maneno ya kiuni
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 2 ай бұрын
Wallah Bibi mcheshi Hadi raha😂😂😂😂😂
@zoab2699
@zoab2699 2 ай бұрын
Kitanda cha saizi la hilo godoro ni shilingi ngapi
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 2 ай бұрын
Watachamnia panga leo bbi nakupenda bule
@user-tt6ty7st2m
@user-tt6ty7st2m 2 ай бұрын
Bibi nakupenda sana
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 ай бұрын
Fabby ba bibi yake.❤
@rahma6189
@rahma6189 2 ай бұрын
Bibi Mungu akutunze
@mauasylla5024
@mauasylla5024 2 ай бұрын
😂😂😂 Bibi mcheshi sana.
@saudamdoe
@saudamdoe 2 ай бұрын
Kimbululuuuuu🤣🤣🤣
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Hapo fab mkaa uje
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 2 ай бұрын
Bibi mcheshi jamani😂😂😂
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 2 ай бұрын
😂😂😂😂❤ winter hiooooo
@asiasalim9323
@asiasalim9323 2 ай бұрын
Masha ALLAH ❤❤😂😂
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 ай бұрын
Adamu😂😂 kanichekesha
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 2 ай бұрын
Jaman uyuu Bibi cjui kabila gani mcheshi utacheka adi bas
@maidaamie648
@maidaamie648 2 ай бұрын
Ni mndengereko watu wa pwani ya rufiji
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j 2 ай бұрын
Bibi mtu wa kilwa mmatumbi
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 ай бұрын
Bibi utasutwa watachambia panga
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 2 ай бұрын
😂😂
@Atb300
@Atb300 2 ай бұрын
😂😂😂nimecheka eti muhimu kulala sio kutandika
@dtvonline2099
@dtvonline2099 2 ай бұрын
bora kupumzisha mwili kwanza
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 ай бұрын
Ety wanadanganyana nabibi yake
@janemusumba820
@janemusumba820 2 ай бұрын
Bibi furaha tele
@mwanalima
@mwanalima 2 ай бұрын
😂😂😂😂❤
@fatumadiwani4098
@fatumadiwani4098 2 ай бұрын
Bibi kafurahi sana
@khadijaabdallamohammed8710
@khadijaabdallamohammed8710 2 ай бұрын
😂😂
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 ай бұрын
Kimburuhu😀😀😀😀😀😀
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 2 ай бұрын
Sasa chandarua kitafiti hapo?
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@edithtarimo5872
@edithtarimo5872 2 ай бұрын
Naoma mawasiliano
@dtvonline2099
@dtvonline2099 2 ай бұрын
0719141723
@mishijega6635
@mishijega6635 2 ай бұрын
Bibioye
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rosenaheka5137
@rosenaheka5137 2 ай бұрын
Eeetiii hiyo net achana nayo
@halimasawa611
@halimasawa611 2 ай бұрын
Omar atapona kwa uwezo wa Allah
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀❤❤❤🙏🙏🙏
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
Kwan sii dar hao anatumia kuni kwan hap ni wap duuh
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 2 ай бұрын
Sasa jamani godoro zuri nyumba naanguka si hatari halafu panya godoro halisaidii nyumba kama naanguka hata kama nyumba ya wengi muhimu pakuishi
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
Mungu wangu nikirud nitamletea blanket am nikitum pesa nitakwambia umununulie blanket na panzia
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 2 ай бұрын
Blanket litakuwa kero kufua apo na dar amna baridi kari kiivyo Bora umnunulie kitanda na shuka za kawaida atakazoweza kufua
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
@@faudhiasaidi3669siyo lazim blanket zito sii yapo yale hafifu yakufua namkon walla hayasupui dar yanauzwa elf20 huku nilipo yanauzwa riali 2 hiv uwezo wakitanda ninao lakin sai nina mambo yangu kidog yameingilian inshaallah atapat
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
Nakweli chafu had imepoteza rangi ila hatuwez mlaum
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 2 ай бұрын
Umaskini mbaya 😢😢😢
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
@@SafiyaJ-yw2vt san tuy unadharaulika kwa kila mtu lakin huyu mam hatuwez kusem vibaya kwa sababu haon inshaallah mungu amfanyie wepes siku moja aon ni bora angekaa kwa watt wake kuliko kukaa peke yake
@DoricaJohn-ep2gd
@DoricaJohn-ep2gd 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@aziza9093
@aziza9093 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@zuleikhaomar4657
@zuleikhaomar4657 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-my5di6kx3c
@user-my5di6kx3c 2 ай бұрын
Badooo omary na yyy kwenda hospitali inshallahh 🤲Allah karem
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 ай бұрын
Amin inshallah 🙏
@user-jn5xo6jb1z
@user-jn5xo6jb1z 2 ай бұрын
Huyu bb mcheshi
@aishatest4451
@aishatest4451 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@mwantumswalehe2300
@mwantumswalehe2300 2 ай бұрын
Mashallah mashallah bibi unachekesha sana ❤ nakupenda bure
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 39 МЛН
MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AJINYONGA NEWALA
5:06
May Online Tv
Рет қаралды 2,1 М.
MTOTO WA MIAKA KUMI NA MOJA AFANYA TUKIO LA AJABU ZANZIBAR
5:39
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 30 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /28/ #love
45:53
BabaJoan
Рет қаралды 14 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН